Rungwe amempata Binti yake alietekwa ameeleza alichoulizwa na Watekaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa chama CHAUMA Hashim Rungwe ambae pia alikuwa miongoni mwa wagombea wa Urais kwa mwaka 2015 ametangaza kupatikana kwa Binti yake.

ความคิดเห็น • 92

  • @pascalmwendakaz7178
    @pascalmwendakaz7178 6 ปีที่แล้ว

    Pole saana mzee na hao wanao lkn hongeren sana ninyi mnadhihaki kwa kutokea haya mambo....

  • @ezekielfunuki6402
    @ezekielfunuki6402 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ninachopendekeza, wewe RUNGWE ushughulikiwe na mamlaka zinazohusika kwasababu simulizi yako ni ya uongo pia ni dhahiri kuwa watz sasa mnatuona wajinga tusioweza kung'amua au kupima jambo la kwel na lisilo la kwel yaan la kutunga.

  • @romanusmakishe67
    @romanusmakishe67 6 ปีที่แล้ว +2

    IFIKE MAHALI HIZI TAARIFA ZIDHIBITIWE!! KWA MTU MWENYE UELEWA NA AKILI TIMAMU HAWEZI KUMUELEWA HUYU MZEE MAELEZO YAKE. KWANZA ANASOMA KWENYE KARATASI NA ALICHOELEZA HAKIELEWEKI VYOMBO VYA HABARI MUWE MAKINI SI KILA HABARI NI HABARI. BE carefully MNALETA TAHARUKI ZISIZONA MSINGI.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 ปีที่แล้ว

    Mtakalia hoo ni serikali kumbe ule upande wa wahuni upo ,mi nakukubali sana mpinzani

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 6 ปีที่แล้ว +16

    watu mnamhadaa huyu mzee ghafla kesho unasikia mwanafamila wako hapatikani ndio hapo utakapoelewa nini maana ya kujiteka😊😊

    • @daimavlog
      @daimavlog 6 ปีที่แล้ว

      PLAN B Na vile hawajulikani watawapata vipande vipande. Mungu ikumbuke TanZania

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz9934 6 ปีที่แล้ว

    Jamani TUWE na heshima bas kidogo kwa wale mnaomsingizia uongo mzee huyu. Aongope kwa lipi hasa!
    Mzee anatupa taarifa ili tujue japo taarifa pia ziko polisi - sisi kama wanajamii pia ni haki yetu kupata taarifa, sasa anatokea kinyago anasema ni uongo, huyu anatakiwa kuchunguzwa ukute yeye ndiye mtekaji ama anawajua watekaji sasa anapoteza lengo.
    Bado mkwewe yuko mateka, halafu nyie na hao wenye dhamana ya Usalama wetu eti wanasema amejiteka! Haya kama mke kajiteka na mumewe atakuwa kajifanyaje?
    Mtu anapofikwa na janga ni utamaduni wetu watz kupeana pole na kufarijiana kwa maneno mazuri, ukiona mtu yoyote anatoa kashfa kwa watu walopatwa matatizo inabidi TUHOJI UTAIFA WAKE...

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 4 ปีที่แล้ว

    Kiki za rungwee😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ronaldmbao618
    @ronaldmbao618 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee alieleza awali kwamba binti yke aliaga anaenda kumtafuta mumewe kituo cha polisi kabla hajapotea. Leo nilitarajia atueleze utekaji ulivyofanyika na alikuwa maeneo gani anapotekwa.

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 6 ปีที่แล้ว

    Serikali yetu INA mambo ya ajabu sana.MTU ajiteke mwenyewe ili iweje ?!!!!

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 6 ปีที่แล้ว +1

    Amejiteka mwenyewe!!Kwa hiyo amefunguliwa charge kama Nondo?

  • @asiazuberi2624
    @asiazuberi2624 6 ปีที่แล้ว +2

    Jambo lakushukuru kma yuko salama

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwanini yeye hawezi sema?

