BACHU AZUA KAULI MPYA KWA OTHMAN MAALIM WANAKUPOTEZA HAO WAGANGA WAKO SITO KUACHA KTK HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 204

  • @YunusFeisal
    @YunusFeisal 2 หลายเดือนก่อน +10

    Bachu wanavyuoni awapati amani na utulivu kwa ulimi wako mungu amuhifadhi shekh adhman na wanchuwoni wetu

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน +6

    Lugha nzuri isiyo na kejeli kwa waislamu wenzetu ni bora sana kuliko hivi ilivyo katika kutetea jambo.Naogopa isitupeleke kwenye kibri na kujiona.

  • @aliboy3536
    @aliboy3536 2 หลายเดือนก่อน +5

    Allah akuongoze shekhe letu inshallah,haki ngumu Kwa wathalimu

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 หลายเดือนก่อน

    Shekhe Othman maalimu Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa elim achana na hawa wapenda marumbano

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน +8

    Bachu ww Huna hoja mbele ya shekhe Othman maalim
    Humuingii hata kidg

    • @nuhukenny7183
      @nuhukenny7183 2 หลายเดือนก่อน

      Hata nusu ya robo.

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      @@nuhukenny7183 hahaha etiy othman maalim amuweze bachu othman maalim huyu nimjuae Mimi mzee wa visa vya uongo

    • @nuhukenny7183
      @nuhukenny7183 2 หลายเดือนก่อน

      @HassanHamad-rf9tq Hhhh, Othman maalim Kenye utaweez kujua ,ni professor. Waatu Wengi ata ma Sheikh wa Africa Ouest wanamukubali. Wakati alikuwa Oman 🇴🇲 nilikuwa, wakati Ali kuwa Rwanda nimekuwa myaaka 10 inaisha

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb หลายเดือนก่อน

      Sheykh Othman maalim nikipenz Allaah na watu we bach hujijui na kundi lako lililo jaa ujinga

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 หลายเดือนก่อน +4

    Assalaam Alaykum ndugu Bachu: naseeha kutoka ndugu yako mwislamu. Nakuomba kwa ajili ya Allah! Wachana na mambo ya kubishana, wachana na kuwakosea watu heshima. Siku zetu ni chache sana. Afdhali zaidi ndugu yangu ni kujishughulisha na mambo ambao yatakusaidia siku ya kesho mbele za Allah. Wewe si judge.
    Mzee wako Allah amrehemu hajasumbuwa waumini na ulimi wake. Allah akuhifadhi ndugu yangu na akuwafikie killa la kheri wewe na family na watoto wako. Nakuomba kwa siku ya leo kuwachana na matusi nA kuwadharau ndugu zako. Shika kazi ya bwana mtumme صلى الله عليه وسلم vizuri na wawache creation of Allah alone.
    You my brother have done a lot of damage. Allah akusamehe. you talk with hasira. Unawakemea watu kama ambao ni Vitoto zako. Just leave them alone for the sake of Allah.
    What you are doing brother is counterproductive. You are making fool of yourself by Allah! I don’t think people around you are sincere to offer you sincere advice. Instead they are pushing you to act more foolish and they are acting as cheerleaders instead of working with you for what will benefit you today and tomorrow.
    Please forgive me for this blunt advice.
    Please take my advice. I will not advise you again.
    Allah help us all.

    • @zanzibarfin5789
      @zanzibarfin5789 หลายเดือนก่อน

      Asnte bingwa wa fitina

  • @RajabuHashim-d1e
    @RajabuHashim-d1e 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wee bachuu tumiaa akili vizuri, wee kama unatoa mawaidha toa acha kumchokoza sheikh wetuu othman maalim ,tumiaa kitabu na Sunnah Wala usitumie maneno ya watu wengine kuwahukumu wee sio mungu. Kila mtu anaweza kukosea maana mkamilifu ni allal pekee. Wee unajiona umekamilika sana

    • @ilyasawadh6375
      @ilyasawadh6375 หลายเดือนก่อน

      Bachu Ni mtushi wa mayahudi. Musimtie akilini analipwa kuangusha uisilamu.

