Kupigwa Risasi Tundu Lissu | Maelezo ya Waziri Bungeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa ufafanuzi bungeni kuhusiana na tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu , kupotea kwa watu mbalimbali akiwemo Azory Gwanda na Ben Saanane pamoja na matukio ya utekaji.
    Msikilize

ความคิดเห็น • 378

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +11

    Bomba la Maji Machafu ni afadhali.

  • @nelsonsimtowe4268
    @nelsonsimtowe4268 5 ปีที่แล้ว +14

    Kuna kitu najifunza je mkoloni mweupe na mweusi bola yupiii ......nini maana ya colonialism and nationalism we have to change the meaning

  • @piusmnanka8214
    @piusmnanka8214 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mkuu sana...!..Alishawapa jibu... Mungu hapendi ujinga.

  • @albertmichael8675
    @albertmichael8675 5 ปีที่แล้ว +16

    Huo sio uchonganishi,ni kudai haki

  • @michaelmponeja2102
    @michaelmponeja2102 5 ปีที่แล้ว +6

    Ney wa mitego, umeimba kweli

  • @josephchuwa3532
    @josephchuwa3532 5 ปีที่แล้ว +16

    wananchi tunaitaji majibu hao watu walipo atutaki siasa

  • @exaverymchilo5721
    @exaverymchilo5721 5 ปีที่แล้ว +10

    Iv waziri ukosirias kweliiiiii????? Maswali magumu mnajibu kirahis

  • @elizasitvin3174
    @elizasitvin3174 5 ปีที่แล้ว +13

    Ulipaswa kuamlizi wa bunge.Haufahi kabisa.

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 ปีที่แล้ว +1

    Alikua anamfurahisha boss wake...

  • @salmamasuod1472
    @salmamasuod1472 5 ปีที่แล้ว +8

    watanzania tunaakili na atuwez kuchonganishwa tunachotaka ni ukweli wa mambo yanayoendelea ndani ya nchi yetu acha siasa.

    • @linusmakut6732
      @linusmakut6732 5 ปีที่แล้ว

      Magufuli kunawatu hawafai kuwekwa katika madaraka huyu hafai

    • @benpeterchatanda2154
      @benpeterchatanda2154 ปีที่แล้ว

      Ukisikia. Propaganda ndio hzi...hta mtu ambae hajasoma anaweza kuelewa. Tulio soma Cuba tunajua....
      Mbona pakuanzia Pako wazi TU auulizwe Boss Wa polis nani aliwatoa walinzi pale wakt pale panalindwa masaa 24 pili nani alitoa camera...pale...mtu wa kumbana alikua ni boss Wa polis aseme kwnn alitoa walinzi cku ya tukio hoja kutaka lisu arudi au dereva wake Ma mbugila utine TU ndio watukubali

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu anampenda lisu kuliko hata mnavomfikiria

  • @longerothatstruenaikara3439
    @longerothatstruenaikara3439 5 ปีที่แล้ว +3

    mtu anapigwa risasi eneo LA serikali,ambalo CCTV camera zipo,chunguzeni au mliziondoa mapema,watanzania siyo wapumbafu kama mnavyofikiria na kujifanya kutumia maneno ya Bible, hakika nawambia hukumu iko palepale

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 ปีที่แล้ว

    alijisahau sana..sasa ANASAGA MENO na bendera ya..kaificha ..mkiwa angani mjue mtarudi CHINI..na siku c nyingi!

  • @hannajoseph645
    @hannajoseph645 ปีที่แล้ว

    Mungu anabaki kua Mungu ukweli upo mkononi mwa Mungu Siri anafahamu yote tumwachiye Mungu

  • @albertmichael8675
    @albertmichael8675 5 ปีที่แล้ว +12

    Yan we mzee kuna akili huna hv mnaona cc wananch akili hatuna

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 5 ปีที่แล้ว

      Semeni watu wako wapi. CCM wauaji, watekaji, wezi na wanafilisi Watanzania.

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 ปีที่แล้ว

      Waziri wa hovyo kuliko waziri yeyote aliyewahi kutokea hapa inchini

  • @anicethy6978
    @anicethy6978 ปีที่แล้ว +1

    Huyu na hao wanaomshangilia Ni watanzania Kweli?Mungu atunusuru.