  • @patrickatugonza7434
    @patrickatugonza7434 6 ปีที่แล้ว +3

    Achane uwongo kwanini hujaripoti polisi

  • @revovatusbuhalwe2685
    @revovatusbuhalwe2685 6 ปีที่แล้ว

    Hahaaa nacheka kwa dharaaau na siasa za bongo land

  • @raphaelmhando7412
    @raphaelmhando7412 6 ปีที่แล้ว

    Mzee huna madhara yoyote kwa taifa acheni uhuni wa kitoto wamteke kwa kipi nini ulichonacho wewe?

  • @tintz3157
    @tintz3157 6 ปีที่แล้ว +1

    We mzee pumba kabisa,, kuna sinza inaitwa barabarani ..? Mbona unajichanganya, kwahiyo walimteka kwaajili ya kumuuliza swali moja tu..? Na kumpa chakula sio..? Jiangalie mzee

  • @mwalukoerick2801
    @mwalukoerick2801 6 ปีที่แล้ว

    asaivi mtu
    akilew haonekani
    siku mbili labda ametumbukia mtaloni
    katekwa siasa majitaka

  • @jimjam3242
    @jimjam3242 6 ปีที่แล้ว +2

    Sema allhamdulillaahi

  • @shd12m55
    @shd12m55 6 ปีที่แล้ว +3

    Inatisha sana

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmm

  • @sss3s867
    @sss3s867 6 ปีที่แล้ว

    Mh Allah anajuwa zaidi yaliojificha.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 ปีที่แล้ว +3

    Mbowe ndo atakuwa anausika

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 ปีที่แล้ว +1

    Fanyeni kazi acheni ujinga mmetuchosha,

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazee kazima ovyoooooooo. Eti swali mojo tu. Unamjuwa rungwe? Ujingamtupu. Huo ujinga wapelekee nyumbu za ufipa. Sis welevu hutudanganyi. Nakiki zenu zakijinga izo. Pumbavuuuuu. Zee zima ovyo. Namavuzi yako mdomoni ayo.

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmh makubwa kila kukicha tz haikosi jipya

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +6

    Ha ha ha ha ha haaaa siasa zimeingiliwa jamani.

    • @jumatemba5803
      @jumatemba5803 6 ปีที่แล้ว

      Leila Innocent ,,,we hata hueleweki unachangia kitu gani

    • @leilainnocent6532
      @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว

      JUMA TEMBA utaelewa tu.

  • @badrunisahmursal5200
    @badrunisahmursal5200 6 ปีที่แล้ว +8

    mtindo wa kujiteka

  • @jameskabalega6968
    @jameskabalega6968 6 ปีที่แล้ว +10

    kuna wajinga wanasema huyu mzee anatafuta kiki na ninaamini ni wale wote wasiotumia akili ,akili zao zimeegemea kichama zaidi ni ujinga Wa hali ya juu ,mzee mshukuru mungu kwa kumpata mwanao.

    • @weizsymo6257
      @weizsymo6257 6 ปีที่แล้ว

      Hata wew hiyo comment yako inaonesha uko upande frani tu😁

    • @weizsymo6257
      @weizsymo6257 6 ปีที่แล้ว

      Na upande huo haunaga lugha nzuri siku zote

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 6 ปีที่แล้ว

    Mzee acha ujinga wa kusema uongo. Siasa za hivo hazina nafasi Tanzania. Sisi na serikali yetu tuko busy kujenga viwanda na kutoa huduma za jamii. Tutaona km huko kujitekateka kwenu kutawapa kura 2020

  • @ccmchadema8107
    @ccmchadema8107 6 ปีที่แล้ว +3

    naona chai ya langi au maziwa

    • @munnawwaryaqoob3414
      @munnawwaryaqoob3414 6 ปีที่แล้ว

      salima Kaniki itakua umeona ya chai ya rangi😁😁😁tena ilozidi majani

  • @kulwaluhigo9872
    @kulwaluhigo9872 6 ปีที่แล้ว

    Njama inapangwa, mtu anatekwa, anashikiliwa na kulishwa siku mbili ili tu aje kuulizwa kama anamjua Hamshim Rungwe? Sounds funny

  • @faizhamad2006
    @faizhamad2006 6 ปีที่แล้ว

    Kina mbowe wataambiwa wamejitia jela wenyewe tz goverment ukiona mtu humuoni usiilize weshamuuwa balaa gani hilo jamani

