MPINGA KRISTO ATATOKEA KATOLIKI 666 ASKOFU ELIASAPH MATTAYO LAZIMA NISEME UKWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 186

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว +6

    Waroma 1:7-8 kwawale walioko Roma wapenwae namungu walioitwa Kuwa watakatifu Neema iwekwenu naamani itokayo Kwa mungu baba nakwayesu Kristo Kwa Kuwa imaniyenu inahubiliwa dunia nzima

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpinga krsto siyo mkatoriki mpinga kristo ni shetani ndani ya watu wanaomwabudu mungu wa elufi ndogo asieweza kuwaokoa huyo ndiyo nabii wa uongo akiongozwa na mpinga kristo,

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuonea huruma Mungu akuhurumie maskini. Pole sana biblia ni ngumu kuitafsiri kama huna roho Mtakatifu

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapa Yesu anahitajika sana sana

  • @kinotititus8798
    @kinotititus8798 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaosali. Lomani unajua ninimaana. YAROMA ndugu katika bwana wetu YESU KRSTO lomaninchi siyo dini kwakuwa. Mkiambiwa mnabisha bambaneni nahao mapapaweni. Mgejua ilammefichwa msijue mmengangana

  • @mangumanjobola4444
    @mangumanjobola4444 3 ปีที่แล้ว

    Asante jamani mbarikiwe

  • @samwelysilungwe9767
    @samwelysilungwe9767 3 ปีที่แล้ว +2

    Catholic will remain as it's until christ Jesus come. Yesu kristo aliliacha kanisa pia atalikuta halitatikiska kwa maneno yenu ya ushabiki na siasa.

    • @RAMANETWORKS.
      @RAMANETWORKS. 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusaidie mw

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 2 หลายเดือนก่อน

      Katoliki utakufa kwa kunenea mbaya

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao ndio zao badala ya kufundisha waumini wao waache dhambi na kuishi kwa upendo na jirani. Wao wamekazana na Katoliki. Nimesali sana huko nawajua sana hadi wana bore.

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 ปีที่แล้ว

    Mh asant baba nimbarikiwa sana

  • @highnessmamuya4163
    @highnessmamuya4163 3 ปีที่แล้ว

    Ni sawa kabisa wakat wa dhiki kuu umewadia ambapo watu wataacha kumwamin mungu na kufanya ya dunian

    • @barikikamendu7266
      @barikikamendu7266 3 ปีที่แล้ว

      Unaangamizwa kwa kukosa maarifa'

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

      @@barikikamendu7266 umeonekana hunaelim ya biblia

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 หลายเดือนก่อน

    Eimee

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 ปีที่แล้ว +5

    Fundisheni watu kuacha dhambi. Yesu akirudi wamlaki. Acheni siasa za dini

    • @RAMANETWORKS.
      @RAMANETWORKS. 3 หลายเดือนก่อน

      Heri yeye anasema ukwli

  • @fastonngatulile6628
    @fastonngatulile6628 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ndiye mpinga kristu, Umejaa wivu, hadaa na uwongo. Nani kakuthibitisha(kakupaka mafuta) au umejithibitisha?

  • @Malaikakessy
    @Malaikakessy 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna dini iliyobora, Unasimamaje kwenye madhabahu kujadili madhehebu, dini au imani ya wengine??? Kaaaaazi kwelikweli

    • @barikikamendu7266
      @barikikamendu7266 3 ปีที่แล้ว

      Fundisho lake tu linaonesha naye ni mpinga Kristo....

    • @neemaisrael688
      @neemaisrael688 3 ปีที่แล้ว

      Muhubiri kristo aliye hai sio ukatoliki.

