This is head to chadema always is lmotion man when is on chadema political meeting has capacity creat lmotion into rungwe community when they lessening him mwambija
Kwa hali hii matusi kwa kutukana viongoz hata mim ningesimamisha hii miadhara lakin kwa kipindi hichi hii mikutano ingesimama kwanza kazi iendelee kwasababu hakuna litakoswa kuongelewa vibaya kwa kila uwekezaji utao kuja now hii bila shaka ni wakati wakusimamisha miadhara watu wafanye kazi maendeleo ya endelee ikifika wakat turuhusu hii lakin now uwekezaj tanzania utakuwa finyu sana kwasasa
Akili yako inakutosha mwenyewe, Bandari haikuhusu kweli? Hivi nguo unazofaa, vyakula, mafuta, magari, pikipiki na vyombo vya usafiri na vifaa vya ujenzi vinaingiaje nchini, mazao tunayouza nje yanasafirishwa kupitia wapi? Au hujui bandari ni kitu gani! Huna aibu kuuliza maswali ya kifala kama hilo, unatisha!
Safi Sana mzee
This is head to chadema always is lmotion man when is on chadema political meeting has capacity creat lmotion into rungwe community when they lessening him mwambija
Daaaaaaahhh hii nchi imeendaa
Mwambigija Ww Ni Noma Naomba Namba Yako Mzee Wa Upako
Tuna watu wenye akili wanasiasa mahili sema ubepali WA ccm
Sanaaaa wanahofu kuweka uwanja wa siasa huru na haki ndiomana wanawatumia Polisi wakurugenzi wa uchaguzi na wakuu wa mikoa ndo ushindi wao
Rungwe shikamooo nimeipta babaake
Kwa hali hii matusi kwa kutukana viongoz hata mim ningesimamisha hii miadhara lakin kwa kipindi hichi hii mikutano ingesimama kwanza kazi iendelee kwasababu hakuna litakoswa kuongelewa vibaya kwa kila uwekezaji utao kuja now hii bila shaka ni wakati wakusimamisha miadhara watu wafanye kazi maendeleo ya endelee ikifika wakat turuhusu hii lakin now uwekezaj tanzania utakuwa finyu sana kwasasa
na wewe toeni matusi au kasimamishe hiyo mikutano tuone maendeleo unayajua wewe?!
Umeandika Ujinga
Hamna kituuu hapaaaa ulofaaa
Has got message
Mzee wa upako noooma
Mwambigija umeniacha hoi, eti wanawake mkiendelea kulea ccm, mtaletewa ushoga, mtakosa wanaume . Wanaume subwoofer zitaanza kutumika
HII NDIO ADHA YA KUMTANDIKIA SHUKA NGURUWE BANDANI!
Mwambigija umekula Ile pesa uliolangulisha ubunge wko umerudi Tena kaka unataka upewe Tena wajumue cio hakika kura yangu umeikosa
Ukimsema magufuri kwenye mikutano imekula kwenu.
Watu wa Rungwe bandari sijui inawaruhusu nini??
Ko bandari ni ya watu wa wapi kichwa maji wewe,mijitu mingine bongolala
Shangaa Yan cjui watu wanawza nn aisee au hajui mipaka ya nchi
Matope kichwani
Akili yako inakutosha mwenyewe, Bandari haikuhusu kweli? Hivi nguo unazofaa, vyakula, mafuta, magari, pikipiki na vyombo vya usafiri na vifaa vya ujenzi vinaingiaje nchini, mazao tunayouza nje yanasafirishwa kupitia wapi? Au hujui bandari ni kitu gani! Huna aibu kuuliza maswali ya kifala kama hilo, unatisha!
spana😁
Hadithi zazamani sinasaidia nini taifa .Siasa za maji taka.
Inakuuma e mkondya Tulia sindano ya kwinini ikwingie