Wachane utapeli wenu mnataka kujificha kupitia dini ili tuwaamini mnajinasibu kwa kufanya maulidi uwanja waTaifa maulidi na kutoa uchawi wapi na wapi kazi ya kuchonganisha watu tu, maswala ya upako alisema huyohuyo shekh wenu feki muulizeni vizuri mnasema wenyewe halafu mnajisahau
Ubaya wa mashekhe hawawi kitu kimoja ndio maana Ummah unapotea na waandishi wa habar punguzeni umbeya kuna hukumu Baada ya uhai tuwe na hadhari tunapo elekea
Halafu huyo kishiki asifanye usilam nidini la baba yake wala wakwake na ndugu zake hayo nimawivu waloho za kichawi acheni roho mbaya mungu akiamua kukupa kipaji anamupa tu 'hicho nikipaji cha ke kamupa mungu
Wewe usimkashifu KISHKI kwani yeye kosa lake nini kukataza anayoyafanya huyo shekh wenu wa kutoa uchawi kwa kutumia dini ndiyo unamuona yuko sahihi acha hizo bwana
Eti SHARIF mnatuchanganya tu hii dunia hata cjui mwisho wake nini yarab tufumbue sisi ili tupate kutambua baya na zur
Mtihani tu ndani ya dini
Wachane utapeli wenu mnataka kujificha kupitia dini ili tuwaamini mnajinasibu kwa kufanya maulidi uwanja waTaifa maulidi na kutoa uchawi wapi na wapi kazi ya kuchonganisha watu tu, maswala ya upako alisema huyohuyo shekh wenu feki muulizeni vizuri mnasema wenyewe halafu mnajisahau
Kuna watu hawana haya hata kidogo,uhuni katika dini ni kuutukana uislam na waislam.Wanazuoni mko wapi kuokoa jahazi?
Ubaya wa mashekhe hawawi kitu kimoja ndio maana Ummah unapotea na waandishi wa habar punguzeni umbeya kuna hukumu Baada ya uhai tuwe na hadhari tunapo elekea
Halafu huyo kishiki asifanye usilam nidini la baba yake wala wakwake na ndugu zake hayo nimawivu waloho za kichawi acheni roho mbaya mungu akiamua kukupa kipaji anamupa tu 'hicho nikipaji cha ke kamupa mungu
Wewe usimkashifu KISHKI kwani yeye kosa lake nini kukataza anayoyafanya huyo shekh wenu wa kutoa uchawi kwa kutumia dini ndiyo unamuona yuko sahihi acha hizo bwana
Acheni kutapeli watu
Matapeli hao pamoja huyo mazinge ni hewa tu