SABABU ZA MISUGUANO KATIKA KARISMATIKI KATOLIKI | KATEKESI MTANDAONI - EPSODE 5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu asaidie kila mmoja afanye lile limpendezao Mungu

  • @Suzy-p3b
    @Suzy-p3b 2 หลายเดือนก่อน

    Thank u

  • @JohnAthuman-f3x
    @JohnAthuman-f3x 10 หลายเดือนก่อน

    👏

  • @deogratiasrwechungura3451
    @deogratiasrwechungura3451 2 ปีที่แล้ว

    Asante Baba kwa ufafanuzi mzuri wa kueleweka Ila ushauri wangu ni nyinyi viongozi wetu wenye thamana katika hili kuwa karibu sana na vikundi hivi maana inapokosekena maeneo mengi wahusika wanajikita katika karismatiki ya wenzetu na kupoteza muelekeo wa Kikatoliki na hivyo kuweka alam za kujiuliza nyingi

  • @masseepesa7539
    @masseepesa7539 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba, na ubarikiwe sana. Waumini wanachanganywa sana na hii Karismatiki, ambayo hata mafundisho yako yanadidimiza na kuleta confusion juu ya mafundisho ya Masakramenti

  • @eternalword1843
    @eternalword1843 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana. Asante kwa ufafanuzi mzuri.

  • @EmanuelMakalla-wu1zu
    @EmanuelMakalla-wu1zu 3 หลายเดือนก่อน

    Yeyote anayepinga karismatiki akiwa kijana jua ni muasherati na akiwa mzee jua huyo mchawi sana

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @josephphares5334
    @josephphares5334 4 ปีที่แล้ว

    Asante Baba kwa ufafanuzi huu mzuri

  • @damianlucas8502
    @damianlucas8502 4 ปีที่แล้ว

    Hongera fr

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 2 ปีที่แล้ว +1

    Fanya reference kongamano LA Pentecost Dodoma lililoshirikisha wachungaji wa kilokole kama in sahihi kupoteza waamini kwa wao kuwa njia panda

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 ปีที่แล้ว +1

      Mikutano ya Mwakasege kote nchini 50% ya wahudhuriaji ni wakatoliki. CD zetu za dini zimejaa nyimbo za kiprotestant, sherehe zetu mbalimbali tunaimba na kucheza zaidi nyimbo za kiprotestant. Kwenye mahubiri tu ndiko wana shida?
      Wanaojazana kwenye maombi na miujiza ya mitume na manabii ni wakatoliki na wala sio wakarismatiki. Na ndio wanaongoza kununua vitu vya upako na kuvijaza majumbani mwao. Tuko mitaani na tunajuana sana.

  • @meshackmtewele718
    @meshackmtewele718 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @simonnjovu586
    @simonnjovu586 ปีที่แล้ว

    Kongamano la Dodoma halikuwa na tatizo kubwa kwa jinsi inavyoelezwa na wapinga Karismatiki Katoliki. Kama alivyosema padre hapa, ni kutokuelewa tu.
    Ni kweli mada aliyotoa Mwakasege siku yake ya pili "kunena kwa lugha" ni mada inayohitaji maelezo ya kutosha. Hata mafarisayo walipata shida nayo, hata Paulo mwenyewe alikuwa akitoa ufafanuzi mara kwa mara.
    Lakini je ndio tupige kelele kuwa kongamano lilipotosha ukatoliki?
    Padre mmoja akishikwa ugoni ndio tuseme mapadre hawafai?
    Sista mmoja akishikwa uchawi ndio tuseme usista haufai?
    Ni vema kuangalia utume huu katika majukumu yake ya msingi. Kweli Karismatiki Katoliki ni mbaya kiasi cha kupigiwa makelele namna hii? Mangapi ya hovyo tunayo katika maisha yetu ukatoliki na tuko kimya kama hatuyaoni, hatuyasikii? Tunaangalia mambo ya msingi ya Kanisa na malengo yake. Madhaifu tusaidiane kuyaondoa kwa upendo.