YOUTUBE INALIPA VIPI KWA MWEZI? Vigezo 5 Muhimu Uanze Kulipwa Haraka (Ukiwa Popote Africa)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2024
- TH-cam ni Pesa!
#tubepesa #views #adsense #tanzania
Tazama video hii mpaka mwisho ugundue vigezo vitano vya muhimu ili uanze kulipwa haraka ukiwa Tanzania au nchi yoyote Afrika.
Vigezo hivyo ni:
1. 0:32 Hakiki jina/ utambukisho wako
2. 0:45 Hakiki namba za simu
3. 1:11 TH-cam Community Guidelines / Masharti
4. 1:35 Subiri utumiwe PIN mailer
5. 2:20 Tax information / Taarifa za kodi
Subscribe uendelee kupata videos kali zaidi uanze kuingiza pesa kupitia mtandao wa TH-cam!
🎉🎉
🎉
Lets go broski💪🏽💪🏽💪🏽
Asante sana ubarikiwe kwa
Asante kaka
🫡🫡🫡
Masaa 4000 ulifikisha kwa mda gan bro
Masaa za video kutazamwa hutegemeana na watu/mashabiki wanavyotembelea channel yako kutazama video zako. Hivyo inaweza chukua miezi sita mpaka miaka mitatu.
Shukran kaka
Je TH-cam wanalipaje kwa short video
Mara nyingi TH-cam shorts hutegemea idadi ya views haswa haswa ukiwa na views wengi zaidi ya laki tano utalipwa $70 - $250 ndani ya miezi mitatu
Mze nisaidie no yako Chanel yang ya kwanza ni hii hapa iko na shida @Biva bny
Ina 3.35k sbsrb
Mimi nilifungua tu shida ni rugha siielewi ya kingereza nifanyeje kukamikisha?
Ni muhimu kufahamu angalau kidigo ili mambo yawe mepesi
Au unaweza ukaenda kwenye settings za browser yako ukabadilisha lugha kuwa kiswahili
Mimi niliweka namba ya simu ya mtu nataka nibadilishe nifanyeje nisaidie
Login kwenye account yako kisha ingia youtube studio kufanya mabadiliko kwenye account yako
@@tube_pesa OK thank you
Afu $ unabadilishaje kuwa tz shillings
Ukiwa kwenye TH-cam studio yako, ingia kwenye tab ya earnings kisha nenda kwenye channel, halafu currency. Badilisha kwenda TShillings.