th-cam.com/video/YSGseIYdf20/w-d-xo.html Hakuna Rafiki mwema na anaetunza siri ubaya na maumivu yetu kama Moyo Rafiki yangu moyo endelea kuwa na SUBIRA maana usalaama wako upo mikononi mwa mwenyezi mungu kwa hiyo usijari moyo ni kitu muhimu saana na mungu anautumia moyo kutudhihirishia makuu yake Subira IPO you tube Kama bado hauja subscribe gusa iyo Link
Mshindi wangu wa kwanzaaaa kama unakubaliana nami gonga like ....anajua kumilik jukwaaa kuzidi hata wasanii wazoefuuuh ......sauti balaaaaaa ...haha kiba chukua huyooo
yaani ASAGWILE alistahili kabisa kua BSS WINNER 2018/2019 ila tatizo ni kwamba sarafina ana company kubwa sana mtaani ukizingatia anasoma udsm. hivyo kulikua na kila uwezekano wa yy kupata kura nyingi ukimlinganisha na Asagwile.
Angalia video yangu mpya iitwayo fasheni ulioimbwa na bilionea bichwa kwa kubonyeza picha yangu hapo kushoto unayoiona ,,,tahadhali ,,,usiige sarakasi kama huziwezi ni hatar sana
Anae sema huyo ndoulikuwa mshindi GONGA like
Wallah alistahili
tukusanya rodrick hakika
th-cam.com/video/dTDq8JwIPKQ/w-d-xo.html
Karibu kwenye channel yangu Asagwile mwasongwe subcribe uwe wa kwanza kupata new song
@@tukusanyarodrick1147 lppppp
th-cam.com/video/YSGseIYdf20/w-d-xo.html
Hakuna Rafiki mwema na anaetunza siri ubaya na maumivu yetu kama Moyo Rafiki yangu moyo endelea kuwa na SUBIRA maana usalaama wako upo mikononi mwa mwenyezi mungu kwa hiyo usijari moyo ni kitu muhimu saana na mungu anautumia moyo kutudhihirishia makuu yake
Subira IPO you tube
Kama bado hauja subscribe gusa iyo Link
Mshindi wangu wa kwanzaaaa kama unakubaliana nami gonga like ....anajua kumilik jukwaaa kuzidi hata wasanii wazoefuuuh ......sauti balaaaaaa ...haha kiba chukua huyooo
Jamaa anafanana NA Eddie Murphy
kiiss rajabu uyo ndo mshindiii
Walimuibia na master by force😅
Aiseee,, umetisha sana Ndugu yangu,,je ungependa kuimba kama huyu Asa. Gusa HAPA#IMBATOKAMOYONI#
kama umemuona mkali wenu ..kama mimi nipe like tukujue
th-cam.com/video/dTDq8JwIPKQ/w-d-xo.html
Karibu kwenye channel yangu Asagwile mwasongwe subcribe uwe wa kwanza kupata new song
Jamanii huyu angefaa kuwa mshidii manake anaimbaa anajua kutumia jukwaa
Sanaaaa
Mimi sio jaji lkn kwa nafasi yangu huyu ndie mshindi wa kwanza wa BSS mwaka huu
Kabsa
Unajua mpaka unakera
This man is package, sijui kwanini sio mshindi
Huyu jamaa ni fundiiiii,,, vibe Kama lote
Uyu ndo alifaha kuwa mxhindi anajua sanaaaa
Nikweli Kabisa
ni kweli
Huyuuuu ndiye aliyestahi kua winer anakila kitu
Kamaa umemuonaaa mkali wenu gonga like apa
Huyu ndo mshindo vocal tone yuko poa
Hongera saana kaka unaimba vizuri
th-cam.com/video/dTDq8JwIPKQ/w-d-xo.html
Karibu kwenye channel yangu Asagwile mwasongwe subcribe uwe wa kwanza kupata new song
Mm uyo ndo mshindi wangu..
Huyu sarafina mlimpendelea tu lakini huyu ndio alikuwa mshindi
Hakika
Hakika
Mahija Kapingu kwel
Unaweza sana kaka
Aswagile wakwangu since day 1..fundiiiii
Ukiachilia mbal japo anatoka nyumban na ni mnyakyu mwenzangu lkn huyu mi ndio mshind wangu na wa pili ni wa boda boda saraphina wa tatu.
@@kaobamaabel5561 heheee kweli lakini itabidi tuukubali ushindani ili tuwe washindi..sema Aswa woyoooo
dada unataka nikuchape japo sikujui aswagile wangu jaman since day one
Huyu ndoo mshindi wa kwanza
👍👍👍💝💝💝
Frank Akuno. Amrkwambia nani kama ndo wa kwanza
Asagwile bongo star search 2018 second Winner
Mpk nimepata chills. Wa kwanza kucomment
Jamani acheni kabisaaaaa.......KABISA...ni sheeeeedaaa!!!!!!! WHY NOT NUMBER 1
Yaan ni 2022 lakn Bado unatishaaaa ,,,,nani yupo mwaka huu gonga like hapaa
Nashidwa nisemeje.Ila wew ndo kiboko yao ya bss huu mwaka aijalishi ujapata ila ukweli ndouo
I loved Salama attitude more concentrating on an artist than celebrating the Show,that's how a judge suppose to do Big up
He is versatile, so talented
Yani ushindi ulikua wako.Sema tuu wameona safari hii apewe mwanamke ila wew ndomshindi wetu wa Bss
I love Asagwile all the best
Kbsa
yaani ASAGWILE alistahili kabisa kua BSS WINNER 2018/2019
ila tatizo ni kwamba sarafina ana company kubwa sana mtaani ukizingatia anasoma udsm. hivyo kulikua na kila uwezekano wa yy kupata kura nyingi ukimlinganisha na Asagwile.
umeona eeeee!