    • @irenetolo9106
      @irenetolo9106 3 ปีที่แล้ว

      Yesu yuaja! Kanisa lipo mbioni kunyakuliwa. Ni mtu kujiweka safi na Mungu ili kuurithi ufalme wa Mungu aliye hai 🙏🙏🙏

  • @mwesigachinga1122
    @mwesigachinga1122 3 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @barikikamendu7266
    @barikikamendu7266 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe na fundisho lako unaonekana ni mpinga Kristo kabisa'
    2Jn 1:7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.
    2Jn 1:10 Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani mwenu, wala msimpe salamu.
    2Jn 1:11 Maana yeye ampaye salamu azishiriki kazi zake mbovu.
    unahitajika kuokoka na kuponywa'

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe unamjua mpinga kristo mpinga kristo ni mtu wadini asiye na Roho wa kristo ,huyo ndo mwabudu sanamu , isaya 45:20,

  • @pascalhatungimana556
    @pascalhatungimana556 3 ปีที่แล้ว +1

    Soma waroma 1-7-8

  • @nurumasoud4170
    @nurumasoud4170 3 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @imaaskwari9507
    @imaaskwari9507 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatutishiwi na mahubiri yenu ya kusema kanisa la yesu vibaya ili kuihubiri jina la yesu

  • @waltermassawe1876
    @waltermassawe1876 3 ปีที่แล้ว

    Is very true pappa

  • @pascalmwalyenga4295
    @pascalmwalyenga4295 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa wana wa Mungu. Hakuna sababu ya kulumbana. Mungu hakuleta madhehebu maana madhehebu na hayajulikani mbinguni bali ni mipango tu ya wanadamu katika kumtafuta Mungu bali "Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanaye wa pekee ili kila mtu amwamimiye asipotee bali awe na uzima wa milele" Yohana 3:26. Kilicho muhimu ni kusoma neno na kuijua kweli iliyomo katika biblia Yohana 8:32. Hivyo baada ya hapo utetezi wenu nyote utakuwa ni wa kumtetea Yesu Kristo na siyo hayo madhehebu.

    • @jackisonotieno5034
      @jackisonotieno5034 3 ปีที่แล้ว

      Somo la uokovu ni mipango wa mungu mwenyewe ila mtanzania mwenye akili timamu anajua nini afanye wahenga husema ni bora kuishi na mawaO yanayoishi🤣🤣🤣

    • @peninamashala78
      @peninamashala78 8 หลายเดือนก่อน

      Mtapata shida sana. Kanisa Katoliki halitikisiki kamwe na wala milango ya kuzimu haitalishinda (maneno ya mitandao hayatikisi Kanisa Katoliki) wewe bwabwaja tu kutafuta waumini wasiojitambua kama wewe.

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna aya mpinga Kristo atatokea Roma katoliki

  • @marryshuma1369
    @marryshuma1369 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutajuwaje kma na ww unaabudu mungu wa kuzim, maana badala ya kumuhubili kristo unachambua madhehebu mungu akusamehe tuu

    • @neemashao4749
      @neemashao4749 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo la watu hawapendi ukweli, usamehewe ww unae mhukumu huyu nabio

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajua kukosa maarifa ni kukosa kila kitu , bora kijana mdogo mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbafu

  • @bulashimathias8368
    @bulashimathias8368 3 ปีที่แล้ว

    Manresa kwaya

  • @nteranyababu-vocal8340
    @nteranyababu-vocal8340 3 ปีที่แล้ว

    Ndiyo

  • @jescalaurent6242
    @jescalaurent6242 3 ปีที่แล้ว +6

    Maubiri yenu mengi kuwasema wakatoliki kwani amna mengine tumewachoka

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      1 Wacorinto 10:14,22) Ikimbieni ibada ya masanamu, Mwenyezi Mungu hapendi. Kutoka 20:4,5)

    • @teresiamkingule5339
      @teresiamkingule5339 3 ปีที่แล้ว

      Using'a2nie madhehebu mtafute yeah kristo wa kweli , mm mwenyew roma siwez kwenda

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      @@teresiamkingule5339 Unamuamini Yesu kama Nani?

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      @@teresiamkingule5339 Mungu au mtume?

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      @@khalfanifarisy119 Mungu aliyekuumba wewe na mimi.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama wa makahaba .huu utawala taari ni wa mwovu shetani.

