VIDEO:DIAMOND na JOKATE wakiwa kwenye sehemu ya kitalii Kisarawe,tazama hapa walivyotalii pamoja.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 122

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 ปีที่แล้ว +11

    Safi Sana 🙏 Mondi Joketi wote akili mingi Sana. 😊😊♥️

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 ปีที่แล้ว +12

    Aliesikia #diamond akimuambia lukamba kua hii place ni ndzuri na video ya nyimbo flani ivi, anipe likes hapo chini thanks and Big up Mh #Jokate Big support from Mombasa 🇰🇪

  • @brownd6360
    @brownd6360 3 ปีที่แล้ว +2

    nakubal sana wazee wa kaz middle simba big up sana bro sema simbaa leo kapatikana cz wanaoneana aibu na jokate bt so inshu kaz nzuri

  • @harriettatu7155
    @harriettatu7155 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi mdogo lkn mawazo makumbwa mungu akujalie heri hongera mama

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +11

    African king himself,Best influential Chibu Dangote 💎💎💎💎💎

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 ปีที่แล้ว +20

    Mmekutana na ex wako nyote mmetoboa yaani Raha Sana hamna kinyongo Wala nini

  • @Umwineneko
    @Umwineneko 3 ปีที่แล้ว

    Diamond platnumz isi storing mn
    Simba mukal nitakufata paka
    Milele namilele mukubwa yangu asant nagupenda Sana namama
    Muzazi mama dangote balikiwa mama🙏🙏🙏🙏

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 3 ปีที่แล้ว +12

    Dah! Ka DC kazuri kinoma noma.

  • @alainsypamuhindo1450
    @alainsypamuhindo1450 3 ปีที่แล้ว +7

    Simba babalaooooo 🔥 vous avez

  • @trisamilob3652
    @trisamilob3652 3 ปีที่แล้ว +5

    Namba moja hiyo

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 3 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda sana DC Jokate, niko tayari nifue viatu vyake bure 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 ปีที่แล้ว +5

    JN ❤❤❤⚘🥂 Wcb 4life✌

  • @alsolodawa520
    @alsolodawa520 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana Diamond plutinumz

  • @evammary5562
    @evammary5562 3 ปีที่แล้ว +12

    Like zangu kama unamkubali simba

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว +4

    Simbaaa baba lao

  • @hussenmishamo1963
    @hussenmishamo1963 3 ปีที่แล้ว +8

    Simbaaaaaaaa baba lao

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 3 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @wizydeko1496
    @wizydeko1496 3 ปีที่แล้ว +3

    💥💥

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba baba lao👌👌👌👌👌😘😘😘😘😋😋😋

  • @frenkjonhi5323
    @frenkjonhi5323 3 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 3 ปีที่แล้ว

    Waoane tu

  • @ajmoographic6629
    @ajmoographic6629 3 ปีที่แล้ว +14

    WCB for life wa 10 leo like zenu

  • @oslaboy8303
    @oslaboy8303 3 ปีที่แล้ว

    Mondi mmependezana sana na DC Jokate Mwegelo like husband and wife!

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 3 ปีที่แล้ว +3

    Middle simbaa wacha umbea jamani #254

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae wamekutana na zilipendwa wake

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 3 ปีที่แล้ว +1

    J muheshimiwa pamoja na simba ongere sana

  • @mitchelljohnson5218
    @mitchelljohnson5218 3 ปีที่แล้ว +11

    Kwani Joket na Diamond siwanaeza oana tu hata kama Joket ni D.C. hamna shida bora kupendana tu

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 3 ปีที่แล้ว

    Pesa pesa pesaaa

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +1

    Wcb for life

  • @vodaphone9825
    @vodaphone9825 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama unasema jokate na mond wanaendana gonga like hapa!!!#;:#@&@

  • @uncledeno2765
    @uncledeno2765 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiporo kipashwe sasa@middle simba

  • @jumaradhm3926
    @jumaradhm3926 3 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥Hapo Mondi anawaza LOCATION ya video MPYA tuu.

