KUMBE WA RWANDA NI WATANZANIA, MSIKILIZE PROF KABUDI HAPA, TUNAINGILIANA MAKABILA NA NCHI 8
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Huyu mzee nakubali sana, maoni yangu yangemfika aandike kitabu cha mambo haya na historia yetu na makabila yetu kwa lengo la kutunza vizazi na utu wetu sio kubaguana. Mzee Mungu akutunze
Kwer ndug
ase we jamaa unamawazo mazuri sana yanayo ishi safi sanaaanaunga mkono
Tunajitaji kitabu kinacho zungumzia umoja ba undugu
Haya ndo mtunda ya viongozi wetu shupavu wakongozwa hayati Jk nyere Abed Aman Karume Hakika mpumzike kwa aman😅
Kabila lako ni Mwafrika. Maswala ya mipaka yalikuwa uroho wa wakoloni kupambania rasilimali za Afrika.
The kind of wise Africans We need. After all of the hate circulating and the climate of a region war, this is the one who merit my time. All the love and support from Rwanda
Huyo ndo Professor Kabudi. Ni Professor kweli kweli.
Love from Rwanda 🇷🇼❤️ I love you my Tanzania 🇹🇿 sisters ❤️❤️
Love from Tanzania 🇹🇿 ❤️ I love you my Rwanda 🇷🇼 sister ❤❤
Kagame ni mwendawazimu
@@James_Jabari uko fara sana
@@James_Jabari were ninini unongea
@@davidselenino6125 Kagame ni mwehu
Vijana hebu tuamke tuwatumie hawa baba zetu mfano huyu Prof Kabudi, ushabiki wa kisimba na uyanga uwe na kiasi na hiyo miziki pia isichukue sehemu kubwa katika vichwa vyetu tubakishe sehemu ya kujua historia yetu na nchi yetu, maana wakiondoka hawa wazee basi wawepo mbadala, ningeomba vitabu vya historia kupitiwa upya kwa shule za upili jamani. Asante sana Mzee wetu Prof Kabudi Mungu akubariki.
Arudi chuoni akafundishe hii elimu kwenye siasa somo hili linatakiwa kuingia akilini mwa vijana
Kabudi hakutoa kisichojulikana, kama mtz umefika walau form 4 , hii iko wazi kabisa ktk somo LA history, scramble for Africa na Berlin conference ya 1884 labda kama mitahala imebadilishwa, maana hata elimu yetu mpangilio sometimes ni shida. Ktk masuala haya , hata wazungu nao inapasa walaumiwe kwa the way they divided our continent.
Sawa ndugu ipo hivyo lakini topic hiyo haikufafanua kuhusu makabila hayo yalioathiriwa kwa kugawanywa na yalikuwa ni makabila yapi, na uhusiano wao baada ya mgawanyo ulikuwaje.
Tunasoma kwa ulefu History ya uingereza kuliko historia ya Tanganyika kwenye shule zetu
@@festokemibala5832Sana,au la sivyo ajikite kwenye kundika vitabu ili hata siku akifa aendelee kuishi kupitia elimu yake
He tought me Family Law and EAC Law at University of Dar es salaam..never missed his class..He is wise..package and treasure to keep.
Tunahitaji watu kama hawa wenye vichwa vyenye kumbukumbu na uelewa mkubwa. Mungu akubariki Prof.
Huyu ndio raisi wetu wa miaka ya baadae Allah akuhifadhi utuongoze
@@hamiduhamdun1858Sidhani kuwa anautaka uraisi! Sio kila mtu ana malengo ya cheo hicho, ni shida tupu 😅 lakini akitaka kugombania urais atapewa Kura nyingi sana, yaani atashinda kwa kishindo!!
@section8ight174 Naunga mkono kweli atapita kwa kishindo kikubwa sana
Huyu alikuwa professor bt kwasasa toka magu alilipomchukuakuwa kwishine. Mpaka anamuita magu asante mungu😂😂😂😂😂.
Huyu alikuwa wamoto kabla hajaingia kwenye system.
