Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2024
- #msizikebadoyukohai#annointamani#
Huu wimbo umeandikwa na kuimbwa na Annoint Amani lengo letu tunataka kuwakumbusha vijana kufanya kaz na kupata pesa halali na sio kufanya mambo yaliyo kinyume na sheria ,
ni hatari sana kwenda kinyume na Mungu na sheria ya nchi , maana uharifu una kuharibia sifa njema wewe na kizazi chako chote, hata kama utaona umepata ulichotaka lakin hakina raha maana sio jasho lako ,hivyo vitaisha tu gafra na utaishi vibaga kuliko awali 🙏
Annoint Amani
👇
Tiktok ,Annoint Amani tz
Whatsapp & call
+255767240181 = +255755099942 )
👇
Video,Directed by Rich one & Magnus
Dar es salama Tanzania ) - เพลง
KAMA UMETOKA TIKTOK ACCOUNT YETU LIKE HAPA❤❤
Anyone from ticktok gongaa like
Ohh yes
hakuna mwimbaji mwingine wa aina yako wewe ni muimbaji wa kimataifa Mungu anajivunia wewe endelea kunyenyekea kwenye mkono wake salute
Aiii Annoint mapenzi tulio nayo kwako, unatufungia kudownload why, na unatubariki, nasi upande mwingine tuna kubariki
Nilitamani kuona video 📷 ya wimbo huu SASA ninayo mungu akubariki mtumishi
Nilisubiri sana KABISA iyi Video
Jamani Wimbo Muzuri kwakweli
Annoint imani amekuwa star kwa sasa nchini kenya nyimbo zake zipo kila mahali haswa western region na nairobi pia mombasa
Nimetoka ticktock kuja kuangalia ❤
Listen to the end and laugh till you break your ribs😂😂
Asante mtumishi wa Mungu. Wimbo unameseji nzuri❤
Pongezi mtumishi video nimeisubiri kwa sana
Nimependa🎉
Amina babangu anoint wewe nimuhubiri mzuri kabisa.
Nyimbo zako Huwa zinabariki sana❤❤
Daddy wangu uko juu sana nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🙆🙆
kauna amin upe hai kwa pumzi yamungu sema a,en like apa
Família unaupiga mwingi sanaaa ubarikiwe
Hongera kwakazi zuli baba mungu azidi kukuinua zaidi
Good educative song annoint amani may God bless u
Mimi n mkenya ila kwa nyimbo zake annoit najiskia kama mtanzania nampenda bure
Kutoka kenya hii nyimbo iko na mafundisho
Sana
❤❤ wimbo mzuri 😊😊
😅😅waigizaji mmeweza haki🎉
Funzo kwa vijana kama mimi
Creativity iko juu. wimbo imejaa mafunzo😊❤❤
❤❤❤🎉 huu Wimbo unafunza sana jamani😢
Mungu akubariki sana mtumishi
Wow ww ni zuchaa kwa uimbaji kaka waja mungu akubariki sana ❤
Waaaaaa hata nilikuwa naogopa jamani....nilidhani watamzika
Good songs with a good new message be blessings
Huyu wimbo nimeupenda❤unatufunza tuwe wa bidii ya kufanya bidii na tusipende vya bure
Ujumbe kafika kweli hogera bro we ni jembe kweli
Wowwww❤❤❤❤❤ nice one congratulations 👏👏👏
Message Iko clear hapo...ukiwa hai akuna mtu anakusaidia ukifaa ndio watachanga nkt!wanadamu
Nk Kenya lkn naipenda nyimbo zako,,ubarikiwe sana
Safi kaka kwa ujumbe mzuri
Mungu akubariki kaka unajua sana nazikubali sana nyimbo zako zinajenga
Hapa congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩nakukubali sana yaani ❤❤❤❤
Toka nimezaliwa sijawah Kuna mwimbaji wa kuwaya anaee elimisha kama ww nyimbo yako nzur sana baba kazana mungu atakubaliki
Yani umeganya vema sn Kwa video hii
Hii kali jamani ukweli mtupu
nimejifunza mengi hapa,asante.
kweli hio nyimbo niwujumbe
Ngoma nzuri kaka😘 Rwanda tunakupenda sana♥️♥️♥️
Nimejifunza ki2..
