Kila siku imekuwa mazoea yangu kuamka asubuhi baada ya kuomba na kufanya kazi kabla ya kuenda kazi,, huwa nachukua simu na kubofya TH-cam ili nipate kutiwa ujasiri na kubarikiwa na wewe kakangu,, ubarikiwe zaidi ya ulivyofikiria kaka,,
kaka nazidi kurudia huu wimbo na ule wa wanauliza na unaitwa nani ..yaani unanibariki siku baada ya ingine ...songa na huo ujasiri adi raha ......jose kutoka nairobi kenya ...adi mm napenda jinnsi unaimba na sauti zuri ..barikiwa sana kaka.....kuja nairobi ...utuimbie kiac ...
Huyu ni christine from Kenya 🇰🇪 aki hii nyimbo inaniguza sana yaani nyimbo zako zote yanguza moyo sana wajua kutunga nyimbo sana different from others! Kipaji ulipewa aki,keep on going man of God 🙏🙏🙏❤❤
Asante sana muimbaji umenikumbusha ndoto zanguuuuu
Waaaaah aki annoint be blessed huu wimbo sichoki kuusikiliza may God meet all the desires of your heart
❤❤❤❤ mungu ww ni waajabu
Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏
Hongera 🎤
Kila siku imekuwa mazoea yangu kuamka asubuhi baada ya kuomba na kufanya kazi kabla ya kuenda kazi,, huwa nachukua simu na kubofya TH-cam ili nipate kutiwa ujasiri na kubarikiwa na wewe kakangu,, ubarikiwe zaidi ya ulivyofikiria kaka,,
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Pia Mimi kwa account ya Anoint Amani nabarikiwa kila asubuhi 🙏
Be blessed sana my brother❤
Very creative kaka
Ubarikiwe mwanangu
Ongela xana mungu akubaliki zana 🙏🙏🙏
I think I am in love with this song🙏🙏🙏napenda Mungu ulivyo hadi raha🙏🙏
Well done ✅
Ongera kubwa kwakweli Mtumishi wa Mungu ❤
kaka nazidi kurudia huu wimbo na ule wa wanauliza na unaitwa nani ..yaani unanibariki siku baada ya ingine ...songa na huo ujasiri adi raha ......jose kutoka nairobi kenya ...adi mm napenda jinnsi unaimba na sauti zuri ..barikiwa sana kaka.....kuja nairobi ...utuimbie kiac ...
Kazi ninzur sana brother 🙏 ubarikiwe
I love your songs they are motivating may God bless you bro
May the almighty God continue to bless you and open up the way to your heart desires
Mungu yu pamoja na wee songa mbele kwa nguvu ya ushindi kwa jina la yesu
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kazi nzuri kuhubiri mambo ya mungu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen 🙏
Kazi nzuri sana 🙏🏿
Go Amani go.......mungu aendelee kukutumia zaidi...Ongeraaaaaaaaaa❤
Wimbo mzuri kweli
Kweli mungu yupo na wewe mtumishi
kabisa
Good work mtumishi wa mungu🙏
Amen kwa mungu hadi raha
Kazi nzuri sana mtumishi 👏👏👏👏🥰🥰 Mungu azidi kukupa neema nyingi 🙏🙏🙏
Nakipenda babangu kazi yako zuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉
Yaani Hadi raha
I love this song so much. It's blessing me beyond expression. Much love from Kenya 🇰🇪
Kazi ninzur sana mtumishi mungu akubariki kwa kazi yako🙏🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Anoint . ..ni Hit
Jamani mm nakupeda mbure ❤❤❤natamani sana siku moja nifanye wimbaji na ww
Huyu ni christine from Kenya 🇰🇪 aki hii nyimbo inaniguza sana yaani nyimbo zako zote yanguza moyo sana wajua kutunga nyimbo sana different from others! Kipaji ulipewa aki,keep on going man of God 🙏🙏🙏❤❤
Napenda vile unaimba mtumishi wa mungu endelea hivyo hivyo ❤❤
Amina kaka yangu 🎉🎉🎉
ubarikiwe kk
Kazi nzuri sana brother
Nice song
Come to America 🇺🇸 USA 🇺🇸 we need your
Kwaivo kuna sura za mkopo sura za DCI😂😂😂😂😂😂😂
Amina mtumishi wa Mungu nakupendasaaaaana kwamana unifarijisana maishani kila nikufaatayo u t b
Barikiwa anton aman napend kazi kazizako
Napenda songs zako sana
Barikiwa sana ndungu, nyimbo zako Zina bariki wengi.
