Mama Salome Mbarikiwa, aimba wimbo wa kumuaga Wokovu. UMETUACHA KIPENZI CHETU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 237

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 2 ปีที่แล้ว +21

    Hawa watu ,Hakika wanayo imani kubwa Sana,
    Mungu uwakumbuke katika maisha yao.

    • @aminamavura6834
      @aminamavura6834 2 ปีที่แล้ว

      Yani nashindwa kujizua poleni Sana wapendwa

  • @amkenikumekucha
    @amkenikumekucha 2 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana dada yangu , wewe ni shujaa sio kila mtu anaye weza kunyweya kikombe unacho kinyweya, kwa hiyo namwomba Mungu akulinde na akupe maisha marefu maana ungali na kazi kubwa yakufanya jipe moyo dadangu 🙏

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Mama mungu atakufuta machozi shetani mlaaniwa asiye na adabu ameingia kwenye boma la wacha mungu ila nasema shetani amekalia kuti kafu

  • @graysonchanga488
    @graysonchanga488 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah eee mungu pokea majozi ya watu wako tunaumiaa saaana juu ya haya mpumzisheee wokovu mahali pema wape nguvuu ndug marafiki na jamaa ameeen mmh,inasikitishaa saana.

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 8 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah huu wimbo kila nikiusikiliza haujawai kuisha bila kunitoa machoz polen sana!

  • @solange-d9f
    @solange-d9f ปีที่แล้ว

    Mwimbo mzuri sana,sauti nzuri sana , maneno mazuri sana,ila kibaya nikwamba mtoto akatuacha mapema(poleni sana,vumilieni sana,sisi wote Duniani tunapita,na Mungu akiruhusu jambo furani litokee hayupo mwengine wakuzuwia ;.,1samwel2:6-8
    Halafu wewe Mama una kipaji chakuimba

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 ปีที่แล้ว +9

    Kifo Cha wokovu kimefanya niwafaham zaid Mr and Mrs Mwakipesile 😭😭 rest easy my young 😭😭😭

  • @mchungajimariamathachazkai255
    @mchungajimariamathachazkai255 2 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kuwa na mtoto kama Wokovu...Mungu anipe.basi wimbo unamfanyq aishi..nalia kwa ushuhudawa maisha yake...tuwapate wapi watoto kama hawa ktk yakizazi hiki.poleni sana😭😭😭

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa umepitia mapito magumu Sana😭😭😭 daaaaah 😭😭😭😭😭 pole Sana ww na familia yako Mungu awavushe salama

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 2 ปีที่แล้ว +11

    Poleni Sana baba na mama Mbarikiwa Mwakipesile, Mungu baba awatie nguvu ya kuhimili katika hili, kipenzi chetu tutam miss, Bali BWANA YESU awape ujasiri. 😭😭😭

  • @mathiasmwezi-xw6sf
    @mathiasmwezi-xw6sf ปีที่แล้ว

    Poleni sana wazazi wa huyu Binti mmepitia kipindi kigumu sana lakini nawapongeza mmeiva kiimani na mko na ujasiri sana,Kwa mtu wa kawaida ni ngumu kukinywa kikombe hiki, kazi ya Mungu Haina makosa, pole sana mama wa marehemu.

  • @Jane-r2l
    @Jane-r2l ปีที่แล้ว

    Mungu awape wepes mwendelee kusitahimili maumivu kwan tu mavumbi wokovu mwendo ameumaliza na vita amevipiga imani ameishinda mungu apokee roho yake ailaze mahara pema panapo musitahili amen

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah!😭😭😭😭 Mungu awateteee jmn! Nilifatilia kwa ukaribu Sana ktk msiba wa uyu mtt, hakika ulinigusa Sana. Mungu awavushe salama mtoto wokovu katutangulia siku moja tutamkuta ameketi pamoja na Yesu.

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Mama Wokovu.Pole sana Baba Wokovu.Nijambo sililo zoeleka.Halina mtumishi wala asiye mtumishi.Hasa anapofariki mtoto.Najikuta moyo wangu umejaa machozi.Mungu awasimamie mvuke salama katika mto huu mkubwa wa machozi na maumivu.