A Very Intelligent and a Unifier Man🎩
✊🏾🇧🇮
Bahati mbaya sana lulu hii hatuiyoni,pro Kabudi ni lulu ya tanzania.mwenyezi Mungu akuongoze
Asante mzee wangu
Kuna siku nilimuhisi mwanafunzi wangu ni mkenyq kisa yeye ni mluo
Nimeelimika kuijua nchi yangu😭❤️🇹🇿🙏🏿
Huyu mzee ni hazina kubwa katka nchi yetu mungu amuweke maisha marefu.mzee anapaswa aandike kitabu cha historia ya nchi yetu ili kizazi hadi kizazi wapate kuijua nchi yao.anajua mambo mengi ana historia yanchi sio kidogo nihazina kubwa apewe saport kipaumbele ktk nchi yetu.
A real professional professor , i think our educational curriculum should be renewed
Huyu jamaa ni bonge la genius, japo Lissu ham kubali anasema aliwahi mwita magufuri muheshimiwa Mungu😅😅
I like his English he explains nicely and fluently love from Kenya 🇰🇪
A kenyan impressed by english language As usual
@@Noooonat-o5sShallow as hell. I don’t know where they get the audacity to be proud of a colonial language and act like judges when us Tanzanians speak the language. English is just a language like Kiluhya, it’s not a measurement of intelligence.
English kitu gani wewee mbona mko brainwashed Sana, mavi makubwa pia ya mzungu! Utu au ubora wa MTU sio English PUMBA kabisa!!!. Wake ya Elimikeni msiwe Tu wSomi"...
@@ZawadiMulokozi-u7k kumamako msenge wewe kama imekuuma kadinye mamako
Nimesema sana kuhusu hili huko Facebook, lakini watu wasio na ufahamu walijibu hovyo kwa kutojua kazi kubwa iliyofanywa na Baba wa TAIFA.
Congo ijenge UMOJA wa kitaifa kama Tanzania na kuwatambua raia wake wote kwa mujibu wa makabila yao na maeneo yao.
Mungu ibariki Afrika.
🌍 🌍 🌍 🌍 🌍
Mungu ibariki Tanzania.
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Nasema Hawa wanaleta habari ya ukabila ubaguzo ni wajinga ona mzungu Hana ukabila akimuona mtu mweupe bs ni mzungu Sasawaangalie hii tabia waache ili tuwe salama vita cyo ona wakongo wamama na watoto wanavyoteseka kwanza mungu awasaidie
Congo ingejaribu kama usemavyo, tatizo no serikali ya Rwanda na Kagame na uroho wa mali za Congo, madini.
Uroho gani? Hujaelewa kumbe, watusi ndio walimtafuta kagame mtusi mwenzao awasaidie kulinda Mali zao zinazoporwa na serikali ya congo@@MorrisGregory-x2b
@@MorrisGregory-x2b😂😂😂 kaulize warundi angola Congo brazz na somalia na sudan utawajuwa tu watu hawa alitoka Egypt tatinzo amjuwi kitu walitoka Egyt wakachuka uganda andi rwanda waliingia Congo miaka 1971 wakati wa mobutu sasa wakati waukoloni tanzania ilikuwa sio nchi sijuwi mlisomea wapi history ya tanzania kweli watanzania awajuwi history yao tanzania ilikuwa kibanda yani kama kariyako ya watu kuuzisha watu watwa wazungu walikuwa wakitoka ulaya nakunja kuwanunuwa watu weusi apo tanzania na walikuwa wakipanda meli apo tanzania, tanzania ni nchi ya mchanganyiko Congo sio nchi ya mchanganyiko, kila nchi ya african watu wao walikuwa wakipelekwa tanzania, kiufupi tanzania sio ya mtu ila Congo ni yamtu waliyo tengeneza apa ni wazungu na waarabu na wakati walivyo viacha tanzania kulibaki watu wakaunda nakukaa pamoja wakaona wasirundie walipo toka. Kawaona wakahe hapo na wakazaana sasa Congo sio hivyo unavyo vikiri wewe wacoloni ndo waliandika makabila waliyo yakuta Congo wala