- 29
- 29 824
Mutafarm TV
เข้าร่วมเมื่อ 1 มี.ค. 2024
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #FAIDA ZA KUGEUZA MARANDA
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #FAIDA ZA KUGEUZA MARANDA
มุมมอง: 745
วีดีโอ
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #Mambo ya kuzingatia kwenye ujenzi Banda bora la kuku
มุมมอง 11421 วันที่ผ่านมา
#Mambo ya kuzingatia kwenye ujenzi Banda bora la kuku
UJENZI WA BANDA LA SHAMBA MPYA UNAENDELEA
มุมมอง 12021 วันที่ผ่านมา
UJENZI WA BANDA LA SHAMBA MPYA UNAENDELEA
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ#Namna Jotoridi Linavyoathiri Utagaji
มุมมอง 263หลายเดือนก่อน
#Namna Jotoridi Linavyoathiri Utagaji
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ# ujenzi wa banda jipya la kuku wa mayai na kuku wa nyama
มุมมอง 96หลายเดือนก่อน
ujenzi wa banda jipya la kuku wa mayai na kuku wa nyama
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ# ZINGATIA USHAHURI WA MTAALAM
มุมมอง 196หลายเดือนก่อน
ZINGATIA USHAHURI WA MTAALAM
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #MKURUGENZI
มุมมอง 348หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #MKURUGENZI
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #WAFANYA KAZI WA MUTA FARM
มุมมอง 1752 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #WAFANYA KAZI WA MUTA FARM
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ... jinsi ya kupata soko la mayai
มุมมอง 3912 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ... jinsi ya kupata soko la mayai
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #Mambo muhim yakuzingatia kuku wanapokuwa kwenye utagaji wa mayai
มุมมอง 2252 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ #Mambo muhim yakuzingatia kuku wanapokuwa kwenye utagaji wa mayai
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJI#Tajirika kupitia kuku wa mayai
มุมมอง 4192 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJI#Tajirika kupitia kuku wa mayai
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJ, #Maandalizi ya kesho yanaanza leo
มุมมอง 5632 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJ, #Maandalizi ya kesho yanaanza leo
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ ufugaji unaIipa usiKate tamaa
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ ufugaji unaIipa usiKate tamaa
WEEK YA 16 KUKU WA MAYAI WAMEANZA KUTAGA PART 2
มุมมอง 4753 หลายเดือนก่อน
WEEK YA 16 KUKU WA MAYAI WAMEANZA KUTAGA PART 2
WEEK YA 16 KUKU WA MAYAI WAMEAANZA KUTAGA
มุมมอง 8853 หลายเดือนก่อน
WEEK YA 16 KUKU WA MAYAI WAMEAANZA KUTAGA
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJI, MABORESHO NDANI LA BANDA LA KUKU WA MAYAI
มุมมอง 6273 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJI, MABORESHO NDANI LA BANDA LA KUKU WA MAYAI
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI # VITU VYA KUZINGATIA KABLA HUJAANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI # VITU VYA KUZINGATIA KABLA HUJAANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJ TANZANIA #changamoto ya ufugaj wa kuku wa mayai
มุมมอง 1.9K5 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJ TANZANIA #changamoto ya ufugaj wa kuku wa mayai
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI , UMUHIMU NA FAIDA YA KUPIMA UZITO WA KUKU WA MAYAI KILA WIKI KUTOKA
มุมมอง 1.1K5 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI , UMUHIMU NA FAIDA YA KUPIMA UZITO WA KUKU WA MAYAI KILA WIKI KUTOKA
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA
มุมมอง 10K5 หลายเดือนก่อน
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA
UHAMISHAJ WA VIFARANGA TOKA BROAD KWENDA BANDA KUBWA
มุมมอง 8866 หลายเดือนก่อน
UHAMISHAJ WA VIFARANGA TOKA BROAD KWENDA BANDA KUBWA
UJENZI WA BANDA LA KUKU WA MAYAYI INAENDELEA
มุมมอง 4596 หลายเดือนก่อน
UJENZI WA BANDA LA KUKU WA MAYAYI INAENDELEA
ULEAJI WA VIFARANGA WA SIKU MOJA WA MAYAYI
มุมมอง 5447 หลายเดือนก่อน
ULEAJI WA VIFARANGA WA SIKU MOJA WA MAYAYI
UPAUWAJI WA BANDA BORA LA KUKU WA MAYAYI
มุมมอง 1097 หลายเดือนก่อน
UPAUWAJI WA BANDA BORA LA KUKU WA MAYAYI
Ujenzi wa mabanda bora ya kuku wa mayayi na ng'ombe wa maziwa
มุมมอง 4658 หลายเดือนก่อน
Ujenzi wa mabanda bora ya kuku wa mayayi na ng'ombe wa maziwa
Ujenzi wa mabanda bora ya kuku wa mayayi na ng'ombe wa maziwa
มุมมอง 4059 หลายเดือนก่อน
Ujenzi wa mabanda bora ya kuku wa mayayi na ng'ombe wa maziwa
Bro. Upo mkoa gn na naweza kupata mawasiliano Yako km hutojali ? Napenda MUNGU akijalia wkt muafaka nije kukutembelea
Morogoro, Dumila Mogole estate namba ya sim ipo kwenye screen
Ni bora wewe uliyeamua kurudi Tz, maana wengine wakishaenda ughaibuni wanajitahidi wasirudi bongo
Banda moja kama hilo limegharibu Bati ngapi na tofali?