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 ปีที่แล้ว +2

    Wito kwa wakristo wote ni "KUUTAFUTA KWA BIDII UTAKATIFU( USO WA MUNGU)MAANA BILA HUO, HAYUPO ATAKAE MUONA MUNGU. ndio cha msingi si ukatoliki wala wokovu 'simply that.

    • @fredymkanza
      @fredymkanza 3 ปีที่แล้ว +1

      Nonsense 😂...Hakuna namna unaweza kutenganisha utakatifu na wokovu.
      Wokovu huleta utakatifu
      Asikiaye na afahamu

  • @ivanf.lekule5618
    @ivanf.lekule5618 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi nimesali madhehebu yotee. Ila wasabato wanongoza kwa uongo. Mwaka 2004 wakati niko sekondari walihubiri kuwa mpinga kristo na Papa aliyetoka na akiongozwa na Bush ndo wamekuja kuimaliza dunia. Leo hii 2021. Sioni kitu. 😂

  • @rosendanshau2751
    @rosendanshau2751 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpinga kristo hatatokea katoliki hebu tuwaeleze waumini ukweli

  • @veronicangailo7644
    @veronicangailo7644 3 ปีที่แล้ว +1

    Na hizi ndizo nyakati ambazo wengi watadanganya watu wakisema mm ndiye kristo sasa ww unasema ww ndio unahubiri injili ya kweli yakusema dini za watu hubili watu waache dhambi kwani Mungu ameshuka kudhibtisha kwamba ww ndio mkweli au kwamba ww ndio umetumwa usikute na ww mchungaji wa mshahara

  • @rizikikivitai282
    @rizikikivitai282 3 ปีที่แล้ว

    As long as mbinguni hatuendi kwa dini amna ata haja ya Ku argue Sana.. upon you.we usihubiri injili, ubiri zeebu

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 3 ปีที่แล้ว +2

    Anachosema ni sawa

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 3 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji usipoelewa mnyama au Beast hutajua alama ya mnyama Kama 666 ni kitu gani.

  • @apolloorao4110
    @apolloorao4110 3 ปีที่แล้ว +3

    Tumsifu bwana wetu Yesu Kristo. Kama kueli mpiga Kristo atatoka kanisa katolik la Rumi ... Je naye messiah wa Israel hakija na kuanza kazi yake kuanzia yerusalem Hadi dunia mzima hatakua Nani ? !!!???? .

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 ปีที่แล้ว

      Apolio ,, mmeokoka kunywa kidogo usilewe vp mmeacha

  • @carollynne5943
    @carollynne5943 3 ปีที่แล้ว

    Wapinga kristu walifika kitambo,1John2:18, 1John4:3, mfano Mohammed wa Islamu.Ufunuo13 ishatimizwa,yesu yu karibu zaidi.

  • @ongitoabel1597
    @ongitoabel1597 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanatumia vitisho+uwongo ili wavune baadhi waumini wa kanisa katoliki

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 ปีที่แล้ว

    Ukubali kusemwa hata kama unachosemwa ni kweli au si kweli. Kusemwa kunatupa nafasi ya kutafakari na kujifunza kikubwa tu ni kusimama na ile kweli.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii inaweza kuwa kweli kwani katoliki wana papa mwingine nyuma ya huyu papa walionaye, mwenye cheo kinaitwa "black pope" kazi ya huyu anayejulikana ni kutangaza maswala ya kiroho na huyu mwingine kazi yake ni kuweka mpango wa dini moja, ambayo itakuwa ya mpibga kristo.

    • @allystidinkoswe8581
      @allystidinkoswe8581 3 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuthibitisha Kwa mifano huyo Brack pope

    • @ivanno9
      @ivanno9 3 ปีที่แล้ว

      Kama humjui papa usimwongelee, umelishwa kasa na wachungaji uchwara hata teologia hawajasoma. Katolic ndilo kanisa mama hapa duniani mengine yote ni watoto waaasi.

