Israel Mbonyi anasauti nzuri sana na pia live performances zake ni 🔥🔥🔥 nimesha muona live Belgium Brussels I really enjoyed it nilitoka pale na kuona nimebarikiwa
Private life of celebrity. Leave this please. Age mate to my son. I wish him beautiful Rwandes Girl. Christian and God fearing to support him in this nice Worship ministry. Kenya loves you so much boy child
Mm nampenda sana kwanza yuko na unyenyekevu ukiwa mnyenyekivu kwa Mungu anakupa siri kubwa za ufalme maombi yangu ahifadhiwe sana unaweza ulizwa swali nani anakuinspired hata huwezi jibu lkn israel ametaja hii ni kushinda sana spirit ya wivu😂😂
Interview zingine wape watu walookoka ndo wanaoweza kuuliza maswali,ya kitumishi mnauliza maswali ya kihuni eti nyimbo zako zinawabamba wasichana wengi,ujumbe wa injili ni kwa kila Mmoja sio wasichana tu
Wanaomkubali na kumpenda Israel mbonye tujuane
Nakuelewa sana.Mbonyi be blessed 5:29
Israel Mbonyi anasauti nzuri sana na pia live performances zake ni 🔥🔥🔥 nimesha muona live Belgium Brussels I really enjoyed it nilitoka pale na kuona nimebarikiwa
Napenda anavyoimba pia anavyocheka na kutabasamu❤❤
Yes my brother, stand for Christ Jesus
May God help you to discern everything in the Spiritual
Be careful with collaboration and may God guide you
Quite tough interview but God have bestowed enough wisdom in him,,you have represented God well mbonyi
Meu querido as tuas musicas cativam o povo🙏 parabéns 😂😂
Israel you are wonderful and great! May the blessings of our Almighty Lord God be with you always, be blessed for winning the souls!
Amen. Amazing interview right there. Hata usipo fanya hayo yote bwana nitakwamini😭😭
Bro anafanyaa vizul San I always appreciating his work
Israel your the best singer ever may the Almighty God bless you more than ever before. ❤❤❤❤, We love you here in Kenya , more grace.
Humble man of God Israel mbonyi❤❤❤❤❤
Good song.
Good musician especially Ninae Siri na Yesu may God expand your music talents Amen
HongeraIsrael uoe sasa mrembo mzuri Sana Yule umefananaye mno usichelewe
The interview has people with the wisdom of God. Well done job. God bless you all in a special way
Veryy humble be blessed mbonyi🙏
Anajibu kwa hekima na inaonekana ni mtu wa rohoni naomba Mungu ya dunia yasimmbadilishe akascha njia sahihi
He is god sent.bblsd.karibu kenya...
Private life of celebrity. Leave this please. Age mate to my son. I wish him beautiful Rwandes Girl. Christian and God fearing to support him in this nice Worship ministry. Kenya loves you so much boy child
Napenda sana wa congolais.
Mtu WA Mungu huyu no securer Music in Jesus name
❤Amazing
Usifanye mchezo na nyimbo za ndotoni.... Is 🔥
Linaongea vizuri mpaka raha halichoshi kuskliza
Lovely man of God continue spreading the gospel through singing
Great Kingdom blessing. God bless you
Hongera.❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo zake nazipenda sana
Wake na huku Killimanjaro 😅😅😅
Mm nampenda sana kwanza yuko na unyenyekevu ukiwa mnyenyekivu kwa Mungu anakupa siri kubwa za ufalme maombi yangu ahifadhiwe sana unaweza ulizwa swali nani anakuinspired hata huwezi jibu lkn israel ametaja hii ni kushinda sana spirit ya wivu😂😂
'Stay In the presence of God' amen
mutoto Wa munyamulenge 🇨🇩
very humble be blessed
Very nice kaka
Muwalete hao waimbaji wazuri huku dodoma.
Interview zingine wape watu walookoka ndo wanaoweza kuuliza maswali,ya kitumishi mnauliza maswali ya kihuni eti nyimbo zako zinawabamba wasichana wengi,ujumbe wa injili ni kwa kila Mmoja sio wasichana tu
Kweli walio muoji washazoeyq kuwaoji kina Zuchu
Am Ugandan bt asking him for mariage
He is god sent.bblsd.karibu kenya.