  • @sarahezekiel5170
    @sarahezekiel5170 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana watumishi na wote.Faraja za Bwana ziwafunike.Kifo ni mwisho wetu sote.

  • @veronicasulle1849
    @veronicasulle1849 2 ปีที่แล้ว

    Daaa pole sana mtumishi Mungu akawe mfarij wako

  • @RamRam-rk9lr
    @RamRam-rk9lr 2 ปีที่แล้ว +6

    Poleni wazazi .salome mama najua maumivu unayoyasikia ni zaidi ya uchungu uliousikia wakati unamleta duniani .pole mama

  • @njembeyehaonga5837
    @njembeyehaonga5837 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole mama yangu Si rahisi kidonda hiki sikia kwa jirani inauma Sana mungu awe faraja yako

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 ปีที่แล้ว

    Pole sana mama mchungaji malipo ni hapa hapa na itajulikana kaaa mungu yupo hakikaa atawajibu

  • @reginasteven1215
    @reginasteven1215 ปีที่แล้ว

    Yan nawapenda sana watu hawa mama salome na baba m'barikiwa mungu huyo hatanyamaza katikati yenu,❤

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 7 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nawapenda jmn! Imani yao nikubwa mnoo kufiwa na mtt wa pekee lkn Bado wanaendelea kupaza sauti! Kwa ajili ya injiri

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 ปีที่แล้ว

    Hivi serikali hii dhalimu kwann watu wafe eti usalama wa taifaa huu niupuzi hakika wote walohusika na hili laanaa hii itawatesa mpka kizaxi Cha mia kwao iaumaa sanaaa hivi kweli mungu upoo fanya jambo juu hii serikalimbona umryavumilia mengi upo kweli

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama mbalikiwa
    Na kikosi kazi
    Pole pia watanzania

  • @EvangelisteMireilleMITAMBA
    @EvangelisteMireilleMITAMBA 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana wapendwa, hakika katika mwezi huu Bwana amevuna sana watu wake. Hata nami nimepita muda mzito Baba mzazi amehamishwa pia. Mungu atutie nguvu sote.

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah kila nikiangalia huu wimbo huwa nawaza Sana ni machungu gani wazazi waliyapata Mungu awatie nguvu

  • @mpogomimussa7685
    @mpogomimussa7685 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana mtumishi wa bwana, yesu kristo awatie nguvu kipindi hiki kigumu Cha majonzi makubwa,😭😭😭

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Mungu anataka vilivyo vyema.Nimepoteza rafiki mwenye tabia za wokovu.RIP WOKOVU RIP PRISCA.

  • @ezekielaloyce5917
    @ezekielaloyce5917 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Mwakipesile pole sana pastor Mungu akutie Nguvu katika safari hii ya wokovu kama jina LA Mwanao!.

  • @lizzyfredy1157
    @lizzyfredy1157 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaah n maumivu yasiyoelezeka ila Mungu aliye mfariji wa pekee awafariji wazazi wa wokovu na polen sana kwa kuondokewa na mtoto wa pekee, apumzike kwa amani

  • @ChemchemiRecords
    @ChemchemiRecords 2 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢😔 _Poleni sana watumishi wa Mungu. Mungu ampe Wokovu pumziko la milele_

  • @happyphilipo3803
    @happyphilipo3803 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wanafamilia, Mungu mwenyezi awatie nguvu hakika inauma sana

  • @surmarlenefaila9748
    @surmarlenefaila9748 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana wa ndungu zangu, niko pamodja na weye toka congo 😥😥😥😥 mwili wa marehemu u pumzike kwa amani

  • @ezekielaloyce5917
    @ezekielaloyce5917 2 ปีที่แล้ว +1

    Ayubu alipata watoto wazuri zaidi Mungu hawezi kukupa mtoto akamtoa bila kuacha Alana Mungu anajua kile alikipanga na ulichokipanga Mungu atatimiza haja ya moyo wako Mbarikiwa be strong believe it God can make way

  • @marygadau4443
    @marygadau4443 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole mama pole baba, poleni sana wanafamilia ya kikozi kazi. Mungu awafariji

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Sana nyote Mwenyezi Mungu awape nguvu awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni haki watumishi wa Mungu.😭😭😭😭😭
    Yuko mbinguni kwa babae. Muchristo kamili hakufaki ila anapendaka nyumbani kwao Mbinguni kwenyi makao ya milele. Dunia sio kwetu wanadamu. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zainabusaidi4542
    @zainabusaidi4542 ปีที่แล้ว