  • @godiiabihudi3667
    @godiiabihudi3667 3 ปีที่แล้ว

    Simba kama simba atari sana

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 ปีที่แล้ว

    1M Subscribers Kwa Mbaaaliiii💥💥💥

  • @footballsite11
    @footballsite11 3 ปีที่แล้ว +2

    That ka feeel once wakikumbuka way back 😂😂😂😂

  • @zaudolutambi9895
    @zaudolutambi9895 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo dai ataendea kushutia Video maana pazur hapo

  • @jadenmsafi
    @jadenmsafi 3 ปีที่แล้ว

    Napenda dai arudiane na joketi jmn

  • @marcocharles2724
    @marcocharles2724 3 ปีที่แล้ว +7

    Wanaoneana aibu...,😂😂😂

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa 🤣 🤣 🤣

    • @fidianishimwe4035
      @fidianishimwe4035 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimeceka Kama mujinga😂😂😂

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

      @@fidianishimwe4035 kumekuchaaaa watu wazima tunaelewaaa😂😂😂😂 mambo ni 🔥 🔥 🔥 🔥

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

      Yetu kimia nakuchekeya kwaaambali 😂😂😂 wengine hawakumbuki hayaaa😅

    • @khadijanjama8721
      @khadijanjama8721 3 ปีที่แล้ว

      Waarabu wa pemba

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 3 ปีที่แล้ว +4

    Diamond anaona vile anaweza perform juu ya maji kwa Mara ya kwanza

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 3 ปีที่แล้ว +2

    Wamependeza waoane tuuu

  • @moodyramadhan336
    @moodyramadhan336 3 ปีที่แล้ว +5

    Chibu bhn ha2mii nguvu yan lazima atrend2 n bado album yake

  • @hamadally6196
    @hamadally6196 3 ปีที่แล้ว +3

    Mondi kaumizwa sana kipindi kile yupo kawaida hapo unaona kabisa roo yake bado inaupendo kwa jokate ..ila ndo ivo ujana uliwavuruga💔

  • @nicksongerson1707
    @nicksongerson1707 3 ปีที่แล้ว

    Mara diamond Mara Kiba mmmmh nzuri sana basi tu wabongo mapepe

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

    Karembo haka kadada na nyota juu

  • @stevensulle1200
    @stevensulle1200 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanamke ukipambana utafuatwa tu

  • @SkideLouis
    @SkideLouis 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿piga like

  • @dominikishilali194
    @dominikishilali194 3 ปีที่แล้ว +1

    Njia za kumla hizo

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani saf sana simba unajua nikiingia youtube afu nisimuone mond najisikia nmekula hasara bando langu nkimuona tu basi roho yangu inakua safiii

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 ปีที่แล้ว

    Headlines za wambea wa bongo "MOND ARUDIANA NA JOKATE"

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 3 ปีที่แล้ว +2

    Chibu di chibu de simba toka mbuga ya tandare

  • @kelvinoscar8230
    @kelvinoscar8230 3 ปีที่แล้ว

    Naona mnaleta siasa tena kwan hkuwa mpenz wake??

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 3 ปีที่แล้ว

    Oa jokate simba sasa

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 ปีที่แล้ว

    Wote niwanawake kasoro sehem zachini ndio wamebadilika maumbile

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 ปีที่แล้ว

    Simba alikua akipasha kiporo

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 3 ปีที่แล้ว

    Hivyo ndivyo inavyotakiwa kubaki marafiki hata kama mumeachana

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 ปีที่แล้ว +3

    simba ni kwaju anazingua angepata nafasi akitulia na huo jokate ingependez

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว +3

    Yn simba cjui ht kwann alimuachaga jokety alafu bila ht makosa jmn

  • @jacksonhenjewele4004
    @jacksonhenjewele4004 3 ปีที่แล้ว

    Simba hayawahi feli mawindoni😂😂😂😂

  • @davidtmwakifumbwa1681
    @davidtmwakifumbwa1681 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeweka viduara afu hauongei chochote ongea ufungwe

  • @dominickbugerula352
    @dominickbugerula352 3 ปีที่แล้ว

    DC na Lion dah wamedamxh waoaneee wamematch balaaaaa
    Mond hatumiii nguvu nying lazima atrendi tu