sio sisi tena wakati walumumba aliandika historia ya Congo na makabila aliyo ya acha kama tunawachukia because wanataka watunyanganye adhi yeti na wao ndo watu waliyo leta vita Congo unajuwa kama vita vy a kigali walipingana mwaka 1990 na vilitoka rwanda vika amia Congo mwaka 1996 sisi tulikimbia tanzania 1996 ila mimi nilizaliwa hapo na Tanzania walinifunga jela miaka 5 because nilifuka camp na kwenda kuushi arusha nilifika tu majerani wanakiripoti lisha niko na cheti chakuzaliwa tanzania nilizaliwa mwaka 1999 mwezi 10 tarehe 25 ila police walisema mimi ni mCongo tu aijalishi nimezaliwa tanzania bro kaka yangu mwenye yuko marekani alilipa millions 12 nitoke jela nilivyotoka tu Mungu sio asumani nikaitwa camp na kwenda South Africa ndo na hishi kwasasa
Jifunze zaidi
Halafu ndo mnatuambia kusoma historia imepitwa na wakati....Historia ifundishwe level zote za elimu bila kuijua historia ya nchi na makabila yetu tutaendelea kuuana kwa kukosa maarifa!!! Namkubali sana huyu Professor
Ndugu kujua historia za makabila c kigezo cha kufundishwa historia...hivyo ni vitu unajifunz mwenyew tena kwa kuwa mdadis maana ukijiuliz maswal hayo ukauliz wahusika unapat majib na hayo hayapo ktk historia au ulishaona topic inayosema kuna wahaya wa tanzania na uganda, kuna wamasai wa kenya na Tz...historia isifundishwe ktk shule za upili na mwanafunz kuja kuisomea advance na chuo kama sehemu ya taaluma yake haimsaidii chochote mwanafunzi ktk dunia hii...Anayehitaj ataend libray, majumba ya makumbusho au wataalamu kama kabudi...historia ifundishwe msingi tu.
Sana historia muhimu sana
Aksante sana Mueshimiwa Professor! Na mi ni mtutsi munyakarama originated Tz na ni na wandungu wengi uko Karama Tanzania. Ba moja tuache ubaguzi!!!
Umesema kweli nasikitika Watu wengi hawajui.Jamii ya Watutsi NI kubwa Sana hapa Tanzania.
Sisi ni ndugu pia tuwaonee huruma ndugu zetu wote waliopo kwenye machafuko, wapatane na salama ipatikane.
❤❤❤💯
Munyakarama ivo???uku burundi wanajaa uku
Wanyakarama ni wako wengi Pia Burundi
Hongera sana Tanzania! Wewe ni ishara ya Umoja na Ujamaa wa Afrika. Mungu ibariki Afrika.
This is what makes Tanzania a spacial country and a true role model of Africa. I wonder why Africa union does not consider the issue of borders and Africans identity. a priority and key sucess factor for the development of the continent!! It should even be taught in schools. Ignorance in this issue, will burn Africa like a wildfire. Those who engineered Africa borders know the seriousness of the issue but Africans seem not to know. It is very sad. We will forever miss the wisdom of mzee Nyerere.
Majority of these tribes he mentions were denied IDs since the process bagan. They are in a kind of soio-economic prison coz they can't run any official transaction or have any public service that needs NIDA but their contribution to the country revenue is sure coz some are collected electronically depending on the nature of the transaction. There is a growing hatred against the gov. by these boarder originating people. If this issue is not going to be addressed the impact down the line is negative
Na nyie si muongee lugha ya taifa, mbona mnatutia aibu kha!!
