Yaani huyu mzee ni mtu wa mashairi ni mtamu kweli anakipaji cha kutowa hutuba kwa kutumia mashairi HONGERA MZEE CHADEMA INATOWA WATU WATAALAMU WA KUTOWA HUTUBA KWA MASHAIRI HAKIKA INAFURAHISHA
Amejisahau kama alijulikania CDM leo hii anatoa kauli ya kuligawa Taifa kumbe kuna Tanzania ya CCM na kuna Tanzania ya CDM hawa wa akina jua likali ndio wanamhujumu Rais wetu kwa ubaguzi wa kiitikadi.
Huyu bwana Bwana Chadema wangempa kuwa mnenaji mikutano ya chadema yote...nikichwa sana anajua kutembea na jukwaa vzuri sana people power
Safi sana mwambigija uko vzr kwenye promo Mungu akupe nguvu maisha marefu
Mwambigija. Naomba uwe mwanangu ili nicheke kila siku. Cheko ni afya. Unaitoa kwa busara kubwa. Barikiwa
Huyu mwabingija ananimalizia badu bhan maana hutuba zake zinanikosha sana narudia rudia
Safi sana
Nakusoma mtaalam Mwambigija
Mungu asaidie chadema sana tena sana ndugu zangu tuwaombee sana Mungu watie nguvu sana.
Pokea mauwa yako baba🎉🎉🎉
mwambigija aise unavijembe atali nimekubali
Kumbe msigwa alikuwa mwongo kuhusu mwambigija mwambigija nikichwa
Jamani Aida wee mdawako umeishaaaaaa hunanyimbo tena jiandae kua densa
Mora awasimamie daima mbele nyuma mwiko, yy ndo mtetezi wenu aminaaaaaaaaa
Asante kamanda sema ukweli
Ukweli bila kupindisha aida ni kichwa kinafaa kutumika nchii hii
Dada keep fighting 🎉🎉
😂😂 hivi nimekazungumza ka lijualikali katampigia OCD, unonaje hapo tumzuie katikati😅😅😅
jamaa jembe sana
Jamani hamna asielijua kua chadema niwaropokajitu hawana nyimbo kazi yao nikumpinga maendeleo ya mama mama kazi iendeleeeee
Siasa za kibaguzi na uhuni zipo Dc kufanya kazi za mbunge na kukwamisha maendeleo!
Ndiyo mana ya upinzan
Aida usimfitin lijuakali Haya ni maisha
😂🎉
Bado ally kesi ana kesi ya kujibu kwa kenani
Wakora Nyi e
Alikuwa ex wa Jimbo la kilombero uku kwetu akija ifakara kama mbwa tu
Yaani huyu mzee ni mtu wa mashairi ni mtamu kweli anakipaji cha kutowa hutuba kwa kutumia mashairi HONGERA MZEE CHADEMA INATOWA WATU WATAALAMU WA KUTOWA HUTUBA KWA MASHAIRI HAKIKA INAFURAHISHA
10000000000
Daa mtu anae chukia chadema nichizi kabisaaaaa tena chiziiiiiiiii
Mnadi mgomea asha ushamba mkuu hizo zilipita na wakati
Wamalize wafipa nawajua asiwatawale huyo
Pamoja makamanda tunawafatilia
Kweli nimeamini chadema kuna watu na nush
Uyo jualikali mbona chizi tu
Tunduma lini maana tumewamiss sana
🎉🎉🎉
Upovizuri
Mwambie huyo
Kweli aida wewe nijembe kweli
Mhuni,nimsma
Eti hao ndio viongozi wanaotaka kutawala nchi kama ndio hawa chadema nchi itaangamia
Hata ccm wachambaji ni wengi.hiyo ndio siada sio kutekana
Mhuni nimama,Yako,ww,mpumbavu, usiyejitambua
Daa kweli wewe ni mbumbumbu kwani chadema Wana ubaya Gani ila wewe ni chawa 2
Amejisahau kama alijulikania CDM leo hii anatoa kauli ya kuligawa Taifa kumbe kuna Tanzania ya CCM na kuna Tanzania ya CDM hawa wa akina jua likali ndio wanamhujumu Rais wetu kwa ubaguzi wa kiitikadi.
Mwambigija chuma 😅😅😅
Nikweli kabisa
Chadema ni wahuni tu wanatekana wenyewe kwa wenyewe
kama chadema wanatekana nawewe unajua sasa polisi wako wanasubiria nini kuwakamata wahusika?.
Wewe mwenyewe mhuni kuliko hata nzi kazi kujipendekeza tuu.
Subiri utekwe wewe mamaye zako
Kama hazimo kichwani bora kukaa kimya
Watekana wakati lisisim na serikali yeke likiwa wapi