MAJARIBIO YA KWANZA KUTEMBEA KWA ILE MELI KUBWA YA MV. MWANZA 'HKT '.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 7 หลายเดือนก่อน +12

    RIP JPM

  • @impactospace
    @impactospace 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera it's beautiful seatrial 🚢

  • @MwitaMatiko-b5c
    @MwitaMatiko-b5c 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @Mpezie
    @Mpezie 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wanasifiwa hata wasio na sifa.😂

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 7 หลายเดือนก่อน +1

    asanteni china. mnatufanya tuishi wanadamu ulimwenguni

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa uthubutu mkubwa toka kwa wataalamu wa ndani.

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 7 หลายเดือนก่อน +2

    Miradi kama hii nikiiyona namkumbuka Mzee baba Hayati Magufuli

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 7 หลายเดือนก่อน +2

    Aliyeelekeza mtengeneze ninyi ni JPM mbona hamumtaji? Au mnaogopa😂😂😂

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaogopa kupoteza ugali tumbo mbele kazi kusifia kisicho

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 7 หลายเดือนก่อน

      @@lovenessvisent9408. Umeona eeeeh!!!! Lazima wasifie Sofie kwa kujipendekeza. Wakati inajulikana kila kitu, vite vyote hivi Mh, Late Magu ameviacha silimia kubwa like 75 parcent, na makubaliano na garama kubwa zimeshalipwa, alafu wanaleta ambo ya Mama Mama tierd with those stupidness 😮 African Mentality

  • @LuckyMusyki
    @LuckyMusyki 7 หลายเดือนก่อน +3

    Meli lazima itoe moshi baadae ikitembea kwa kazi moshi hupungua acheni ushamba

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi tunaokaa na kufanya shughuli za mashambani na tunaokaa huku shamba tunaonewa sana yani mtu akiwa na uelewa mdogo hata kwa ujinga wake tuna tajwa sisi wa mashambani ila chips mnazokula huko town zinatoka huku kwetu shamba ngoja tugome kulima viazi tuone town bila chips inakuwaje😂

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Mh Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan

  • @ZeProDJay
    @ZeProDJay 4 หลายเดือนก่อน

    Miradi yote ya Mwanza hakuna hata mmoja umekamilika toka alieanzisha aondoke... Na mingine ni kama imesimama kabisa

  • @pvestudios7958
    @pvestudios7958 7 หลายเดือนก่อน

    Moshi mbona mwingi?

  • @MartinLaban
    @MartinLaban 7 หลายเดือนก่อน

    Huo moshi vipi ?

  • @BentleyB-d3u
    @BentleyB-d3u 7 หลายเดือนก่อน

    Aise huu Moshi sijaelewa hapa
    Sjaelewa kwamba hii Engine ni ya Makaa ya Mawe au vp
    Naomba Mtaalam aeleze kuhusu hili

  • @JeremiahNyunza
    @JeremiahNyunza 7 หลายเดือนก่อน

    Huo moshi utakata meli ikitembea kama wiki 2 utaisha wote

  • @ajransumbwa8007
    @ajransumbwa8007 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani hata kama Ina tumia diesel haitakiwi kutoa moshi angalieni meli za Adam zinatoa moshi? Au angalieni meli za zan fast zinatoa moshi? Hapo tumepigwa sio kwa moshi huo duh!

  • @HamisiMakasara-hb3nt
    @HamisiMakasara-hb3nt 7 หลายเดือนก่อน +2

    Inatoa moshi nikwa sababu inatumia diesel,wacha wataalam wafanye yao, siasa baadaye

    • @kennedymukebezi1346
      @kennedymukebezi1346 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli kaka we ni mtaharamu uyo nimemwelewesha ata mimi engine kubwa zinatumua diesel

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt 7 หลายเดือนก่อน

      @@kennedymukebezi1346 huyo inaonekana wa Chama kilee, anayebeza Kila kitu, wewe unaambiwa jopo la wataalam wapo kwenye chombo wanakijaribu, wewe unataakaje na ni chombo kipya, usituletee siasa za chuki

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 7 หลายเดือนก่อน

      Uditudanganye kama hujui mifumo ya meli kanye ulale.

