Mwanaume wa Dubai anunua kisiwa cha TZS Bil.137 kumzawadia mkewe ili aweze kuvaa bikini kwa faragha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 40

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mungu awazidishie mapenzi muzikane

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂 sio ww unahonga IST zogo mtindo mmoja dar hain raha

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Labda hao wanawake wa uko wanashukurani na wanajitambua . Lakini wahapa Tanzania ni sawa na kumuosha mbwa asiye na mwenyewe kwa mema utayo mfanyia. Nilifanya mengi sana kwa aliye kua mke wangu ikiwepo kumnunulia magari mawili kwa siku moja lakini aikusaidia. Ndiyo maana naishi peke yangu mwaka wa 16 sasa. Wanawake wengi wa kiafrika awana shukurani na awajitambui na awajui wanacho taka katika maisha yao. Wanaume kueni makini sana na wanawake wengi ni tatizo kubwa kwa maisha yetu na wengine ni wezi usaliti tamaa mbaya. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani Kamanda.

    • @SudyKamonongo
      @SudyKamonongo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pole sana wakat mwingine naogapa hata kuoa naogopa sana kusalitiwa

    • @AishaMohamed-q3l
      @AishaMohamed-q3l 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pole bro

    • @KhanKhan-h4t
      @KhanKhan-h4t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Polesana ila kunawenyeshukrani my brother 😊

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      tupo tusiojua kusalit na tumekosa wanaume wauminifu kma nyie mmekosa wanawake wauminifu😊​@@SudyKamonongo

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Tatizo wanaume wa kiafrika nao ni balaa tupu. Wanawake wa nje kila kona, kuheshimu mke ni shughuli yani kifupi ni 50/50. Ila mwanaume wa kiafrika apate mwanamke mzungu anavomnyenyekea sasa utasema tuko enzi za kina Kunta Kinte. Badilisheni mfumo wa mawazo yenu mtaishi vizuri tu na wake zenu no matter nationality

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Pesa Ni sabuni ya roho

  • @EvaGlow-r3e
    @EvaGlow-r3e 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona comenti nyingi niza wivu tu 😂😂 kama hujahi kupenda ama kupendwa kaushiya tu,mapenzi yapo ameumbwa na mungu 😎😎

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na wewe mtangazaji sio Kiliharimu, kiswahili fasaha ni KILIGHARIMU

  • @HASSANALIHASSAN-j2h
    @HASSANALIHASSAN-j2h 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Aminunulie na Pepo pia 😂

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu mtangazaji ni mbunifu wa vitu vivutavyo hongera sns

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahaha 😂 dàaaaah 🥺 Hawa wenye Hela wanafanya sisi lalahoi tusiambulie watoto wakali hahaha 😂

  • @mohamededdi7527
    @mohamededdi7527 30 นาทีที่ผ่านมา

    Uku kwetu ati mtu anakimkebe cha gari ati na yeye anapesa .

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakijakuwachana khaa hio itarudishua atabaki peupe aniulize mimi😂😂😂😂

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apo mwanamke aki cheat lazima apigwe bastola

  • @ramadhaniibrahim-zv1ci
    @ramadhaniibrahim-zv1ci 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakwanza

  • @boscojackson5557
    @boscojackson5557 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duuh!

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamisa akimjua hilo danga ataenda dubai eti

  • @KhairatBundala
    @KhairatBundala 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnatudanganya mmesema ili aweze kuvaa bikin! Hapana huyo itakuwa anabembelezwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    • @YoungAfricans1935
      @YoungAfricans1935 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@KhairatBundala good point

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na mwanaume wa marekani anaemnunulia mondi viws mbona utuletei abari 😅😅ila pdd konde gang kwetu ni sherehe ukitaka amini mond kaliwa ckiliza intv ya dudu baya inayotirend namba 2 yutubu bombo claaaaaaa jeshiiiiiiiiiii 🌺 🌺

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ma Shaa Allah dda yetu una suti nzur yakutangza❤

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna lolote apo, money can not buy happiness. Mbona mdada anaonekana hana amani usoni. Fujo tuuu🤪🤪haya njooni uku mnishambulie kunambia mawazo ya kimaskini au sijui naumia nikiwa wapi. Siumii wala nini kuogelea kwenyewe sijui wala sitaki😊🥴

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unatka acheke hovyo kma mshamba wengine vitu vya kawaida hvo

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pesa bhna