She speaks eloquent english , she is respectful , obedient , hardworking n have big vision not only for her district but Tanzania as a whole , may God give you the best soul mate, big up sister Jokate you're a blessing n inspiration n roll model to youths , 👌👌👌 your big fan from 254
Humble N lovely person Sisi tupo Canada tunataka tutoe mchango tuweze kuwa pamoja kujenga Tanzania mpya chini President John Pombe Magufuli Kwa pamoja tunaweza na kujitolea hata kidogo H
One of the leader I like and appreciate kazi zao nakujituma especially to touch The societies.. Is you DC Jokate for natamani Sana day to meet you... I learn from you just keep it up usirudi nyuma wala usiharibu pia
Mwenyezi mungu azidi kukuinua na kukulinda ktk majukumu yako mh joketi. Hakika ni maono ya mungu kuteuliwa kwako najua mungu atazidi kukuinua zaidi ya hapo tena nafasi ya juu zaidi. Roho wa mungu azidi kukupigania. May god bless you.
Jokate, you are such a wonderful brilliant woman. God created you knowing all your journey in life and he will give you what your heart desires most. I adore you!
Hon. Jokate we appreciate you very much. NAIROBI feels you and much love from Nairobians. If in anyway you need a man pay Nairobi a visit. You will love it. We can even organize a district in Nairobi for you to head.
Hongera sana kwa ujasiri maneno yako yamenipa nguvu sana maana na mm niko kwenye harakati umenipa nguvu kutumikia wananchi wetu, takushukuru cku moja kwa maneno yako dear,
Love you Jokate! May God open the door for you, and your family! No hurry in marriage God time is the best! I respect your work, being a Tanzanian mother, I can imagine how far you are stretching to do what you do. Let us be honest jameni, Tanzania is beautiful, so as Jokate!Tanzania ni kuzuri sana , najivunia kuwa Mtanzania!
Nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje binti smart mchapakazi, intelligent mrembo,na mwenye heshima,adabu na utii eti mpaka sasa bado hajapata mume ? Jaman kweli dunia haiko fair, may god bestow her with his blessings
😑😑 wanaume bana wana matatizoo... Mwanamke akiwa mchapakazi na msomi Sana wanamuogopa wanahisi Kama hawatapata heshima ndani ya nyumba. Hapo utashangaa Dada wa watu aje aolewe na lizee 😎😎. Hope she will get someone ambaye anamdeserve
She is really brilliant, She prefers to be a nice wife Due to her position her husband must be educated and very understanding I like her so much Congratulate to her
Naikumbuka Kisarawe....nimeishi huko miaka minne nikiwa sekondari Minaki,...naona Muheshimiwa umepaboresha hongera sana.... vijana huo ndio ujana, tuonyeshe vipaji vyetu, elimu zetu , kwa vitendo,...ili jamii ifarijike na elimu uliyo nayo. Hongera Jokate
Kweli unastahili kuwa Dc maana unakitu kilionekana kwako,huna makuu huna mashauzi uko cool kwa kila mtu.big up sana namungu akusaidie uendelee namoyo huyo
nakupenda sana joketi nafurah sana kukusikiliza kweli nafas uliyonayo ni Mungu kakupa nakuombea kwa Mungu uendelee kuongoza wanaich wako Mungu akubariki
Very nice interview well planned bigup jokate i like the way your are working you have approved that vijana tukiwezeshwa tunaweza Mungu atakupa mume mwema keep o praying...
Thanks your feelings and refreshingly my heartssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss for youuuuuuuuuuuuuurrrrrr
Happpybirthdays to youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhuuuuuuu mamaJJL Looks since ago she is baby's but strongestssssssssssssssssssssssssssssssssss assassinations ,Congratulations for that ,go forwards and not go through Mr Jerald is behinds as supporting everything's you do about your future or dreams or your visions ,be strongx100% and came to eating income
Piga kazi Dada yangu, wewe ni malkia wa nguvu hata mbuyu ulianza kama mchicha nipo upande wako siku zote,wewe na shilole ni wapendwa wangu always as usual.