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G หลายเดือนก่อน

      Umemskia vzur uyo sheikh wenu huyo othman​@@ilyasawadh6375

  • @KhamisiChula
    @KhamisiChula 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu jamani,kwani wewe ulisomea tu kukosoa,mawaidha yako yakinaisha,umeanza kutusinya baadhi yetu,ambiwa,nyoka huzaa nyoka,lakini mbona wewe hufanani na babako,kweli wewe ulisoma kwa babako!wewe ulisoma ili uugawanye uma!tuna mashaka juu yako

  • @HanzurounKatulimo
    @HanzurounKatulimo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maalim Mohammad Ni Kijana ambae unajitahidi Sana kitika kufundisha dini, Tunamshukuru Allah kwa jitihada zako, kikubwa tunakuomba ujikite pia katika hekma kwa kauli katika ufundishaji wako, Wanafunzi tuko darasani na tunakutegeeni maskio yetu. Shukran

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@HanzurounKatulimo SHEKH afundishwa hekma na watoto wa darasani😂. Halafu ndio mnamtegemea huyo!!! Kweli wanafunzi wa juha huwa majuha. Mlikosa mashekh na sasa mnalazimisha wendawazimu wawe mashekh wenu na hili ndio ajabu ya MUWAHAB

    • @saidali9255
      @saidali9255 หลายเดือนก่อน

      ​@hilalkhalfan1452 mche Allah ewe mja wa Allah yoyote anayoongea bi idhinllah utayakuta kesho,Muhammad Bachu si Mwenda wazimu! Analingania njia sawa na anatowa ushahidi kwa vitabu!..tafadhali usijifananishe na makafiri wa makkah walipomkataa mtume walimpachika majina lakini hawakuizima nuru ya Allah!..please! Bro don't fight the loosing battle!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@saidali9255 yaani unatoa mfano wa Mtume wa Mungu ndio Muhammad bachu!!! Kweli ukafiri unakunukia wewe juha abuu jehel la akhiru zamani. Hivi wewe unafkiri huyo mtoto wa bachu anatetemshiwa wahyi ELIMU yake kama anavyoteremshiwa Wahyi Mtume saw?!!!. Wewe Ni mwehu kama huyo bachu. Vunja hoja usilete upumbavu, Muhammad bachu mangapi kasema uongo? Mangapi katafsiri uongo? Wangapi kawasingizia uongo? Kaandikwa mara ngapi huko mbinguni kuwa muongo? Mara ngapi kafanya ghushi na hadaa?! Mpaka watoto wa kike wamembainisha ghushi zake na hadaa! Hivi MTU muongo na mwenye ghushi ndio Mtume Muhammad Saw wa kumuingiza mahala hapo kwa mtu huyo?!!! Kama wewe Si KAFIRI namashaka na wewe

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@saidali9255 acha UWAHABIA

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@HanzurounKatulimo said ACHA uwahabi

  • @YunusFeisal
    @YunusFeisal 2 หลายเดือนก่อน +8

    Bachu huna lakutusomesha ni fitna dio unalosomea adhman malim umuwezi kazi yake ni kuilimisha na kutagaza dini mungu amuhifadhi shekh adhman malim bachu mungu akuogoze upate kujitabuwa kuwa ilimu huna ni tarubeta

    • @AdnanMohammed-l6i
      @AdnanMohammed-l6i 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ujielewi othman anakuelimisha anakupoteza tumia akili wenye akili ndo wamewekewa moto na pepo tumia akili ufanikiwe Othman kasema live. Tauhid nitatu kwa ushahidi wa sura ktk Qur,an leo anakataa anasema ni Bid,aa kitu kipo ktk kur,an kinakuwa bid,a au alipo kuwa anasema aliuguwa sasa kapowa wazimu anakataa nyinyi na masheikh zenu hamjielewi

    • @shadhilfaki1457
      @shadhilfaki1457 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio huna elimu

    • @saidali9255
      @saidali9255 หลายเดือนก่อน

      ​@@AdnanMohammed-l6iSwadakta! Ustadh kaonywa! Asiwape Nguvu mawahabi! Sheikh aneniangusha kiasi!..

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb หลายเดือนก่อน

      Mawahabi akil hawan

  • @RamadhaniAlly-v5n
    @RamadhaniAlly-v5n 2 หลายเดือนก่อน +5

    Baba ako alikua mwalimu mzuri,,,ila uyu mtoto Amekua msenge msenge ,,,, Yani limekua fara kweli Yani anajiona amekamilika na anajiona Pepo ipo kwaajili yake,,msenge sana wewe,,,njooo uku nikufundishe eshima Kwanza ,,,hao maimamu Tu walikua wanaeshimiana,,,, wewe unasoma vitabu je unajua alie vitunga? sasa ivyo vitabu unavyosoma nibidaa acha sasa usivisome

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kumtukana muislamu mwenzako huo ni ufasiki itaqillah kijana acha jazba