@@section8ight174 Boss,nasema hivi: hayo makabila yenye asili za mikoa ya mikoani mwa nchi wengi wamenyimwa vitambulisho vya kitaifa au kitambulisho chochote! Yangu zoezi Zima kuanza wanaiahi bila kitambulisho. Wamewekwa kwenye GEREZA la kijamii-Uchumi make hawawezi kufanya shughuli au kupata huduma yoyote ambayo inamtaka awe na NIDA!! Kuna ongezeko la kukosa uzalendo kwa nchi ktk mioyo ya jamii hizo jambo ambalo lisiposhughulikiwa mapema litazaa jamii ambayo haikuwahi liwepo Tz. Watanzania kwa kawaida tunapendana na kuipenda nchi yetu. Utaishije na watu maelfu ambayo hawawezi kifungua account bank, kupata pesa za Samia za mkopo kwa vijana na Amina mama nk. Huku mababu zao na wazazi wap wamekuwa wakijenga nchi hii. Ila mapato ya Serikali wanakatwa na kutozwa! Haya puuzieni! Si mumusikilize Prof. Kabudi anachosema?
Me mkenya lakini huyu mwamba namkubali sana,asante kwa kutuleta pamoja na kutupa ufahamu proff.kabudi shoutout man,we are all bros,and sisters.🫡🫡🫡🇰🇪🇹🇿.
Nimekupenda sana prof.sanamu lako liwekwe jia panda Lusahunga.
Tunakushuru mwenyezi mungu kutupa watu km hawa ktk nchi yetu. Profesa kabudi. Profesa wa sheria.
Lkn kwa tabia ya nchi yetu wala hatuoni shida kuwapoteza watu kama hao na wanaofanana nao.Kuna watu wako radhi kuwaacha wajinga lkn wako mbio kuwapoteza watu kama hao.
Intelligent Men 😂❤Love from Rwanda 🇷🇼
Mtu mwenye Hekim na busara sana
nakumbuka alivyochangia kutuliza vurugu z Kenya 2017 alivyokua Waziri wa mambo ya nje wa tz
# Mungu akuweke zaidi Prof Kabudi ❤
Amin
Mwenyezimungu Akurinde
tungekuwanawatukamawewe congo ingekuwasawa ubaguziniwa kiu koloni asantisana❤
Tulikurupuka tulipo waachia wakoloni Kuandika historia yetu. Huyu amenena. Tunahitaji Kuandika historia yetu upya Sisi wenyewe. Asante, mkuu.
Asante sana prof wambie wa DRC pado wanamambo ya kusema huyu ni mutusi wa Rwanda zivuri arudi kwawo niyo mana M23 inapigania ukweli kwasababu warinyanyaswa sana yani wamechoka
Be blessed baba for this instructive lesson ❤
Prof. Mungu akubariki nakuelewa sana maombi yangu ni kwamba utuandikie kitabu cha mambo haya ili iendelee kuwa kumbukumbu ya vizazi vyetu.
Intelligent minds are rare.
Na tuna zipuuza eti..so sad
Umeona huyu ndie anajua sana❤❤❤❤ sasa Congo wana wakana ndugu zao kisa eti watusi
Congo hatuja wakana M23 eti ni watusi. Wa Tutsi wapo serekalini, kwenye bungu, kwenye seneta na hata kwenye jeshi lataifa. Tatizo ni Rwanda anaye tumia huo watutsi kwa kuiba madini ya Congo kwa kizingizio ya kua serekali ya Congo ina bagua kabila la watutsi. Mimi ni mzaliwa wa Kivu ya kusini, mashariki mwa DR. Congo
Tume wakana tangu lini ?
