Jamani kuuwawa au kuuwa vitani ni kawaida ila niwaahidi kama ni mwanajeshi wa Tzn mmetugusa pabaya na karibunu mtaijua sababu ya kuletwa congo nini kuuwawa kwa wanajeshi wetu imetupa hamasa kuisaka roho ya M23 popte ilipo na lazima tu ilipe kisasi hiki ✍️💪💪💪🦾🦿🦵
Unayo yaongea unaya jua kwani wa mekuja ktk disc tuna wa subili tu tumejipanga vilivyo m23 tuna tetea haki yetu nyie mnafia nn Mungu tupo na tuta wapiga by force mobailo mtajuta
Poleni. Ila iyo ni mchezo wa kikwete na thisekedi wanafanya izo deal. Raisi Samia amekua amekata lakini kikwete ndio ana force watoto wa tanz kwenda vita congo.m23 sio mchezo na bado

M23 siyo jeshi dogo kama mnavyo wachukulia mwenye solution ni RAIS wa CONGO naselikari yake, waondokane na UBAGUZI, RUSHWA UKABIRA, namambo kibao yakitawala yasiyo na usawa
Mama samia rudisha wanao nyumbani hayo makongo hayana shukrani mabishi yanaweza hata yakatugeuka schsna nayo mama yangu unspoteza nguvu zako kwa hayo maharamia
Waasinao wanakufa sana ap ila kwavile kuzipata tarifazao ningumu tumaona kama hawafi minaamini wanajeshi wa Tz hawakufa kizembe wamekufa kishujaa poleni sana ndugu wa marehemu
Mdomo tu! Kwasbb ww sio mwanajeshi wala wanaouwawa sio ndugu zako. Jitu linaogopa kuandamana kudahi haki yake alafu linakuja kuleta mdomo huku kwny social media. Vita unafikiri ni kwapa heti. Bata Wahed
Unauelew finyu kivita...hebu nenda huko kwa wanaojua vita huko Russia na Israel wanajeshi wake hawafi...kinachoangaliwa si kufa kwa wanajeshi inaangaliwa nan atashinda vita
Wewe kilaza sana, tulipeleka wanajeshi 10 wanpigana dhidi ya majeshi ya nchi nzima ya Rwanda, lakini wameuwa wajinga zaidi ya 500, so wao kufa na wapo huko kwa maka 2 sasa ni ujasiri
Wote mnao wa ona wana comenti vibaya wala muzijuilize jueni ni wanyarwanda sisi wa congo 🇨🇩 tuna wajua vizuri hata waki geuza majina. Ndungu zetu watazania musiwasikilize hao wanataka kuwa vunja moyo ili musi tusaidie
Wanajesh wa tz ni migambo tu Endeleeni kuitumikia ccm Mpaka muishe.M23 siyo chadema fara nyinyi. Ali kibao ameuwawa hakuna msaada wowote ila kwa majirani mumeona ni bora sn Mungu wasaidie M23 wawamalize hao wanao jifanya kimbelembele
Mnaenda kusaidia mijitu mikaidi isiyotaka amani rudisheni jeshi letu jamani pls pls hapana inauma sana yani wanaenda kupotea kwenye nchi ya watu jamani😢😢
@@rogerabdallah439 kwani ni tz tu ndio wapo huko, walikufa wa South A mbona hamkukashifu iweje kufa watz imekuwa nongwa, kuna nini hapa sielewi mnifumbue jicho.
