Sasa ushamba wake uko wapi au ujinga wake uko wapi? Wewe unaejua kua sio juice ndo wakumuelewa... usifikiri kua kila mtu ni mlevi kama wewe walevi mnajuana mpaka kwanye vinjwaji si wengne tunajua ni juis... walevi oyeeeee!
Namtazama Martha kwa jicho LA mbali Sana hii ni show kubwa Sana na nakuona ananyoangaika kujifunza kuwa the best kutoka kwa the best representer Jonijoo,,,,pia thanks kwa Jonijoo kwa kutoa nafasi kwa huyo bi dada...
Nimepata kitu hapa madam Lita ni genius sana na anajiamini sana, ivi anaonaje kama Bss ya mwaka huu ibabwe na wasaf media awa jamaa ni wakali wa promo tena zaidi kwa local content na international so mshindi wa kipindi icho atapata support kubwa sana na mashabiki wa wasafi na atakua star mkubwa kwani kuna connection nzuri ya national artist na international, na kingine watu sikuizi awakai sana kwenye tv tuna maliza kilakitu kwa simu hii kitu akiizingatia Bss inarudi kwa kasi, kwani watu wengine wameji update wanakuja na full talent kwenye mashindano ye akikaza huku anao mashabiki wengi sana.
Hata mimi nikiwa Africa ,nilikuwa nikiona panya nashinda vibaya naanza kusema kimoyomoyo ehh Mungu nipeleke kuishi mahali sitaona i kitu ovyo kweli Mungu ni Mungu akanitowa kweli nakupeleka ninapokuwa leo 🙏🙏🙏
Dudu Kubwa inakuingia ikitoka kwa mda mrefu tuu Sanaa,...Sasa unaogopa ka dudu kadogo panya kweli Rita?....Haya kila lakheri#Jonijo#mymatha##Madamrita#ThaBaatenda#Wasafitv....lazima Niwape shouts outs congratulations
Isaya Abeid Hauwezi kuuliza swali moja pale haizungumziwi mada that's the interview, and u've and different questions must be asked cyo mada kama interview nyengn za mtaan
Madam Ritta anavunga Kunywa JUICE ..... Walommiss KITALE Mzee wa Juice tano TIA LIKE HAPA
Iyo sio juice acha ushamba iyo ni koktel ina alcohol
Usiwe mjingaa iyo sio kitu yakitoto unaweza kuta na zapa imo umoo 😉😉
Madini Baddest kitale atumii mlija😂😂 anakunywa kama maji
🤣🤣🤣🤣
Sasa ushamba wake uko wapi au ujinga wake uko wapi? Wewe unaejua kua sio juice ndo wakumuelewa... usifikiri kua kila mtu ni mlevi kama wewe walevi mnajuana mpaka kwanye vinjwaji si wengne tunajua ni juis... walevi oyeeeee!
Kama umeona Jonijoo anafanana na Alexandra lacazzette wa arsenal gonga like
Na Mmiss KITALE MZEE wa Juice 5 ngonga like hapa
Madamu kila nikikuangalia unavutia sna tna unaonekana mbichi Daaaah madamu so sweet yaan
Wasoma coment tujuane
Namtazama Martha kwa jicho LA mbali Sana hii ni show kubwa Sana na nakuona ananyoangaika kujifunza kuwa the best kutoka kwa the best representer Jonijoo,,,,pia thanks kwa Jonijoo kwa kutoa nafasi kwa huyo bi dada...
Nimepata kitu hapa madam Lita ni genius sana na anajiamini sana, ivi anaonaje kama Bss ya mwaka huu ibabwe na wasaf media awa jamaa ni wakali wa promo tena zaidi kwa local content na international so mshindi wa kipindi icho atapata support kubwa sana na mashabiki wa wasafi na atakua star mkubwa kwani kuna connection nzuri ya national artist na international, na kingine watu sikuizi awakai sana kwenye tv tuna maliza kilakitu kwa simu hii kitu akiizingatia Bss inarudi kwa kasi, kwani watu wengine wameji update wanakuja na full talent kwenye mashindano ye akikaza huku anao mashabiki wengi sana.