kaka hakuna ukabila congo ....mi nakuliza kuanzia biarimana mbona hii shida haikuepo ...tatizo ya wa congo hawajitokeze kusema wa nyarwanda ao watusi walipo kimbia vita toka rwanda kuingia congo wa congo wali wapokea vizuri waka wapa makazi mashamba ...baada ya hapo wajua nini kilianza tokea wewe ambao unaropoka hawa hawa watusi wakaanza kuuwa wa congo ki siri siri ...wakaanza kunyakua ardhi za watu kwa kingvu ....hawa hwa watu wewe unao wanao waonea... kubadirisha historia maeneo ....mukitaka ukweli kuhusu hawa watu ne ndeni fizi,baraka ,mwenga ,mutapata habari za hawa watu...kama kazi wako wengi bungeni ...wao na fikra zao wanapenda sana kutawala watu...mzee wetu uongozi wake ni zuri ..lakini upande wa kuunganisha raia amefeli ...ameangalia sana kabila lake ...mauwaji ya 1994 wote waliuwana lakini kabila moja wame laumiwa zaidi mpaka historia hawana ...inao baki mioyo za wale wengine eti kabila flani ndo wali waua ...mpaka sahii hawa wanaonekana wabaya ...imetoka kwao imefuka mpakani wana tengeneza mauaji wenyewe huko wana lalamika eti wana waua congo ...hawa dugu zetu inatakiwa utulivu wakili pamoja na umakini kwaku wachunguza wanaishi kwa ujanja ujanja
@@amanijean1688
Wapo Wa-Congo nipo nao huku Canada wanawakana Wa-Tutsi wote eti hata hao Banyamulenge si Wa-Congo.
Tribalism aliiasisi Mobutu, congrats kwa J.K.Nyerere kwa kuutokomeza ukabila japo kuna some stupid politicians wanaonyesha kuurudisha kiaina kwa kuyabania baadhi ya makabila.
@@DaviaLeroi
Wapo wenzenu wengine wanawakana, wengi tu.
Wow every day is school day, thanks my brother
East Africa we are one sisters ❤🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩❤️🛐♾️♾️❤🤗🤗💥🌍
The land of Canaan.
Congo ni central African sio east Africa
@@Ryannkae kwani walishatoka EAC?
Hakika mwamba ninakukubali ile mbaya Hakika professor tunafaidi masomo mazur na matum Mungu akulinde akupe afya tele Mungu ibaraki Tanzania yetu bariki Africa yoye Amen
Kasema kweli mimi hapa Mkenya familia yangu ipo hapa Kenya, lakini familia yangu kubwa ipo Tanzania.
Mwezi uliopita nilisafiri hadi Moshi kuhudhuria mazishi ya mjomba wangu.
Nina uhusiano mkubwa sana na ichi ya Tanzania kwani nusu ya familia yangu ni Watanzania. Wengi wanapakana mkoani Kilimanjaro. Kila ninapoingia Tanzania hujihisi nyumbani tu.
Mipaka hii iliwekwa na wakoloni lakin sisi ni ndugu kabisa wazee wetu waliingiliana Sana.
Ukienda border ya Namanga huwezi jua maasai yupi ni Wa Tz na yupi ni wa KE wote ni wale wale wanaelewana kwa Kimaasai na kwa Kiswahili.
Mashati Moja hiyo
Mi nakuelewa baba Hakika baba wa taifa Mungu akimtumia sanaaaaa,Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Tanzania(Wimbo wa taifa )❤❤❤❤❤
Big up Prof wambie ukweli ukabila hauna nafasi kabisa mungu akubariki sana
Safi sana Kabudi, wakoloni wamekuja kututofautisha na kuleta matatizo sehem nyingi kwa kutengeneza nchi zao kwetu Africa, ingekua la maana watu wa mipakani waweze kuunganishwa
Mzee mungu akubaliki sana ina takiwa Mda wa kufudisha wafrika wote kabisa wa elewa kuwa ni ndugu ❤❤❤❤
Asante Sanaaaa Professor Kabudi, Great Man🎉
Leo nimekukubali Really appreciate and Respect 🙏
This was very educative message ❤❤❤❤
Huyu mzee arudishwe kwenye wizara ya sheria na sio michezo 🔥👊👊
Asante kwa Maelezo na mafunzo mazuri. Mimi ni Mututsi kutoka Rwanda. Hata serekali yetu inaendeleza unyarwanda dhidi ya uhutu na ututsi kwani ukabila ni msingi wa ugomvi na vita vinavyo haribu.
Uwiru kutokana na mwami hapa Rwanda ilikuwa namna ya kutehuwa mfalme nakukubali baba yangu wewe ndio unafahi kutuunga mach love from Rwanda
Why not for other country which have zingine kabila za tanzaniya kama burundi ?