ulinzi wa aman ? Amani ipi? wanajesh wetu wanauawa kisa maslahi ya watu wengine na sio kwa maslahi ya wananch ya Congo" wanacho kifanya kulinda marais wanao shirikiana na mabeberu wanasain mikataba ya ovyo na kuhujumu mali za wananch wananch wanabakia maskin lakin raslimali zao zinabebwa na nchi zingine" wanajeshi wetu warudishwe nyumbani
Watu hawajuwi kwanini JWTZ kwenda kusaidia congo ila kwa sababu nchi za kiafrika zimeanzisha cooperations ambapo members wanasaidia katika nyanja zote the same tanzania ikivamiwa members wa cooperation watakuja kusaidia sio kwamba JW imejipeleka hapana
Sasa tumejua ukweli wa TPDF yetu...wanaloweza ni kubeba korosho, kulinda maduka ya fedha za kigeni...labda na kujenga ukuta mererani....tusisahau kutishia raia pia🙂
Ninyi kazi yenu ni kulinda aman na sio kupiganana vita. Labda muwapige vyama vya upinzani tanzania 🇹🇿 hyo ndo kazi yenu, washenz wakubwa, kaeni uko mutakufa nyote
Kuna watu humu wanapenda kuongelea vitu ambavyo hawana uelewa navyo huwezi tegemea kupambana na maadui kisha ww usipate maumivu ni vita ya vikosi viwili hivyo ni kawaida kuona kuna watakaokufa pande zote mbili ama kuumia sio kwamba hawana uwezo la hasha ni uhalisia tu
Tunajua mmejiandaa na plopaganda nyingi Sana adikwenye mitandao ya kijamii lakini jeshi letu kamwe alitoludinyuma Wala kukata tamaa nanyie endeleeni kujiunga na mabando Tena ondokeni nchini kwetu mbwa nyie mnawatukana wanajeshiwetu uku mmeng'ang'ania kwetu
Vita ni gharama Anaye umia ni mlip Kodi Sasa Kuna watu humu Sio Wana Jeshi Sio walipa Kodi Wao ni kufurahi vita ambayo hatuna sababu ya kupigana. Hatupaswi kuwa Congo sababu Flexi hataki Amani ktk nchi yake
Kumchapa KAGAME siyo solution Bali mwenye solution ni RAIS wa CONGO naselikari yake ,waondokane na UBAGUZI RUSHWA UKABIRA namambo kibao yakitawala yasiyo na usawa
Huwezi kupona ukiwa unaachanisha ugomvi wa ndugu ambao wote wana hasira halafu wewe ukakae katikati eti achaneni msigombane, aiseee tuache ujinga tanzania tumejitakia kwa hiyo tusiwe na hasira tukajikuta badala ya kufuata kilichotupeleka tukaanza kulipiza kisasi.
Je Tanzania 🇹🇿 tukisumbuliwa msaada unategemea wapi ndugu yangu hizo nchi zipo kwenye mikataba ya kusaidiana jeshi la nchi flani linaposhindwa kumaliza mgogoro na ndo sadc
Roho za watu zinateketea ndani ya ardhi ya congo kwa maslahi ya watu wachache wanajeshi wetu wanakufa na kuna watu wanajua chanzo cha mzozo na wanajua tukifanya hivi amani itapatikana bali kwakua wanataka kuchukua mali za wa congo kwa dhulma ndio maana hawawezi kufanya ipatikane amani Allaah atawalaani watu hao
Msifikiri M23 ni Idd Amini. Hao ni LEVO kubwa. JWTZ ina mafunzo ya kuipiga chadema TU, Vita hawaiwezi. Watakufa wengi tu. Kimbelbele kitawaponza. Vita haiwahusu halafu mnajichanganya.🤔🤔
@@zushjef6529we mwenyewe muoga kuandamana tu kwa ajili ya kudahi katiba mpya unakimbia vita na M23 utaweza ? M23 sio Iddi Amini wale, ni balaa nyingine kbs wana silaha za kisasa kwahy usichukulie pw kbs
Polen sana uko congo Kila sk mnalnda aman tz tuna pokea marehm tu kama vip ludishen askar wet bwan
Jamani kuuwawa au kuuwa vitani ni kawaida ila niwaahidi kama ni mwanajeshi wa Tzn mmetugusa pabaya na karibunu mtaijua sababu ya kuletwa congo nini kuuwawa kwa wanajeshi wetu imetupa hamasa kuisaka roho ya M23 popte ilipo na lazima tu ilipe kisasi hiki ✍️💪💪💪🦾🦿🦵