Wonderful
Safi sana
Kipindi kizuri naomba no ya huyo mfugaji
Asante sana tunaendelea kujifunza toka kwenu
Good job 👍🏿
Kazi nzuri
Ooooh fantastic
Safi doctor
Tunaendelea kujifunza, ongereni
Safi
Hongereni saana
Mungu awajalie
kazi njema napata mafunzo mengi kutoka kwenu
Najipaga nijege banda ligine nikipata mutalam
Asate brother na mimi Nimesajalibu. Ira natamani tuwasiliane .mimi nilinuwa eneyo hekali 2. Nikajega banda upana 6 kwa 20 .nikaigiza kuku. Nikapata chagamoto yakubata mutalam.mimi natoke Australia
Twambie uliendaje Canada. Maswala ya ufugaji kilamtu anajua. Mtaji ndojambo la msingi.
Location wise mnapatikana wapi
Magole Estate, Mkoa Morogoro
Mbona hampokei simu mkipigiwa ?
Mbona mkipigiwa simu hampokei?
angalia number ilioko kwenye video za sasa hivi...
Naomba namba zako
Kwenye screen apo
Safi sana
Good job!
Kazi nzuri
Mungu akipenda nitakuja kuwatembelea najua kuna mambo meengi nitajifunza Saloot Sana
Good 😂
Hongera na kazi !
Vipi kwa sasa wanataga asilimia ngapi ?
94%
Weeeee, seriously? !!! Hivi 94% inawezekana kumbe ??
Ndio
Hongera sana, Mayai ni makubwa na mazuri
Well done, poa sana, #layers #chicken
Congratulations brother ❤🎉
Let's move forward with the hope to make it better in the coming days. God bless you all members of MUTAFARM
Mambo great kabisa
Muta farm congratulations
Keep up the good work guys
Tunaomba formula za chakula kulingana na umri wa kuku
Naomba kujua hao kuku wana umri gani na sasa wanataga asilimia ngap ?
Naitaji hao kuku wa mayai 200 nipo tunduma mkuu
Vp kwa sasa wanataga asilimia ngapi?
Hongera sana.. nakumbuka tuliwahi kuwa na mjadala whataap kuwa miezi 6.. wiki 24 ndio unaanza kuhesabu kuuuza mayai sahihi
Ndio
Nikweli
Great
Hongera kazi nzuri
Safi sana...
Safi sana, ongeleni
Mnatumia chakula gani..? Mnachanganya wenyewe au mnanunua special
Tunanunua chakula cha dukani ila Mungu akibariki mwakani tutakua nachanganya wenyewe ili kuokoa pesa
Muna nihamasisha sana kila niingia mtandon lazima niwafatilie Hasa nikikumbuka kwetu kigoma Mzee wangu ana shamba kubwa kalibia haka kumi ivi nawaza sijui nami nkaanze japo ata kidogo 2
unaweza
Asante kwa iman pia huwa najiuliza vp kuusu soko mana wakiwa weng huwez uzia majilan 2
Soko lipo
Kazi nzuri sana
asantee
Ni mda gani sahihi wakuwachangayia pumba vifaranga wa layers
Siku ya kwanza