    • @irenetolo9106
      @irenetolo9106 3 ปีที่แล้ว

      Mungu wewe uliye mkuu, nimekukimbilia wewe ili niurithi ufalme wa mbingu😭🙌🙏
      Nitenge na kila uovu ambao unaweza nifanya niukose ufalme wako🙌
      Dini haimpeleki mtu popote, bali ni uhisiano wako sahihi na Mungu.
      Tuache ibada za masanamu, tumrudie Mungu

    • @esthermtela7
      @esthermtela7 10 หลายเดือนก่อน

      Usiseme uwongo happy madhabahuni .Wakatoliki hawalisengenyi kanisa lolote .Kama nikuhani tufundishe neno la kutuponya mioyo na sio la kutuchanganya.hayo hayatujengi ni ya uzushi.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 หลายเดือนก่อน

    Mpinga kristo kesha tokea Na ameshathibitika huyo mwingine ni yupi 666 ni mafundisho ya uwongo

  • @pauloslaa7210
    @pauloslaa7210 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao Ni wahubiri ambao hawajitambui

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +2

    Hesabu iliyoonekana ya chapa ya mpinga kristo kwa corona yaani 666
    je ilitoka kwa papa?

    • @ramadhanimgombewa7032
      @ramadhanimgombewa7032 3 ปีที่แล้ว +1

      Haata kofia ya papa nakofia zamaaskofu wotee zimeandikwa 666 kwa neno hili Vikarius filee day kwa kiyunani

    • @kkrotich
      @kkrotich 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ramadhanimgombewa7032 hiyo ni ukweli. Wote wako na iyo alama

    • @francismacha1693
      @francismacha1693 3 ปีที่แล้ว

      wooote mmetokea katika mti mmoja na kuwa waasi😅😅 mama atabaki kuwa mama huwa anaangalia watoto wanavyomtukana anawasamehe maana wote anawajua madhaifu Yao.

  • @donathkweka7366
    @donathkweka7366 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapa anasema waliomuua YESU ni warumi lakini neno linasema YESU aliukumiwa kwa sheria za kiyaudi tunapojifu za neno la MUNGU tuwe makini na upotoshaji

    • @lilianluhasi5053
      @lilianluhasi5053 3 ปีที่แล้ว

      Serikali iliyokuwa madarakani ilikuwa ya kirumi

    • @mustaphamasobe8343
      @mustaphamasobe8343 4 หลายเดือนก่อน

      Pilato hakuona kosa kwa Yesu,alitoa hukumu kwa hofu ya wayahudi

  • @bulashimathias8368
    @bulashimathias8368 3 ปีที่แล้ว

    K1bande

  • @stellandossy8107
    @stellandossy8107 3 ปีที่แล้ว

    Ninachokijuwa Mimi yesu alipokuja duniani alisema tubuni na mkaziache njia zenu mbaya, tubuni inamaana ilikuwa wote tuna dhambi,. Sjajuwa muhubiri labda kapata mafunuo mengine,Ila mwenye kuhukumu ni mungu mwenyewe,

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 2 ปีที่แล้ว

    Angalau kidogo inapendeza mnavyopambana wenyewe kwa wenyewe taratibu tu tutaelewelewana.

  • @anthonymzelu4763
    @anthonymzelu4763 3 ปีที่แล้ว

    Hunaunacho kijua mchungaji feki kujieleza kwenyewe hujui unajikanyagakanyaga tu,subiri ukusanye sadaka uendezako

    • @anthonymzelu4763
      @anthonymzelu4763 3 ปีที่แล้ว

      Marekani haiwezi wakati chanjo mnachanja za kanisa lako hizo hujielewi wewe

  • @neemamaurice171
    @neemamaurice171 3 ปีที่แล้ว

    Ukisoma ufunuo 17:yote hasa mstari 9 na18 utaona nchi inayotajwa ni Italy ambapo mji wake ni Rome na ndani yake ipo Vatican

  • @francismacha1693
    @francismacha1693 3 ปีที่แล้ว +4

    Real Roman Catholics we don't have a time to waste arguing with ideas and thought of uneducated people's.