❤. Mwenyezi mungu azidi kukuweka HAI mzee wetu daaah umeongea poit
Asante sana baba yangu maana umeongea ukwel kabisa
Nakukubali mzee you deserve to be the king of Tanzania 🎉
Eastafrican federation please. Let's stop the madness!
Hii ndio dawa
😢❤❤🇷🇼 love from Rwanda 🇷🇼
Allah akupe Afya
Wise man I love Tanzania 🇹🇿
True facts prof.Digo of Tanga and Giriama / Mijikenda of Kenya are the same people speaking one language and share the same culture.
Once a wise always wiser, yani apa watu wa puani na Darsalam wanapashwa wafunzwe sababu wao ndo wengi wana ubaguzi sana, yani iki kitu ca makabila anayo vuka mipaka ni kitu ca mana kukifahamu. Uyu Mueshimiwa namkubali, watanzania wengi wangekuwa kama yeye, kwa nini ukoloni na ujinga wawo wa mipaka waliotuwekeya tunaiamini sana kuliko undugu ujama utusaidiye kujenga ulafiki? ❤❤❤
East Africa includes the nations of one sisters ❤like Ethiopia, Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan, Somalia, Djibouti, and Eritrea.❤😢🇷🇼🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇨🇩🌍💥🛐🙏
Daah, Mzee hongera sana, sioni mtu mwingine wa kuvaa viatu vyako katika maswala kama haya
Asante sana proffessor ❤
Prof:paramagamba kabudi 🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Mkuu Kabudi angepewa wizara ya mambo ya ndani,au wa EA....yuko vizuri mno kwenye historia!!
May God bless you Professor
am Hutu from Congo. i know that Hutu are also in Rwanda, Burundi, tanzania Ouganda...
Super brain Prof kabudi
Mungu azid kukuweka Mzee wetu tunakuombea❤❤❤🤲
Profesa Waziri Mbunge upo vizuri
Uyu musaza ndamukunze cyane❤
Tuunganishe Bara la Afrika iwe Taifa moja Kubwa, tutakuwa imara Sana. Gonga like kwangu kwa wazo hilo.
Ni kweli sas sijui Rais atakua nani🤔
😂😂😂 Wahindi wanasema mdomo... nyumba ya MANENO...
@@djacobsamwel6578Wewe...😊
KAENI MBALI HUKO, WAAFRICA NI VIBARAKA WA WAZUNGU
Rais atakuwa Ibrahim Traore ,kama unamkubali mwamba gonga like
Upo vzr sana mzee hakika tutamkumbuka nyerere daima
Maashallah Allah akuongoze ktk haq mzee kabud
Nimeipenda sana hii.
Mzee nimependa maneno yako yabusara na ukweli wako mungu akulinde amin
Yupo vizuri. Ila pongezi ziende kwa hayati mwalimu nyerere kuupinga ukabila maan sasa kungekuwa na vita ya makabila kama nchi nyngine
Asante Mze umeongea kbs.....solution is to unite
Sahihi 💯 p ukweli mtupu tatizo wazungu wanatuhalibu
Mnawasingizia Sana wazungu, kila Taifa lilipoundwa liliundwa na idadi ya makabila, kama Watusi hawakuwepo kipindi Congo inaundwa, huo ni Ukorofi.
Leo hii huwezisema Watusi ni sehemu ya kabila la Tanzania, ingawa wanaishi huku kwetu na wengine wana uraia, lakini sharti wayakane Kwanza makabila yao wahiandikishe ktk mojawapo ya makabila ya Tanzania
Well said prof, no more explanation needed.
Sawa Mh Kabudi umewasahau Wazaramo wa Kenya huku tunao tyl😂😂😂😂🙌
😂😂😂
Ukisikiliza watu mbalimbali utagundua kuna mambo yanafanana na kukinzana...kwa maoni yangu inawezekana kuna ombwe katika historia ya waafrika kiasi cha kuvuta chochote kinachoweza kufit. Kuna pahala historia yetu imebadilishwa au kuondolewa katika kumbukumbu kwasababu zisizokuwa wazi sana.