Kiukweli nampenda sana madam Rita yupo vizur
Show imevutia sana, Madam umejibu kwa upeo wa juu na kupanua uelewa wa sisi wafuatiliaji .
Sana! Wengi wetu tuna jifunza vingi.🙌
Nakupenda madam rita, napenda kazi yako ya kukuza vipaji vya vijana
Hata mimi nikiwa Africa ,nilikuwa nikiona panya nashinda vibaya naanza kusema kimoyomoyo ehh Mungu nipeleke kuishi mahali sitaona i kitu ovyo kweli Mungu ni Mungu akanitowa kweli nakupeleka ninapokuwa leo 🙏🙏🙏
na mimi nipeleke huko
Madamu Nakupenda nakuelewa sna Baba Akoo wahuni sio watu wa 17 Leo
Na kupenda sana madame Ritha 😍😍😍😍😍inshallah mungu akujaalie katika shughuli zako momy
Nimeipenda sana hii interview. Ritha she is so beautiful 🔥🔥🔥
Jonijo umevunja sheria za kazi /Staff atakiwi incharge simu ndani ya bar.
Huyu mama haishi utamu
Hongera kwa kujipenda
jonijoo tuletee kitale atutafsilie kingereza kingi kwa Madame rita 😂😂😂😂😂😂😂😂
Lufufuuuuuuu#gonga like km show ya kibabe kitale unataman arudi kwenye kipnd cha bartender
Namkubali sana huyo madam
nimejifunza kitu kutoka kwa madam ritta 😍😍😍😍
Hahaha we mtoto wewe😍😍
Mjanjaa jonijoo,nakukubali hatare the best
BAbaako wahuni si watu wazuri wanakunywa juice kimarembo missing kitale glass 5 na bado anauliza lita tano sh ngapi big up kitale
Good. Good blood umetisha sanaaa👊👊👊
duh madam una maziwa matamu hd raha mamae 😘😘😘😘😘
Napenda kiswahili chako madam rt
• country boy(m)
• young killer(m)
• gigy money(f)
• lulu diva(f)
• romy jones(m)
• dude(m)
• master j(m)
• kitale(m)
• chege(m)
• MADAM RITHA(f)
NOTE:
Female(s)= 40%
Male(s) = 70%
Good job jonijo on your interviews nice theme....but at first jonijoo ulikuwa unamuogopa ukaja kutulia ukaingia
Mdada mzuri sana huyu nimpenda ongea yake tu
Madame ritha I love you napenda the way unavyo jibu maswali yako napenda sana
Hii kipindi kitamu kwa kweli wala sio masial hongera sana Jonijoo
one day i shall be like you madame ritta
Madame Rita alishawahi kufunga ndoa na Mengi. Kwa mkuu wa wilaya. Waliposhinwana ndo akaolewa Jackline.
Wangapi..wamemuona..muhuni..jonijoo...anavyo pata tabu...kumuinterview madam
Yani hayuko huru kabisaaaa leo
Hana haja ya kuolewa akitaka kwichi anakwichishwa aolewe ili iweje
Nakupenda bureeee Madam
Madam ritta nakuelewa sana 😘😘😘😍😍
Madam uko vizur mashallah
big chout out to wasafii. .......binge LA kipind
I love this show the best!
Jonijo kama umeogopa ivi consciousness ya madam ritha
Yah,sure i notice that too
Gonga like Hapa kama unampenda Madam tujuane❤❤❤❤❤❤
Baba akoo mwambie madam nampenda sana
Kifua cha madam nimekielewaa!!!
🙌🙌kumbe umeona ee
Hahahaaa da Leo jonijoo tumechamba moto bro mad Rita sio mt wakawaida sjawai juta kjangalia ichi kipindi
Madam rita bando mbishi 👌👏
Jonijoo namuelewa sana Martha, niunganishe naye bhasi!
