YouTube Pe$a
YouTube Pe$a
  • 19
  • 24 399
UNA CHANGAMOTO KUTENGENEZA PESA AU KULIPWA YOUTUBE? COMMENT UPATE MAJIBU YOTE (4X4)
Tudiscuss changamoto wanazopitia watengeneza maudhui katika youtube channel zao.
Unakwama wapi?
Dondosha comment yako tujadili pamoja jinsi ya kutatua changamoto mbalimbaali tunazokutana nazo youtube.
1. Njia za Malipo
2. Jinsi ya kulipwa
3. Maudhui yenye pesa nyingi
4. Jinsi ya kutengeneza Thumbnail
5. Maelezo ya video zako.
มุมมอง: 38

วีดีโอ

YOUTUBE INALIPA VIPI KWA MWEZI? Vigezo 5 Muhimu Uanze Kulipwa Haraka (Ukiwa Popote Africa)
มุมมอง 1.3K4 หลายเดือนก่อน
TH-cam ni Pesa! #tubepesa #views #adsense #tanzania Tazama video hii mpaka mwisho ugundue vigezo vitano vya muhimu ili uanze kulipwa haraka ukiwa Tanzania au nchi yoyote Afrika. Vigezo hivyo ni: 1. 0:32 Hakiki jina/ utambukisho wako 2. 0:45 Hakiki namba za simu 3. 1:11 TH-cam Community Guidelines / Masharti 4. 1:35 Subiri utumiwe PIN mailer 5. 2:20 Tax information / Taarifa za kodi Subscribe ue...
FANYA HIVI KABLA HUJAFUNGUA YOUTUBE CHANNEL!! USHAURI JINSI YA KUANZA YOUTUBE
มุมมอง 2.2K6 หลายเดือนก่อน
#youtube #pesa #tanzania #2024 Jinsi ya kuanza youtube kuanzia ulipo kwa kutumia kifaa chochote/ simu yako. Ushauri wa bure namna ya kujitengenezea mashabiki youtube na kuanza kuingiza/kutengeneza kipato.
MBINU 3 ZA KUTENGENEZA PESA YOUTUBE KWA DAKIKA MBILI
มุมมอง 2936 หลายเดือนก่อน
Mbinu za kutengeneza pesa TH-cam kwa dakika mbili 100% TubePesa #pesa #youtube #jinsi #2024
JINSI YA KUTENGENEZA PESA YOUTUBE KWA KUTAZAMA MOVIE TU!! TUMIA NJIA HII
มุมมอง 2.2K7 หลายเดือนก่อน
Nimeeleza kwa ufupi sana jinsi ya kutengeneza kipato kwa kutazama movie tu. Fuatilia TubePesa zaidi kujifunza. #pesa #youtube #2024
TUMIA MBINU HIZI KUCHUMA MAPATO/PESA 💯 KWENYE VIDEO UNAZOWEKA YOUTUBE 2023
มุมมอง 192ปีที่แล้ว
Karibu tushirikiane mbinu 3 za kuchuma mapato kwa ku upload videos TH-cam. Mbinu ya kwanza: Angalia video zinazopendwa sana kisha tengeneza MBINU YA PILI: Watazame watenheneza maudhui waliofanikiwa. Wamefikaje? Kisha tengeneza ushirika na watu wanaokutazama Mbinu ya tatu: Fuatilia maendeleo ya videos zako. #shorts #youtube #millardayo #snashtz
YouTube INALIPA? MAJIBU YOTE JINSI YA KUPATA MALIPO #tubepesa
มุมมอง 189ปีที่แล้ว
#youtube #tubepesa #pesa Je, youtube inalipa? Fuatilia channel ya @tube_pesa kuweza kujifunza njia za kulipwa na youtube na jinsi ya kutengeneza maudhui
KENYAN 🇰🇪 @HukuYues172 ALIVYOANZA YOUTUBE AMERICA NA KUSHIKA MASHABIKI AFRIKA #hukuyues
มุมมอง 72ปีที่แล้ว
#kenya #hukuyues #ibrahimonami Mkenya maarufu sana kama @HukuYues172 amekuwa akitengeneza maudhui makali sana na kuweza kupata mashabiki Afrika nzima! Mtazame ushauri anaotoa 💪🏽
IBRAHIM ONAMI @HukuYues172 ALIVYOANZA YOUTUBE VIDEOS, UMAARUFU WAKE HADI KUTOBOA MAREKANI
มุมมอง 73ปีที่แล้ว
#ibrahimonami #hukuyues #samtvke Mtazame Ibrahim Onami A.K.A @HukuYues172 akielezea maisha yake ya kufanya content za TH-cam na kupata Umaarufu ndani ya muda mfupi. TAZAMA VIDEO YA IBRAHIM ONAMI AKIOKOTA GARI YUES th-cam.com/video/z1axrPLG2-I/w-d-xo.html th-cam.com/video/7bzKtZEJod0/w-d-xo.html Asante sana SAM TV KE kwa kutupatia info hii check link hapa chini kuona video zingine @Samtvke
JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YOUTUBE NA KUINGIZA KIPATO HATUA KWA HATUA(Kila kitu Unachotakiwa Kujua)
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL TH-cam NA KUINGIZA KIPATO HATUA KWA HATUA(Kila kitu Unachotakiwa Kujua)
IBRAHIM ONAMI @HukuYues172 AKIONESHA SNOW STORM JANUARY HII ILIVYOCHAPA MAREKANI!
มุมมอง 193ปีที่แล้ว
IBRAHIM ONAMI @HukuYues172 AKIONESHA SNOW STORM JANUARY HII ILIVYOCHAPA MAREKANI!
JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA YOUTUBE | NA KULIPWA HARAKA!
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA TH-cam | NA KULIPWA HARAKA!

