Pingu c kigezo chakuwa wenye pingu ni polisi tu ckweli. Hata walinzi wakujitegemea wanazo pingu ,upinzani Tz hauna hoja hata moja kilichobaki ktkt majukwaa ni kashfa,uwongo na matusi. Poleni sana jifunzeni siasa ya hoja kwa hoja,ikiwa ccm inafanya hivi jee nyinyi mtafanya VP. Afadhali uhai wa maalim sefu alokuwa na hoja,akisema nipeni znz niibadilishe ,
Haina haja kwa Tanzania kuwekwa vyama vingi, maana ukisema ukweli kuhusu chama Fulani ni kikwazo, Navipi jeshi lijishuhulishe na wana siasa au Siasa Tena upande mmoja?? Na mtu akipatwa namajanga akimbile wapi?
Mewalim Nyerere aliwahi kusema waziwazi kuwa Adui wa Nchi ni Mwananchi. Vyombo vya usalama vimeundwa katika misingi ya kikoministi, kulinda chama na viongozi kama vile North Korea, Uchina na Cuba Ili kuwatisha Wananchi.
Mnadhani watanzania ni wale wa miaka hiyo siyo? Lazima mtalipa huu uharamia mnao kufanya MUNGU hakuwapa nafasi hiyo ili muonee wanyonge.... Tena kwa nguvu ya kodi zao
Tuanawajua...tunawajua...then what... Kuna kipindi waislamu walikuwa wafanya marshal art misikitini. TUNAJUA TU KUBWABWAJA ILA KUJIWEKA FIT ILI TUWEZE KUJILINDA HATUWEZI. Tumezidi kulalamika!!
UKWELI HII JI AJABU SAANA.WAAAZI KABISA STANDI MTU ANACHUKULIWA WAZI WATU WASIPIGE MAKELELE KILA KONA.HATA BAADA GARI HILO KUONDOKA..AU KUARIFUPOLISI. SIMU TELE WANAZO HATA KANGEFATILIWA HUKO.
Siku hiz wanaocoment kusapoti ujinga wengi ni waislamu wezangu sijuwi shida iko wapi kweli hii ndiyo haki tunayofundishwa misikitini?au kwa vile mtawala ni mwislamu basi hata kwa ubaya uovu tunasapoti tu ujinga
Pingu sio sababu kwamaana hata wewe unaweza ukaleta noma ukiwa napingu na ukiidondosha watu watadhani Ni chombo cha ulinzi ndio kime husika . Asa katika elimu ya itelegency hayo Mambo huusika sana . Ila Sisi tuna taka uhakika kutokana anadai Hao watu Wana wajua wataje sasa mzizi WA fitina uishe
SAFI SANA KATIBU MKUU HAWA WATU NI WAHUNI TU
Imeenda Mungu ibariki Tz
From 🇧🇮 pole san
😭😭😭😭😭HAWA MAPOLISI MUNGU ANAWAONA. MWANZONI WALIKUWA WANATEKA NA KUUA KWA SIRI, SIKU HIZI WANAFANYA WAZI WAZI. WANALETA MACHAFUKO NCHINI
ACT niwaoga Sana munaogopa hata maandamano mulijua muko salama kaziyeno kujipendekeza
Chadema mumeandamana lini nyie Mashoga?
Mungu tusaidie tunaomba Amani Tanzania hali siyo nzuri kabisa Amani inatoweka Mungu awalaani watekaji
Kazi ya polisi na usalama imegeuka laana
Unyama tu umejaa kuteka watu kuwatesa kuwaua na kuwatupa mungu anawaona
Ndio hao hao,wakuu pia wanajua hayo
Acheni upuuzi msimu wenu wa siasa umekwisha ni wakati wetu tufanye biashara December hii mkituletea mambo yenu tutaula huuuu.
Pingu c kigezo chakuwa wenye pingu ni polisi tu ckweli. Hata walinzi wakujitegemea wanazo pingu ,upinzani Tz hauna hoja hata moja kilichobaki ktkt majukwaa ni kashfa,uwongo na matusi. Poleni sana jifunzeni siasa ya hoja kwa hoja,ikiwa ccm inafanya hivi jee nyinyi mtafanya VP. Afadhali uhai wa maalim sefu alokuwa na hoja,akisema nipeni znz niibadilishe ,
Huna akili wew acha kutetea ujingaa fara wew
Mbaraka,usipalilie uwovu,kama sio wao mbona hakuna hatua kuwakamata wahusika?