She speaks eloquent english , she is respectful , obedient , hardworking n have big vision not only for her district but Tanzania as a whole , may God give you the best soul mate, big up sister Jokate you're a blessing n inspiration n roll model to youths , 👌👌👌 your big fan from 254
Yote yamezungumziwa sina kitu ila nakupenda mno katika kazi zako. Davis 0717119469
Jokate mm ni masai nakupenda sana na niko tayari kukuoa naomba unipe na fasi +254756350277 niko kazini kenya
Sasa number ya nn 😂😂
Datc y I love jokate mwegelo! Mh DC
Humble N lovely person
Sisi tupo Canada tunataka tutoe mchango tuweze kuwa pamoja kujenga Tanzania mpya chini President John Pombe Magufuli
Kwa pamoja tunaweza na kujitolea hata kidogo
H
Intelligent, kind, humble and lovely lady, stay blessed Mh Mwegelo..!
Jokate uko vizuri sana piga kazi dada
Uyu dada ni mfano wa kuigwa,she inspires me alot❤
Safi sana mheshimiwa mi nakupenda sana ki ukweli,na ulivyo mzuri ukizaa watoto watakuwa wazuriii...maradufu.YNWA
Beautiful I like Jakate, she's very wonderful girl I pray to God gives you great husband👍👍😀😀
Umeongea vizuri sana. Vijana wengi hawamaanishi. Wanataka vitu bila kujibidisha. Hakuna ufanisi bila kujitahidi. Hongera Dada.
Hey!she can make a good wife she's pretty well mannered much love from Nairobi
ARe you sure
One of the leader I like and appreciate kazi zao nakujituma especially to touch The societies.. Is you DC Jokate for natamani Sana day to meet you... I learn from you just keep it up usirudi nyuma wala usiharibu pia
Umeongea vizuri sana Dc Kisarawe
Hongera Mh kwa hatua unazopiga katika maendeo
Hongera Dada unachapa kazi, umenifanya nipate ngvu ya kuchapa kazi
Mwenyezi mungu azidi kukuinua na kukulinda ktk majukumu yako mh joketi. Hakika ni maono ya mungu kuteuliwa kwako najua mungu atazidi kukuinua zaidi ya hapo tena nafasi ya juu zaidi. Roho wa mungu azidi kukupigania. May god bless you.
Jokate, you are such a wonderful brilliant woman. God created you knowing all your journey in life and he will give you what your heart desires most. I adore you!
Good Dada habari ya wapi
Hon. Jokate we appreciate you very much. NAIROBI feels you and much love from Nairobians. If in anyway you need a man pay Nairobi a visit. You will love it. We can even organize a district in Nairobi for you to head.
U are down to earth very intelligent lady❤️
Hongera sana kwa ujasiri maneno yako yamenipa nguvu sana maana na mm niko kwenye harakati umenipa nguvu kutumikia wananchi wetu, takushukuru cku moja kwa maneno yako dear,
Love you Jokate! May God open the door for you, and your family! No hurry in marriage God time is the best! I respect your work, being a Tanzanian mother, I can imagine how far you are stretching to do what you do. Let us be honest jameni, Tanzania is beautiful, so as Jokate!Tanzania ni kuzuri sana , najivunia kuwa Mtanzania!
yaani jokate unaniinspire Sana this year to me it will be of succession
Presenter jitahidi kuwa bora zaidi Mh. Jokate was far away smarter and tackled the questions so easily.
Nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje binti smart mchapakazi, intelligent mrembo,na mwenye heshima,adabu na utii eti mpaka sasa bado hajapata mume ? Jaman kweli dunia haiko fair, may god bestow her with his blessings
😑😑 wanaume bana wana matatizoo... Mwanamke akiwa mchapakazi na msomi Sana wanamuogopa wanahisi Kama hawatapata heshima ndani ya nyumba. Hapo utashangaa Dada wa watu aje aolewe na lizee 😎😎. Hope she will get someone ambaye anamdeserve
Hi mmmh
Any time analindwa na mitutu sasa njemba ataanzia wp kwenda kutupa nyavu ? Getin utasemaje unaenda kufanya nn?