Uchoshiii yni ❤💋🥰🧡💚🔥🔥🔥🔥
Madam ritha upo smart sana jmn yaan leo umemuwea jonijoo 😂😂 majibu yenyewe hatr
Imekaa vizur
Izo like mnazo omba mnapeleka wap
😂😂😂😂🙆🙌
😂😂😂🙌
Hahaaaa madam hapo kwenye panya n mm kabsa
Mzazi umemgwaya sana madam yan mpka show akawa anaiendesha yeye
nilikua nazurula kuisubir hatimae mmeweka ✊🏽✊🏽
I like your name nice the last one
thank you
@@lyimosweetbert9642 Welcame pliz add me on Instagram by the name of (Sayeedmash)
Which name do you use on Instagram
mash mash @lyimo33
"It is not every body who is pretty is stupid"MadamRitha
Madame nampendaga sana
Nakupenda maadam rita
Wabongo bhana viingereza vingiiii
Mganda uyo sema wanasemaga wahaya
kuhusu swala la hospital za kibongo yuko sahihi Sana.. Mimi huwa nikiumwaga huwa nakuwaga na mawazo sana nimeshaloosigi trust kabisa na hospital zetu.
Madam bado anadai 🔥😍ila swala la ndoa lmemtouch Maskn.mood ikachange.insh mungu atampatia mume mwema.
Show kali sana ubunifu mwingi
Dudu Kubwa inakuingia ikitoka kwa mda mrefu tuu Sanaa,...Sasa unaogopa ka dudu kadogo panya kweli Rita?....Haya kila lakheri#Jonijo#mymatha##Madamrita#ThaBaatenda#Wasafitv....lazima Niwape shouts outs congratulations
Madam ritha she is very pretty and smart..
wow ....nice interview
Nakupenda sana madam
Baba akoooooo
#Wcb #jonijoooo
Madame anaupendo sana
Jonijooo nakukubali sana
Ndio maana mjanja sana babaako kumbe chalii wetu arifu
coatry boy young killer gigy money Lulu diva master J dude Rome's jons kitale chege madam rita
I love u madam rithah
Jonijoo kwenye hii show kama
umepoa sanaa #baabako# wahun sio watuwazurii
Hahaaaa kakutana na mdada ana miconfidence leo kanywea kbsa dah
nakubali
wale wanao andikaga mfululizo tulipotoka bado sijawaona wajumlishe na ya leo;;;;;~
nice
Madam mbna vingereza ving😂😂😂 hapa bongo bhana
Wooow thats the best i love you do much madam Rita you are the best you teach me alots
Safi Madame
I just love it eti basi waje wanione wao
Jonijooo🔥🔥❤️
Nice interview, nice madam. your role model
nakupendag madam
I’m coming in Tanzania 🇹🇿 for my vacation and I’m planning to come at The Bartender to eat fish and some smoothing drink 🍹 🍹 🥰❤️❤️😘💯.
When? Am also thinking of exactly the same thing let me know so that I plan my vacation in time it will be great to link up 😊
When cutie am thinking the same it would be lovely to link up vacations are always the best if you worked that money 😊
Your welcome madam
Nakubali sana
We like tu no comment
She is so intelligent 😍
babaAko
nakubali
tuko Live Baba
Love ya so much madam
Baba ako fanya mpango utuletee salama
Notedddd.....Everythng dat happen is a beginning of new journey...
Jonijo nayeye kapuyanga maswali
Isaya Abeid Hauwezi kuuliza swali moja pale haizungumziwi mada that's the interview, and u've and different questions must be asked cyo mada kama interview nyengn za mtaan
Hauna akili sas wew ukitaka maswal ya aina gan zaid ya yaliyoulizwa?
wabongo mnazeeka kwanza halafu ndoa
Jonijo Harus Ni Bikra Babaako!!, Au Unazungumzia Ndoa!?
imekaa powa! Kaza Jonijooo.
Jonijo madam lita nawapenda sanaaa
Babaa akoo
Jonijoo uko vizuri
Cjawai kosa show yakijanja jonijoo akuna Kam ww hap Tz
Yupo vizuri
Babaaako madam Rita atakuwa mhaya huyooo syo kwakujsfia hukoo..😣😣😣
mamaake
Madam,,I lv u,,I lv ur confidence n everthng abt u.......
Mnairudia leo mbna wasafi tv