Kaka umebarikiwa sana mungu akutunze unamtumikia kikamiri umebariwa kuimba Saudi unayo nakibari nacho ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amén be blees bro🎉🎉🎉🎉Amén
Kweli kabisaa good song kaka barikiwa penda your songs sana apostle Nicholas Kenya nairobi
Ongera sana kaka
Very beautiful song Annoint ❤ Ubarikiwe
Haki unaomba poa sana zaidi jinzi mnadance naipenda tu sana Hadi najawa na furaha ninapoendelea kuwatch❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉💋💋💋💋
Kweli kabisa kaka
Kweli mungu kwako Kuna raha
Ii wimbo naisikiliza siku mzima napenda sana
Burundi tuko pamojaa tunakupenda kaka yetu ongera sana❤
Kongole @mwanijembe🎉 a very nice song....kumpenda Mungu Hadi Raha....
MUNGU akubariki sana muimbaji mukuu jeune
Nimepanda munavyo mchezeya mungu mbalikiwe
Unarikiwe mtumishi wa Mungu krahu wimbi mzuri
Ongera sana mtumishi
Mungu akubariki wimbo wanitia moyo kabisaa 🎉🙏
Oooyes glory to God nyimbo nzuri❤
Napenda nyimbo ili ubarikiwa Hadid watu washagae geoffrey from mombasa kenya 🇰🇪 👌
Ameeeeeeen ndugu yangu mpendwa.Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi🎉
Kazi mzur san
Jambo mpendwa mtumishi waYesu kristo nafurahia Sana nyimbo zako nakubarikiwa ni pasteur Byamungu Namugambwa Daniel 34e Cadaf Lubumbashi Congo
maadui halooo mkae kimya yesu atupiganie wuuuuuuuui💃💃🕺🕺💃
Wimbo mzuri sana Mungu azidi kukuinua zaidi
Napenda jinsi ulivyo
Ubarikiwe Annoint🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow❤ nice song be blessed
Endelea kuangaza na kuongoza katika Nuru ya Kristo. Upendo kutoka Kenya.
Huko juu❤❤
God bless uman of God nyimbo za baraka
Wow nice congratulations, keep it up ♥️🙏
Amen and Amen 🎉🎉🎉
Barikiwa Kwa wimbo mzuri
God bless this servant.umekua wa baraka kwangu
❤ kweli mungu yupo
Kipaji natural🎉
Ujumbe mzuri sana
Utukufu Kwa mungu,kazi nzuri kaka
Mungu akuinue siku hadi siku.
Ctoacha ku like yaan nazidi kutoka shalom shalom nyingi na aminakwa wingi barikiwa cna🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa mtumishi wa Mungu
God keep blessing you bro, good job 🎧🎧🙏🙏
Hadi raha kwangu
Aksante sana
Barikiwa may the Lord almighty be with u every tym u make a step
Mungu akujazie ❤❤
Ndo ajuwa kexho yetu
Napenda jinsi ulivyo
Ubarikiwe kaka
Good song brother i love❤❤❤
Amazing song❤❤🇰🇪
Barikiwa
Unabariki brother ilove this song be bless brother
Your songs so touching br keep it up
Wow....ongera
Hallelujah 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 ❤❤
Napenda songs zako kaka
Mimi ni mama,nisaidie nimalizie album yangu mwanaguu,nakutana na matapeli tu
Karbu mama angu tutafute kwa whatsaApp +255767240181 🙏