    • @khamismohd5290
      @khamismohd5290 หลายเดือนก่อน

      Wewe @RamadhaniAlly-v5n ni mjinga sana wewe ni wakikatwa mkono pumbavu zako

  • @AliSuleiman-h3k
    @AliSuleiman-h3k หลายเดือนก่อน

    Bachu hatupati faida kwako Bali ni kupotokatu.
    Unawajuwa kweli washirikina ww Kuna watu wanasujudia ngombe na misalaba alau umewafikishia sio mtu kaletewa chakula na babayake ukasema kafanya shirk kwafikra yakua kalachakula alicholeta babayake BAADA ya kula chakula alicholeta mungu. Nadhani mtanielewa

  • @MaryamSaidi-u7i
    @MaryamSaidi-u7i หลายเดือนก่อน

    A alaikum? Tuacheni ushabiki ! Bachu hazungumzii kitu kibaya! Na ndio msingi wa dini! Kumpwwkesha mungu !

  • @AZIZIYUSUPH-v9z
    @AZIZIYUSUPH-v9z 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe mwenye unasema usicho kijua

  • @YussufoAchimo
    @YussufoAchimo หลายเดือนก่อน +1

    Assalamualaikum banchu neno biddahan ndi nini? Ili tupote kwelewana Hashimu kutoka msumbiji.

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G หลายเดือนก่อน

      Mpk leo hujui nn bidaa?😂

  • @AliJumanassor
    @AliJumanassor 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hili jamaa bachu shenzi

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unakagua ibada ya mtu ww ni nan wallah zaman nilikuwa nakufatilia lkn tokea nigundue ww ni finally wallah nimeacha kukufatilia ww unapenda sana maugomvi hufai kabisaa

  • @azizaalbreki3330
    @azizaalbreki3330 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mohammed Bachu majnoon

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน

      Intakillah

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 2 หลายเดือนก่อน

      Muogope kwa Allah kwani kila ukisemacho hata kwa sms utakikuta katika kitabu chako cku ya kama kwahyo chunga maneno yako

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 2 หลายเดือนก่อน +4

    Bachu, Wewe unamjua Sheikh Othman maalim??. Ule ni professor. Sema wewe kwenda ukasome kwa Sheikh wetu Othman maalim.

    • @zainulabideen6955
      @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

      Uyi kijana Ana ilimo, si to na respect of Sheikh maalim

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน +1

      Etiy othman maalim profesa huo profesa umempa wewee hata degree ya dini Hana huyo kasoma kisauni pale kaishia thanawi mungu kamjaalia kipaj cha kuongea na kawateka watu weng kwa visa ila sisi tunaomjuwa hatushuhulishi Maana bwamdogo kielimu

    • @nuhukenny7183
      @nuhukenny7183 2 หลายเดือนก่อน

      @HassanHamad-rf9tq Wewe unacekesha kweli. Sasa kuwa professa nikuwa na degree 🤣. Hujuwi kweli. Mtume Muhammad ni Professa wa ba Professa, alikuwa anajuwa kusoma ao kuandika?? Fikiriya kwanza maneno yaako kabla ya kusema. Mimi nilitembea inci nyingi bro. Lakini Othman maalim ni Professa. Tiya hayo muakili yaako

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      @@nuhukenny7183 usimfananishe mtume na huyo bwana wa visa vya uwongoo Allah amuongoze huyo ni bwamdogo Sana kielimuu na Hana ajualo anababaisha masufi wenzake

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      @@nuhukenny7183 profesa kwako wewe

  • @FadhilRashid-k4j
    @FadhilRashid-k4j 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh bachu naomba nafas kwenue madrasa yako Niko na mtoto wangu NatAka aje kusoma

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yusuph diwani unammaindi kweli yan 😊😊 shekh bachu

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe Muhammad ktk mashekhe wanaolingania ktk sunna wewe ndo umewakalia vibaya sana hawa masufu, makhulafi, wagangawaganga, na wazushi kwa aina zao zote kwa hiyo lazima walalamike sana juu yako na Allaah akuhidhi juu ya hila na vitimbi vyao.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@SadickMussa-g6h katika mtu chizi aliochizika akawafedhehesha MAWAHABI basi ni huyu kwasababu mpaka wanawake na watoto wa kusufi washamjua kuwa huyu ni poyoyo, AU hujaona mtoto na mwari walivyompopotoa huyu mjinga. Tafuten mwengine kwasababu huyu katika daawa kishafedheheka na sufi hatuna wasi kwa upotoshaji wa huyu hapati ata yai letu seuze kifaranga. Tunaemhofia ni sharif Al ahdali kakaake kishki tu, hawa mapoyoyo wote ata hawashuhulishi mtu. SUFI tunamtaka sharifu Al ahdali kwasababu anajielewa arudi kwa mashekh zake huku. Hivo vipoyoyo hatuvitaki kwasababu havina elimu

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hebu mshauri awache kibri,kejeli,dharau,na kujiona keshaongoka.Akiwachana na hayo atakuwa sheikh mzuri sana.