Kabisa m23 wanazinguwa inabidi tumalizane nao Tanzania 🇹🇿 congo 🇨🇩❤
Majirani zetu tz..Kaeni Tu kwenyu mutauliwa bure Congo..hawa M23 ni Hatari bin danger!!😭😭 Let Chisikedi fall.wa Zaire wachague Raisi anaeelewa😢😢
Unayo yaongea unaya jua kwani wa mekuja ktk disc tuna wa subili tu tumejipanga vilivyo m23 tuna tetea haki yetu nyie mnafia nn Mungu tupo na tuta wapiga by force mobailo mtajuta
@@mogrosso3500mu meingia Cha kike nyie
Tunataka ndugu zetu warud MUNGU ibariki TANZANIA 🇹🇿❤️
Kweli nimeamin congo kunakitu kwann kila nchi inakimbilia kwenda linda Aman
Mmesema ni wawili ila msipoangalia watapotea wengi. Acheni huruma rudisheni wananajeshi wetu nyumbani.😭😭
Poleni. Ila iyo ni mchezo wa kikwete na thisekedi wanafanya izo deal. Raisi Samia amekua amekata lakini kikwete ndio ana force watoto wa tanz kwenda vita congo.m23 sio mchezo na bado
Poleni. Ila iyo ni mchezo wa kikwete na thisekedi wanafanya izo deal. Raisi Samia amekua amekata lakini kikwete ndio ana force watoto wa tanz kwenda vita congo.m23 sio mchezo na bado
M23 bola waichukue congo nasiyo choko chisekedi💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
M23 siyo jeshi dogo kama mnavyo wachukulia mwenye solution ni RAIS wa CONGO naselikari yake, waondokane na UBAGUZI, RUSHWA UKABIRA, namambo kibao yakitawala yasiyo na usawa
Kuweni makini sana Congo ni ngumu sana wazungu wameshaingia kitambo m23 hawako peke yao na hawana Cha kupoteza
Mama samia rudisha wanao nyumbani hayo makongo hayana shukrani mabishi yanaweza hata yakatugeuka schsna nayo mama yangu unspoteza nguvu zako kwa hayo maharamia
Mara ngapi wanajeshi wameuwawa hata waape vp watakiona chamoti
Hii vita hatuiwezi, tukae nyumbani tutulie. Otherwise, tunapenda kuua kaka zetu kwa makusudi
Congo haina viongozi wote wanafiki
Waasinao wanakufa sana ap ila kwavile kuzipata tarifazao ningumu tumaona kama hawafi minaamini wanajeshi wa Tz hawakufa kizembe wamekufa kishujaa poleni sana ndugu wa marehemu
Tuludishie wanajeshi wetu 😢
Huko poleni wanajeshi wetu
Waacheni wapigane wakichoka watayamaliza wenyewe
Waelewane bhana mbona watuletea shida kwa jeshi letu kwa kutetea amani yao
SASA WAMEJICHANGANYA KWA JWTZ
UWEZO TUNAO,NGUVU TUNAZO NA ASKARI MAHIRI TUNAO KAZI NI MOJA TU KUWAPIGA
Unaonaje ukiwa msitar wa mbele.
uwezo gani jeshi la tz limepigwa vibaya sana
@@muj-c6pUlikuwepo wakati wanapigwa,ujinga mwingine mkimbizi wewe Rudi kwenu toka tanzania
Waz
Mdomo tu! Kwasbb ww sio mwanajeshi wala wanaouwawa sio ndugu zako. Jitu linaogopa kuandamana kudahi haki yake alafu linakuja kuleta mdomo huku kwny social media. Vita unafikiri ni kwapa heti. Bata Wahed
Tanzania vita ya mdomo mnaiweza ila kwenye bunduki bado sanaa😊
Tuwape muda wavamizi Pole pole ndio mwendo
Unauelew finyu kivita...hebu nenda huko kwa wanaojua vita huko Russia na Israel wanajeshi wake hawafi...kinachoangaliwa si kufa kwa wanajeshi inaangaliwa nan atashinda vita
Wewe kilaza sana, tulipeleka wanajeshi 10 wanpigana dhidi ya majeshi ya nchi nzima ya Rwanda, lakini wameuwa wajinga zaidi ya 500, so wao kufa na wapo huko kwa maka 2 sasa ni ujasiri
Sana
Utakuwa sio mtanzania
Mbona sioni Taarifa za waasi wao hawafi ama kulikoni
Ukishindwa Huna uwezo wakujuwa hadui amepoteza waasi wangapi ...
