Wanaanzaje kumuua mtoto kama huyu malaika 😢😢😢 jamani she was a super star 🎉🎉 Rest in Peace Wokovu we need Justice over your death 😢😢 You are still shining although you are in the grave ❤❤
Mtu akiokoka ht hospitali na dw huwa hawaamini ni kufunga na kuomba.huenda angepata matibabu mapema tena kwaukalibu zaidi mn ile ajali huenda aliumia ndani kwa ndani mpk hivi kafaliki
MUNGU ANA TISHA SANA NIMEKUWA NIMSIKIA MBARIKIWA MWAKIPESILE ANALIA NA MWANAE ILA LEO NA MIMI NIMELIA BAADA YA KUMUONA NA KUMFWATILIA NIKUPE POLE SANA MBARIKIWA NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA KIKOSI KAZI INAUMA ILA KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
MWe wokovu jamani ulikuwa na Sauti nzuri sana
Mwenyezi mungu awatie nguvu family yote da niuchungu sana
Hakika mtumishi kweli kweli 😢😢😢 lakini jehova mungu anasababu ya haya yatendeke🎉🎉lala kwa amani
Yesu Tunasema asante wewe ni mwanzo na mwisho jina lako rinuliwe. Zawadi ulitoa na sasa umechukua jina lako ni kuu utabaki kuitwa Mungu.Amina.
Yupo mtetezi wet mungu aitie ngumvu familia hiyo ktkt kipindi hicho maana hata ayubu alipitia humo ameen
Yesu aku vishe taji zur mtoto ipo siku tuna onana mbinguni
Hakika Mungu amukumbuke Kwa kazi yake🙏🙏🙏
Mungu awatie nguvu kanisa la MUNGU ktk kipindi hiki kigumu.
Uyu baba ndo maaana anaumia kitoto chake kizuri alimlea akaleleka pumzika mtoto mzuri
Hakika komando wa yesu mwendo umemaliza salama. Pumzika kwa amani. Najuwa u patakatifu pamoja na bwana wetu yes kristo 🙏🙏🙏🙏🙏
Wanaanzaje kumuua mtoto kama huyu malaika 😢😢😢 jamani she was a super star 🎉🎉 Rest in Peace Wokovu we need Justice over your death 😢😢
You are still shining although you are in the grave ❤❤
Mungu akuvike taji, nimumia km namfahamu😭😭 polen sana familia
Mtu akiokoka ht hospitali na dw huwa hawaamini ni kufunga na kuomba.huenda angepata matibabu mapema tena kwaukalibu zaidi mn ile ajali huenda aliumia ndani kwa ndani mpk hivi kafaliki
Mm nimuokovu umesem ukwel sikupingi
wazo lako jema, ila ume saau ata ospitalini wanawafia mikononi, kufa ni mbingu zinazo hamua.
Yesu tunamshukuru Kwa maisha ya wokovu
Rip wokovu wangu....imba na malaika mbinguni
Hallelujah Yesu Masiah.
MUNGU ANA TISHA SANA NIMEKUWA NIMSIKIA MBARIKIWA MWAKIPESILE ANALIA NA MWANAE ILA LEO NA MIMI NIMELIA BAADA YA KUMUONA NA KUMFWATILIA NIKUPE POLE SANA MBARIKIWA NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA KIKOSI KAZI INAUMA ILA KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
Daah ni huzuni sana
Wokovu mwanangu pumzika kwa amani😢😢
Mimi nitamalizaje safari hii,
Mungu awafariji
mungu akubariki🕺🕺🕺🎷🎺
Amiina Mungu ni kimbilio letu
daaa pumzika kwa aman wokovu 😭😭😭
Mtoto mzuri jamani alikuwa darasa la ngapi?
I will never forget you. SHUJAA
RIP Mungu ni mwema kulipe taji
Mtoto tutaonana siku moja mbinguni kwa baba
Rip mtumishi mwendo umeumaliza upumzike Kwa amani
Pumzika kwa amani mtoto mzur
Hakuna wakudumu Kila mtu atakufa usilingie cheo Yuko wap diamin
Jaman mung kwann umeluhusu mtumishi wako aondoke mbn ajaifanya kaz yako daaaa
Unamhoji MUNGU?Kwanza unauhakika ni MUNGU kamuua?
@@chrismassawe2939
Amesema Mungu ameruusu, sio Mungu ameua. Kiswaili baba.
Amen
Amina amina
Hakika ulikuwa Nuru ya wengi.
Pumzika Kwa amani wokovu
Wokovu wokovu pumzika kwa Amani
Pumzika kwa amani wokofu 🙏🙏🙏
Kwl kikosi cha kz
R,IP. Mwanetu pumzika kwa aman
Nawapenda kwakweli...karibuni kondoa bumbuta jamani
Huyo binti kashatangulia mbele ya haki😂
@@jesaminzo kwa nini unacheka?ama hiyo emoji inamaanisha
RIP Mungu atukuzwe
Uncle umetutola hivi hivi R.i.p
Rest in peace 🙏 wokofu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wokovo Rp😭😭
So blessed
amen
Rest in Paradise 😭😭😭
Rip wokovu.
RIP Mrembo mweee 😭😭😭😭
Ameeeeeeen
rest in eternal peace
Pumuzika mtoto
😭😭😭😭😭
Amen
😭😭😭😭😭😔😔😔
😭😭😭😭
Rip 😭😭😭😭
Amen
😭😭😭😭
😭😭😭