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Mpigaji wa risasi anakuwa nani?huyu ni waziri kweli?mwendawazimu kweli kweli!uchunguzi gani wewe?mbunge amepigwa risasi ktk nyumba wanazoishi viongozi?wacha kuiaibisha serikali na vyombo vya ulinzi,wacheni uhuni!

  • @abdyup-d5108
    @abdyup-d5108 5 ปีที่แล้ว +4

    Tupac alipigwa risasi kwenye nyumba za serekali au mtaani wewe kangi piaunahusika kuuuwa watu mpuuzi mkubwa

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 ปีที่แล้ว

    Teknelojia gani jeshi hilo linayo?!!! Kutesa watu ndio Teknelojia?

  • @sudymkele1648
    @sudymkele1648 ปีที่แล้ว

    Lugola anatakiwa àchekiwe vizuri ubongo wake labda Kwa kuwa hakjampata yeye malipo yapo duniani hapahapa

  • @mimiliism
    @mimiliism 5 ปีที่แล้ว +4

    Usitufanye si wajinga we mzee. Unatia kinyaa we mzee

  • @rajabkondo6395
    @rajabkondo6395 ปีที่แล้ว

    Mawaziri wa Magufuli kama Mh Lugola mbunge wa Kibala Bunda
    Hawajua kutoa hoja kwa kutetea hoja kwa sera na sheria za nchi
    Anatumia biblia kuhalalisha kushambuliwa kwa Mh Lisu kwa risasi zaidi ya 36
    nyakati za mchana

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 2 ปีที่แล้ว +1

    Ovyokweli

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 7 หลายเดือนก่อน

    Uwezo wa waziri huyu kiufahamu na uelewa ulikuwa mdogo sana. Hakustahili kabisa kuwa ktk nafasi hiyo ya uwaziri. Nchi haiwezi kuendelea ikiwa na viongozi dizaini ya huyu waziri. Ni afadhali alipotea kabisa

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว

    Umenikwaza Sana shetani wew mwenye mpango mubaya na lisu

  • @delphinusrwebembela3419
    @delphinusrwebembela3419 4 ปีที่แล้ว +5

    hii kitu ni wakati tu siku moja kila mtu atajibu peke yake

  • @lewiskelvine6808
    @lewiskelvine6808 5 ปีที่แล้ว +6

    Duu hayo majibu ya kipumbavu sana sijaona jibu apo n kutuletea ujinga hapa Tuambie camera zilipelekwa wapi That is Big ishu co kumtaka dereva msituchoshe saiz Na walinzi wa bunge walikua wapi???

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 5 ปีที่แล้ว

      lewis kelvine mbona jibu la swali lako ni rahisi wanazo police kwa ajili ya ushahidi! problem solved.

    • @suitstv5889
      @suitstv5889 5 ปีที่แล้ว

      Huu siutani jamani hii nn? Majb mepes kiivo kwer!

  • @andrewtamba6671
    @andrewtamba6671 5 ปีที่แล้ว +6

    Bomu kabisa huyu waziri

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว

    Sisi sio wajinga labda muwateke wajinga wenzenu mnao wahonga pombe mataputapu

  • @marcokasheshi
    @marcokasheshi ปีที่แล้ว

    Cjui mmefia wap?
    Kila kitu na zama zake !!!
    Kunguru Hawa walitamba sana !!!

  • @mwajumaseleman7171
    @mwajumaseleman7171 5 ปีที่แล้ว +6

    Kweli utawala huu tumepatinaka..."

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 5 ปีที่แล้ว

      😆😆na tunanyooshwa haswa..
      Lkn yana mwisho haya si yakudumu

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 5 ปีที่แล้ว

      Mwajuma Seleman 😀😀😀😀😀😀🙌

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Wafrika tunalaana yakutojiamini tunatabia yaubinafusi unafiki uroho uchoyo nafitina zabure kwasabbu yaakili duni,kufikili kidogo bila kujikumbusha maisha yabadaye kwa jamaa ndgzetu nawatoto vijukuuvyetu,

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 ปีที่แล้ว

    Hela zetu zinaliwa kirahisi Sana huko bungeni...KWa hiyo hapo kabisaa anaona anaongea point?