    • @kelvinndokole8367
      @kelvinndokole8367 3 ปีที่แล้ว +3

      Huwez elewa maana unefungwa....

    • @barikikamendu7266
      @barikikamendu7266 3 ปีที่แล้ว +3

      @@kelvinndokole8367 Tatizo akilini mwako umeweka wazo la kuwa mpinga-Kristo ni mmoja na ni kama mtu ambaye yupo mbali sana... Lakini nataka kukujulisha hivi mpinga Kristo ni mtu asiye fundisha Injili ya Kristo huyo ndiyo Mpinga Kristo... sasa huyo anayefundisha hapo juu anasema hivi "unaweza ukaamini na kukiri kuwa Kristo ni mwana wa Mungu na uwe hujaokoka"... sasa hii takataka kabisa kwa kuwa Injili yasemaje'?
      Rom 10:9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
      Rom 10:10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
      watu wanaojifanya kuikaza injili hao ndio wapinga Kristo,
      Mimi sio mkatoliki, ila siwezi kusema wakatoliki ndio wapinga Kristo.. kwanza huko ni kuhukumu, na tumeambiwa tusihukumu.
      Ukitaka kujifunza zaidi nicheck 0754815249, utabarikiwa sanaaa'

    • @djgmp8140
      @djgmp8140 3 ปีที่แล้ว

      @@barikikamendu7266 nimekuelewa sana na inaonekana upo sahihi

    • @carollynne5943
      @carollynne5943 3 ปีที่แล้ว

      @@kelvinndokole8367 Wapinga kristu walifika kitambo,1John2:18, 1John4:3, mfano Mohammed wa Islamu...Hiyo namba 666 yasema "Kwa jina la allah"......Yohana ndie mtumwa wa Yahudi jinsi Paulo ni wa gentiles....Ufunuo13 ushaatimizwa,yesu yu karibu zaidi.

    • @francismacha1693
      @francismacha1693 3 ปีที่แล้ว

      Asiye elewa labda ni wewe hivi umeshawahi kuona Baba wa nyumbani anatokea kwenda kuvua samaki anafika mwaloni ama pembezoni mwa ziwa anakuta kuna samaki wako katika tenga anasema ndoana na kuanzia kuwavua samaki walio katika tenga kisha anarudi nyumbani na wale samaki anasema tayari amekwisha fanya kazi yake ya uvuvi?? Tafakari maneno haya Kwa kina kisha ukishamaliza kasome kitabu cha Rum 14: 1.... Ukiweza zaidi soma na Sura ya 15. Kisha ujitahidi kufanya kazi ya uvuvi Kwa kuvua samaki walio ziwani na Mungu atakubariki Kwa maana mahubiri ya kukosoa madhebu mengine hayo si mahubiri tuliyoachiwa na bwana wetu Yesu kristu Kwa maana mahubiri hayo inaonesha dhahiri hakuna upendo ndani ya Yule anayetoa mahubiri hayo badala yake ni kupandikiza chili kwa watu wasioelewa Imani. Tumetumwa kuhubiri amri moja na iliyo kuu kupita amri zote nayo ni UPENDO

  • @jescalaurent6242
    @jescalaurent6242 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha kuukumu usije ukumiwa mnawasema sana wakatoliki mbona wao awana taim nany.

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 ปีที่แล้ว

      Jesca, hilo nineno la Mungu linalosemwa apo,, simaneno ambayoameyatunga

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna watu wanaesema madheebu mengine kama wakotoliki kama ulikuwa haujui, wao wanaongoza sasa!!!

    • @gabrielkimario1891
      @gabrielkimario1891 3 ปีที่แล้ว

      @@barakakidugutu944 wew wapi Neno linasema anatoka Katoliki?