    • @THANIABDALLAH
      @THANIABDALLAH 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahio wewe unsupported huyu Bachu kuita watu wanafiq ibada za kinafiki, kiganga Ganga yani ndio mafundisho yamtume hayo ..?

    • @SadickMussa-g6h
      @SadickMussa-g6h 2 หลายเดือนก่อน

      @THANIABDALLAH sasa kama watu hao ndiyo sifa zao mtume yeye kwenye mafundisho take amewaitaje? labda Wewe utuambie alivyowaita mtume watu wenye sifa kama hizo

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@SadickMussa-g6h sifa zipi, zitaje hizo sifa

  • @AhmedAlhaddad-gj3rw
    @AhmedAlhaddad-gj3rw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mtoto wa bachu punguza bangiiii

  • @abunufilaabunufila2152
    @abunufilaabunufila2152 2 หลายเดือนก่อน +3

    Acha kiburi unakibri sana ww

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shehe odhuman huyu usimjibu huyu ni mjuwaji anjuwa kilakitu ilimu inataka haitaki ujuwaji ilmu inataka maarifa debe tupu haliachi kulialia

  • @omeerrasheed7192
    @omeerrasheed7192 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Mohammed si kupingi ila haya mambo sio mazuri una tumia ulimi vibaya na hekma Yako sio mzuri

  • @MohammedSaid-nd8eb
    @MohammedSaid-nd8eb 13 วันที่ผ่านมา

    Jaman kuenimakini najambo la dini sio kuropoka tu Muhammad Bachu yupo sahihi someni halafu ndio muanze ku comment

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    EU SEI DISSO QUE VOCE PENSA QUE SABE. TENS que TER RESPEITO VOCE MOMAD

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh bachu endelea kutufunza hiii ni dini kaziyako ni kufikisha kuongoa ni kazi ya allah na allah akupe nguvu na afyaa

  • @adammakame63
    @adammakame63 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu kijana ananikera sana kukosoa mashekhe ambao ni kama baba zake.ana kiburi sana na anajionesha kama yeye anajua sana. Yaani Mungu hapendi watu kama hawa. Sijui amepatwa na nini. Au anavuta bangi?

  • @fugakwamalengo707
    @fugakwamalengo707 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Bachu kula ngurue ni bidaa na ukila Kwa kuokoa maisha yako je Mwenyezimungu atakuukumu?

    • @fugakwamalengo707
      @fugakwamalengo707 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huoni apo shekh kuwa kuna bidaa nzuri na mbaya

    • @saidijuma-b9v
      @saidijuma-b9v 2 หลายเดือนก่อน

      Dah

  • @habibajumanondo6527
    @habibajumanondo6527 หลายเดือนก่อน

    Tufundisheni dini mnapoteza roho nyingi na mtakuja kuulizwa kwa mlivyoviongoza mkitukanganya tu mnatupoteza

  • @mistaaomar1238
    @mistaaomar1238 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda mambrui ukasomeshwe na ustadh said ufaidike

  • @RajabuHashim-d1e
    @RajabuHashim-d1e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh othman maalim nakushauri achana na hilo lijinga usilijibu hiloo linanjaa tuu hamna kituu hapoo

  • @ThorShelby-z6t
    @ThorShelby-z6t หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huna hekima kama vile Mzee wako alikuwa wewe vip kwani umejiunga na freemason kupinga ma sheikh

    • @Akramamkaku
      @Akramamkaku  หลายเดือนก่อน

      @@ThorShelby-z6t 😂😂😂

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw หลายเดือนก่อน

    Bin Bachu, umewekeza kwenye ushindani na masheikh wengine, maarifa yako unayatumia kujiona wewe tu ndio kila kitu, unatamka hadi maneno ya dharau kwa masheikh wengine

  • @Alimohd-w5s
    @Alimohd-w5s หลายเดือนก่อน

    Hayo ndio wanayoyazungumza tablighi sasambona mnasema niwapotevu au sababu ni kasemanani na si kasemanini

  • @farahaniIbrahim-y6g
    @farahaniIbrahim-y6g 2 หลายเดือนก่อน

    Izi elim zishakua za kipumbavu sasa bora ujue kuswali tu ujifie tu bas mana wenye elim wote saiz hawaelimishi wAnapingana tu

  • @RabiyaTajiri
    @RabiyaTajiri 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu umetupa asili yako ndo maana hujui unachokifanya wala unachosema

  • @salimsalim8043
    @salimsalim8043 หลายเดือนก่อน

    Kama una nia kumkosoa usimfuate muislamu mwenzako.
    Hii sio tabia njema.

