TBC yatolea ufafanuzi clip ya 2023 ambayo Mtangazaji alisema MV Mwanza itaenda Sudan, Malawi, DRC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 23

  • @kimbwapulekig8126
    @kimbwapulekig8126 5 หลายเดือนก่อน

    wewe jemedali saidi unamaana gan sasa kuweka hii sauti

  • @tonitonito90
    @tonitonito90 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mtangazaji hajui geografia ya Nchi uyu alikuwa kilaza kabisa

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 6 หลายเดือนก่อน

    Uchawa😅😅😅

  • @samwelbalichoka4533
    @samwelbalichoka4533 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hiyo nindege😂😂😂 shida upambe unazidi hadi kero

  • @inkisntdry
    @inkisntdry 6 หลายเดือนก่อน

    Makosa ya kibinadamu? Kusahau?? Are you serious??? Mtangazaji sio kasuku. Anapoongea kwenye microphone ubongo wake bado unafanya kazi. Makosa kama haya yanaaibisha taifa zima. Na hii haikuwa 'live broadcast' kwa hivi na mhariri ni yale yale. Unapotetea kitu kama hiki, wewe huna tafauti na hawa. Jamani Tanzania imekuwaje tukazama mpaka kiasi hiki? What has happened to our country???

  • @BigBoyTechToys
    @BigBoyTechToys 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 huyu jamaa geography hakuielewa kabisa 😂😂😂

  • @AwardBillb000ard
    @AwardBillb000ard 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 dahh mtangazaji hata haiwezekani kumtetea... Ni siasa tu

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 6 หลายเดือนก่อน

    Mhariri anafanya kazi gani adi watangazaji wanaongea vitu vya hovyo ivi 😂😂😂

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 huyu jamaa hajui hata anachoongea! Kikubwa hatukani mtu!

  • @espoiraklonda8664
    @espoiraklonda8664 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwaza leo

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa Zambia itafika vip😂😂😂😂😂😂

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 6 หลายเดือนก่อน

    Lbda Ina gia yakupaa😂

  • @kihangaboymsafi3455
    @kihangaboymsafi3455 6 หลายเดือนก่อน

    Tv ya taifaaaaaa 😂😂😂😂

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 6 หลายเดือนก่อน

    Uchawa ukipitiliza

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 6 หลายเดือนก่อน

    Tbc Wote Nivilaza

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo meli au gari😂😂😂😂😂

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 6 หลายเดือนก่อน

    Kupitiwa tu

  • @azizakitele9165
    @azizakitele9165 6 หลายเดือนก่อน

    Aibu!

  • @walidsultan7486
    @walidsultan7486 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @st.alvincollege6184
    @st.alvincollege6184 6 หลายเดือนก่อน

    Ishakua Basi sasa

  • @suedykibwana5955
    @suedykibwana5955 6 หลายเดือนก่อน

    uchawa

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 6 หลายเดือนก่อน

    Yuko sahiii coz meli itabeba vitu vya nchi hizo