These kind of women hawaolewag wanaume wanawaogopa
A young soul full of wisdom!!!
Go go go swt girl na Mungu akujalie Mume mwema inshallah!!!
Intelligent, hardworking, humble, kind, lovely and beautiful, God bless you dear
Dada jokate ur soo insparational surely😙😙😙😙💕❤❤❤
Hongera mh.kwa kazi nzuri Mungu yupo nawe muda wote
Uyu dada hanaga skendo mbovu tokea yupo bongo move yani anajielewa honger sana mh joket 😘😘😘😘
God will u will get the best one sister everything is plan by God
She is really brilliant,
She prefers to be a nice wife
Due to her position her husband must be educated and very understanding
I like her so much
Congratulate to her
Nakupenda Jokate Mungu naazidi kukupa nguvu za maarifa zaidii.
Wewe dada nakupenda sana ur interview. Ur so good. Hukoseagi unaongea points sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good kiongozi Jokate Upo vizuri sana
Safi sana mheshimiwa JOKATE,hakika upo vizuri sana.YNWA
Hongera Sana DC jokete, kwel unajua na unastahili,
Mungu atakubariki zaidi
Two beautiful ladies
Naikumbuka Kisarawe....nimeishi huko miaka minne nikiwa sekondari Minaki,...naona Muheshimiwa umepaboresha hongera sana.... vijana huo ndio ujana, tuonyeshe vipaji vyetu, elimu zetu , kwa vitendo,...ili jamii ifarijike na elimu uliyo nayo. Hongera Jokate
Kweli unastahili kuwa Dc maana unakitu kilionekana kwako,huna makuu huna mashauzi uko cool kwa kila mtu.big up sana namungu akusaidie uendelee namoyo huyo
Nipe mahana ya DC kaka
In African we need more great leaders such as joycate much love from 🇰🇪
Mwigelo ur up ze radar MADAM DC ur words together are inspirational and testimony to here.
Tatizo mnajianika mno mambo yenu mitandaoni wanaume wanaogopa nipatie namba mume nipo
Powerful,lovable and disciplined figure 👍👍
Mh Jokate Mwegelo Allah atakujaalia utafika mbali kiuongozi inshaallah unaweza kuongoza
Nakupenda dada Jokate ni mfano wa kuigwa sana
your my roll mode I really love you jocate
hongera sana mwanangu. Mungu akupe mume mwema. Unafanya kazi nzuri sana.
God Almighty will grand you with your dream family. Love you Malkia wa nguvu.
Mme mwema anatoka kwa Bwana, we kindly pray for you expect great immerse from God🙏🙏
Mwenyezi Mungu akujaalie wewe ni mfano wa kuigwa jokate.
Very smart mh.hongera sana
Maashaallah mungu akupe umri wa maisha marefu
That's great@Jokate, you are doing good
nakupenda sana joketi nafurah sana kukusikiliza kweli nafas uliyonayo ni Mungu kakupa nakuombea kwa Mungu uendelee kuongoza wanaich wako Mungu akubariki
Very nice interview well planned bigup jokate i like the way your are working you have approved that vijana tukiwezeshwa tunaweza Mungu atakupa mume mwema keep o praying...
bos
Nice interview, Jokate...GO
Congrats sister
Good. committed DC
Thanks your feelings and refreshingly my heartssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss for youuuuuuuuuuuuuurrrrrr
Enterests
Nakupenda sana jokate kuliko nitakavyoelezea unapoongea najiskia kulia Kwa UPENDO.Hongera Wazazi wko Kwa malezi mazuri
HONGERA DADA! MUNGU AKUTIE NGUVU ZAIDI. AMINI KAMA ULIFANIKIWA KATIKA HILO NA MUME UTAPATA TU. HAKIKA YOU ARE THE ROLE MODAL OF ALL LADIES! LOVE YOU!
