DAKIKA 12 ZA BALAA LA MWAMBIGIJA AKIWA KIWILA RUNGWE //AKIWASIMANGA CCM HADHARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @daudibukuku6490
    @daudibukuku6490 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pamojaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwambigija unatutania au unatusimanga 😂😂😂😂

  • @2003hintay
    @2003hintay 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kuchonga umejaaliwa lakini hutaona Ndani utaisikia hivo hivo na utatunga mashairi

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 3 หลายเดือนก่อน +1

    We mwambigija ni mhuni toka miaka ya mbeya cement ni mhuni wa kutosha

  • @AsifiweMwakabwenda
    @AsifiweMwakabwenda 26 วันที่ผ่านมา

    Uwakomeshe kamanda

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa amekimbia tuhuma zake, ili azitwishe CHADEMA
    Msukuma amethibitisha hilo.
    Aligeuza rushwa kuwa mshahara.
    Msukuma akaahidi kutoa ushahidi hadharani.
    Je, kuondoka kwake ni hiari au ni mbio za kwenda kupoza hoja ya msukuma?
    Bila shaka watu kama yeye ndo wanaichafua CDM kwa tamaa zao.
    Je siku waamini wa Kanisa lake wakiwa maskini wasiotoa SADAKA atalikimbia KANISA ?

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 หลายเดือนก่อน

    Watu.wanajaribu.kutisha.chadema.mwaka.1959.walimtisha.nyerere
    Kuwatawaweza.wazungu.wengine.wakaapa.nyerere.aalienda
    Mbelle.hadi.akapata
    Uhuru..msirudi.nyuma
    Mshimano
    Dawa.tossha

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 3 หลายเดือนก่อน

    Viwatu vifupiii

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 หลายเดือนก่อน

    Upuzi mtupu

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mwabingija

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ujinga mtupu fungeni barabara leo uone kitakachotokea mnasifiana ujinga mtupu kwenda zenu hapa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiiiiiiiiiiii, CCM kwa hawa chadema mwaka huu na mwaka kesho kazi mnayo ninacho washauri CCM mjiandae kisaikolojia maana hawa chadema wameshindikana mwaka kesho Raisi anatokea chadema CCM kwaheri,kwaheri,kwaheri mpumzike kwa amani