ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • EZEKIELI
    22:24-2524.
    Mwanadamu, uiambie nchi, Wewe u nchi isiyotakasika, wala kunyeshewa mvua siku
    ya ghadhabu.
    5.Fitina ya manabii wake imo ndani yake, kama simba angurumaye akirarua mawindo; wamekula
    roho za watu; hutwaa kwa nguvuhazina na vitu vya thamani; wameongeza idadi ya wajane wake
    ndani yake.

ความคิดเห็น • 63

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว +11

    Nimeona matokeo makubwa sana kwenye maisha yangu juu ya kuisemesha aridhi nikiwa naomba kiukweli inasikia

  • @superadventures8060
    @superadventures8060 2 ปีที่แล้ว +8

    Mafundisho yako yamekua Baraka maishani mwangu mtumishi wa mungu, barikiwa Sana.

  • @lightnessgamasa6039
    @lightnessgamasa6039 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nimwema Sana, umefundisha jambo kubwa Sana kwangu natamani ungeniruhusu nikupigie tuongee uniombee pia mtmsh wamungu,Mimi Niko Moshi Kilmanjaro naitwa Lightness Msuya,

  • @stephencharles-z1y
    @stephencharles-z1y 11 หลายเดือนก่อน +1

    nimekuelewa PASTOR SUNBELLA KYANDO, kwamba deal na chanzo na sio kudeal na matokeo.

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka kila ardhi ntakayo ikanikanizalie utajiri in name Jesus Amen

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 ปีที่แล้ว +2

    Naibarik na kuikomboa ardhi iliyobeba kazi yoyote ya Mikono yangu kwa Jina la Yesu

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mafundisho haya nafikiri mm ni zaidi ya mpapai dume. Ee Mungu usiniache.

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda mafundisho yako kanisa lako Niko wapi Arusha niende

  • @dynessmsemo6283
    @dynessmsemo6283 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anisaidie, kujua namna yakuisemesha ardhi🙏

  • @davidngonyani5599
    @davidngonyani5599 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Neno linapenya moyoni

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen ahsante Bwana Yesu Roho Mtakatifu ahsante neno la wakatisanaa barikiwe mno Mtumishi wa Mungu.

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ Amina

  • @shijanestory1912
    @shijanestory1912 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri ya kiroho zaidi.
    Mungu akubariki Pr

  • @GetrudaNdalifashe
    @GetrudaNdalifashe หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 9 หลายเดือนก่อน

    We mungu naamuru kwa jina la yes naamuru uchawi I wowote uliotupwa kwanye ardhi ninayiopita ninaporudi nyumbani huo uchawi ukaharibike

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 6 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @PETERNGULILI
    @PETERNGULILI 3 หลายเดือนก่อน

  • @magrethmvwango2682
    @magrethmvwango2682 ปีที่แล้ว

    Eee mungu kwaimani mponye Emanueli mnyogele arudi kwenye mikono yangu Ameni 🙏 mungu mfungue bitrisi huko aliko arudi nyumbani halaka ameni kwaimani mungu niponye magojwa yote mwilini mwangu ameni napokea uponyaji Mimi magreth laston leo

  • @rebecakabirigi9918
    @rebecakabirigi9918 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi❤️

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius ปีที่แล้ว

    amen

  • @getrudengelime3207
    @getrudengelime3207 2 ปีที่แล้ว +1

    Batikiwa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa MUNGU,kwa mafundisho yako nimebarikiwa mno

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 ปีที่แล้ว

    Mambo nnayopitia na Familia yangu mchungaji mungu akuguse useme na sisi is too much

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeelewa sanaa

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kufundishwa Niko tayari kufundishwa

  • @williampriscilla8140
    @williampriscilla8140 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana unavyo fundisha neno ubarikiwe sana mtumish

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu Baba kwa maarifa haya nisaidie daima kuangalia kanuni na taratibu za kiroho. Amina.

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubari sana

  • @benjaminkimani9186
    @benjaminkimani9186 2 ปีที่แล้ว

    Amen mutumishi wa MUNGU kweli kabisa

  • @joyyjoyy5474
    @joyyjoyy5474 2 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @tatukadope7213
    @tatukadope7213 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumish mafundisho yako ni Zaid ya fimbo

  • @juliuskaliunga2879
    @juliuskaliunga2879 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana man of God

  • @tinielkiboha288
    @tinielkiboha288 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mtumishi kwa mafunio

  • @AnifaLwitiko-un4kt
    @AnifaLwitiko-un4kt ปีที่แล้ว

    Amina baba mungu akubariki

  • @isabellaluhombo2289
    @isabellaluhombo2289 ปีที่แล้ว

    I'm blessed and learned a big lesson Amen

  • @deborajohnson9686
    @deborajohnson9686 ปีที่แล้ว

    Bwana akuongezee baraka
    Unanipa tumaini kubwa

  • @mjumbemwanda9666
    @mjumbemwanda9666 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh mbaka nimeogopa

  • @benjaminmutuku-vq2ur
    @benjaminmutuku-vq2ur ปีที่แล้ว

    You blessing me pastor

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 2 ปีที่แล้ว

    Amen, Mungu ni mkuu sana.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen

  • @HesauDaudiInyalala-bb1ru
    @HesauDaudiInyalala-bb1ru ปีที่แล้ว

    Amna

  • @rizikishemsanga8627
    @rizikishemsanga8627 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana mtumishi naomba unisaidie namba yako ya simu tuwasiliane mtumishi

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 2 ปีที่แล้ว

    Asante Baba

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen man of God

  • @isharakapapi
    @isharakapapi 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ntulisuzan897
    @ntulisuzan897 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏🙏

  • @jemaaloyce8096
    @jemaaloyce8096 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @johnmwanganda491
    @johnmwanganda491 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @piliernest190
    @piliernest190 2 ปีที่แล้ว

    Napenda uvo fundisha pst naomba nipate WhatsApp number yako

  • @irennyamanda7465
    @irennyamanda7465 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mashakdaud6386
    @mashakdaud6386 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @edinaclement7714
    @edinaclement7714 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu nami nimepokea