  • @danieliwilsongurty
    @danieliwilsongurty 5 ปีที่แล้ว +8

    Kweli mnataka tusema kuwa eti Mungu hayupo ndio manana mnafanya mnafanya mnavotaka ngoja niwambie damu za Mwanadamu haipotei bure Mungu atawajibu wale wanaowaotea na kuwaua kwa malipo ya hukumu sisi hatuwezi lakini Tunamkabidhi huyo Farao Mungu atamwajibisha na watu kushuhudia Kama ilivyo kwa farao na wamisri ili iwe fundisho hata siku ya wao kuishi bila kutenda jambo hilo tena kamwe

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 2 ปีที่แล้ว +4

    Ama kweli mwovu hakosi kujidanganya. Mungu atakushughulikia na bado.

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g 7 หลายเดือนก่อน

    Watu Kama huyu waziri kangi wanapaswa kuja kuwajibika hata baadae ya miaka 100 kufuatia tukio la tundu lissu.

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

    Kama wewe inavyo chonganisha mwogope mungu yanimchanakweupe unaeanganya

  • @eliotsanga1935
    @eliotsanga1935 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmm acha hizo baba yangu towa maelezo kufuata swali lilivyo uluzwa

  • @vannyb0y91
    @vannyb0y91 5 ปีที่แล้ว +2

    Acha mbwe mbwe mzee ni damu iliyomwagika siyo maji

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 2 หลายเดือนก่อน

    Mkundu cctv zilienda wapi huo ulikua ishahidi wa kutosha hili senge tu

  • @sudymkele1648
    @sudymkele1648 ปีที่แล้ว

    Halafu mbona anaongea Kwa ukali na anapaniki km yeye aliye husika jamani mbona nchi hii imeanza kutisha Sana yaani ni hatari tuiombee Sana Kwa maana viongozi wetu wamekuwa kama mashetan

  • @albertmaimu702
    @albertmaimu702 5 ปีที่แล้ว +2

    Dont panic,,,,Jibu Hoja, WATZ c wajinga wanaona, wanasikia, wanaelewa hayo makofi ya wabunge wa ccm yatawaponza msipo kuwa wakweli

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli wewe mungu anakuona

  • @nooo3979
    @nooo3979 5 ปีที่แล้ว +5

    maneno mengi lakin pumbaaaa tena za mtamana

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmmmmmmmm sihamini macho na masikio yangu.

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 7 หลายเดือนก่อน

    Chadema ni wachonganish na ndomaana hawavuk kijito kile

  • @IbrahimuKinyunyu
    @IbrahimuKinyunyu 8 หลายเดือนก่อน

    Heeee kangeee cjakuelewa unamansha unafcha wahalif kwa kauli hiyo

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 ปีที่แล้ว

    Huyu alikuwa mpumbavu kupindukia. Vip alisha kufa au. Huyu mbwa

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 ปีที่แล้ว

    Huyu anao ushahidi wakati ukifika popote alipo atatoa ushirikiano

  • @lubatikoseme1446
    @lubatikoseme1446 5 ปีที่แล้ว +4

    Lugoda ni mpumbavu na hana hutu

    • @dominicnzai8256
      @dominicnzai8256 5 ปีที่แล้ว

      Anatoa Taarifa zisizomhusu kimtazamo wangu....kwasababu ...kwasababu Yeye hakuwa kwenye Madaraka....Mwigulu Nchemna ndio anaukweli ...Ni mtazamo tuu lkni....

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu atateseka sna huyu mtu maana hathamini uhai wa mungu kiporo huyu

  • @brunomatalu6232
    @brunomatalu6232 5 ปีที่แล้ว +15

    Yesu alipokuwa akijaribiwa, shetani alitumia maandiko matakatifu kumshawishi lakini shetani alimshinda kwa neno.. kumbe shetani anaijua biblia ili apotoshe watu. sasa ameshindwa kupotosha, anatamani tupotoke na sisi tumeujua upotofu wake hatuufuati tena.shetani we baki kuwa shetani lakini ukweli utabaki na Mungu wetu. we Mungu unamjua mtekaji na aliyempiga lisu risasi.

