Aboubakar👏 alhamdulillah mashaallah kwakweli uislam ni neema kubwa sana alikimbilia kusilimishwa na alipokuwa anaulizwa maswali alisema nisilimishe kwanza allahu akbar 😭 nikwamba hata nikifa sasahiv niwe nimekufa hali yakuwa muislam subhannallah. Mimi binafsi nililia sana kwahaya maneno yake mazito sana subhannallah allahu akbar
Jamaa amejua kucheza na muda,ameamua kupambania nafsi yake,amegundua kuwa njia sahihi yakumfikia Mungu wa kweli,faili lake la maovu limeshafutwa,Mungu ajaalie sana
Sikiliza vema maandiko ndugu yangu @Giliard anachoongea huyu bwana ni kweli na kimeandikwa hata wewe hujachelewa sana karibu katika uislamu, epuka kukaririshwa kua waislam tuna majini mala tunamuomba sheitwani hivi ni vitu vinavyowavunja nguvu ndugu zetu kuingia katika dini ya haki ila nakueleza kwamba havipo bali vimepandikizwa
Huyu jamaaa ni tapeli jamani hapo alipo sio mchungaji bali anatafta njia za kupata pesa then asepe. Sio mara yake ya kwanza kuingia msikitini na kutapeli mashehe hivo basi kuweni makini
Ukitaka kujua huyu bwana ni Muongo angalia sura yake,anataja maandiko ambayo hayapo kwenye biblia kutafuta umaarufu, hakuna andiko kwenye biblia linalosema kila nafsi itaonja mauti huyo ni Muongo ndiyo anajiita mchungaji bila kutaja kanisa allilokuwa alihudumu.Huyo ni Muongo Kama shehe mwaipopo
Hakuna ugwiji hapo anastasia kibinadam bila roho mtakatifu halafu alijiita kwnye utumishi mchungaji alietwa na Mungu Ana msimamo ulio thabit hayumbushwi na philosophy ya dunia hii kama hyo.Yesu anasema kabla Ibrahim hajakuwapo mim niko sasa hyo torat si ilikuja kutokana na uzao wa Ibrahim
Watu hawajui tu wanaona uadui upo kwenye ukristo na uislam vp kuhus mabudha mnawahubli nn na je wahine na waabudu sanam yaan wamekalia ukristo/uislam jaman Yesu anarud tutubu tujitakase ili tukubaliwe na Mungu.tumuhubili kristo maana yeye ndio njia kweli na sio kupambania dini hpa wasting of tym
Nani aliekukataza ipo njia iyonekanayo sawa machoni pa mtu lakin mwisho wa njia hyo ni Mauti.hukumuni utasimama peke yako ndugu wala hutasimama na shekhe wala mchungaji jua kimtafuta Mungu kwa bidii yako ,sio unasomewasomewa tuh halafu humuuliz Mungu
Tapeli mkubwa.waisllamu mna macho?Anajikanganya.Anasema ukristo ulianzishwa na wanafunzi kumi na mmoja wa Yesu Tena anasema ukristo ulianzishwa na Paulo😂Tena anasema katika bibllia Kuna msikiti wa wayaudi na msikiti wa waisllamu.Atuonyeshe wapi kumeandikwa haya katika bibllia?Waislamu na wahurumia.
Mapepo na majini yamekupokea.. Mungu walisema chagueni hivi Leo mtakayo mtumikia. Wewe na nyumba yako umechagua kumtumikia mwanadam Muhammad. Kwa hiyo usipotoshe wengine.
😂Wala hujakosea nabii Muhammad swalla allahu aleyhi wasallam ni mwanadam hivyo hamtumikii Muhammad ila kamfuata kumtumikia yule aliemtuma Muhammad swalla allahu aleyhi wasallam kwa waja wake 👏
@@WazainaKigomaboyKuumia kwaajili ya huyo kichaka,anawadangamya kwasababu anajua nyie mnameza tu bila kuchuja,kama alikuwa mchungaji kweli mbona hataji kanisa lake, maadam mnafurahia uongo nayeye ndiyo maana anawadanganya.Huyo mchungaji wa mavi, hakuna mwanafunzi wa YESU aliyeitwa barnaba
@@SamoraTabagaSina hakika kama aliwahi kuwa mkristo hata kama anaitwa Dominic, huyo hana tofauti na mwaipopo anayesema alikuwa mchungaji lakini halijui hata kanisa alipokuwa anaongoza
Ila kweli kuna watu wanastahili viboko,,, anamuona kabisa doctor sule anasifia majini bado haelewi,,, sasa huyo uliye mfuata na yesu kristo nani alifufuka ,,, siyo ya kuzindika baada ya kuzimia aaa,,,, alisema mapema nitafufuka,,,
VYUO HIVYO ALIVYOSOMA HAKUNA HATA BIBLICAL LANGUAGES , NI SAWA NA MUISLAM ASEMA ANAJUA QURAN NA HAJASOMA KIARABU.... UTAJUAJE MAANA ZA ASILI ZA MANENO?? HAYA NENO SINAGOGI _ HUJUI KWA LUGHA ZA ASILI , UNASEMA MSIKITI _ HOJA ZA KITOTO
Elewa kwanza kwamba Quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu lakini Muarabu mwenyewe haijui hadi afundishwe kwahiyo kwahiyo Quran kuijua sio mpaka ujue kiarabu fahamu hilo
Sema ukweli yesu na mha.... Nani mkweli ,,umefuata noti kwa sule acha upuuzi,,,,, wewe ni which doctor ,,,,umesha pata jini wangapi maanake siyo bule 1
Aboubakar👏 alhamdulillah mashaallah kwakweli uislam ni neema kubwa sana alikimbilia kusilimishwa na alipokuwa anaulizwa maswali alisema nisilimishe kwanza allahu akbar 😭 nikwamba hata nikifa sasahiv niwe nimekufa hali yakuwa muislam subhannallah. Mimi binafsi nililia sana kwahaya maneno yake mazito sana subhannallah allahu akbar
Hii ni ya lini?