  • @daudimaguha9447
    @daudimaguha9447 6 ปีที่แล้ว +1

    Basi, pumbavu,, endeleeni kuwa wapumbavu

  • @judithbryton730
    @judithbryton730 6 ปีที่แล้ว

    Naona mzee amekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa dsm 😁😁😁😁😁😁,,

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki9914 6 ปีที่แล้ว

    Mtu ajiteke mwenyewe ili iwe nini na hao wote wanaojiteka mwanzo kabla kijiteka washazozana na serikali au mpinzani acheni hizo police mnajiingiza kwenye siasa na kuibeba. Ccm washenzi wakubwa Basi Lissu na yeye kajipiga risasi

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

    hivi rungwe ni msemaji wa POLICE? au hakuriport kituo chochote?? HIZI SIASA ZA KUIGA. huyo binti kamateni na MJOMBA wake huyu muwahoji isije Kuwa staili ya nondo na Kiki ya Rungwe na chauma yake ili nayo itangazwe ktk mitandao imedumaa mno

  • @luciansanga4826
    @luciansanga4826 6 ปีที่แล้ว

    Haja unga niswa na NONDO HUYO? AME ACHWAJE?

  • @yarmouktramonto8625
    @yarmouktramonto8625 6 ปีที่แล้ว +11

    Rungwe you are faking again we all knows you ,you are not honest man , your mind is corrupt, you put your own daughter in captivity and you freed her and now you are making headlines, give me a break ,

    • @jumatemba5803
      @jumatemba5803 6 ปีที่แล้ว +1

      Yarmouk Tramonto ,,,,,,,sikuelewi hata kidogo

    • @magzeeee
      @magzeeee 6 ปีที่แล้ว

      proof?!

    • @mgavinyimsilulwibako4277
      @mgavinyimsilulwibako4277 6 ปีที่แล้ว

      Yarmouk Tramonto no sense

    • @sedrickkantabula9253
      @sedrickkantabula9253 6 ปีที่แล้ว

      Yarmouk Tramonto ebu rud englsh course kasome tena ..uje ukoment tena sawa dada

  • @nelwensnelwens5537
    @nelwensnelwens5537 6 ปีที่แล้ว +9

    chombo cha dola hakimshikilii mtu pasipo taarifa. kila kitu tu serikali mweeee. sometimes tujiangaliage na ss jaman. we also have personal conflicts wid others.

    • @peteromugeko6085
      @peteromugeko6085 6 ปีที่แล้ว

      mini navyojua uzee in dawa kumbe uzee ni upumbavu

    • @peteromugeko6085
      @peteromugeko6085 6 ปีที่แล้ว

      yani hata akilala gesiti katekwa jamani naomba munipe urais sikumoja tu?yani nyie wote munao sema munatekwa mutanionyesha watekaji manager munawajua tombanyoko nyankundo mugongo munatukera sana watanzania

    • @nelwensnelwens5537
      @nelwensnelwens5537 6 ปีที่แล้ว

      Matuc sio mazuri. ucpende kutukana hata kama mtu kakosea. mkosoe kwa maneno yakiuelewa. hapo na wew unaonekana ukizeeka hutakua dawa but a problem too.

  • @josephsospeter8304
    @josephsospeter8304 6 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀 Rungwe bana

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

    Hahahaa mzee ulikua unataka wamfanye?

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 6 ปีที่แล้ว +3

    your not serous at all, yaani una ongea pumba na story yko ni fake hv watanzania mnatuona hatuna akili eenh!?

  • @hamoudahmed7328
    @hamoudahmed7328 6 ปีที่แล้ว

    Looohh!! We ni mwislam kweli unasema uongo

    • @jumatemba5803
      @jumatemba5803 6 ปีที่แล้ว

      hamoud ahmed una uhakika gani kama kasema uongo au wewe ndio hujui unacho kisema

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 6 ปีที่แล้ว

    Kiki kwa pikipiki
    Alikwenda kustarehe lkn?!?!!