ความคิดเห็น

  • @Mathiasmwangili
    @Mathiasmwangili 4 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmh

  • @FrankFrankjoseph
    @FrankFrankjoseph 16 วันที่ผ่านมา

    Broo sina you tub nafanyej kujiungaa....???

  • @Befan.
    @Befan. 19 วันที่ผ่านมา

    unapatikana wap

  • @DogoTistiany7
    @DogoTistiany7 22 วันที่ผ่านมา

    Thank you

  • @DogoTistiany7
    @DogoTistiany7 22 วันที่ผ่านมา

    Kaka ili niweze kulipwa inabidi niwe na kitamnulisho cha nida au mfumo mwengine

  • @DogoTistiany7
    @DogoTistiany7 23 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @DogoTistiany7
    @DogoTistiany7 23 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉dah kaka endelea kutupa mafunzo

  • @Gragoman
    @Gragoman 28 วันที่ผ่านมา

    Oky

  • @SamwelLuckas
    @SamwelLuckas หลายเดือนก่อน

    Natamani kutengeneza pesa you tube

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 29 วันที่ผ่านมา

      Karibu boss, hapa utajifunza.

  • @Chebongi
    @Chebongi หลายเดือนก่อน

    Free advice remember to watch like comment and subscribe.

  • @BabaMento
    @BabaMento หลายเดือนก่อน

    Nime ipenda pia

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 29 วันที่ผ่านมา

      Karibu boss

  • @EvangelisteJohn
    @EvangelisteJohn หลายเดือนก่อน

    Mimi naomba unisaidie tiktok yangu sipati vues naishia ku 200 vues

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 29 วันที่ผ่านมา

      Karibu boss. Nitaanza kutengeneza video za tiktok soon ili kuwafikia watengeneza maudhui wote

    • @EvangelisteJohn
      @EvangelisteJohn 29 วันที่ผ่านมา

      @@tube_pesa asante ndugu yangu

  • @CodegengTech
    @CodegengTech 2 หลายเดือนก่อน

    Nipe dalasa

  • @UpendoGamida
    @UpendoGamida 2 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @VybzKartel-xv4sg
    @VybzKartel-xv4sg 3 หลายเดือนก่อน

    Hey bro it's G here 😊

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Thanks for coming

  • @VybzKartel-xv4sg
    @VybzKartel-xv4sg 3 หลายเดือนก่อน

    Hey bro it's G here 😊

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Thanks for coming

  • @VybzKartel-xv4sg
    @VybzKartel-xv4sg 3 หลายเดือนก่อน

    Hey bro it's G here 😃🧐

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      How are you doing Young blood!

  • @Vallyc-hj1fn
    @Vallyc-hj1fn 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @WisBoe
    @WisBoe 3 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @Nyasamedia
    @Nyasamedia 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilifungua tu shida ni rugha siielewi ya kingereza nifanyeje kukamikisha?

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Ni muhimu kufahamu angalau kidigo ili mambo yawe mepesi Au unaweza ukaenda kwenye settings za browser yako ukabadilisha lugha kuwa kiswahili

  • @cutworksstudio
    @cutworksstudio 3 หลายเดือนก่อน

    Nafanyaje kuongeza Subscribers kwenye TH-cam channel yangu?

  • @MarryNoel-ht2qc
    @MarryNoel-ht2qc 3 หลายเดือนก่อน

    Natamani pia kua na youtube sijui inafanyaje

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Ni rashisi sana, kama una gmail account unaweza kufungua na kuanzisha channel yako. umekwama wapi tukusaidie?

    • @user-py4xj9cw8r
      @user-py4xj9cw8r 3 หลายเดือนก่อน

      @@tube_pesanisaidie no yakon please

  • @CLEMENTMSOMBA
    @CLEMENTMSOMBA 3 หลายเดือนก่อน

    Afu $ unabadilishaje kuwa tz shillings

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa kwenye TH-cam studio yako, ingia kwenye tab ya earnings kisha nenda kwenye channel, halafu currency. Badilisha kwenda TShillings.