Wote mnao wa ona wana comenti vibaya wala muzijuilize jueni ni wanyarwanda sisi wa congo 🇨🇩 tuna wajua vizuri hata waki geuza majina. Ndungu zetu watazania musiwasikilize hao wanataka kuwa vunja moyo ili musi tusaidie
Na nyinyi mumelegea sana mnaonewa kila siku jikazeni kidogo
Wanajesh wa tz ni migambo tu
Endeleeni kuitumikia ccm
Mpaka muishe.M23 siyo chadema fara nyinyi. Ali kibao ameuwawa hakuna msaada wowote ila kwa majirani mumeona ni bora sn
Mungu wasaidie M23 wawamalize hao wanao jifanya kimbelembele
😂😂 wewe
Mdomo uliponza kichwa acha ujuaji wa kipumbavu sms yako inaweza kuku gharim

wewe ni mtaalam
Rudisheni askari wetu, upuuzi wa TSHISEKEDI unagharimu ndugu zetu!
Hii vita zita malizwa na Rais wa congo hao wengine ni kutafuta visa zaidi
Hatuwapi moyo jeshi letu lirudi hao wakongo hawaeleweki kbsaaa
Wa Tanzania muko bi wele wele kama Kisekedi. Mumenda Congo kufanya Nini!!
Mnaenda kusaidia mijitu mikaidi isiyotaka amani rudisheni jeshi letu jamani pls pls hapana inauma sana yani wanaenda kupotea kwenye nchi ya watu jamani😢😢
Watanzania wandugu musifuwate uwongo wa Tchisekedi basi musikie shawuli ya Late Mwalimu Nyerere
Vita aiwezi ueka amani kaeni chini mzungumze bila ivyo mtakufa kama njiwa
@@rogerabdallah439 kwani ni tz tu ndio wapo huko, walikufa wa South A mbona hamkukashifu iweje kufa watz imekuwa nongwa, kuna nini hapa sielewi mnifumbue jicho.
Nyie wakings hakikishen kichwa Cha habar kinaendana na taarifa yenu matako nyie
Hi
Mumesema wawili mtapoteza wengi sana zaidi ya wawili unajua mtu akiwahajaingia kwa vita anaonanga ni rahisi lakini muende mtakiona
Waliokufa sio jwtz tu pekee yao hata wengne wanakufa.RIP
tutaelewana tu ngoja muda utaongea .., mtajua kwa nini inaitwa Bongo..
Alosema eti wanakuja kuwapiga "Kunguru"yupo wapi?
Ndo najiuliza😂😂😂
Kweli Joseph Mugala
ulinzi wa aman ? Amani ipi? wanajesh wetu wanauawa kisa maslahi ya watu wengine na sio kwa maslahi ya wananch ya Congo" wanacho kifanya kulinda marais wanao shirikiana na mabeberu wanasain mikataba ya ovyo na kuhujumu mali za wananch wananch wanabakia maskin lakin raslimali zao zinabebwa na nchi zingine" wanajeshi wetu warudishwe nyumbani
Bunduki yenu,SABASABA ukitizama vizuri siyo bunduki tena,ni mkokoteni,nenda mlibebe uwanja wandege Goma,kunguru nyinyi,rudisha wanamgambo wenu Tz
Aty mnakuta nyoka kwashimo😂 kama mnaendelea kunganga Bado muko navilio.