    • @catherinechifebe5800
      @catherinechifebe5800 3 ปีที่แล้ว

      NI DINI ILIYOANDALIWA KIMUNGU HAINA UGOMVI....DINI ZA BINADAMU ZIMAJAA MAGOMVI

    • @gabrielkimario1891
      @gabrielkimario1891 3 ปีที่แล้ว

      @@catherinechifebe5800 true

  • @charlesamir550
    @charlesamir550 3 ปีที่แล้ว +4

    Waadventista Wasabato ndiyo wenye tafsiri sahihi ya mambo yote ya kiunabii, soma vitabu vyao.

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      Waliolala kwenye ukristo wapotevu. 1 Wacorinto 15:12,18) Na yeyote atakaekwenda kanisani, anapoteza muda ajiandae kwenda kuzimu. 1 Wacorinto 11:17,22)

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 3 ปีที่แล้ว

      @@khalfanifarisy119 mnakurupuka na mtapata tanu sana soma habari kamili ili uelewe kilichoongelewa.

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      @@neemamdami7466 kuhusu nn?

    • @johnmnonjela651
      @johnmnonjela651 3 ปีที่แล้ว

      @@khalfanifarisy119 wewe pia uislamu wako umeanzishwa na katoliki....ndio maana mnafanana kwa mambo mengi

    • @carollynne5943
      @carollynne5943 3 ปีที่แล้ว

      Wapinga kristu walifika kitambo 1John2:18, 1 John4:3, wakiongozwa na uislamu...Ufunuo13 umetimika...hiyo 666 huvaliwa na wale wa itikadi kali ikisema "Kwa jina la allah".Yesu yu karibu zaidi.

  • @wangariann9704
    @wangariann9704 3 ปีที่แล้ว +1

    These people have nothing to preach to his folks, every Sunday, about Catholics, na bado tunaendelea tu. First remove the log in your eyes so you can see well the log in your brother. Who made you our judge? Hypocrites🤔🤔🤔🤔

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว

    Mbona asitokee ulokole🕶

    • @lilianluhasi5053
      @lilianluhasi5053 3 ปีที่แล้ว

      Ng'ang"ania dini, Yesu Kristo anarudi kuchukua kanisa lake

    • @christophertarimo5047
      @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว

      @@lilianluhasi5053 ndio hivyooo mpinga KRISTO ameanza kazi ya kuandaa chapa 666. Ndiyo chanjo ya corona sasa mpaka wakuu wa nchi wanasema ukichanjwa unaingia kwenye Database ya Dunia..hatari mno

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 หลายเดือนก่อน

    ninamashaka nahaomapapa. Niwapinga klisto

  • @husseinmatekwa276
    @husseinmatekwa276 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado huna ufunuo. Umeguzia kurukaruka. Hata waumini wako hawajakuelewa. Unasema zile falme kumi ni marekani Russia na China. Soma vitatu vya historia uwache kuwapotosha watu. Hizo nchi si za kifalme

  • @youthmechanics6167
    @youthmechanics6167 3 ปีที่แล้ว +1

    Katoliki baada ya Yesu walitawala dunia zaidi ya miaka 1000. Taja kanisa lililomhubiri zaidi Yesu kuliko katoliki.Yesu alisulubiwa na Warumi. Pilato alikuwa mrumi.katoliki ni kanisa la kirumi.Warumi wanamfahamu Yesu kuliko taifa lolote.Baadhi ya mifumo inayofutwa ni ya Kirumi.kalenda inayotumika ni ya kikatiki.0-2021... Katoloki ni kila kitu mpaka Yesu atakaporudi

  • @josef_rodrick4981
    @josef_rodrick4981 3 ปีที่แล้ว +1

    Uongo mkubwa.... Roma na ukatoliki si kitu kimoja.

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 3 ปีที่แล้ว

    NASHAURI UENDE UKASOME THEOLOGY KAMA WACHUNGAJI WALUTHERI NA WAANGLIKANA NA MORAVIAN

  • @venelandakundi63
    @venelandakundi63 3 ปีที่แล้ว

    We mhubiri ebu acha kusema kanisa katolic sisi wenzio wakatolic tumeokoka siku nyingi au unataka tuwe tubwabwaja ovyo wkt tunasali omba msamaha kwa Mungu huna utakemwokota

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว +1

      Unajua Mungu anachukizwa na mtu anaye abudu sanamu, bila kujali anatoka dini gani?