Ubarikiwe sana
😂😂😂waah bro uko Tu sawa creativity ukonayo🇰🇪
😢😢😢😢😢 Mungu atusaidiye kweli,haya maisha tunayo pitiya ni magumu sana
Wow nice song ❤
Kenyans here we are 🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya tuna njaaa saaana mungu atusaidie
Mungu akupe neema🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yaan Mimi nakupeda Bure.nyimbo zako zuri
Daaaaaaaaaa ngoma hiii disighn sijawahiii isikiaaa huyu mwamba anajuwa sanaaaa😂😂😂😂
Nice song with strong message...let us wait our time is the best...short cut nooo
Napenda maigizo ya nyimbo zako
Ukwly mtupuu 😢😢😢
AMENI MUNGU NI MKUBWA 🙏🙏🙏🙏🙏 GOD BLESSING YOU MY DADY
Nice song
Mungu akutie nguvu Zaid Wew ume chaguliwa kweli
Jama umenigusa kwa ujumbe wako ,kalb ktk iman umuimbie Mungu ,,, kutoka 20:8, Ebrania 4:9
Shukran kwa wimbo ,ubarikiwe na Mungu
Wimbo huu imenbariki sana Daddy
Prince Teddie was here and approved this
Hili ni funzo kubwa sana linahitaji hekima kuelewa
Nyimbo Zako Nzuri Sana Zenye Mafunzo Mema Sana...Hongera Sana And Be Blessed So Much Annoint Amani 🙏 🙏..Much Love From Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dhaaaahhh nmejkuta nalia sana😢😢😢😢😢😢
Yoooo diii nyimbo yauruma sana Tena mafundisho makubwa sana ubarikiwe sana 🙏💙
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Weh!hii ni moto😂
QUAND DIEU TE CHOISIT IL T'UTILISE DE LA MANIÈRE DONT IL VEUT POUR FAIRE CARTONNER SA PAROLE DANS LES MONDE ENTIER
QUE LE BON DIEU TE PROTÈGE CONTRE TOUTE
ARMÉE FORGÉE CONTRE TOI QU'IL T'AUGMENTE L'ONCTION, LA FOIE ET DU COURAGE. SUIS BÉNI PAR CETTE CHANSON QUE DIEU SOIT LOUÉ A AA❤❤
Good know 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦✈️💞💞💞💞💞
Ilike Amani in DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Goma
Shujaa wa mziki Tanzanie Annoit Amani🎉🎉🎉🎉 wendembele baba
Nimejifunza kikubwa sana kuhusu wimbo huu
Go Amani ....at least I met you for the first time at Mombasa...you are such a blessing daddy....blessings 🙏
Mngu akubarik sana namm nataman ningekua karib naww nijifunze uimbaj
Mauwa yako mtumishi🎉🎉🎉🎉
Hata mm wacha mungu aitwe mungu
Bro kwa kuigiza huko sawa
Listening sweet song like this one 😍😍😍😍😍
Sijui mbona nalia😢
Mungu akuinuwe zaidi mtumishi
This boy I wish watu wangekuwa wanajuwa umuhimu wa nyimbo zako
Mutu Waka Minembo Yahao Inani Tuto...
Nyimbo mzuriiiiii Sanaa yenye maadiri kabixa mungu akubaliki Annoint kijana mwenzangu 🙏🙏🙏🇹🇿🙏
Annoint we love u from Kenya keep shining bro🙏🙏🙏🙏
Hii imeenda shulee umefikiria sana
Barikiwa sana annoth
Nice song keep it up 🇰🇪
Wow ....deep message
Kaka hapa umetisha❤❤❤❤❤
😂😂😂😂l remember last nikiomba video ya hii wimbo 😢kumbe mungu alisikia maombi yangu.mumgu akubariki sana mtumishi wa mungu ❤❤
Wow hii nzuri sana
Barikiwa sana
Mimi wakwanza hapa
Good job bro keep going 🎉❤❤
🔥 imewezaaaa, alaf namuona simon gunzi katika ubora wake😂❤
🤣😂😂😂KAZ NZUR
Wow .....keep it
From tiktok😅😅😅message delivered well Mtumishi
High level of thinking capacity
Huyo mama kaigiza kufa kabisaaa
Iko vizur kaka
Nimeipenda❤❤❤
Good job👌👌 ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