  • @azizaalbreki3330
    @azizaalbreki3330 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mohamed Bachu Amhara nyikiwa
    Huyu anapenda kushindana anajiona yeye anajua kuliko watu wote
    Mie nampenda Othman Maalim
    Ukizungumza na mwenda wazimu na weye utakuwa mwenda wazimu
    Bachu ni mwenda wazimu

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน +1

      Anapenda sana mashindano hii ni sera yake.

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน

      Onload kupendamtu fata haki

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@HanifaOman-oo4pl hio haki unaijua wewe?. Hakki haisimamiwi na mpumbavu na mwenye masifa. Tabia njema ni haqi ya kwanza katika dini na kulingania kwa hekima ukapendwa. Sasa haqi haikai kwa mwehu bachu na hekima yake kukitupa kitabu cha mazazi ya Mtume saw, ata Mtume saw hakuwahi kutupa ata biblia. Kakosa sifa za UISLAMU unataka afatwe Nini?!!!

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe bachu bufuru. SHEKH Othman kishasema yeye SIO hoja, kwanini unamlazimisha abatilishe maneno yake?!!!. Wewe ndio batwilisha, yeye hata akiitafsiri QURAN basi SIO hoja anaweza kupatia na kukosea. Sasa hujanifaham Nini hapo

  • @FadhilRashid-k4j
    @FadhilRashid-k4j 2 หลายเดือนก่อน

    Hiv jaman mbona waislamu twapend ushabik dino Haina ushabik wa yanga na Simba muachen shekh bachu atoe elimu ss Kaz kwetu ukweli unajulikana tusikiliza elimu tunaipata

  • @alikutsetsera9387
    @alikutsetsera9387 2 หลายเดือนก่อน

    Bachuu unamkosea heshima shekh wetu athuman maalim kumuambia kwa kauli yako waganga wake

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mwislamu: ikiwa maneno yako ni ya hakki namuomba Allah amwafikie ndugu yetu arudi kwa njiya ya hakki
    Kwa sababu yeye na sisi sote ni binadamu
    Lakini ningependa sana ungetumia njiya ya hekima na ulayini kidhogo
    Allah atupe hidaaya na atuwafikie kuwa na heshima kwa ndugu zetu na kwa binadamu wote

  • @RamadhaniKinolo
    @RamadhaniKinolo หลายเดือนก่อน

    Na Othman I maalim ha kusema katika aiutatelo ikhlasi hizo Aina tatu za tawheed hakusema hakusema ni katika bidaa na nzuri na mbaya ila unapenda kuishabikia akili yako mwenyewe na majigambo Maana elimu yako ya mashindano na km alikosea sheikh Othman I basi ungemfata inawezekana ungepata elimu

  • @hashimujumanne9570
    @hashimujumanne9570 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpk mwkan atakaubali kua hat maulidi ni bidaghatun hasana

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 หลายเดือนก่อน

    Ninawasi wasi huyu Muwahabi bachu ni wale wanaosomeshwa na kutakharaj katika vyuo vya Esrail. Kazi zao ni ushindani tu ktk dini na upotoshaji. Wapo kimaslahi zaidi wala sio kwamba wanamaumivu kweli na uislam.

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    VOCE FALTOU COM RESPEITO O SHEIKH OTHMAN MAALIM

  • @ibrahimusaid2145
    @ibrahimusaid2145 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninachokiona hapo bachu analazimisha ionekane sheikh othman maalim ameendeleza mjadala wake…na wakati sheikh othman amezungumzia kiujumla kua yeye si hoja na pia upande wao kuna wanaamini kuna bidaa nzuri na mbaya…hajasema yeye kama amezungumzia hio issue ya tawhid…

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    BI'DAA MBAIA ITS MAFUTA AUPAKO OF TANZÂNIA

  • @RamadhaniKinolo
    @RamadhaniKinolo หลายเดือนก่อน

    Na Othman I maalim ha kusema katika aiutatelo ikhlasi hizo Aina tatu za tawheed hakusema hakusema ni katika bidaa na nzuri na mbaya ila unapenda kuishabikia akili yako mwenyewe na majigambo Maana elimu yako ya mashindano na km alikosea sheikh Othman I basi ungemfata 😅 ungepata elimu

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    VOCÊ AINDA NÃO ENTENDEU QUE VOCE ESTUDOU

  • @somosomo4860
    @somosomo4860 2 หลายเดือนก่อน +1

    TURUMBETA WA MAWAHABI.