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

    Unapoteza mda ongea uriotumwanawananchi

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni หลายเดือนก่อน

    Yan hii nchi ilianza ujinga cku nyingi sanaaa huyu alikuwa waziri mjinga sana cjui yuko wap sa iv

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 3 หลายเดือนก่อน

    Umevuna ulichopanda naona saiv unalima kijijini

  • @ahmedlubuva5023
    @ahmedlubuva5023 5 ปีที่แล้ว +3

    ivi mh.raisi huwa anamsikiliza huyu waziri na anamuelewa kabisa

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 ปีที่แล้ว

    Masheteni wakubwa nyinyi . Mungu atawahukumu hapa duniani na kesho akhera.hawa walio hai wapelekwe mahakamani wafungwe kwa kosa la kutakumua lisu na watanzania wote walio potea

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 5 ปีที่แล้ว +1

    Adamu Atoe maelezo gani Wakat mlipgiwa cm kuwa Kuna gar linawaftilia na hamjafanya msaada had tukio limefnyika ndo mmefka .. Na kwann cctv zmetolewa kwa majirani kwa lissu..? ... Mtu mfupi mnono round unabwabwaja tu ka kuku anaetaka kutaga😂😂😂😂.. Unaeleza Kam vle unaimba ngonjera shule ya msing

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว +4

    Mpango wenu kwa lisu umegoma kwa uwezo wa mungu

  • @allanlyombile7014
    @allanlyombile7014 ปีที่แล้ว

    Ivi huyu jamaa yuko wapi sasa hivi? na huko aliko anajifunza nini?

  • @hoseachana2285
    @hoseachana2285 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu jamaa yup wap baada ya kutumwa na shetan kuiba Mali ya uma

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 5 ปีที่แล้ว +5

    Futuhi

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว

    Kwa dereva kutopata jeraha wala sio hoja ya maana hapo

  • @mgogomgogo7266
    @mgogomgogo7266 5 ปีที่แล้ว +2

    Huna issue wew matako tu

  • @ahmadishaibufataha1481
    @ahmadishaibufataha1481 5 ปีที่แล้ว +3

    Kalipeni pesa za korosho kusini na mpk sasa na vimbunga vinakuja hali mbaya uko

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 7 วันที่ผ่านมา

    Nchi hii Ina viongozi wajinga sana mfano wake ni kama awa

  • @AdiaAhmad-i6q
    @AdiaAhmad-i6q 6 หลายเดือนก่อน

    Chizi Kama machizi wengine huyo lisi

  • @domicianalphonce8104
    @domicianalphonce8104 ปีที่แล้ว

    upelelezi umefikia wapi sasa? 3yrs now......!!!!

  • @domicianalphonce8104
    @domicianalphonce8104 ปีที่แล้ว

    Wewe umezeeka vibaya.....

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 5 ปีที่แล้ว +2

    Hv.hua.tunatumia
    Vigezogani
    Kuchagua.Au.kuteua.viongozi

  • @ntemijackson3821
    @ntemijackson3821 5 ปีที่แล้ว +3

    Ujinga TU amekuuliza yupo kwa ajil ya din TU au wananchi

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว

    Wakupige wewe tuone lisansi tuone

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe jeshi la polisi Tz walitaka dereva afe ndipo wajue hiki kitu kilikuwa kikubwa jamani mimi CCM ila kwenye uhai wa mtu tuacheni siasa dunia inazunguka mjue

    • @zachariamhenga3831
      @zachariamhenga3831 ปีที่แล้ว

      Chama Chao kijitasmini juu ya lisu kupigwa lisasi. Unaijua siasa si Lele mama mungu Naye anawaona waliotaka kumuondoa. Wamlete huyo dereva basi kieleweke maana...............