Uko vizuri muzee yani huo niukwer kabisa
Isingekuwa wapumbavu ndio waoongoza Siasa!!! Kabudi wa Tanganyika ilipaswa iendeleee usiishie njiani kupata Tanganyika!!!!
Ni kweli baba, kwa family naishi, tunaishi kabila nyingi ikiwa ni wanyambo, wamasai, nyaturu, Sukuma, nyiramba, sambaa na hapo nyumba nimeishi na mnyarwanda na mkenya but we love each other than even blood relatives what i proud of misingi ya nchi yangu
Pro. Nimekukubari chukuwa maua yako ❤❤❤❤❤ bt huyu jamaa ni kichwa sana
Akiwekwa secta ya sheria utampenda zaidi
Alhamdulillahi Rab'ilaamina viongozi kama Hawa ndio wanatakiwa katika nnchi ,kabla ya kwenda mbele ni Vizuri kujuwa wapi tulipotoka Ili tuweze kutengeneza mazingira mazuri ya tunapokwenda. Maana kwa Sasà haya anayoyaongea mzee yamesahaulika tunauwana tu wenyewe kwa wenyewe kama kuku kisa kumfurahisha bepali😅.au kumpa nafasi bepali aje kumuibia ndugu Yako mtihani mkubwa.
RWANDA 🇷🇼, Burundi, Kenya🇰🇪, Tanzania 🇹🇿, Uganda 🇺🇬, Congo 🇨🇩, Ethiopia , Somalia, Sudan, East Africa 🌍💥 we are one, and the whole Africa 🌍
Sasa nikitaka kukupongeza nisemeje unajua kabisa
Mungu akubariki sana mkuu🎉🎉.
Asante sana Mbunge wangu Mh Kabudi
Umetisha kiongozi wetuu
That's great.Ingefaa kama angeandika kitabu ili haya madini yatunzwe katika maandishi
Usemayo ni kweli si ndio maana wazungu hawa tangazi ukabila sasa Wa Tutsi wana tabia ya kutaka kuwatawala wengine na hawapendi kuoleana na wengine ili kuifadhi asili ya jamii yao na hili ndio chanzo cha ubaguzi. Ukimpata mtusi ofisini anapo kutana na Mbembe au mmaniema wa kigoma yeye moja kwa moja ana mchukulia kua mgeni na vyanzo vya misako kigoma na kuishi kwa wasiwasi tujiangalie
Mheshimiwa Kabudi anaweza kuwasaidia wanaotaka kutatua vurugu zinazo endelea kule Congo,sababu za kukata raia furani kisa mizizi yao wanatoka upande furani baada ya vizazi-na vizani ni ufahamu mdogo sana,sana kabisa.
Haya tunao yaona yasinge tokea,wangeenzi matendo ya Baba wa Taifa Tanzania Nyerere kuusu ukabila.
Tawire Professor 🙌🙌🙌
Aaaaa! Wewe ni mshirikina.
Tawire
Who listens twice?
Hii ndiyo maana ya professor, huyu mzee nimetaman kukaa nae awe mshaur wangu anifundishe maisha 🙊
Kabudi umeeleweka vizuri sana , darasa safi sana , ni vizuri Kila mmoja akalielewa , Sote ni ndungu , adui yetu na aliyeweka mipaka.
Asante Kwa usahihi,
Kwa ukweli magufuli angekuwepo hangeliweza tuma jeshi la tanxania kuwawuha wa tusi wa drc rip magufuli
Real bad genius proff himself 🫡
He is right but we need one nation East African
Tumshukuru Mwl. Nyerere kwa social engineering!
Kabisa..bila hivyo vita ingekuwa balaa
Akili nyingi sana Hongera Mh Kabudi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mimi ni mtu kutoka Ngara arkin kabila yetu Iko Tena Rwanda ((wazorankend).jee???
the only prof in Tanzania
Asante kwa Elimu
Aise mzee upo sawa duu.kifupi nilizarau histtoria.tungefundishwa kiswangrishi tunge kumbuka yote.