Kashinda mwaka huu 2023 Mungu mkuu
@@keshenilemi7452 aisee kama ipo ipo tu.. hakika tusikate tamaa kwa sabab Mungu anatupa kwa wakat sahihi
jamani huyu kaka anaimba vizuri ashiliki tena mwaka mwingine naamini mungu atamjalia apate ushindi wa bss
Ivi jaman mbon hamjamtendea haki uyu jamaaa ujue ndio alie staili kabs kuwa mshindi wa BSS
big up bro lakini mwisho wa siku mshindi anatakiwa kuwa mmoja tu. Unaweza
Haki ya mungu huyu ndie mshindi wangu wa kwanza 100%
Uyo ndo mshindi wa kwanza
Unanibariki sana nakuombea wendeley ivo ivo amena
Huyu ndo angekuwa mshindi Kwa kweli anaweza
aswagilwe nakupnda mwnzio unajua mpk bax duuuh yani
Uyo ndio
Alistaili
alifaaa awe Wa kwanza
mary julius ww unaumwa alistahilikuwa wa pili sarafina bwana
Waaaapiiii😏
Mshindi ni sarafina toka rock city mwamzaaaaaa mwanzaaaas 👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations! To her
Kijana umetisha Hatareee 💪😂😂😂😂
Uyu ndio mshind bhana.... 😊
salama ni kijitu kikoto sana😂😂😋😂yani salama kipindi umtekenye umekunya uterus
nikweli alipashwa kuwa mshindi wamuonea tena sijafurahii hata kidogo
Camera man amezingua sisi tunakuja kumuona mshirik na sio hao ma judge ....Millard Camera man amefail...
Huyu ni balaa anaweza
Mkamuombe msamaha huyu jamaa ...mlimkosea Sana kumnyima ushindi
xichoki kukuangalia unanifrahixh mpk najionea wivu
Neema Kweligwa haya bana
Uyo ndo alikuwa mshindiiiiiiiii wa bss 2018
Millard huyu cameraman wako aliingia hapa anakaribia sana
Sijui haki itakujag liniii 😱ulistaili kuwaaa,,,,,,, au basi🥺
Nampenda sana unajuwa kaka
Duuuuuuh!!!!! Katisha
He did it.....Vinnie 254
salama kakaza shingo jamani hahaaaaaaaaaa
Huyu m2 was camera VP?
Mmmmh 🤔🤔2018 kulikuwa vyuma mazee duh👏
Camera man anazingua sana atuoneshe jamaaa majaji huwa ni baadae
Umeuwasha moto wa gess ushindi wa haki.kbs
firee
yn ww ni nomaa sanaaa
Umetishaaaaa kinyaaamaaaaaaa
N 2022 nkamkumbuka huyu fundyyy acha Vita vya mrus na Ukraine viendelee sasa
Jamaa anajua knoma
Uko poa San asagwileee we ndo mshindiiiii
Yani hata sijafaidi unatuonesha watu wengine tuu bhana 😂 😂 😂
Hahahaa madam mpaka gauni linashukaaa
Asagwile unajua
jomoniiiii asajigweeee mwee
Nice
Weeeeeeeeeeeeeeeeeee🎶🙏
Hello Wapendwa Tafadhari Gusa Picture Yangu Hapo Kushoto Na Subscribe TH-cam Channel Yangu
Hatimaye ameshinda baadya y miaka minne
Uyo anajua
Karibu sana
Cameraman wa bongo bana hasa ndionn
Huyu ndo alotalikiwa kuwa mshindi wa kwanza huyo sarafina Kuna namnaaa
Salama bwana yuko bz wenzke wamemkumbatia wolper yeye Aka,hataki shobo,
Unajua Kaka
good
Oyouyo wa wigi kudondoka
Hili linaitwa Liasagwile. Nieleweke please
huyo ndo namba mmoja
Mie huwaga majaji wananifurahishaga sana aseee😂
kama mondi
Angalia video yangu mpya iitwayo fasheni ulioimbwa na bilionea bichwa kwa kubonyeza picha yangu hapo kushoto unayoiona ,,,tahadhali ,,,usiige sarakasi kama huziwezi ni hatar sana
Dah huyu jamaa anajua knoma
Woyoooooo!Yaan huyu ndye mshindi huyo sarafina me hapana kabsaa!
Junior Smart jamani kutokupewa ushindi imeniuma sana maana unajua sana
Huyu kijana matata hatarii
What is the name of the lost song...... please let me know
SINA MAKOSA by les wanyika.
One of my best zilipendwa songs, I grew up listening to it.
Thanks 😊
wanapendelea awa
Big up Sana unaweza
kujitupa kote uko ajashinda doh
Madam Rita kawakera
Hussein Mohamed we ndo mshindi
Mkali wenu kawa jaji wa staili
Salama mbona umepooza ivyo my lv
Hata kama hakua mshindi haijalishi kipaji anacho
Wew ndo ungeshinda ,waliona wampe demu tuu ila wee ninoma duh kama iyo ya christian bella ndo kabisa
Ben poul
Anajua kumiliki jukwaa na nini watu wanapenda. Kwa bongo atapata mashabiki wengi na atavuna....Ila kwa voko Sarafina bado yuko juu....
kagusa hadi hisia
Utaimbaje nyimbo inayoonesha itikad ww..