  • @suwedwakil4392
    @suwedwakil4392 ปีที่แล้ว

    Waziri kichaa kuwahi kutokea Tanzania

  • @eliassingoi7565
    @eliassingoi7565 2 ปีที่แล้ว

    Mwoogope mungu we kauzu

  • @drex81
    @drex81 5 ปีที่แล้ว +5

    Haya majibu yanaleta kero sana, hivi wangekufa wote ingekuaje?

    • @rahemaadinani5765
      @rahemaadinani5765 5 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga Sasa si hawajafa inatakiwa wawajibike

    • @drex81
      @drex81 5 ปีที่แล้ว

      Rahema Adinani uwezo wangu wa kufikiri hauniruhusu kujibizaba nawewe

    • @drex81
      @drex81 5 ปีที่แล้ว

      Rahema Adinani everybody can comment but few think deep before they comment

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 8 หลายเดือนก่อน

    Wa ovyo tu wewe huna jipya CCM ya ovyo

  • @daudichirstopher6173
    @daudichirstopher6173 ปีที่แล้ว

    lengo la ccm nikumpoteza tundu Lisu
    lakin watanzania tuna jua kabisa ipo siku ccm ita potea milele

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

    Ugeonja wewe Kama nimwogo mungu akuone

  • @AdiaAhmad-i6q
    @AdiaAhmad-i6q 6 หลายเดือนก่อน

    We walewale waliokunywa uji wa mgonjwa

  • @lastonsimon2932
    @lastonsimon2932 ปีที่แล้ว

    Lugola wewe ndio shetani you

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mm nakuombea ww mwenyewe upoteee kwanza na watu wasiojulikana

  • @mwajumaseleman7171
    @mwajumaseleman7171 5 ปีที่แล้ว +3

    Utawala bora huo

  • @ains1122
    @ains1122 5 ปีที่แล้ว +1

    Polisi na serikali ilitumiwa kumpiga twende Lissu na wewe waziri walijua hilo utakuwa jasiri ku cover hio kesi hapo lkn Ole wako ukifa hutompata mungu wako magufuli kukuteyea huko mbele ya hakii

  • @magrethmwambu7393
    @magrethmwambu7393 5 ปีที่แล้ว

    saf

  • @AkwiliniQawoga
    @AkwiliniQawoga 6 หลายเดือนก่อน

    Shetani ni mlaghai.Mungu anaona

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 ปีที่แล้ว

    Uyo wazili anaongea hicho nyinyi

  • @iddmghamba721
    @iddmghamba721 5 ปีที่แล้ว +1

    cctv zilikuwepo mzee baba na askar walikuwepo kbs ss cjui mnachotaka ni nn hasa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    umekufia wapi.lugola?

  • @marcokasheshi
    @marcokasheshi ปีที่แล้ว

    Wangekufa wote je ?
    Manake mcngefanya uchunguzi !!!

  • @shamtaus6721
    @shamtaus6721 5 ปีที่แล้ว +3

    Laana kum kangi.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 ปีที่แล้ว

    Taifa lilipitia kipindi kibaya sana

  • @samsonmwankosole375
    @samsonmwankosole375 5 ปีที่แล้ว +4

    Tunataka Majibu

    • @kssubitomas9289
      @kssubitomas9289 5 ปีที่แล้ว

      CCTV camera mlizipeleka wapi tunaziombaa

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

    Ivi ilijinga lipo wapi saiv maana ata uchawa auwezi sijui kama litateuliwa na wajumbe 2025 maana enzi ya mwendazake lilikua linajichetua mpaka akalitumbua

  • @cmb6342
    @cmb6342 ปีที่แล้ว

    Huyu hovyo kabisa hana maana

  • @andreamathias6215
    @andreamathias6215 ปีที่แล้ว

    umeaigia paka umeachwa yatima

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว +1

    Mabaya yote mnayomuombea lisu yatawakuta nyie

  • @ramadhanimputa4034
    @ramadhanimputa4034 4 ปีที่แล้ว

    wewe bweka tu ila siku imefika

  • @adielymwarabu5474
    @adielymwarabu5474 4 ปีที่แล้ว

    Mbona unajificha na mwani

  • @andreamathias6215
    @andreamathias6215 ปีที่แล้ว

    huyu maskini wa kugikiri