    Honger sana mama kwa imani ulinayo mungu akupe maisha maref komando wa imani

  • @amashapatrick211
    @amashapatrick211 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana Mama na Baba Mungu awatie nguvu sana sana Ila Mungu umejua kutuweza sana sana kongamano limegeuka kuwa msiba Utabaki kuwa Mungu milele

  • @priscamalekela175
    @priscamalekela175 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana MUNGU akawe faraha juu yenu watumishi ya MUNGU

  • @ClintonOkenye-c1x
    @ClintonOkenye-c1x ปีที่แล้ว

    Poleni sana mama mungu agutie nguvu jakubarudisia icocote mulipoteja🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @gidiongeorge3397
    @gidiongeorge3397 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awatie nguvu watumishi wake, katika Jina la Yesu. Kwenye kipindi hiki cha mpito.. kwani mapenzi yake ndiyo yaliyotendeka.

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 ปีที่แล้ว

    Muache apumzike Wokovu,
    Mshukuru Mungu mama
    Pole sana

  • @anasialauwo4922
    @anasialauwo4922 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba na mama Mbarikiwa nikiwa kama mama nasikia maumivu makali sana

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaa jamani 😭😭 hakika mama na baba mna misuli ya imani poleni Sana baba na mama kwa kumpoteza mtoto wenu mpendwa mlimpenda sana lkn Mungu kampenda zaidi. R.I.P

  • @mamakesharlyne956
    @mamakesharlyne956 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu azidi kuwapa nguvu katika kipidi hiki 🙏🏻.Lala pema Wokovu

  • @prophetzakayomkemwa5154
    @prophetzakayomkemwa5154 ปีที่แล้ว

    Poleni saana WATUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 2 ปีที่แล้ว

    Jmn kila nikiuangalia huu wimbo huwa unaniliza Sana😭😭😭 Mungu awafute machozi shujaa wa Mungu. Polen Sana 😭

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 ปีที่แล้ว +1

    I'm sorry for your loss
    I fill your pain,
    She's too young to leave us
    you will be missed Wokovu
    Rest in peace

  • @charleskiplagat5537
    @charleskiplagat5537 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mtumishi wa Mungu na familia Yako pole sana pamoja na kasisa lote ,pole jameni .Mungu awatie nguvu nyingi sana ya kafanya kazi yake .nawapenda sana na Ninawaombea .natamani kuwatembelia kasani jameni !Pst Charles kutoka Kenya Nairobi .

  • @janemsigwa6301
    @janemsigwa6301 2 ปีที่แล้ว +3

    Polen sana najisikia uchungu sana Mimi nikikumbuka juz tuu kaimba wimbo na baba yake wa Tupeane muda daa huyu mtoto 😭😭😭😭😭

  • @MariaChipeta-q5z
    @MariaChipeta-q5z 6 หลายเดือนก่อน

    Pole dada mungu akusaidie

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +1

    Solome moyo wake unawaka Moto apo anajikaza Tu Mungu awe mfariji wako katika kipindi cha maumivu Mungu akutie nguvu

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 ปีที่แล้ว

    POOLE POOLE Tena kabisa Dada wetu Mutoto wetu Muloko wetu Mujakazi wa Bwana Mungu ata Ku. Futa ile Machozi ya Damu Tula Roho Tulia mama muzazi Sisi Wote Wa Ki n’a Wa Mama Tu n’a Umia Roho Tu n’a liya na nyie Uchungu Kubwa ya Kupoteza Mutoto TU NA KU WOMBEYA SAAANA KWA BABA A KUPE AMANI YAKE YESU AMEN TU NA WA PENDA BI SALOME NA MUME WAKO

  • @shillashalua7001
    @shillashalua7001 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu,poleni sana,sisi wote ni wapitaji,ila anapotangulia mtu hua inauma sana

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 2 ปีที่แล้ว

    Pastor Mbalikiwa pole sana nimeumia sana.pole sana

  • @magrethamos4024
    @magrethamos4024 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana, mungu amupokee kwenye Nuru ya USO wake, apumzike kwa amani, poleni baba na mama

