FAHAMU KWA NINI NDOA ZA KIKATOLIKI HAZIVUNJIKI?VIKWAZO VYA NDOA NA NAMNA YA KUIVUNJA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Wengi wameomba kufahamu namna ya kwanini ndoa za Kanisa Katoliki hazivunjiki..Ungana na Padri Amigu anatiririka

ความคิดเห็น • 25

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali Sana padre , Roho Mtakatifu yu ndani yako nayapenda mafundisho y'all.

  • @mariej6962
    @mariej6962 2 ปีที่แล้ว +2

    Padre Titus namkubali balaa. Tangu Redio Maria Songea nilikuwa sikosi kipindi chake alichokuwa anajibu maswali ya wasikilizaji.

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana father kwa ujumbe iyi uliyo tuletea yenye umuhimu sana katika maisha yetu, Mungu akubariki pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina

  • @rajinderkaurgundhoo9295
    @rajinderkaurgundhoo9295 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤i love your bible prophecies

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 3 ปีที่แล้ว +3

    Watu wanaopinga uzembe wa uchunguzi katika uchumba, wanakwepa responsibilities zao! Ndugu yangu chunguza mwenzi wako kabla ya ndoa.

  • @onorathcassian8062
    @onorathcassian8062 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sana father kwa mafundisho yako

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 ปีที่แล้ว

    Asante san kiongozi wetu MUNGU azidi kukupa rehema uzidi kutufundisha mengi???

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @reginahechei1978
    @reginahechei1978 หลายเดือนก่อน

    Je ugoni unaorudia rudia na kuleta watoto wa nje imekaaje

  • @victorgerald9556
    @victorgerald9556 ปีที่แล้ว

    Kama Umefunga ndoa na Mmeshazaa watoto wawili ndo unakuja kugundua kua baba yako na baba wa mke wako walizaa na mwanamke mmoja hapo inakuaje

  • @fredleonardo739
    @fredleonardo739 3 ปีที่แล้ว

    Naaam

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 ปีที่แล้ว

    Bora sisi waislamu Mungu wetu ametuwekea vigezo vya ndoa kuvunjika kuliko huku....mfano utambue kuwa mke ni mchawi? Eti uendelee kuishi nae ili mwishoe wazazi watoto wawe wachawi...mgumba 😂😂😂hapa ni vizuri kuoa mke wa pili ili akuzalie...shida kwa ndg zetu wakristo asilimia 95 ya mafundisho ni ya watu waliotunga kwa lengo maalumu

    • @maxmliancarlos5099
      @maxmliancarlos5099 6 หลายเดือนก่อน

      hivi unajua hata quruan haijitoshelezi

    • @MaryShomah
      @MaryShomah หลายเดือนก่อน

      @@maxmliancarlos5099bora umwambie😂😂

    • @MaryShomah
      @MaryShomah หลายเดือนก่อน

      Kaa na uislam wako 😂😂😂 ya huku hayakuhusu

  • @danielnyoha5743
    @danielnyoha5743 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mzee lakin kanisa linasababisha watu kupigana na na kuwana kisa Ndoa

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 3 ปีที่แล้ว +1

      Usisingizie kanisa,kama uliteleza ni wewe.Omba Mungu akutazame upya ila sio kuanza kusingizia kanisa maana Kanisa ndo mwili wa Kristo na ndilo hilo unalolitukana,jichunge maana unajichumia dhambi

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 3 ปีที่แล้ว

      Watu wasio na akili kama wewe ndo wanapigana. Kama unajua huwezi masharti yaliyowekwa achana na Kanisa kaanzishe kanisa lako huko muoane kama nyani msiweke sheria yyte. Watu mnaopenda uzinzi ndio mlivyo linapokuja suala la sheria za ndoa.

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 3 ปีที่แล้ว

      @@felisterligwa Yaani huyu jamaa hajitambui. Anatetea uzinzi na uasherati nyambafu

    • @anethmembe1366
      @anethmembe1366 3 ปีที่แล้ว

      Tunaomba namba za wasapu bab tuulize maswali meng tu

  • @danielnyoha5743
    @danielnyoha5743 3 ปีที่แล้ว

    wewe mzee wanadamu wanaficha makosa yao wakipata wanachokitaji wanaaza kuonyesha mazaifu yao kwani hakuna Mapdre wanaokiuka kiapo chao wakishapata huo upadre wanabadlilika hapo ni kumwomba mungu tuu usikurupuke tuu kulaumu kuwa hawakuchunguzana

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 3 ปีที่แล้ว +1

      Ongea kwa nidhamu,eti kisa sheria fulani watu wanapotoka ndo ibadilishwe au ifutwe.Unatakiwa kuwa makini kabla hamjaoana,timiza wajibu wako na pia omba maongozi ya Mungu.Unapoendekezwa uzembe ndo hapo kuna kuangukia pua

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 3 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe ndo umekurupuka. Sikiliza tena uelewe topic, ndipo ukoment. Usikurupuke!!!

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 3 ปีที่แล้ว

      @@felisterligwa Safi. Huyu Daniel ana visa vyake binafsi. Ana povu lake. Father kaeleza vizuri kwamba kuna vizuizi 12 na katoa mfano wa kimoja wapo. Sasa jamaa linakulupuka na kufikiri huo mfano ndo topic yenyewe. Ujinga ni mzigo mzito sana. Nadhani hajui maana ya mfano.

  • @jiranyetu9133
    @jiranyetu9133 3 ปีที่แล้ว

    Amina