Alhamdulilah allah azid kumpa kher na barka tele ktk kuipambania dini ya haki.
Jamaa amejua kucheza na muda,ameamua kupambania nafsi yake,amegundua kuwa njia sahihi yakumfikia Mungu wa kweli,faili lake la maovu limeshafutwa,Mungu ajaalie sana
Dini so kitu dini ya kweli ni Kumfuata Kristo
Kristo ndio Nani wewe 😂😂😂@@geofreysamwel4945
Mh
@@geofreysamwel4945 Kristo ni PROPHET kama kina Suleiman na Moses tu acheni kupotoshwa

Somaujueukweli nduguu
Njaa hiyo
Ndugu yangu mungu hadhihakiwi uongo ulioupeleka hapo utaulipia ,ila kama ni njaa tu hata hapo utaondoka tu
Sikiliza vema maandiko ndugu yangu @Giliard anachoongea huyu bwana ni kweli na kimeandikwa hata wewe hujachelewa sana karibu katika uislamu, epuka kukaririshwa kua waislam tuna majini mala tunamuomba sheitwani hivi ni vitu vinavyowavunja nguvu ndugu zetu kuingia katika dini ya haki ila nakueleza kwamba havipo bali vimepandikizwa
Nimerudia kumsikiliza huyu ni tito pat 2 tumsubili.
Bahati nzuri ameyakuta majamaa majinga yanameza bila kuchambua.Kwenye biblia hakuna andiko linalosema kila nafsi itaonja mauti,kama alikuwa mchungaji kweli mbona hataji kanisa alipokuwa anaongoza
Hahaha... Waisilimu bhana😂 Yani Sulle anaona eti ana akili na hoja. Eti miaka ya kazi
Ukiwa muongo usijisahahulishee 😂😂
Waislam chenga kweli
HATA HAIBU HAKUNA JAMENI _ GWINJI WA BIBLIA NDO HOJA HIZO ZIMSHINDE!!!! 😮😢😢😊
ALLHAMDULILAH!
Safi
Ko huyu ndo gwiji😂🤣😂🏃♂️
Allah atuongoze sote tuwe ni wenye tutaokua Katika Pepo yake..
Kurani nikitabu ahabusana juzuu 30 zipovifua acha ndugu someni msibruzwe
Huyo Jamaaa Kuna makosa alifanya ,,akajua atabananishwaaa akatorokea huko,,,huyu jamaaaa Hana Chochote,,,Mimi niliacha uislam nkawa Mkrito,,,,na sirudi nyuma,,,
Endelea kuwa mkristo
Allah akunusuru
Faman ya'a Mal mith'kaala dharratin Khairan yarah wa......
Basi subir malipo yako kwa Mungu na utajutia sana kuuacha Uislam
Wewe kafiri
Nyie huyu ni tapeli Kweli
Ukiwa hunaelimu utamzigo
Huyu so mchungaji. Kwani alikua anachunga nini mbona hatumfahamu
Huyu jamaaa ni tapeli jamani hapo alipo sio mchungaji bali anatafta njia za kupata pesa then asepe.
Sio mara yake ya kwanza kuingia msikitini na kutapeli mashehe hivo basi kuweni makini
Mbona unatumia nguvu kubwa sana, Uongo hauwezi kudumu popote pale
Acha kuaminisha watu ujinga
Wenye elimu wameshajua nini kinaendelea
Koment kielimu sio umesikia nduguu
Ukitaka kujua huyu bwana ni Muongo angalia sura yake,anataja maandiko ambayo hayapo kwenye biblia kutafuta umaarufu, hakuna andiko kwenye biblia linalosema kila nafsi itaonja mauti huyo ni Muongo ndiyo anajiita mchungaji bila kutaja kanisa allilokuwa alihudumu.Huyo ni Muongo Kama shehe mwaipopo
Ilimundookilakitu hasemi yeye hiloniandiko lakitabuchao
Roho gani huyu mfu yupo kaburini ndugu acha utapeli ndugu
We mpuuzi!!! Nani ambaye hatokufa?