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt 7 หลายเดือนก่อน

      @@gibsonjosephat6352 hakuna mtu hapo!!!

  • @humphreymwamatandala3669
    @humphreymwamatandala3669 7 หลายเดือนก่อน

    Uchavuzi wa mazingira huo moshi. Hivi gari mpya unapoijaribu ikatoa moshi huo utanunua?

    • @conesmo5266
      @conesmo5266 7 หลายเดือนก่อน

      Hiyo sio gari ni meli

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii meli ni coppy ya mapinduzi 2 iliopo zanzibar

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona hizo engine zinatoa moshi sana, kwani zinatumia makaa ya mawe??

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 7 หลายเดือนก่อน +1

      Vip wew ni fundi

    • @smallscaleminingsupplies9670
      @smallscaleminingsupplies9670 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@mosesnyelo1380 kwani lazima uwe fundi kuuliza kwanini engine mpia zitoe moshi, ni common sense tu

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@smallscaleminingsupplies9670🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @HamisiMakasara-hb3nt
      @HamisiMakasara-hb3nt 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo ndiye walee,unaambiwa wataala 60 wapo hapo, wewe nani ​@@mosesnyelo1380

    • @kennedymukebezi1346
      @kennedymukebezi1346 7 หลายเดือนก่อน

      Diesel iyo engine kubwa zina tumia diesel

  • @salumhamdu6633
    @salumhamdu6633 7 หลายเดือนก่อน

    Coal engine...

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hii nchi ina watu wa ajabu sana, wataalamu wafanye kazi ya Serikali ambayo ndio kazi yao lakini badala ya kijisifia wanamsifia kizimkazi😂

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona inatoka moshi sana

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu ina moto

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 7 หลายเดือนก่อน

      @@abuubilal2646 moto mbona haijaripuka..
      Chombo kikiwa kipya hukuti moshi kutok km ivo. Na ukikuta basi ni used.

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tumepigwa apo irekebisheni kwanza harafu ndo mumpe sifa rais wetu ila kw huo moshi hapana mnamchafua mkuu wa nchi yetu, moshi mwingi sana labda kama inatumia makaa ya mawe hapo sawa,

    • @kennedymukebezi1346
      @kennedymukebezi1346 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ujuwi nyamaxa kwa sisi tunao juwa huo moshi ni mafuta ya nochomeka kwenye engine na kutowa moshi, ata generetor kubwa za kuzalisha umeme zinatowa moshi mkubwa tena mweusi inapo kuwa inaongeza mzigo

    • @abdallahomary515
      @abdallahomary515 7 หลายเดือนก่อน

      @@kennedymukebezi1346 kwahiyo meli zote kubwa zinatoa mzito kama huo, acha kamba au na wewe upo kwenye mgao, kitalamu hilo ni tatizo, na inapaswa lirekebibwe

    • @malikkb6444
      @malikkb6444 7 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba uliza ufundishwe maana ya huo moshi. Sio kila kitu kubeza

    • @harry5395
      @harry5395 7 หลายเดือนก่อน

      Inatumia diesel ⛽ sio petroli.

    • @abdallahomary515
      @abdallahomary515 7 หลายเดือนก่อน

      @@malikkb6444 nafikiri matasi si busara ila ninacho weza kukwambia hata wewe ukiwa na gari yako halafu iwe inatoa moshi mwingi mweusi kama ule lazima utaipeleka hiyo gari garage ili ilekebishwe, sasa wewe unasema inatumia mafuta ndo maana inatoa moshi mwingi ckweli kuna shida mahali walekebishe hiyo ndo point Kwa moshi ule Ile engine inahitaji marekebisho ili isiwe inatoa moshi kama kile kiwanda cha nguo kinacho tumia makaa ya mawe,