Bongo lala wewe,Nenda tena shule kwa kifupi.
Pole Sana mdogo wetu
Ado shaibu ukimaliza maneno yako unahamia ccm chap kwa haraka huko unapoteza muda wako tu
😢polen sana
Wakati wanatekwa viongozi wa cdm mlikuwa mnafurahia sana leo kwenu mnalla
Haina haja kwa Tanzania kuwekwa vyama vingi, maana ukisema ukweli kuhusu chama Fulani ni kikwazo, Navipi jeshi lijishuhulishe na wana siasa au Siasa Tena upande mmoja?? Na mtu akipatwa namajanga akimbile wapi?
Mewalim Nyerere aliwahi kusema waziwazi kuwa Adui wa Nchi ni Mwananchi.
Vyombo vya usalama vimeundwa katika misingi ya kikoministi, kulinda chama na viongozi kama vile North Korea, Uchina na Cuba Ili kuwatisha Wananchi.
Ado hiyo nyomi au jicho langu
Pole tanzania 🇹🇿
Pore sana nondo
Wanapoteza muda na kujipa zambi ambayo utakuja ulizwa siku ya kiama
Laana za Magufuli zinatafuna taifa
Mnatekana wenyewe mnatuzingua
Mnadhani watanzania ni wale wa miaka hiyo siyo? Lazima mtalipa huu uharamia mnao kufanya MUNGU hakuwapa nafasi hiyo ili muonee wanyonge.... Tena kwa nguvu ya kodi zao
unawashwa
Tuanawajua...tunawajua...then what...
Kuna kipindi waislamu walikuwa wafanya marshal art misikitini.
TUNAJUA TU KUBWABWAJA ILA KUJIWEKA FIT ILI TUWEZE KUJILINDA HATUWEZI.
Tumezidi kulalamika!!
hii cripe ni ligoma ,nawaona ndugu wengi hapo akiwepo ndugu yangu ISSA CHABURUMA
Ndo tunataka muongee ukweli hivo sio kufichafich
👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿
Wataje hao walomteka
Pumbavu kashawataja ni jeshi la polis au wew kiziwi
Acha ujinga wataje
Amewataja unasemaje sasa
Umekula?!😂 kwaio hujasikia akiwataja wahusika?!
Kiki hizo kucha fua nchi uongo mtupu
UKWELI HII JI AJABU SAANA.WAAAZI KABISA STANDI MTU ANACHUKULIWA WAZI WATU WASIPIGE MAKELELE KILA KONA.HATA BAADA GARI HILO KUONDOKA..AU KUARIFUPOLISI. SIMU TELE WANAZO HATA KANGEFATILIWA HUKO.
Nenda kamsikilize ndondo
Duh
Wewe wacha Ujinga kama unawajua wataje wacha kuleta Propaganda ACT WAZALENDO ndio mmetengeneza movie 🎬
Wewe kuma kweli. Yaani Wamteke mtu wao na wampige vibaya. 😂😂 Ni vile Nondo sio Mdogo wako au Kaka yako. Usingesema hayo. Fala wewe😂😂
Siku hiz wanaocoment kusapoti ujinga wengi ni waislamu wezangu sijuwi shida iko wapi kweli hii ndiyo haki tunayofundishwa misikitini?au kwa vile mtawala ni mwislamu basi hata kwa ubaya uovu tunasapoti tu ujinga
Pingu Zilikuwepo ?
Pingu sio sababu kwamaana hata wewe unaweza ukaleta noma ukiwa napingu na ukiidondosha watu watadhani Ni chombo cha ulinzi ndio kime husika . Asa katika elimu ya itelegency hayo Mambo huusika sana . Ila Sisi tuna taka uhakika kutokana anadai Hao watu Wana wajua wataje sasa mzizi WA fitina uishe
@@BabuDikwelaAcha ujinga ulishaona pingu zinamilikiwa na Raia wa kawaida,, we huna akili nini
Safi sana kaka@@aidankakulu398
Mbona raia wana miliki silaha za moto mfano bastola, gobore nk je na wao ni polisi? @@aidankakulu398
@BabuDikwela
Ni kweli awataje