  • @alsolodawa520
    @alsolodawa520 3 ปีที่แล้ว

    Diamond utaendelea kuwa baba wa mmakonde wa mtwara, ila mmakonde kazingua kwa sababu ya mia 2 mia 2 aliyopata.
    mmakonde hana vaibu zaidi ushamba wa mtwara

  • @turuthiahussein2023
    @turuthiahussein2023 3 ปีที่แล้ว +9

    We middle simba joket mwenzio Sasa iv ni mheshimiwa atakushtaki futa ilo neno mpenzi wake shauri yako

    • @allyismail7124
      @allyismail7124 3 ปีที่แล้ว +3

      mapenzi hayan ukomando Wala mweshimiwa ukipenda umependa

    • @sandemarko3172
      @sandemarko3172 3 ปีที่แล้ว +4

      Kila mmoja nimheshimiwa kwanafasi yake

    • @sandemarko3172
      @sandemarko3172 3 ปีที่แล้ว +1

      Muone dc macho ya ayib hamtazami mond vzr

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 ปีที่แล้ว

      wapi kaandika mpenzi?.

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 3 ปีที่แล้ว

      @@sandemarko3172 agiza milinda nyeusi nakuj kulipa hapo boss😂😂

  • @magomakabanja4861
    @magomakabanja4861 3 ปีที่แล้ว

    Wekeza kisarawe mond ila usisahau kigoma kuwekeza tena mji mkongwe ujiji ??

  • @hamadimtalika9647
    @hamadimtalika9647 3 ปีที่แล้ว

    shikamoo pesa yan naona kuna jibaba kazi yake kubeba kitambaa cha kujifutia jasho

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 3 ปีที่แล้ว

    Bwana masifa ma shw off mengi

  • @modestndwika2361
    @modestndwika2361 3 ปีที่แล้ว

    Mondi...! Fanya uwekezaji hapo kuna maisha utalii wa ndani iutapiga hela! Pia fursa ya ajira kwa vijana wenzio fanya kitu apo! Tupo tutakusaidia tunajua uwekezaji ktk area hizo

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

    Walikuwa wapenzi kimbambo n'a walisha wayi kufikishana Heven itakuwaje tunaonanatena? Ni aibu mutupu 👀😂😂😂😂😂😂 nacheka kwasauti

  • @venasndohapotunapofelhelem9939
    @venasndohapotunapofelhelem9939 3 ปีที่แล้ว +1

    Hela nimeivulia kofia ata leso anaxhikiwa

  • @brownd6360
    @brownd6360 3 ปีที่แล้ว +1

    nasb nyange

  • @dullaxaka4007
    @dullaxaka4007 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว

    Mondi akupasha kipora apa

  • @charlesignas6667
    @charlesignas6667 3 ปีที่แล้ว

    Nyota kali serikali wanamtumia diamond Kama mwamasishaji kwa pesa ndefu

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 ปีที่แล้ว

    Diamond bingwa wa kuuliza kama kitu hakijui aaa!!wangekuwa wasanii fulani kwa status aliyokuwa nayo???heee

  • @amosezron9620
    @amosezron9620 3 ปีที่แล้ว

    Wanafa Nini kule

  • @glorymtuy3573
    @glorymtuy3573 3 ปีที่แล้ว

    Karibu kujua jinsi yakupaka wanja kwa njia rahisi kwa kutumia wanja wa penseli angalia 👇
    th-cam.com/video/8iJIabSZo6k/w-d-xo.html

  • @nicken3250
    @nicken3250 3 ปีที่แล้ว

    Mondi pumzika hapoo.... Mtoto mkali huyoo

  • @Hotcgold
    @Hotcgold 3 ปีที่แล้ว

    Chuka# mondi#usije ukazukumwa ndani ya maji ukafaa👹hao watu si waamini👾👽

    • @tynnahpaul8639
      @tynnahpaul8639 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ww jaman

  • @jadenmsafi
    @jadenmsafi 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda dai arudiane na joketi jmn

  • @janetsesay9861
    @janetsesay9861 3 ปีที่แล้ว +1

    Wcb for life