Happpybirthdays to youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhuuuuuuu mamaJJL Looks since ago she is baby's but strongestssssssssssssssssssssssssssssssssss assassinations ,Congratulations for that ,go forwards and not go through Mr Jerald is behinds as supporting everything's you do about your future or dreams or your visions ,be strongx100% and came to eating income
Hongera joket munguakutangulie
Jokate anajiheshimu nampenda sana cutee mwenzanguuuuuuu na anauweza uongoziiiiii.
Mungu amjalie apate mume atakaye mjali naku mtunza she so cute
Atamimi natamani nimuoe leo hii 😉👍
Joketi nakupenda usiniangushe plz
Nakupenda sana Dada jokate Mungu akuongoze ktk majukumu yako
JoJo mungu akusimamie chapa kazi dada wasafi tv iko juu mawinguni 👍👍👍👍🤸🤸🤸
Nipigie nikuoe 0757018000
mungu azidi kukuweka jokate na akusimamie ktk kazi zako. uko vzr sana
Someone I would love to meet. Hello from Kenya
Mungu wangu azidi kukubariki na kukulinda Mheshimiwa Joket, utapata mume bora MUNGU WETU mwema anajibu maombi YETU.
Mungu akulinde nakupenda sn muheshimiwa jkt
Youngsters......they are energetic creative....
UNGEKUWA BADO UKO NA NASIBU USINGEWEZA KUYAFANYA HAYA YOTE MAAAN NASIBU NI DRAMA JUU DRAMA IM SO PROUD OF YOU.
@masilya inno8 🤣🤣🤣🤣apo sasa
Yanaongelewa mambo mengine ww umeng'ng'ana na Nasibu. Huko timamu?
@masilya inno8 ttzo ilikuwa dini
@masilya inno8 kabisa
Kwel
Jokate marriage comes from heaven don’t worry it’s not ur time don’t be on hurry ❤️ from +254
True
Nice
This lady Jokate
much love from Rwanda
Mashaallah ongera kwa kazi ndowa itakuja tu kama mungu alivyo kupandisha daraja ya kazi
Mungua...akubariki..kazinzuri...
Hongera sister jokate
Hongera mheshimiwa Dc jokate
Ubarikiw mh jokate mungu akubarik uzid kusaidia vizazi vipy na wnye wanahtaj msaad amin
acha abarikiwe tu na mungu
she inspires me a lot😗😗😗
Kiswali sio unapenda watu ila unaupendo Sana Kwanzaa umeokoka hongera nakupenda dear
mungu akubariki mh Joket
Safiii sana Mh Mwegelo❤
Alopata siku zote hujiona anakili
Mashallah jojo mzuri ❤🎀
Piga kazi Dada yangu, wewe ni malkia wa nguvu hata mbuyu ulianza kama mchicha nipo upande wako siku zote,wewe na shilole ni wapendwa wangu always as usual.
honger mh jokate mungu ni mwema utampata mume bora mwaka huu hauishi
Safi sana mkuu big up
May our God bless u jocket
God's time is the best🙏
Hongera
Mungu akupe afya njema na kumweka mungu mbele katika majumu yako na imani utafika mbali sana nimekupenda bule .Amina.
Mwenyezi Mungu akujalie Maisha Marefu yenye fanaka tele ,Mkuu wa Wilaya.
Good title
Jokate utaolewa tuu kiba alikupotezea mda Ila jua wa kwako anakuja tena kwa muda usio tarajia
Nipoo apaa nitakae muoaa ye asubiri tu nitakutana nae ckuu
BEATRICE JOSEPH kwelieeeh
Your very smart! I love you
Hongeraa
Joketo Nampenda sana.
Mh jokate jamani kipenzi chawengi hongera sana mama upo poa.
Tunakupenda sana tunakuombea kwa mungu inshaallah
I wish to be like you one day love l love the way your
Mungu atakulinda na watu wabaya...LKN elewa watu Wa pwani wanapenda MTU anayeonesha kuwapenda.....
Nakupenda sana we mdada joket
Mungu akusimamie.... 😍😍😍😍
Napenda sana kazi yako
Nakupenda sana jokate
Mm nakupend san joket one day nataman nikuone ❤