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว

    Kakojoe ukalale 😏

  • @gilbertalex1651
    @gilbertalex1651 6 ปีที่แล้ว +1

    😂🤣🤣

  • @weshibmabula9430
    @weshibmabula9430 6 ปีที่แล้ว

    Kiki zakijiga ama niuzee

  • @sadockkabuko8735
    @sadockkabuko8735 6 ปีที่แล้ว +1

    Usikute walikuwa wametekana

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 6 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana.mh hii hatari kubwa

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 6 ปีที่แล้ว +1

    Hivi hiiserikali mbona ipokimya sana yani mtu aki potea kidogo tu ametekwa, mtuanatekwa anahudumiwa kilakitu katekwa kajipeleka jaman hizi kiki zitaishalini?

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole

  • @edinajoshuah4955
    @edinajoshuah4955 6 ปีที่แล้ว +4

    mh basi hao watekaji ni wazuri kama wamempa Chakula na hawakumfanya chochote kile kibaya

    • @shabanabdullaziz9934
      @shabanabdullaziz9934 6 ปีที่แล้ว

      Edina Joshuah kama kapewa chakula chenye sumu ya kuua polepole!

  • @weshibmabula9430
    @weshibmabula9430 6 ปีที่แล้ว

    Hiili lizee lipumbavu kabisa na cjawaikuona mtu jinga ka hili lizee

  • @mako331
    @mako331 6 ปีที่แล้ว +1

    This people who are calling themselves opposition they are very confused, Mzee don't look for political mileage tunawajua nyie na kina Zitto.

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +6

    Mnayoyaomba mtayapata.

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 ปีที่แล้ว +2

    bx hata nondo nae walimteka wakamgeuzia kajiteka mwenyewe magu na makonda ndio wahusika wakuu wautekaji na mauaji

    • @romanusmakishe67
      @romanusmakishe67 6 ปีที่แล้ว

      Quma wewe!

    • @ezekielfunuki6402
      @ezekielfunuki6402 6 ปีที่แล้ว +1

      Shuweha Omar acha Chuki bnafc na za kipumbavu make ztakuponza siku tutakapohtaj ushahidi wa hiki ulichokisema

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mama

    • @voicatiliotv2309
      @voicatiliotv2309 6 ปีที่แล้ว

      Huyu alikuwa ameolewa , muulize vizuri mwanao

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 6 ปีที่แล้ว +3

    Acheni kiki bhna!
    Yaani upoteze muda ,mafuta, nk. umteke mtu ili kumuuliza tu et Rungwe ni nani yako?
    Kwani mpaka nakufuatilia sijui background yako?
    Halafu we Rungwe ni nani nchi hii?
    Hebu acheni watanzania wawe na muda kufanya shughuli za maendeleo kuliko kua mnafanya siasa za k'pumbavu.

  • @barakalukman9568
    @barakalukman9568 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuu noma pole dingi

  • @barick
    @barick 6 ปีที่แล้ว

    kuna watu wanakebehi mambo kama haya yawezekana hadi likukute ndo utaamini au wewe ni wale wanaotumiwa kodhoofisha habari za kweli na kusanifu ukweli

  • @mohamedsigwa9728
    @mohamedsigwa9728 6 ปีที่แล้ว

    we mzee ni wa ajabu uliwah kuona wap mtu anatolewa taarifa ya kutekwa ndani ya ma saa sabin na mbili anapatikana alafu unaaminisha uma bint yako katekwa tar 27-28hivi unajieleawa kwel kama umeshindwa siasa bac tafuta kaz nyingine

  • @paschalombay391
    @paschalombay391 6 ปีที่แล้ว

    naona tunajichanganya kutoa hukumu mara kujiteka mara yuko corrupted hayo ni kwa sababu hayajamkuta kati yetu tunao toa maneno na comment za ajabu tumwombe Mungu kwa yote atujaalie Aman

  • @eugenmgaya6623
    @eugenmgaya6623 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmh..... are you serious Rungwe ?! Nna mashaka nawe.

  • @mtoromuwinge8243
    @mtoromuwinge8243 6 ปีที่แล้ว

    Kiki kwa pikipiki