Mfahamu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Tanzania Jokate Mwegelo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Jokate Mwegelo ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 na licha ya umri wake mdogo alijiingiza katika medani za siasa mapema tu na sasa ni mkuu wa Wilaya ya Temeke , iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Sikiliza safari yake.
    #bbcswahili #uongozi #tanzania

ความคิดเห็น • 130