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      Umeokoka na bado unaomba sala kwa wafu? Bikra utuombee mtakatifu..... utuombee Yesu na Roho mtakatifu ndiyo waombezi wetu biblia imeainisha.

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 2 หลายเดือนก่อน

      @@ngwanafabian9668 salaip

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 2 หลายเดือนก่อน

      Mtasema mtakojoa

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa uko sahihi maana maandiko yako wazi kabisa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpumbavu kama wapumbavu wengine

    • @donathkweka7366
      @donathkweka7366 3 ปีที่แล้ว

      Ikumbukwe nyakati zaYESU wayahudi walikuwa wametawaliwa na dola ya Rumi pamoja na kutawaliwa na Rumi haikuzuia Wayahudi kuishi kwa desturi zao. Kilichotokea YESU alionekana alikuwa anakiuka desturi za jamaa zake hivyo akahukumiwa kwa desturi ya Taifa lake la Kiyahudi hivyo Rumi haikuhusika na kusulubiwa kwa YESU ukilinganisha dai la huyu m/mimi kwamba YESU aliuawa na Warumi

    • @dorcasmanyori8739
      @dorcasmanyori8739 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini papa anavaa kimbalangashia kwa sababu nimutumwa washetani

  • @virejiangingo288
    @virejiangingo288 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mhubibiri anachanganyikiwa hajui Kanisa katoriki ndo Kanisa lililoanzishwa na mitume 12 ndo mengine yakazalishwa kutoka Romani Katoriki ameishiwa ya kusema mi naona kaishiwa ya kusema na usihukumu usije ukahukumiwa

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 ปีที่แล้ว

      Virejia,, tupe aya inayosema Mitume kumi na mbili walianzisha kanisa Katorikk,,,

    • @glorybonifasi3704
      @glorybonifasi3704 3 ปีที่แล้ว

      Wapi wameandika kunywa usilewe

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 ปีที่แล้ว +1

      @@glorybonifasi3704 asante Dada Glory,, kwaswali hlo ,,tunaomba haya watupe,, na hatuna niambaya ndugu zetu wakatoriki,,

    • @ivanno9
      @ivanno9 3 ปีที่แล้ว

      @@barakakidugutu944 ni Petro , wengine walienda kuhubiri sehemu nyingine za Dunia.

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo walipoanzisha katoliki ndiyo wakasema mbatize na maji ya kikombe? Au mkumbatie masanamu yenu na kuyasujudu. Imeandikwa usijifanyie sanamu ya kuchonga wala mfano wa kitu chochote usivisujudie .

  • @georgebugangazpoa4975
    @georgebugangazpoa4975 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi hii kitu inanitatiza

  • @marryshuma1369
    @marryshuma1369 3 ปีที่แล้ว

    Washike unaowaokota lkn mwamzi peke yake ni mungu syo ww unasaka tonge tuu

  • @franknjau5578
    @franknjau5578 3 ปีที่แล้ว

    Upuuzi mtupu, unapumbaza watu kibaraka wa shetani.

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 3 ปีที่แล้ว

    hakuna sehemu yoyote ya biblia inatamka neno wakatoliki. acha kupotosha watu.

  • @sarafinafranci8481
    @sarafinafranci8481 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji ovyo kabisa hujiabui wewe ndo Munga kristo, na sula yako na maneno yako niusibitisho kabisa kama wewe mshilika wa shetani.

  • @sospeterthomas3236
    @sospeterthomas3236 3 ปีที่แล้ว

    Unabemendwa na uchungaji wako feki

  • @lomayanikamete5103
    @lomayanikamete5103 3 ปีที่แล้ว

    Mwalimu ni mekuwelewa

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu nihurumie

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu uturehemu.