  • @CLEMENTMSOMBA
    @CLEMENTMSOMBA 3 หลายเดือนก่อน

    Masaa 4000 ulifikisha kwa mda gan bro

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 3 หลายเดือนก่อน

      Masaa za video kutazamwa hutegemeana na watu/mashabiki wanavyotembelea channel yako kutazama video zako. Hivyo inaweza chukua miezi sita mpaka miaka mitatu.

    • @CLEMENTMSOMBA
      @CLEMENTMSOMBA 3 หลายเดือนก่อน

      Shukran kaka

  • @Piuscomedy950
    @Piuscomedy950 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliweka namba ya simu ya mtu nataka nibadilishe nifanyeje nisaidie

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Login kwenye account yako kisha ingia youtube studio kufanya mabadiliko kwenye account yako

    • @Piuscomedy950
      @Piuscomedy950 4 หลายเดือนก่อน

      @@tube_pesa OK thank you

  • @IdrissahSultan
    @IdrissahSultan 4 หลายเดือนก่อน

    Sijakuelewa vizuri hapo

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Kipande kipi haswa?

  • @CJayWalker
    @CJayWalker 4 หลายเดือนก่อน

    Keep going Ni**a

  • @SalikeyMsani
    @SalikeyMsani 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      🙏🏽

  • @rombomkurwa
    @rombomkurwa 4 หลายเดือนก่อน

    Je TH-cam wanalipaje kwa short video

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Mara nyingi TH-cam shorts hutegemea idadi ya views haswa haswa ukiwa na views wengi zaidi ya laki tano utalipwa $70 - $250 ndani ya miezi mitatu

    • @KikosiKazi112
      @KikosiKazi112 4 หลายเดือนก่อน

      Mze nisaidie no yako Chanel yang ya kwanza ni hii hapa iko na shida @Biva bny

    • @KikosiKazi112
      @KikosiKazi112 4 หลายเดือนก่อน

      Ina 3.35k sbsrb

  • @JudithLaizer
    @JudithLaizer 4 หลายเดือนก่อน

    Good c jay@ yur doing a great job

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Thank you!

  • @freddielucc7314
    @freddielucc7314 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ubarikiwe kwa

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Asante kaka

  • @RukiaMulabyo
    @RukiaMulabyo 4 หลายเดือนก่อน

    Mambo

  • @RukiaMulabyo
    @RukiaMulabyo 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @CJayWalker
    @CJayWalker 4 หลายเดือนก่อน

    Lets go broski💪🏽💪🏽💪🏽

  • @cutworksstudio
    @cutworksstudio 4 หลายเดือนก่อน

    🫡🫡🫡

  • @cutworksstudio
    @cutworksstudio 4 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @phelixsimiyu50
    @phelixsimiyu50 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤😂😂

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Asante kak

  • @kamuogo
    @kamuogo 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka sijakwelewa vizuli hapo

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Nimetoa video mpya inaelezea vizuri kwa undani

  • @user-fm2bd8hv5w
    @user-fm2bd8hv5w 5 หลายเดือนก่อน

    Kula maisha2😁😁

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Maisha bado hamnaa

  • @user-fm2bd8hv5w
    @user-fm2bd8hv5w 5 หลายเดือนก่อน

    Ohoo hakika aloo giglz aph❤😂

  • @SaidNdedu-mf3bs
    @SaidNdedu-mf3bs 5 หลายเดือนก่อน

    Reta hiyo

  • @MOTOAFRICATV-nd7qu
    @MOTOAFRICATV-nd7qu 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako brother ili tuongee unisaidie natamani sana kuwa you tuber

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 5 หลายเดือนก่อน

      Namba ni 0712961959

  • @Derick47083
    @Derick47083 5 หลายเดือนก่อน

    Hpa yangu Ina subscriber 1950 lakin mbna silipwi

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 5 หลายเดือนก่อน

      Watch time hours zimevuka 4000?

  • @SarafinaJackson-bz8vp
    @SarafinaJackson-bz8vp 5 หลายเดือนก่อน

    Endelea kutufundisha baba

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @Url-milngamichelNarto
    @Url-milngamichelNarto 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa sana

  • @ignasmwasile5848
    @ignasmwasile5848 5 หลายเดือนก่อน

    je kwenye channel moja unaweza ukawa unarusha habari za michezo habari za siasa?

  • @BrysonNdikumana
    @BrysonNdikumana 6 หลายเดือนก่อน

    Mm ningependa unifundishe namba ya kutengeneza video na namba ya kuirusha utubu hatimaye kujipatia kipato

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      Nimetoa video mpya boss inaelezea kila kitu kwa undani

  • @eriqlotha2398
    @eriqlotha2398 6 หลายเดือนก่อน

    👍

    • @tube_pesa
      @tube_pesa 4 หลายเดือนก่อน

      thaanks bro

  • @eriqlotha2398
    @eriqlotha2398 6 หลายเดือนก่อน

    👍