  • @AliSuleiman-h3k
    @AliSuleiman-h3k หลายเดือนก่อน

    Bachu sijasikia hadidhi Wala Aya inayo SEMA mtume kavaa kofia mbona wewe unavaa je hiyo ni bidaa au au shirk. Tupejubu tuanze kuwaingiza masheikhezetu motoni kabla hawajafa?

  • @khamismohd5290
    @khamismohd5290 หลายเดือนก่อน

    Kuweni na akili jamali musiwe kama kambare angalieni dalili acheni porojo ambazo hazina dalili uyo ( ) iko siku mutamuelewa inshallah

  • @khamismohd5290
    @khamismohd5290 หลายเดือนก่อน

    Othman Maalim tatizo lake hafunguki ila ukweli wote anaujua tatizo lake anafuata wajinga sana

  • @AhmadMtoa
    @AhmadMtoa หลายเดือนก่อน +1

    Bachu hatukupendi watanzabia unapenda sifa na kujiona hapa huna mashabiki labda wajinga wenzako

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    Mohammad voce ainda não está pronto pra corrigir o respeitado o Sheikh Othman maalim.....

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    Voce MOHAMMAD JAMAIS TERÁ CONHECIMENTO CERTO. INDEPENDENTE DE NÓS RESPEITAMOS O SHEIKH OTHMAN MAALIM. AQUI EM MOÇAMBIQUE RESPEITAMOS O SHEIKH

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    THIS WAS NOT DARSA, ITS BLASFEMY

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sheikh anakiburi

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa iv unvofafanuwa ww ndo mawazo yake yalivyo kichwan kwake?

  • @SwidikiKabemba
    @SwidikiKabemba หลายเดือนก่อน

    Ma sheikh munaleta picha mbaya kati ya umma kwani maswahaba hawakuwa natabia yakuradiana maake hawakuwa na ilmu? Leo nyinyi njo munakuwa na ilmu?

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    SON OF BACHU, THE FIRST ALLAH THE GREATEST MAY BLESS YOUR FATHER. BUT, YOU MUST UNDERLINE THAT, THIS IS NOT TIME YOU CAN JOIN PEOPLE IN ORDER TO SPEAK ABOUT BI'DAA

  • @khamismohd5290
    @khamismohd5290 หลายเดือนก่อน

    Kuweni na akili zindukeni uyo bachu ni mtu muhimu sana na ni tunu ila polepole mutamuelewa

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanaharamu ni kupiga kelele tu kikojonzi

  • @HatibuBaghdad
    @HatibuBaghdad หลายเดือนก่อน

    Lau ungelikuwa elimu usingekuwa unapiga kelele ww ni yule ulienda kutafuta elimu ili ushindane tu

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 หลายเดือนก่อน

    IN ALLAH WE KNOW MOST than you son of Bachu

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 2 หลายเดือนก่อน

    Naaaaam Allah akulinde nahasad akuthibitishe amin

  • @jamilakhamisshaaban4752
    @jamilakhamisshaaban4752 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu kibaya kama kudhania dhania

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu anachuki na majigambo halafu anajiona yupo katika haqqi, kwanza lugya anayotumia sionzuri, kama SHEKH Othuman maalim alishawahi kusema hivyo na leo akasema hivyo mm sionikama ni tatizo maana hata wakina imamu shaafii kunabaadhi ya mambo wametoa Qauli 2 tofauti ipoqauli Qadiima na Qauli jadiida,

  • @NassorSaid-r3b
    @NassorSaid-r3b 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu bachu analengo sio zuri ampinga maalim othman ili wamtia dowa yaonesha bachu tokea mwanzu anachuki na maalim hizi lugha akosea utafkiria amkosoa mtoto mdogo

  • @DullahKhama
    @DullahKhama หลายเดือนก่อน

    Acha kutafuta umaarufu achana na sheikh letu

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

    والله المستعان.

