ASKOFU GWAJIMA ATOA USHAURI HUU MKUBWA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU TANZANIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Askofu gwajima uko vizur Huwa nakuelewa sana sana
Amen Amen.
Ni kweli kabisa. ❤
Unamadini sana mzee wangu
Nimejifunza kitu kwa Baba
Bishop,uko vema!Nondo hizo zitupie kulekule bungeni na kwa wadau wa elimu nchini tuvuke hapa tuliponasa muda mrefu..
lazima Mungu anajambo Na uongozi wa Tanzania kupitia uyu Mtumishi.
Tunapoteza muda mwingi ndo maana mimi binafsi naona elimu yetu ni mzigo kwa vizazi vijavyo
Mara pa! Umekuwa rais
Ningependa watu kama nyie ndo muwe mnakuwa viongozi wamaamuzi nchini ili kusaidia nchi
Mtu afudishwe aina ya madini yote msingi akiwa shule ya msingi
Elimu yetu tulipewa kujua kuandika na kusoma tu wenzetu wanafundishwa technology na science economics ndio maana hata mikataba mingi wanatupiga na wanajua hawa ni vilaza wao hauwezi pata fever hata chembe kwa kuwa wanajua hata ardhi hawampi muwekezaji yote maandaa wewe unapewa kazi tu.