Huyu sio tapeli huyusiomjinga anaongekichokwe maandako nyiemnaburuzwa Havana elimu
Hakuna ugwiji hapo anastasia kibinadam bila roho mtakatifu halafu alijiita kwnye utumishi mchungaji alietwa na Mungu Ana msimamo ulio thabit hayumbushwi na philosophy ya dunia hii kama hyo.Yesu anasema kabla Ibrahim hajakuwapo mim niko sasa hyo torat si ilikuja kutokana na uzao wa Ibrahim
Uko Sahihi uitwe na MUNGU hafu uitwe na uislam, viumbe wakisilam tafakalini jamani MUNGU siwahivo.
Watu hawajui tu wanaona uadui upo kwenye ukristo na uislam vp kuhus mabudha mnawahubli nn na je wahine na waabudu sanam yaan wamekalia ukristo/uislam jaman Yesu anarud tutubu tujitakase ili tukubaliwe na Mungu.tumuhubili kristo maana yeye ndio njia kweli na sio kupambania dini hpa wasting of tym
Yani wew ndy punga kabisa mim mwenyewe nataka niwe muislam
Nani aliekukataza ipo njia iyonekanayo sawa machoni pa mtu lakin mwisho wa njia hyo ni Mauti.hukumuni utasimama peke yako ndugu wala hutasimama na shekhe wala mchungaji jua kimtafuta Mungu kwa bidii yako ,sio unasomewasomewa tuh halafu humuuliz Mungu
Ruhusu roho akuongoze wew sio unaishiishi tu hasira nyingi jichunguze kabla hujanijukumu
Tapeli mkubwa.waisllamu mna macho?Anajikanganya.Anasema ukristo ulianzishwa na wanafunzi kumi na mmoja wa Yesu Tena anasema ukristo ulianzishwa na Paulo😂Tena anasema katika bibllia Kuna msikiti wa wayaudi na msikiti wa waisllamu.Atuonyeshe wapi kumeandikwa haya katika bibllia?Waislamu na wahurumia.
Mh kwa ugwiji upi ingekuwa hatujui 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Amesha tapeli msikitini dar, kaenda kigoma akatapeli saiv ni zamu ya dodoma.
Mapepo na majini yamekupokea.. Mungu walisema chagueni hivi Leo mtakayo mtumikia. Wewe na nyumba yako umechagua kumtumikia mwanadam Muhammad. Kwa hiyo usipotoshe wengine.
😂Wala hujakosea nabii Muhammad swalla allahu aleyhi wasallam ni mwanadam hivyo hamtumikii Muhammad ila kamfuata kumtumikia yule aliemtuma Muhammad swalla allahu aleyhi wasallam kwa waja wake 👏
Hujayamweelimu ninzitokulikoyamjinga
Ugwiji wake ni nini?
Unaumia ukiwa wapi
@@WazainaKigomaboyKuumia kwaajili ya huyo kichaka,anawadangamya kwasababu anajua nyie mnameza tu bila kuchuja,kama alikuwa mchungaji kweli mbona hataji kanisa lake, maadam mnafurahia uongo nayeye ndiyo maana anawadanganya.Huyo mchungaji wa mavi, hakuna mwanafunzi wa YESU aliyeitwa barnaba
Huyu kafa ndo maana tunaumia tuna mlilia, nahata mbingu zimekua kimyaa kwani dhambi ya dominiki haisameheki, ndugu nimajozi😂😂😂😂😂😂😂
@@SamoraTabagaSina hakika kama aliwahi kuwa mkristo hata kama anaitwa Dominic, huyo hana tofauti na mwaipopo anayesema alikuwa mchungaji lakini halijui hata kanisa alipokuwa anaongoza
Ila kweli kuna watu wanastahili viboko,,, anamuona kabisa doctor sule anasifia majini bado haelewi,,, sasa huyo uliye mfuata na yesu kristo nani alifufuka ,,, siyo ya kuzindika baada ya kuzimia aaa,,,, alisema mapema nitafufuka,,,
VYUO HIVYO ALIVYOSOMA HAKUNA HATA BIBLICAL LANGUAGES , NI SAWA NA MUISLAM ASEMA ANAJUA QURAN NA HAJASOMA KIARABU....
UTAJUAJE MAANA ZA ASILI ZA MANENO??
HAYA NENO SINAGOGI _ HUJUI KWA LUGHA ZA ASILI , UNASEMA MSIKITI _ HOJA ZA KITOTO
Lia broe
Elewa kwanza kwamba Quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu lakini Muarabu mwenyewe haijui hadi afundishwe kwahiyo kwahiyo Quran kuijua sio mpaka ujue kiarabu fahamu hilo
Sema ukweli yesu na mha.... Nani mkweli ,,umefuata noti kwa sule acha upuuzi,,,,, wewe ni which doctor ,,,,umesha pata jini wangapi maanake siyo bule