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 2 หลายเดือนก่อน

    MASKINI BACHU HUJUWI KAMA HUJUWII

  • @hafithhamad2254
    @hafithhamad2254 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe hauna elimu nenda kauze madafu

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 2 หลายเดือนก่อน

    ANATAFUTA KIKI, ILI AJENGEWE MASHULE NA TAASISI, ULIMWENGU UNATAFUTWA KWANJIA NYINGI. WAMEPITA WENGI TUMEWAONA WAKIPATAHELA TU WANAPUNGUZA MBWEMBWE.

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 2 หลายเดือนก่อน

    Kitabu alosom yy t huy jamaa nd sahihi man iv anavojigambaa

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa uku ni kukubali vitabu vyamaulid maulid au?

  • @IdrisahAlley
    @IdrisahAlley หลายเดือนก่อน

    Kwanini tunaweka mijadala waislam kwa waislam

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 2 หลายเดือนก่อน

    Othman Maalim sio hoja ya kuthibitisha Hoja ya kuwa Tawhidi.
    Tunataka Kauli ya Allah au Mtume kama munavo itakidi nyinyi mawahabi kuwa kila jambo jipya ambalo huakusema Allah au Mtume ni bidaa
    Hatutaki balbala zako

  • @SaidSalim-d8z
    @SaidSalim-d8z 2 หลายเดือนก่อน

    Assalam Aleykum...Bachiu una uhakika gani kua anataka kuridhisha watu.......

  • @ramadhansoud2441
    @ramadhansoud2441 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nauliza swali wahabi munapinga watu kupiga maulid ila sahii wahabi huyu huyu mmoja amewaruhusu wanamziki wa merikani kuja piga mziki na watu kuchangamana waume kwa wake hapo unasemaje sheik m.n.b?

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usitutukanie mashekhe zetu mchawi wewe

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu pamoja sana komaaa

  • @RonjoSalum
    @RonjoSalum 2 หลายเดือนก่อน

    bachu umekua hauna adabu atakidogo kama unajifanya mwana chuoni nenda kaonane nahuyo unae mwambia usifate mkumbo hauna elimu hiyo ww

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 หลายเดือนก่อน

    Duu kwa kwelii ,kwa sisi wabajuni

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu kweli wewe ni chizi kila kitu unajuwa wewe mtu anaongea mengine na wewe unatafsiri vyengine na kuhusu matusi wewe naona unaongoza kwa matusi na kejeli mpaka watu sasa wanakutukana kwa ujinga wako

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 2 หลายเดือนก่อน

    Na wala hutoskia kukujib ww shekh othman maalim anajielewa haoni umuhimu wa kujb km ayo unchkuw clip fup fupi t mbn ay mengn anayoyapatia huyasemi hlf wew jamaa unakiburi san yan cjw elim yko ikoj ww jamaa man kil mtu ankusem ww lkn ww bdo unajion upo sahihi t lkn elim bahar wat hawapend mijadala km ww sheh kiburi

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 2 หลายเดือนก่อน

    wewe ni mtu wa mipasho unaifanya hiidini nikamavile taarabu, umeshindwa na SHEKH Kidawa baada ya munaaqasha kuisha ukajifungia chumbani nakuanza kujipa ushindi, kwanza nakuulizatena ulemunaaqasha ww na haji upepo umeishia wapi?

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 หลายเดือนก่อน

    WACHENI KUPAKANA MATOPE. MAYAHUDI WAZIDI KUTUDHARAU. SISI NI MAULIDI, MASHIA, JANABA.. AIBUU. TUSOMENI TUWE WATU. LEO KUNAUNDWA MICROCHIPS, STEM CELLS, BIONIC EVE. SISI NI KUTUKANANA.. MAWARI, JANABA, MASHIA. KOMESHENI USHENZI HUU.

  • @abuusharhabili1649
    @abuusharhabili1649 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh othman maalim ni binadamu km binadamu wengn km amekosea na mkos ya kibinadamu mbon ww unaanza kulta ujinga badala ya kutfutana nyny km nyny mukaekana swa pale alipo kosea mbn una leta mmb mitandaon na kuanza kuharibiana majina nilikuw nakuon mtu w maan sna ila hapa dah nimekutoa thaman yaan unachochea ugomvi baina y waislam kw waislam toka apa mshamba tu wewe

  • @abuuwandi1354
    @abuuwandi1354 2 หลายเดือนก่อน

    huyu apelekwe mirembe

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama wewe bachu ni msema kweli, sasa SHEKH Othman maalim kusema yeye sio DAILILI hilo ni kosa kwani?. Kwani wewe Muhammad bachu QURAN yako ni Othman maalim?!!!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna kuyarejesha na kuna kuifaham sivyo hio QURAN, kwahio kama rai yake kuwa suratu ikhlasw imesema kuwa tanqasimu tawheed alaa thalathat aqsami basi sawa imewafik, ikiwa sivyo basi sivyo