    • @josephsolwe7804
      @josephsolwe7804 2 ปีที่แล้ว

      It is very sad indeed, the daughter of Zion, the man of God has gone before justice. May the Spirit of God comfort the children of the Task Force.😭😭😭

  • @manenoagrey1519
    @manenoagrey1519 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana familia ya School mate wangu kwa yote yaliyowapata

  • @methodneka2791
    @methodneka2791 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mtumishi WA Mungu hakika....hiii Imani ni kubwa mno

  • @stephaniejeremiah9566
    @stephaniejeremiah9566 ปีที่แล้ว

    Kama hujawai zika mtt basi huwez elewa maumivu ya huyu mama😢😢😢r.i.p bint,pole sana mama

  • @cesiliajames2803
    @cesiliajames2803 2 ปีที่แล้ว +1

    pole sana dada, Mungu akutie nguvu!

  • @stevenmasangula2104
    @stevenmasangula2104 2 ปีที่แล้ว +1

    Raha ya milele umpe Ee Mungu na mwanga wa milele UMWANGAZIE APUMZIKE kwa amani. Amina.

  • @felistamwashibanda7764
    @felistamwashibanda7764 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika una Moyo wa ibada dada yangu ,pole sana kwa mchungu mliyonayo kama familia sio jambo jepesi ila Mungu wetu hata nyamaza kwako anajua kabisa jaribu ulilonalo ni nzito ila Mungu atakushindia😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 2 ปีที่แล้ว

    Polen san wapendwa!! Mungu awatetee watumishi wake!

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mdogowangu salome najua machungu unayopitia hili jaribu sikia kwa mtu kibinadam hakika utakufuru inaumaaa😭😭

  • @jonathanzebedayo2744
    @jonathanzebedayo2744 2 ปีที่แล้ว

    Peleni sana familia ya mbarikiwa tupo bamoja katika hilo pia Mungu anawajua.

  • @himidiwefidege3529
    @himidiwefidege3529 2 ปีที่แล้ว

    Poleni.sana.ndugu.jamaa.na.marafiki.mbele.yeye.nyuma.

  • @gracemengo4755
    @gracemengo4755 2 ปีที่แล้ว

    Pole baba na mama kwa kuondokewa na mwanenu mungu awatie nguvu sana

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa msiba huu aki mungu awatie nguvu

  • @sikuzanibusanya7352
    @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana mungu Awatie nguvu kwa kuondokewa na mwanenu kipenzi Amina inaumiza sana jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada angu Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +2

    Awesome God, unpredictable God,our sustainer,our creator ,unstoppable God!!! Bring all honour to you!!!!

  • @gracendanzi3432
    @gracendanzi3432 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu awatie nguvu

  • @TAG-863
    @TAG-863 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana 😭😭😭 Bali Mapenzi ya Mungu na yatamizwe Mweondo Amemaliza

  • @KoletaMzungu
    @KoletaMzungu 3 หลายเดือนก่อน

    Polen mama. Angu kwamaumivu makubwaa ya wokovu

  • @zchariasababwaagape6069
    @zchariasababwaagape6069 2 ปีที่แล้ว

    Mungu muumba mbingu,nchi na vyote viujazavyo AWATIE NGUVU ZA KUENDELEA MBELE TENA NA TENA ,SAFARI BADO INAENDELEA.JAZWA NGUVU UPYA MAANA NI NINYI NA SI WENGINE.MBARIKIWE MILELE

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awahuishe ndugu zangu. Nimetamani kumjua Wokovu, maisha yake hata kufa mana sijabahatika kumjua hadi kufa....
    Rest well Legend... your Legancy will live forever. MUNGU AWAFARIJI WANAFAMILIA. Tuishindanie imani hadi mwisho.