Sisi wa Tanzania mndomo dio wetu wa na jeshi wa Tanzania ni 10000 tu Wana jeshi wa ruawanda. Ni laki bili
Watu hawajuwi kwanini JWTZ kwenda kusaidia congo ila kwa sababu nchi za kiafrika zimeanzisha cooperations ambapo members wanasaidia katika nyanja zote the same tanzania ikivamiwa members wa cooperation watakuja kusaidia sio kwamba JW imejipeleka hapana
😢🇹🇿
Sasa tumejua ukweli wa TPDF yetu...wanaloweza ni kubeba korosho, kulinda maduka ya fedha za kigeni...labda na kujenga ukuta mererani....tusisahau kutishia raia pia🙂
Ninyi kazi yenu ni kulinda aman na sio kupiganana vita. Labda muwapige vyama vya upinzani tanzania 🇹🇿 hyo ndo kazi yenu, washenz wakubwa, kaeni uko mutakufa nyote
Kuna watu humu wanapenda kuongelea vitu ambavyo hawana uelewa navyo huwezi tegemea kupambana na maadui kisha ww usipate maumivu ni vita ya vikosi viwili hivyo ni kawaida kuona kuna watakaokufa pande zote mbili ama kuumia sio kwamba hawana uwezo la hasha ni uhalisia tu
Tunajua mmejiandaa na plopaganda nyingi Sana adikwenye mitandao ya kijamii lakini jeshi letu kamwe alitoludinyuma Wala kukata tamaa nanyie endeleeni kujiunga na mabando Tena ondokeni nchini kwetu mbwa nyie mnawatukana wanajeshiwetu uku mmeng'ang'ania kwetu
Kwsbb ww sio mwanajeshi na wala hao waliouwawa sio ndugu zko si ndio
Vita ni gharama
Anaye umia ni mlip Kodi Sasa Kuna watu humu
Sio Wana Jeshi
Sio walipa Kodi
Wao ni kufurahi vita ambayo hatuna sababu ya kupigana.
Hatupaswi kuwa Congo sababu Flexi hataki Amani ktk nchi yake
Watu wanaandika ujingaujinga sana. Mnashangaa wanajeshi wa TZ kwenda CONGO, na mnasema vita ile haiwahusu. Hivi ni lini mtakuwa na akili nyie?
Kongo italindwa na wakongo wenyewe kama Kongo hawataweza haipaswi nchi nyingi kuingia na mitutu sidhani kama ndo watakuwa salama
Komaeni
Na kueni makini upannde wa msumbiji jama anaingiza sílaha sana msumbiji
M23 hawajaanza Leo kutuulia askari wetu kifupi serikali zote za Africa mashariki na kusini mwa Africa wamchape kagame Moja Kwa Moja
Kumchapa KAGAME siyo solution,Bali mwenye solution ni RAIS wa CONGO mwenyewe aache UBAGUZI ,RUSHWA UKABIRA namambo kibao yakitawala yasiyo na usawa.
Kumchapa KAGAME siyo solution Bali mwenye solution ni RAIS wa CONGO naselikari yake ,waondokane na UBAGUZI RUSHWA UKABIRA namambo kibao yakitawala yasiyo na usawa
Kwanza M23 siyo Wanyarwanda wale ni Wakongo waliosahauliwa. Tanzania itoe jamaa zetu maana hivyo ni vita ya kikabila waliopo nchi moja ya Drc
kwan walifata nn
na rwanda haipo pekee yake mukiendelea chokochoko mutaisha kwel
Warudishwe wanajeshi wetu jamani..
Hamna adabu watanzania..Mnalia nini hamana ujuzi wa vita nyinyi rudini nyumbani, Nyinyi ndio mshayaoga aisee
Huwezi kupona ukiwa unaachanisha ugomvi wa ndugu ambao wote wana hasira halafu wewe ukakae katikati eti achaneni msigombane, aiseee tuache ujinga tanzania tumejitakia kwa hiyo tusiwe na hasira tukajikuta badala ya kufuata kilichotupeleka tukaanza kulipiza kisasi.
Poleni mlio umia na shabulizi
Wewe acha uongo wanahudumu nini na niwafunga sahizi kwenye makambi
Sio wawibiri karibu batayo imekwisha
Tumeni majina walio fariki uko congo .
ndugu zangu aceni vita haiwahusu mtaisha
Hawawezi huo mtiti wambieni warudi nyumbani wapambane na maandamano ya chadema
Hizi no siku za mwisho
Hivi mmefata nini ?
Amani si mlinde ya kwenu?
Muache kuingilia wasio wa husu.
Wakati tunauliwa na kuporwa mali zetu mlikua wapi?
Mbona mtauliwa tu😊
Je Tanzania 🇹🇿 tukisumbuliwa msaada unategemea wapi ndugu yangu hizo nchi zipo kwenye mikataba ya kusaidiana jeshi la nchi flani linaposhindwa kumaliza mgogoro na ndo sadc
Mi naona m23 wazidi tu kuwagonga askari wa tanzani mana wamejazana tu na vitambi vyao kaz hawafanyi
hakuna kusema kuusu 23 sasa wenyewe hawaoni?
hawapfi
hawapfi
Kwani wa najua vita kweli mana vita sio chips zege
Hiyo ndo njia ya kujifunza vita sasa unaweza kujuwa vita bila kupambana
@@SijaonaYasiniMilanzikwa kuwa ww sio mwanajeshi ukiambiwa uwe mstari wa mbele utakubali?
Hamna jeshi,toka Congo rudieni Tz,Sabasaba yene itabaki Goma.
Kwani babako yuko huku ?acha unyarwanda wewe unataka kujifanya wa TZ
It's vry had Tanzania army to defeat m23 is like a dream plz waruback kwao😂😂😂😂
Hakuna kitu nyie waongo
Roho za watu zinateketea ndani ya ardhi ya congo kwa maslahi ya watu wachache wanajeshi wetu wanakufa na kuna watu wanajua chanzo cha mzozo na wanajua tukifanya hivi amani itapatikana bali kwakua wanataka kuchukua mali za wa congo kwa dhulma ndio maana hawawezi kufanya ipatikane amani Allaah atawalaani watu hao
sasa tz inafanya nini Congo, ni pesa Samia na kikwete wanakula wanatumia jeshi la taifa wa tz amkeni
Ni kweli ungekutaga vita imekwisha siku nyingi tuu😢
Msifikiri M23 ni Idd Amini. Hao ni LEVO kubwa. JWTZ ina mafunzo ya kuipiga chadema TU, Vita hawaiwezi. Watakufa wengi tu. Kimbelbele kitawaponza. Vita haiwahusu halafu mnajichanganya.🤔🤔
Unaandika kipumbavu sana!
Mwanaume kua muoga n mbaya sana
Nipo na wewe
@@zushjef6529we mwenyewe muoga kuandamana tu kwa ajili ya kudahi katiba mpya unakimbia vita na M23 utaweza ?
M23 sio Iddi Amini wale, ni balaa nyingine kbs wana silaha za kisasa kwahy usichukulie pw kbs
Ww ni kima tu haijui jwtz wamekomboa kusini mwa afrika sio hao m23 kajiunge na ww uwasaidie halafu uone itakuwaje fala ww
WAMEJIKANYAGA WATZ, KWANI Vita inawahusu au kimbelembele tuuuuu. Hapo mtakufa wengi siyo IDD AMINI hao.🤔
Hivi wewe ni mtanzania au?
Nawewe pia utakufa maana unaongea usichokijua mkimbizi wewe
Jifunze kwanza ni kwanini JWTZ ipo nchini congo lakini pia ujue kuna majeshi mengi tu yasiyo ya congo nchini kule
Unasema ukweli kabisa 👍
Inawahusu maana baada ya kongo tz inakamatwa
😢🇹🇿