  • @Abdulshabani-nl8xk
    @Abdulshabani-nl8xk 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaikum mi.shekhe nachu ninakukubali sana ila kuwakosoa mashekhe kwa.kutumia. Kutumia mitandao si busara jenga urafiki na.mashekhe ili muweze kukutana nao.kwa amani.maana hakuna anaeweza kukubali kukoselewa kupitia mitandao hadharani

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน

      Atakaa vipi nao hao masheik wakati anawaona wamepotea makhurafi na watu wa bidaa?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@mzeerajab9154 ndio maghurafi watu wa BIDAA ya tawheed tatu kama wakatoliki mafasiki MAKAFIRI

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@mzeerajab9154 kama dini ya UISLAMU ni haqqi basi Mtume saw alikaa na makafiri kwa wema licha ya maswahaba wake ambao walikuwa wanafiki miongon mwao na aliishi nao vizur tu. Mawaidha ya MAWAHABI ni kujifunza hasad na chuki TU , Sasa vipi dini Yao!

  • @omarmbwilo2380
    @omarmbwilo2380 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo bwana bachu kazi yake ni kumkosoa shekhe othuman maalimu hana kazi nyingine ya kufanya???? Asijione yy ndio muislamu msomi

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

    JEE Hiko kitabu chenu Muhammad bachu ni qur-an au cha Mtume saw?

  • @RamadhaniAlly-v5n
    @RamadhaniAlly-v5n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msenge uyu,,,embu nenda milembe ukatibiwe

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 2 หลายเดือนก่อน

      Kila unachokisema na kukuandika just tuu kimehifadhiwa katika kitabu chako na utakikuta siku ya kiama, chunga maneno yako

    • @husseinmukwambo9001
      @husseinmukwambo9001 2 หลายเดือนก่อน

      Matusi ni dhambi epuka nalo
      Sheikh wangu Othman typo sahihi ila hao wanao mzunguka wanajaribu kumtoa kwa msimamo wake maana alichosema kuhusu tauhid ni sahihi
      Sheikh M. Bachu yupo sahihi
      Tuzingatie dini inasema aje tuache chuki bila hoja

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@mohdhaji550 mwambie bachu achunge yeye kwanza, kama yeye ni mhuni basi wapo wahuni wa KUMJIBU aliokosa ADABU

  • @AhmedAlhaddad-gj3rw
    @AhmedAlhaddad-gj3rw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mtoto ni mgonjwa , na anaonekana anatumia Sana Bangi

    • @ramadhanihamisi3977
      @ramadhanihamisi3977 2 หลายเดือนก่อน

      Hiii coment hai fai humu hili ni swala la dini pinga hoja kwa hoja sawaaa

    • @AhmedAlhaddad-gj3rw
      @AhmedAlhaddad-gj3rw 2 หลายเดือนก่อน

      Shekhe uwo sio uislamu, huko ni kuwakashif mashekh mashekh wanatakiwa kuwa na hekma, mbna ha, kma havuti bangi uyo bachu , basi msenge huwez kusimama namna hiya kwenye media halafu ukosowe mashekh ambao wakubwa sisi tangu wadogo hao ni mashekhe wetu na tunawaskia na tumijuwa qur an kupitia wao , leo kinakuja icho kipumbavu kiteja cha bangi kinaleta ugomvi baina ya mashkhe

    • @AhmedAlhaddad-gj3rw
      @AhmedAlhaddad-gj3rw 2 หลายเดือนก่อน

      @ramadhanihamisi3977 huyo ni mvuta bangi sio shekhe, mimi nataman kumuona wallah , naweza ata kumpiga kibao , kwa sababu huku ni kuugawa uislam, na kuwagawa waislam, sasa wapi tunaenda, waislam ndo wanauharibu uislam , hapa ndo nimeamini

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@AhmedAlhaddad-gj3rw hili ni kundi la mayahudi liliotawala Saudi kueneza fitna duniani na kuvunja umoja wa WAISLAMU kwa hila yoyote ile. Asili yao utawajua hawana IMAMU yaani hawana madh haby na hawafati imamu yoyote kikamilifu bali huongozwa na akili zao tu.

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AhmedAlhaddad-gj3rwtulia dawa iwaingie masufi shekh wako alishawahi kumkosea shekh wetu Albany alinyooshwa vizur