  • @deliverancetvinternational
    @deliverancetvinternational 2 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana.Poleni sana.Mungu awatie nguvu

  • @annenaliaka2879
    @annenaliaka2879 2 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana kwakweli. Mungu wetu wa mbinguni awatie nguvu

  • @petermusee3537
    @petermusee3537 2 ปีที่แล้ว +1

    hello, niko Kenya, tafadhali naomba number ili kufikia mchungaji au kikosi kazi kwa maombezi, poleni sana

  • @peterkihongosipeterkihongo1154
    @peterkihongosipeterkihongo1154 2 ปีที่แล้ว

    Wokovu alikuwafuraha.kwawote....kweritulimpenda...lakinihakunalakufanya.MUNGU.KAMUPENDA.ZAIDI...poleni sana .baba.na.mama

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 2 ปีที่แล้ว

    Daaah awa watumish wana misuli ya amani ili jaribu lilikua zito Sana😭😭😭 sikia kwa mwenzio tu kuondokewa na mtt wa pekee.

  • @rajabusamiru1937
    @rajabusamiru1937 2 ปีที่แล้ว

    polen sana kikoz kazzi ;Mungu ainuliwe

  • @madamharrieth9453
    @madamharrieth9453 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana Familia Mungu awe faraja yenu

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 2 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani ivi mtt uyu aliumwa nn mbona sikuelewa jamani wokovu mungu akupokee

  • @blandinatupa4383
    @blandinatupa4383 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awape faraja poleni sana sana

  • @frankchalamila3410
    @frankchalamila3410 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Israel jina lako lihimidiwe mungu wa mbinguni jina lako lisifiwe wewe ndiwe wajua machozi Hawa razaro alikuwa na watoto wazuri lakini walienda wote lakini wewe ndiwe wajua wokovu umeweka Alana juu yaka mamayake umempa nguvu ya kuimba wimbo mzuri wa kumuaga mtoto mzuri wokovu pamoja na maumivu makari aliyo nayo pumzika kwa Aman kwa wokovu

  • @emmyeliudi5805
    @emmyeliudi5805 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kwa wazazi na family yote kwajumla Mungu awatie nguvu

  • @christophersimwinga5278
    @christophersimwinga5278 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie Nguvu ktk kipind hiki kigumu mnachokipitia.

  • @kulwaseif6156
    @kulwaseif6156 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana jaman Mungu awatie nguvu peke yenu hamuwezi😭😭😭

  • @ebeniezelymwaikenda4588
    @ebeniezelymwaikenda4588 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi.kuwatia nguvu Katika uduma yenu 😭😭ina uma lakini Mungu anajua sababu

  • @selinajosephmlingwa9944
    @selinajosephmlingwa9944 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana familia ya mbarikiwa Mungu awe faraja yenu

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana tena sana inauma mtoto pekee lakini yote ni mipango ya Mungu

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 2 ปีที่แล้ว

    poleni watumishi wa Mungu. Imaumiza. Mungu tu ndo anaweza kuwafariji. Hivi kama wakristo ni vizuri kuimbia aliyekufa?

    • @florarwegerera8025
      @florarwegerera8025 2 ปีที่แล้ว

      Kumuimbia mtu aliyekufa ni njia Moja wapo ya kumuenzi na kuyaenzi matendo yake. Pia wanajifariji kupitia nyimbo

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 2 ปีที่แล้ว

      @@florarwegerera8025 kweli.uchungu unapungua.Mungu tu atawafariji

  • @colethamwinyi7107
    @colethamwinyi7107 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana familia BWANA YESU awatie nguvu

  • @rajabuathuman5139
    @rajabuathuman5139 ปีที่แล้ว

    Mungu yu pamoja nanyi nalipo nihphp duniani walifanya kitendo hicho mungu awaraani mpaka siku ya mwisho wao

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 9 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana mtumish wa Mungu 😭😭😭

  • @josephatanyanda4051
    @josephatanyanda4051 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Dada let God comfort you with your family. Let Holy spirit take full of your sadness 😔 we pray for you

  • @leyaedwards8851
    @leyaedwards8851 2 ปีที่แล้ว

    A Saint has gone home to heaven, I celebrate WOKOVU. Ameeen

  • @makondodominick8259
    @makondodominick8259 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana Mungu awe nanyi ktk kipindi hiki kigumu Amen

  • @anthonyyalanda1540
    @anthonyyalanda1540 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mungu akutie nguvu pole sana

  • @RobertEmmanuel-pl9jj
    @RobertEmmanuel-pl9jj 6 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭Inaumaaaaaa poleni sana mama .

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه 2 ปีที่แล้ว

    Poleni watumishi wa Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu