Sheikh Allah akulipe kheri na atupe ufaham, nimependa sn ulichokifanya Mashallah, ila jitahidi sn ucwe unamshambulia Sheikh Kidawa ww elezea tu coz hapa hatupo kwenye mdahalo na Kidawa🎉 pia jitahidi sn ucwatowe masheikh akili na kuwadunisha anaweza akawa ana akili kukuliko ila kwenye ufahamu wa hilio pengine ndio unamzidi🎉 hivyo mm nakuusia kua ucwe unamuongelea mtu kana kwmb una chuki nae bali ww fahamisha tu ili yyte atakaekuelimika na aelimike🎉
Ww Muhammad bachu Allah akuhifadhi sana nkpnda na nlkuwa nakfatlia sana ila Acha kubisha bishana na kutueka sie njia pnda baadhi ya waislm kadhi yenu kuwek mjadal waislm kwa waislm na kuitna majina mabya kuna watu wanajita mungu mumee kmya wanautukn uislmu mumekaa kmy vijijin uko watu uislm hwaujui mumekaa achen mmb yenu bn muna zima kwa mungu yni mashehe munaekeana nyuki munasikitisha kwakwel
@@FatmaOmari-tz2my mtume kaambiwa anze kuelimisha watu wa nyumba yake .. kwakweli uislam ni dini ya elimu uliebahatika kusoma tena elimu ya nafia alhamdulilahi...kuna wengi Sana si wasomi Kwa ndugu zetu waislamu je tufanyeje Kila ajae yuwadai elimu yake ndio sahihi inabidi Kila mmoja watoe elimu zao Kwa vitabu Quran ikiwa ya Kwanza na Sunna za mute maana yeye ndie mwalimu WA waislamu namba wani ..Sawa Kwawale hatukusoma kaa Sisi tutapata kuelewa mkweli ni Nani matusi Yao wenyewe hayatukeri watakutana mbele za Allah Sisi tunangalia msemaji mkweli yupi,..nikaa usomewe bibilia na Quran hata kaa ukusoma mwenyewe utajuwa maneno ya kweli ni yepi ndipo wakristo wengi wanasilimu kila kukicha wala bibilia yao hawaisomi wala Qur'an lakini wakisomewa zote ndio wamuzi wajua...so Allah azidi kutuonesha haki na batwili ipotelee kupotelea...pili usite mtu wewe si katika madili na heshima dadangu japo tuwaswahili lakini pia madili na heshima muhimu mana katufunza mtume tabia njema kwaviumbe vyote hata wanyama.
Ni kwel kabisa maalimu wao wamekaa kupeana mjidala.ilikutukananq tuuu lakin hawajui kuwa .Kuna watu ni taruku swala.wamewaacha.Wengine hawana din wamekaa kubishana na masheikhe wakubwa ili hali yeye hana hata elimu.Amemshindwa ustadh said kwa hoja anaanza kuwachokola masheikh
Wallah ni kazi ngumu sana kuwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru ila usichoke Shekh wetu Bachu Allah azidi kukupa nguvu na kukuhifadh sisi wengine tumeshakuelewa zamani sana hakika uongofu unatoka kwake Allah na tunamuomba awaongoze katika njia iliyo stahiki
@@abuarifhassan6316 unataka sisi tusikosoane hata watu wakikosea? kwanza tusafishane vyema sisi kwa sisi ili hata hao watakaoingia watatukute tumesalimika
Jazaqallahu khaira Sheikh Bachu Allah akuhifadhi na akuzidishie umri uzidikutufumbua macho .. Alhamdulilah..hakika Kama Twataka Elimu na kuelimika ina tulazimu tufungue myoyo YETU ..Tuachane na ushabiki .. Hakika mada hii umeimaliza .. Shukran Kwa Elimu iliobora.
Shekh mohamedi sisi tunakufatiria na tunamuelewa vibaya mno Allah akuongoze usiache kulingania mambo ya haki watu sheitwani amewachezea hawataki kusikia pamoja kua Aya wanazijua lakini Bado wapo ktk Giza sisi tunakuombea kwa Allah akupe maisha malefu inshaallah
Itakuwa Sheikh umeumia sana na unajuwa kuwa umeshindwa na Sheikh Kidawa. Kwa namna ulivyojibu kuhusu tawhidi 3 basi maulid pia hayana tatizo kuyatekeleza. Ushahidi wako wa kuunga unga sana Sheikh
Shehe nakufatilia kila clip yako ya video inanifikia kwenye sim yangu baadhi ya kaulizako hutumii alifadhi za kihekima lego siyo hawa wapingaji lengo kufikisha haki ya kuwajulisha waislam vigawanyo vya tawheed katika hili watu wataelewa kidogodogo sio rahisi wote kuelewa hili mm baada ya kwenda kusoma mskitini answary ustadhi akatufafanuliya tawheed ipo sihem 3 wanasikiya kwatofiki ya allah wapo wanakuelewa .ushaury tumiya alifadhi za maneno yasio kuwa makali tunaakupata vuzur ❤❤❤❤❤🎉
Sheikh mohammed bacho anawaweka waislamu woote sawa hana tatizo lolote ,bali ana waweka wazi masheikh watofu wa kisufi kama wakina kidawa wanao wapotosha waisilamu.kama uliiangalia munaqasha wa kidawa na sheikh muhammadi bacho.alafu angalia clip hii.utagundua kidawa alikuwa sawa au alikuwa sio sawa,.na kama alikua yuko sawa,sasa ampinge sheikh othmani maalim.
Sheikh, mada yako ni nzuri na ninaikubali. Lakini, kwa mtu asiyejuwa, asiye na elimu, lililobora na faradhi kwetu ni kumjulisha, kumsomesha na sio kumdharau na kumzodoa. Tumepewa sifa ya UMMA BORA kwa sababu ya kukumbushana na kuaidhiana. Allah awazidishie elimu wale walionayo, na awape japo kidogo wale waliokuwa hawanayo.
Asilimia 99 waisilamu lakini vyanzo vya mapata yao 1.Utalii Asipokuja mtalii akamuasi Allah Mzanzibari hali, atakufa njaa, na hapati pesa ya kwenda hija 2. Pombe Isipouzwa pembe uchumi wote ndio umekwisha 3. Danguro Wazanzibar wengi wamekodisha nyumba zao mitaani kwa kisingizio cha kupata kodi lakini waliokodishw wauza uchi asubuhi,mchana jioni na usiku Lakini wote ni asilimia 99 waisilamu
@AwadhTariq SURATUL maryam ayaa ya 65 imemwongelea ALLAH KWA MAMBO MANGAPI KISHA TAFUTA CLIP ALIOITOA SHEKH MUHAMMAD BACHU JANA JUU YA UTHIBITISHO ALIOUTOA SHEKH OTHMAN MAALIM MWALIMU WENU WAKI KHURAFI ANAITAMBUA VP TAUHID TUSIJADILI KITU WAKATI KIKO WAZI KATIKA VITABU BROTHER.
@AwadhTariq naam Allah atupeufahamu wakuitambua hakki sisi na wao maana huu ni mchezo wanauleta umepewa ayaa ndani ya QURAN HAIMTOSHI ATAKA KHADITHI USIWALAUMU SANA WAMEZOEA HADHI MUNKAR MUNKAR WAO.BIG BRO
@abdillahimohd8614 kuna usemi apo imetolewa kama umeiangalia hii video mpaka mwisho unasema”lau kama ujinga ungelikuwa ni ng’ombe basi ningeuchinja”hivyo jaribu kufuta ujinga wako hata kama sio ng’ombe 😅hii video ingetosha kujua kati ya kidawa na Shekh bachu nani yupo kwenye haqqi hakuna ushabiki kwenye dini yetu kunahitaji uelewa
Hawa Lengo la Masufi ni kumuunganisha Mungu na viumbe, kuwa sababu hawakubali kumpekesha Mmungu na mambo matatu, hawa naongowza na shaitani ku abudu ma makaburi
Kasha sema yeye hajawahi kuwa hoja ktk dini ya Allah ukiona kaafikiana na jambo ambalo lauzushi kasema sisi tunakubali kuna bidaa nzuri jambo la muhimu la kuzingatia Kalallah kalarasulu
Baraka LLAHU...mnafanya kazi nzuri Sana Mola awajaze kheri..pia sisi tunafaidika Sana lakini msitusiane au kuchukiana...sote Ni umma mmoja ndugu wamoja dini mmoja...jengo mmoja...
Fatma usiwe mwenye kupinga kila kitu kubali kama mtu kazungumza haki na ukweli mtupu sio ww mda wote umekaza fuvu. We mwenyewe unatakiwa usome huna hiyo elim yakumfikia bachu
Mimi tangu nianze kusoma dini nilifahamu kuwa katika dini yetu ya uislam Jambo kubwa kufahamu ni taweed na sapuli zake huwo ndio muongozo katu utowahi kupotea hata zije elimu za haina gani...
Mwenyezi mungu hawaongozi watu, waloipa mgongo hakki, madamu moyo umepigwa, muhuri huwezi ongoka, macho yakawekwa vifuniko na masikio yaka, wwkwa pamba, hakki itasimama hata ukipinga, unakataa maneno ya shekh wako, live ndo wale, bani Israel wayahudi walitabiriwa kuja kwa mtume, alipowajia mtume na hoja za wazi kabisa walimpinga huyu sie, hayo ulianza ww ndugu, watu walikanusha kabisa miujiza ya mitume wao na kusema hili so chochote Bali ni uchawi, jamaa umepotea kweli mpk shekh wako, unamkataa, 😂😂😂😂unategemea kuongoka hapo, Sabu ninyi mkisema hizo tahweed hazipo wameleta wahabi, haya Hadi shekh wako huyo sufi ni wahabi huyo?? Kumbe hili Jambo linapingwa na wajinga wajinga tuuh, wasojuwa dini yao
الله ذو الألوهیة المعبود علی خلقه ۔ mbona maneno haya yapo wazi sana .Allah tabaaraka wataala ndie mwenyekustahiki muabudiwa naviumbe wake sas hao viumbe wanaomuabudia nani ?viumbe wanamuabudu Allah kwa sababu hao viumbe hawakupatika au kuwepo bali yakuumbwa na Allah . kama anavyosema Allah . قل الله خالق کل شیٸ وهو الواحد القهار sema yeye Allah tabaaraka wataala ndie muumba wa kila kitu . sasa kwanini aya isingesema . قل رب خالق کل شیٸ yani ingetumiwa tamko RABBY . njoo aya nyingine hii . ان ربکم الله الذی خلق السموات والأرض۔ hakika bwana wenu ni Allah Ambae huyo Allah tabaaraka wataala Ameumba mbingu na Ardhi utaona hapo hiyo Rabbu ndie Allah kwa maana yeye ndie mwemyeuwezo wote Tamko rabby hapo utaliona limetumika sifa yakuonesha ubwana kama wewe nibwana basi yeye nibwana wa mabwana . njoo hapa tena katika aya hii. ان الله علی کل شیٸ قدیر والله علی کل شیٸ aya hiyo hapo juu anasema Alla . Allah tabaaraka wataala hakika yeye nimuweza juu yakila kitu . kama Allah yeye ndie muweza juu yakila kitu sifa ya uumbaji ipo kwake maneno haya yapo wazi sana wala hayahitaji nguvu kubwa sana .
Wayahudi wamepita chini kwa chini wameanza kutugawanya waislam sisi kwa sisi tugombane tuachane na kazi ya kuungana kwa ajili ya jihadi kuingiza watu katika uislam Sasa hivi mkristo kuingia katika uislam ni jitihana yake kwa taufiq ya Allah na sio ulinganizi wa waislam Mfano mdogo Zanzibar makafiri wanaivamia kidogo kidogo sisi tumetualia tukiitana wale masufi wale masalaf wale motoni milele ata tukitahamaki Zanzibar imekua kama marekani kwa uchafu Allah atatuulizs siku ya kiama
ما معنى كلمة التوحيد؟ محمد . هل النبي صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما قسم التوحيد؟ أو أصحاب سيدنا محمد صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما؟ نبغى فائدة لو سمحت ممكن؟ شكرا
Ww ni mbabaishaji tu na mpotofu kama walivyo wapotevu mashia Kwanza tujuwe nn malengo ya tawheed tatu Waliozigawanya hizo tawheed wamezigawanya kwa malengo gani Hakuna tawheed tatu Rabbi ndo ilah na ilah Ina sifa vyote ni kitu kimoja Nyinyi mawahabby ni watu wapotevu Eti wakristo wanayo tawheed rubbubiyyah Innalillah waina ilah rajiun Mkirsto anaenda kanisani kusema mungu baba roho mtakatifu half mnakuja muna sema wakristo wanayo tawheed Niye muogopeni Allah
Saidi yupi yule anaechonga nyusi mpigaji vinanda? Huyu hata hathaminiwi tena kenya....sahii uongo wake mwingi huupeleka Tanzania manake huko anapewa pesa sana akituzwa
Mashaallah Tabarakallah sheikh muhamad nassor bachu. Sasa jahil upepo nenda kwa shekh lako athman maalim umkosoe . Ama toa clip athman maalim ni jahil kuhusu tauhidi tatu.
hii misuguano hii waislam kwa waislam ni misuguano yenye faida tunapata kuijua dini yetu na tunapata ari ya kutafuta elimu sisi tusiokua na elimu ila angalizo langu mnapotofautiana ktk hoja basi msidharauliane wala mmoja asijikweze dhidi ya mwenziwe muwe na ikhlass
Kule Kenya ulikamatwa tu lakin Sheikh Kidawa alikushinda unahisi hasa kuna pahali unataka ushinde ila sisi tumekuwelewa Bwamdogo. Hakuna Muislamu ambae hajui tauhid.
Bachu kuna Hadithi ya Mtumi alogawanya Tauhid? Manake Mtumi صل الله عليه وآله وسلم تسليما ndie mwenye kufasiri aya hiyo ulosoma سورة مريم au Qauli ya Swahaba yoyote inshaAllah. Kisha ndio utowe Qauli ya Al habib Habshy. Tupe faida Muhammad Bachuu jibu swali wata ruka ruka huku na huku
Muhammad mbn mjing iv ww kwan kweny din kuna ugov au kufahamishan elimu tu acha ujinga wak uo sw watu watakupenda ila mungu j fanya vitu ili mung akuridhie fisad w ,,ww tu nd umetakasika sasa ilo ni tatizo😅😅😅😅😅😅
Sheikh allah akujaalie lakini baba yako hakuwa kama Wew mdomo wako umejaa matusi na kibri ndo usalafi gani huo Wa kutukana masheh kweli watu wanataka umaarufu
Unaposem tauhid ni 3 nikam unasem allh ni 3 na allh hilo kakataa kwa kusem قل هو الله احد waambie allh ni 1 tu allh akaendelea kueleza sifa zake akaleta نعت ya huyo allh mwenyew hakutajwa allh nwengne hapo hizo ni sifa zake hapo hmna tauhid 3 kwasbb hakuna mwanachuon yyte wa tafsr ambaye kaongea maneno hakuna wala swahaba yyte yule kama yupo mtaje na hakusema tauhid zipo 3 hakuna hakuna ktk uislamu tauhid 3 maan ya tauhid ni umoja usio gawika sas ugikaw 3 huo ni umoja au ni utatu na suratul ikhlaswi haikutaj tauhid 3 imetaja sifa za allh ambaye ni 1 tu allh hagawiki na ndoman mnakosea san mnasem allh ana mikono allh ana miguu hivi hii aya hamuitazam allh alipozungumzia sifa zake ولم يكن له كفوا احد au mmeifaham vp tunaomba tuletee kauli ya mtume inayosema بني التوحيد على ثلاثة kama alivosem kihusu nguzo za uislamu بني الاسلام على خمس lete dalili usilete kauli ya shekhe tauhid 3 ni bidaa
UTATU WA NINI KWENYE TAUHID SHEKH MUHAMMAD, KWANI UKIMPWEKESHA ALLAH (S.W) KWA UMOJA WAKE UTAPUNGUKIWA NA NINI, MBONA ALLAH (S.W) AMESEMA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA YEYE TU MMOJA NA HANA MSHIRIKA, VIPI MUNALETA UTATU KATIKA UPWEKE WAKE WA KIPEKEE, CHENGINE, IKIWA WEWE UMEWEZA KUMUEKA SAWA BABA YAKO KWA ALIPO TELEZA , VIPI ASHINDWE KUTELEZA SHEKH OTHMAN MAALIM, NA VILE HAWAKUKOSEA KWA SABABU TUNAAMINI HAWAKUBEBA MAANA HIO YA UTATU MULOIBEBA NYIE MAWAHABI, LEO MAULID UNAYAPINGA, HALAFU UNATOLEA USHAHIDI KITABU CHA *(!SIMTWI DURAR! KATIKA HOJA ZAKO KAMA WEWE SI MNAFIKI NI NANI?)*
Sheikh Allah akulipe kheri na atupe ufaham, nimependa sn ulichokifanya Mashallah, ila jitahidi sn ucwe unamshambulia Sheikh Kidawa ww elezea tu coz hapa hatupo kwenye mdahalo na Kidawa🎉 pia jitahidi sn ucwatowe masheikh akili na kuwadunisha anaweza akawa ana akili kukuliko ila kwenye ufahamu wa hilio pengine ndio unamzidi🎉 hivyo mm nakuusia kua ucwe unamuongelea mtu kana kwmb una chuki nae bali ww fahamisha tu ili yyte atakaekuelimika na aelimike🎉
BACHU ALLAH AKUHIFADHI MAANA HAWA WATU HAWAELEWI HATA UKAWAPA AYA ZOTE BADO VICHWA VIGUMU
Shekh Muhammad Nassor Bachu ,Allah akupe umri mrefu ,ili ulimishe Jamii ,amiin
Baarakallahu fiikum ila alichokikusudia sheikh Uthmaan sicho anachokusudia sheikh Bachu ila mafunzo mazuri
Ww Muhammad bachu Allah akuhifadhi sana nkpnda na nlkuwa nakfatlia sana ila Acha kubisha bishana na kutueka sie njia pnda baadhi ya waislm kadhi yenu kuwek mjadal waislm kwa waislm na kuitna majina mabya kuna watu wanajita mungu mumee kmya wanautukn uislmu mumekaa kmy vijijin uko watu uislm hwaujui mumekaa achen mmb yenu bn muna zima kwa mungu yni mashehe munaekeana nyuki munasikitisha kwakwel
Tatizo hujajua athari za uzushi na misingi ya daawa, BIFATMA ILA FUATILIA VIZUR HISTORIA YA MASWAHABA WALIVO KUA KATIKA KUKEMEA UZUSHI
Haifai kunyamazia haki tukumbuke shetwani yupo kazini...watu kama yeye wapo wachache sana... Malipo yake kwa Allah
@@FatmaOmari-tz2my mtume kaambiwa anze kuelimisha watu wa nyumba yake .. kwakweli uislam ni dini ya elimu uliebahatika kusoma tena elimu ya nafia alhamdulilahi...kuna wengi Sana si wasomi Kwa ndugu zetu waislamu je tufanyeje Kila ajae yuwadai elimu yake ndio sahihi inabidi Kila mmoja watoe elimu zao Kwa vitabu Quran ikiwa ya Kwanza na Sunna za mute maana yeye ndie mwalimu WA waislamu namba wani ..Sawa Kwawale hatukusoma kaa Sisi tutapata kuelewa mkweli ni Nani matusi Yao wenyewe hayatukeri watakutana mbele za Allah Sisi tunangalia msemaji mkweli yupi,..nikaa usomewe bibilia na Quran hata kaa ukusoma mwenyewe utajuwa maneno ya kweli ni yepi ndipo wakristo wengi wanasilimu kila kukicha wala bibilia yao hawaisomi wala Qur'an lakini wakisomewa zote ndio wamuzi wajua...so Allah azidi kutuonesha haki na batwili ipotelee kupotelea...pili usite mtu wewe si katika madili na heshima dadangu japo tuwaswahili lakini pia madili na heshima muhimu mana katufunza mtume tabia njema kwaviumbe vyote hata wanyama.
WANAOTOWA MANENO MABAYA NI MAKHULAFI NA WALA SIO BACHU
Ni kwel kabisa maalimu wao wamekaa kupeana mjidala.ilikutukananq tuuu lakin hawajui kuwa .Kuna watu ni taruku swala.wamewaacha.Wengine hawana din wamekaa kubishana na masheikhe wakubwa ili hali yeye hana hata elimu.Amemshindwa ustadh said kwa hoja anaanza kuwachokola masheikh
Wallah ni kazi ngumu sana kuwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru ila usichoke Shekh wetu Bachu Allah azidi kukupa nguvu na kukuhifadh sisi wengine tumeshakuelewa zamani sana hakika uongofu unatoka kwake Allah na tunamuomba awaongoze katika njia iliyo stahiki
Kwann tusishikane tuwalete mashia katika uislam halisi tuache kushindana sisi kwa sisi
@@abuarifhassan6316
unataka sisi tusikosoane hata watu wakikosea? kwanza tusafishane vyema sisi kwa sisi ili hata hao watakaoingia watatukute tumesalimika
Jazaqallahu khaira Sheikh Bachu Allah akuhifadhi na akuzidishie umri uzidikutufumbua macho .. Alhamdulilah..hakika
Kama Twataka Elimu na kuelimika ina tulazimu tufungue myoyo YETU ..Tuachane na ushabiki ..
Hakika mada hii umeimaliza ..
Shukran Kwa Elimu iliobora.
قل اعوذ ujikinge na برب الناس = ربوبية مللك الناس = الا سماء والصفات اله الناس = الالوهية
Sheikh mohd jitahid sna ila bado kieleimu up chin sna kwa othman malim
ماشاء الله تبارك الله فيك الشيخ محمد بن ناصر بن باشو
Shekh mohamedi sisi tunakufatiria na tunamuelewa vibaya mno Allah akuongoze usiache kulingania mambo ya haki watu sheitwani amewachezea hawataki kusikia pamoja kua Aya wanazijua lakini Bado wapo ktk Giza sisi tunakuombea kwa Allah akupe maisha malefu inshaallah
Itakuwa Sheikh umeumia sana na unajuwa kuwa umeshindwa na Sheikh Kidawa. Kwa namna ulivyojibu kuhusu tawhidi 3 basi maulid pia hayana tatizo kuyatekeleza. Ushahidi wako wa kuunga unga sana Sheikh
Dogo unajua Allah akuhifadhi na majahil unajua kabsa wape shule tunakufatilia kila Hatua mwamba
Anajua masha'Allah na mbwembwe anazijua,yani ukimskiliza ana ladh'aa
Nikajua mwamba ni batazari kumbe huyu nae ni mwamba
@@aziziatumanially424Ndio kazi yako kuangalia ngono
Kesi imesha na uyu upepo anataka mjadala wa nn sijui ataaibika bure...
Huyu Sheikh anajua mpaka anajua Tena. Na mada zake ni zakisomi na majibu yake ni ya kisomi pia. Kiukweli huyu amesoma na akaelewa
Maa shaa ALLAH tabárakallah. Allah akulinde na hasidi wote. Wallahi hawana pakupenya kwa hilo
Shehe nakufatilia kila clip yako ya video inanifikia kwenye sim yangu baadhi ya kaulizako hutumii alifadhi za kihekima lego siyo hawa wapingaji lengo kufikisha haki ya kuwajulisha waislam vigawanyo vya tawheed katika hili watu wataelewa kidogodogo sio rahisi wote kuelewa hili mm baada ya kwenda kusoma mskitini answary ustadhi akatufafanuliya tawheed ipo sihem 3 wanasikiya kwatofiki ya allah wapo wanakuelewa .ushaury tumiya alifadhi za maneno yasio kuwa makali tunaakupata vuzur ❤❤❤❤❤🎉
Allah akuhifadh shekhe bachu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Bachu mashallah,kidawa na haji upepo hawana elmu ni ubishi mwingi tu ..
Allah akujaze kila kheri n'a akulinde n'a atujalie mwisho mwema
Sheikh mohammed bacho anawaweka waislamu woote sawa hana tatizo lolote ,bali ana waweka wazi masheikh watofu wa kisufi kama wakina kidawa wanao wapotosha waisilamu.kama uliiangalia munaqasha wa kidawa na sheikh muhammadi bacho.alafu angalia clip hii.utagundua kidawa alikuwa sawa au alikuwa sio sawa,.na kama alikua yuko sawa,sasa ampinge sheikh othmani maalim.
Sheikh Bacho endelea kuwafichua wapotofu zid zid zi zid ucichoke baba tuko pamoja,hawa wapiga ramli wamewapoteza waisilamu wengi sana humu mitaani
Sheikh Allah akuhifadhi kwa ajili yetu
Aaaamin
Huyu bachu ni sheikh mkubwa sana hapa duniani wa zama zetu
Unaota wewe 😂
Mdogo san uyo ki elmu mtu mwenye elimu hapang matabu hvy akaonekanw ety kasoma
Sheikh upo vizuri saana. Unajua sahiz ukwel wanaujua ila wanaogopa kukubali kuonekana kuwa wameshindwa
Mashaallah wameshaelewa shekh bachu
جزاكم الله خيرا وجعله الله في ميزان حسناتكم ونفع الله بكم أمين يارب العالمين❤❤❤✨️✨️✨️✨️✍️🥰
Kidawa kakataa kuulizwa masuala kachomoka mapema
Sheikh, mada yako ni nzuri na ninaikubali. Lakini, kwa mtu asiyejuwa, asiye na elimu, lililobora na faradhi kwetu ni kumjulisha, kumsomesha na sio kumdharau na kumzodoa. Tumepewa sifa ya UMMA BORA kwa sababu ya kukumbushana na kuaidhiana. Allah awazidishie elimu wale walionayo, na awape japo kidogo wale waliokuwa hawanayo.
Asilimia 99 waisilamu lakini vyanzo vya mapata yao
1.Utalii
Asipokuja mtalii akamuasi Allah Mzanzibari hali, atakufa njaa, na hapati pesa ya kwenda hija
2. Pombe
Isipouzwa pembe uchumi wote ndio umekwisha
3. Danguro
Wazanzibar wengi wamekodisha nyumba zao mitaani kwa kisingizio cha kupata kodi lakini waliokodishw wauza uchi asubuhi,mchana jioni na usiku
Lakini wote ni asilimia 99 waisilamu
Laqad kafara lladhiina kalu Inna llaha thaalithun thalatha. Wama min ilahi illa ilaahun wahid.
Barakallahfqa maalim❤
Ww Muhammad bachu acha ujanja km una hoja jibu ukiwa ktk mjadala ktk ukiulza hujmb ila kukojea ktk kiti tu
Ata huzingatiwi😂inavoonesha karibu unaujua ukweli ila imebaki chuki tu kwako, Allah akuondolee
Usiwe mshabiki wewe kwenye dini Othman maalim ni sheikh wenu unamkataa?
Bachuu jaribu kuzungumza na watu vizuri sana bila kukejeli. Naomba utupe Aya au Hadithi au kauli ya Maswahaba. Hao wamegawanya. Ni Bidaa
Umepewa AyaA hapo huielewi utaielewa KHADITHI NDUGU YANGU.
Rudia tena kuangalia clip na munaqasha wa kidawa utaelewa vzr
@AwadhTariq SURATUL maryam ayaa ya 65 imemwongelea ALLAH KWA MAMBO MANGAPI KISHA TAFUTA CLIP ALIOITOA SHEKH MUHAMMAD BACHU JANA JUU YA UTHIBITISHO ALIOUTOA SHEKH OTHMAN MAALIM MWALIMU WENU WAKI KHURAFI ANAITAMBUA VP TAUHID TUSIJADILI KITU WAKATI KIKO WAZI KATIKA VITABU BROTHER.
@@Captainome ndo nilikuwa namwambia ndugu yng hapo juu kuwa akiangalia munaqasha wa kidawa na hiyo clip ataelewa vzr maan naona bdo anataka Aya
@AwadhTariq naam Allah atupeufahamu wakuitambua hakki sisi na wao maana huu ni mchezo wanauleta umepewa ayaa ndani ya QURAN HAIMTOSHI ATAKA KHADITHI USIWALAUMU SANA WAMEZOEA HADHI MUNKAR MUNKAR WAO.BIG BRO
Maashaallah 😘
Imaam Maalik رحمه الله amesema
كل يؤخذ من قوله ويرد إلا قول رسول الله صلى الله عليه وسلم
Tawhid ni muhimu bila tawhid washirikina watafurahi sana na watautumia uislam kwenye ushirikin wao
shekh ww hujamfikia shekh othman maalim kwa elimu, na kazi ya da3wa aliyoifanya badala kumsema kwa ubaya nenda ukachukue elim kwake
@abdillahimohd8614 kuna usemi apo imetolewa kama umeiangalia hii video mpaka mwisho unasema”lau kama ujinga ungelikuwa ni ng’ombe basi ningeuchinja”hivyo jaribu kufuta ujinga wako hata kama sio ng’ombe 😅hii video ingetosha kujua kati ya kidawa na Shekh bachu nani yupo kwenye haqqi hakuna ushabiki kwenye dini yetu kunahitaji uelewa
Hana elimu zaidi ya visa tu
Wewe visa vyako vipo wapi na umempima kwa kutumia nini@@MsabahAli-d6u
Mashallah shekh wetu Allah akuhifadhi
JazakAllah khayr
MashaAllah tunakuelewa vizuri
Hawa Lengo la Masufi ni kumuunganisha Mungu na viumbe, kuwa sababu hawakubali kumpekesha Mmungu na mambo matatu, hawa naongowza na shaitani ku abudu ma makaburi
Jazakallahu khaira.
Kasha sema yeye hajawahi kuwa hoja ktk dini ya Allah ukiona kaafikiana na jambo ambalo lauzushi kasema sisi tunakubali kuna bidaa nzuri jambo la muhimu la kuzingatia Kalallah kalarasulu
Baraka LLAHU...mnafanya kazi nzuri Sana Mola awajaze kheri..pia sisi tunafaidika Sana lakini msitusiane au kuchukiana...sote Ni umma mmoja ndugu wamoja dini mmoja...jengo mmoja...
Shekh. Unajua Allah sw akuzidishie lkn jitahid kutumia lugha nzuri usiwadogoshe wengine sisi tunakufatilia na tunakuelewa
فلاتزكوا أنفسكم هو أعلم بمن اتقى...
صدق الله العلي العظيم
MAASHAA ALLAH jazakallahu kheir sheikh
Soma ustadh bachuu bdo mdgo utakuuwa sheikhe mzr sn babaako hkuwa ivyo kubishn bishna unafnya nn bchuuu
Fatuma unachamba sana
Fatma usiwe mwenye kupinga kila kitu kubali kama mtu kazungumza haki na ukweli mtupu sio ww mda wote umekaza fuvu. We mwenyewe unatakiwa usome huna hiyo elim yakumfikia bachu
Ww acha ujanja muddy bachu ww ni mshenz sana yaan kwasababu ulipokuwaga ktk mjadala huku ongea hvyo
Wewe daawa inakuingia vizr ni mgumu tu wa kuelewa kutokana na chuku zako
Kilalo ujielewi inaonekana akili yako pia ni kilalo...😂😂😂
Kaka kakae chin usome
Mimi tangu nianze kusoma dini nilifahamu kuwa katika dini yetu ya uislam Jambo kubwa kufahamu ni taweed na sapuli zake huwo ndio muongozo katu utowahi kupotea hata zije elimu za haina gani...
Allaah akubariki
Siyo makusudioo yaa shekhe othman kwenyee hiyoo suraa ilaa nyinyii ni wababaishajii
Mwenyezi mungu hawaongozi watu, waloipa mgongo hakki, madamu moyo umepigwa, muhuri huwezi ongoka, macho yakawekwa vifuniko na masikio yaka, wwkwa pamba, hakki itasimama hata ukipinga, unakataa maneno ya shekh wako, live ndo wale, bani Israel wayahudi walitabiriwa kuja kwa mtume, alipowajia mtume na hoja za wazi kabisa walimpinga huyu sie, hayo ulianza ww ndugu, watu walikanusha kabisa miujiza ya mitume wao na kusema hili so chochote Bali ni uchawi, jamaa umepotea kweli mpk shekh wako, unamkataa, 😂😂😂😂unategemea kuongoka hapo, Sabu ninyi mkisema hizo tahweed hazipo wameleta wahabi, haya Hadi shekh wako huyo sufi ni wahabi huyo?? Kumbe hili Jambo linapingwa na wajinga wajinga tuuh, wasojuwa dini yao
Sjui utaelewa lini sasa huyo sheikh othaman kataja tawheed ngp na sheikh mohammad kataja ngp😂😂
Maashaa Allaah
MaashaAllah
MBONA MAWAHABI MNASEMA ALLAH ANA MIKONO NA MIGUU NA KAKA KWENYE ARSHI HII NI SHIRKI
MNAMFANANISHA ALLAH NA MAUMBILE YA MTU MAWAHABI NI MAYAHUDI
الله ذو الألوهیة المعبود علی خلقه ۔
mbona maneno haya yapo wazi sana .Allah tabaaraka wataala ndie mwenyekustahiki muabudiwa naviumbe wake sas hao viumbe wanaomuabudia nani ?viumbe wanamuabudu Allah kwa sababu hao viumbe hawakupatika au kuwepo bali yakuumbwa na Allah .
kama anavyosema Allah .
قل الله خالق کل شیٸ وهو الواحد القهار
sema yeye Allah tabaaraka wataala ndie muumba wa kila kitu .
sasa kwanini aya isingesema .
قل رب خالق کل شیٸ
yani ingetumiwa tamko RABBY .
njoo aya nyingine hii .
ان ربکم الله الذی خلق السموات والأرض۔
hakika bwana wenu ni Allah Ambae huyo Allah tabaaraka wataala Ameumba mbingu na Ardhi utaona hapo hiyo Rabbu ndie Allah kwa maana yeye ndie mwemyeuwezo wote Tamko rabby hapo utaliona limetumika sifa yakuonesha ubwana kama wewe nibwana basi yeye nibwana wa mabwana .
njoo hapa tena katika aya hii.
ان الله علی کل شیٸ قدیر
والله علی کل شیٸ
aya hiyo hapo juu anasema Alla .
Allah tabaaraka wataala hakika yeye nimuweza juu yakila kitu .
kama Allah yeye ndie muweza juu yakila kitu sifa ya uumbaji ipo kwake maneno haya yapo wazi sana wala hayahitaji nguvu kubwa sana .
Allah akuifadhi ndungu yangu bachu kaka yangu uwe na hekima
MashaAllah kijana cha Nassor❤
Unajitahid shekhe Ila una manano ya dharau Sana
Hata Mimi nimemuona
Watu wa thwariqa, Sufi, khurafi ndio nani?
Wayahudi wamepita chini kwa chini wameanza kutugawanya waislam sisi kwa sisi tugombane tuachane na kazi ya kuungana kwa ajili ya jihadi kuingiza watu katika uislam Sasa hivi mkristo kuingia katika uislam ni jitihana yake kwa taufiq ya Allah na sio ulinganizi wa waislam
Mfano mdogo Zanzibar makafiri wanaivamia kidogo kidogo sisi tumetualia tukiitana wale masufi wale masalaf wale motoni milele ata tukitahamaki Zanzibar imekua kama marekani kwa uchafu
Allah atatuulizs siku ya kiama
@@Moc.khalfanwatu wa maulidi na wapenda kula wali mashughulini
Mmmh Nyani haoni kundule, na mawahabi ni kina nani?
ما معنى كلمة التوحيد؟ محمد . هل النبي صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما قسم التوحيد؟ أو أصحاب سيدنا محمد صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما؟ نبغى فائدة لو سمحت ممكن؟ شكرا
Hapa sheikh bachu umempiga za uso shekh kidawa kupitia shekh othman maalim
Ww ni mbabaishaji tu na mpotofu kama walivyo wapotevu mashia
Kwanza tujuwe nn malengo ya tawheed tatu
Waliozigawanya hizo tawheed wamezigawanya kwa malengo gani
Hakuna tawheed tatu
Rabbi ndo ilah na ilah Ina sifa vyote ni kitu kimoja
Nyinyi mawahabby ni watu wapotevu
Eti wakristo wanayo tawheed rubbubiyyah
Innalillah waina ilah rajiun
Mkirsto anaenda kanisani kusema mungu baba roho mtakatifu half mnakuja muna sema wakristo wanayo tawheed
Niye muogopeni Allah
Al akhey isome dini yako na mche Allah, usi toe comment kwa mihemko, yani kumbe huelewi hata malengo ya tawheed, wewe unamuabudu vipi mola wako
Allah Akbar
SHEIKH KIDAWA YUKO SAWA SANA NA KAKUSOMESHA ILA WEWE BACHU SIMSOMII KICHWA KIMEJAA UWAHABI WA KUKARIRISHWA
Sasa kidawa ametoa Aya au hadithi ipi,Kisha amekataa kuulizwa maswali ni aibu katika ulimwengu wa kutafuta elimu
Kidawa hana lolote yule kwa wtu wenye elimu yle ni mweupe mjomba
Hya usawa wke upo wp tuelimishe bc na sisi na usilete maneno yko leta Aya kwenye quran au hadith
Kijqmaa kiongo hichi kilipewa swali hakukijibu huku kinajudai kwamba ni chema
Jinalenyewe kidawa mwanaume linatosha kuwa hajuikitu
Ata lugha hujui ya kulinganiaa
Fisadiii weee😅😅😅😅et hana kigezo mpuuzi sisi tupo palee ilikua lkn umevurugwa vibay vibaya tatiz unapenda kughushi mjinga wee😅😅😅😅😅😅😅 tn kama kwelii
Kwamba hiyo Aya amegushi ama? Maana ameuliza yametajwa mambo mangapi kwenye hiyo Aya.
Twakusubili uje uku kenya mombasa shekhe said yua kusubili
Saidi yupi yule anaechonga nyusi mpigaji vinanda? Huyu hata hathaminiwi tena kenya....sahii uongo wake mwingi huupeleka Tanzania manake huko anapewa pesa sana akituzwa
Sasa hapo umeelewekaaa kaka
Mashaallah Tabarakallah sheikh muhamad nassor bachu. Sasa jahil upepo nenda kwa shekh lako athman maalim umkosoe . Ama toa clip athman maalim ni jahil kuhusu tauhidi tatu.
Ikhlaas ndiyo inayotakiwa kwa muislamu wa kweli.Ushindani na ushabiki wa kiyangana kisimba haujengi dini.
Hahahaha 🤣 mbona shekh amekiri mwenywe KUWA yeye sio hoja
@@ShaibuMtelo fafanua hujaeleweka.
ألحق لا يعرفان بأقدار الرجال.
تصحيح الكتابة
إن الحق والباطل لا يرفان بأقدار الرجال.
الرجوع إلى الحق فضيلة.
SHEIKH OTHMAN MAALIM KAJIBU YEYE SI HUJJAH LETE HADITH YA KUGAWA TAUHID SURAH MARYAM AYAH YA 65 HAIGAWANYI TAUHEED WACHA UZUSHI NA UPOTOFU
Comment zote ila hii ndo yakijinga. Swali dogo Allah kataja tawheed ngp kwenye hiyo Aya ya 65 suratul maryam
Jambo likiwa na ikhtilaaf kwani linakuaje,
muache shekhe amalize kwanza we nyamaza
Mashaallah allah akulinde na husda za makhurafi roho zinawauma sana wakikusikia simba unaunguruma
hii misuguano hii waislam kwa waislam ni misuguano yenye faida tunapata kuijua dini yetu na tunapata ari ya kutafuta elimu sisi tusiokua na elimu ila angalizo langu mnapotofautiana ktk hoja basi msidharauliane wala mmoja asijikweze dhidi ya mwenziwe muwe na ikhlass
Piga kelele kwa bachu wakeee
Sheykh la makhurafi halafu ni mwalimu wenu subhaana llaah, mahizbiy
Hujirtambui wewe
Si mwalimu wetu ni mwalimu wao tumemtumia kuwathibitishia tu wanaotaka haki wataelewa
Akili kisoda
Assalaamu aleikum,,,,
Mambo Mengine Katika Dini Msiangalie Makundi Bali Ni Sahih Kabisa Tawhid Zipo Tatu
Mbona katika munakash ameshindwa kuketa hoja lakini ameamua kusema akiwa pweke
UMEMPAKA MAFUTA OTHMAN KWA MGONGO WA CHUPA...YAAN UMEMPA SIFA ILA UNAMPINGA
Kule Kenya ulikamatwa tu lakin Sheikh Kidawa alikushinda unahisi hasa kuna pahali unataka ushinde ila sisi tumekuwelewa Bwamdogo. Hakuna Muislamu ambae hajui tauhid.
Bachu kuna Hadithi ya Mtumi alogawanya Tauhid? Manake Mtumi صل الله عليه وآله وسلم تسليما ndie mwenye kufasiri aya hiyo ulosoma سورة مريم au Qauli ya Swahaba yoyote inshaAllah. Kisha ndio utowe Qauli ya Al habib Habshy. Tupe faida Muhammad Bachuu jibu swali wata ruka ruka huku na huku
Kila mtu hana elimu kuliko ww😂😂😂..
Tahila huyu mtu sijapata kuona!!!
Jaman ebu iyangalieni hiyo Aya anayo dai yeye kweli imegawanya tauhid tatu nyinyi mnaburuzwa bila kusoma achen kusikiliza someni muangalie kweli
Na wewe ni sheikh mkubwa kuliko wote
Muhammad mbn mjing iv ww kwan kweny din kuna ugov au kufahamishan elimu tu acha ujinga wak uo sw watu watakupenda ila mungu j fanya vitu ili mung akuridhie fisad w ,,ww tu nd umetakasika sasa ilo ni tatizo😅😅😅😅😅😅
Sheikh allah akujaalie lakini baba yako hakuwa kama Wew mdomo wako umejaa matusi na kibri ndo usalafi gani huo Wa kutukana masheh kweli watu wanataka umaarufu
Endeleeni kufundishana ukaidi
Ww ni sheikh wa kiyahudi gaidi
Unaposem tauhid ni 3 nikam unasem allh ni 3 na allh hilo kakataa kwa kusem قل هو الله احد waambie allh ni 1 tu allh akaendelea kueleza sifa zake akaleta نعت ya huyo allh mwenyew hakutajwa allh nwengne hapo hizo ni sifa zake hapo hmna tauhid 3 kwasbb hakuna mwanachuon yyte wa tafsr ambaye kaongea maneno hakuna wala swahaba yyte yule kama yupo mtaje na hakusema tauhid zipo 3 hakuna hakuna ktk uislamu tauhid 3 maan ya tauhid ni umoja usio gawika sas ugikaw 3 huo ni umoja au ni utatu na suratul ikhlaswi haikutaj tauhid 3 imetaja sifa za allh ambaye ni 1 tu allh hagawiki na ndoman mnakosea san mnasem allh ana mikono allh ana miguu hivi hii aya hamuitazam allh alipozungumzia sifa zake ولم يكن له كفوا احد au mmeifaham vp tunaomba tuletee kauli ya mtume inayosema بني التوحيد على ثلاثة kama alivosem kihusu nguzo za uislamu بني الاسلام على خمس lete dalili usilete kauli ya shekhe tauhid 3 ni bidaa
UTATU WA NINI KWENYE TAUHID SHEKH MUHAMMAD, KWANI UKIMPWEKESHA ALLAH (S.W) KWA UMOJA WAKE UTAPUNGUKIWA NA NINI, MBONA ALLAH (S.W) AMESEMA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA YEYE TU MMOJA NA HANA MSHIRIKA, VIPI MUNALETA UTATU KATIKA UPWEKE WAKE WA KIPEKEE, CHENGINE, IKIWA WEWE UMEWEZA KUMUEKA SAWA BABA YAKO KWA ALIPO TELEZA , VIPI ASHINDWE KUTELEZA SHEKH OTHMAN MAALIM, NA VILE HAWAKUKOSEA KWA SABABU TUNAAMINI HAWAKUBEBA MAANA HIO YA UTATU MULOIBEBA NYIE MAWAHABI, LEO MAULID UNAYAPINGA, HALAFU UNATOLEA USHAHIDI KITABU CHA *(!SIMTWI DURAR! KATIKA HOJA ZAKO KAMA WEWE SI MNAFIKI NI NANI?)*
Allah akuongoze
Daaah yaan huyu Muhammad bachu ni mshenz kwel yaan anajifanya mnja mnja sana yaan
Allah akuongoze kijana
Allah akusamehe na akuonyeshe hakki maana hujui ulifanyalo wala ulisemalo
Daawa imekuingia hiyo
Itaq llah
Usitukane watu
Suala ni wapi mola au mtume waligawanya ?.
Kisha tauhidi ni ya mola nasio asmai wasswifaat .
Bali tunamuwahidisha mola mwenye sifa za ukamilifu
Yaan watu kuwen makin sana yaan sana na huyu Muhammad bachu ni anajifanya mjanja sana
Ujanja wa kwenye quran na vitabu au ujanja wa kutumia maneno yke binafsi kuthibitisha jambo??
Salamu hizi zimfikie Haji Upepo Kwa Sababu huyu ndie mwalimu wake na kuna mashekhe wengi WA kisufi wanaothibitisha uwepo WA Tauhid 3
Tangu nizaliwe ndio kwanza nimeona mwaka huu kuhusu tawhid kuwa ni uzushi.....mhhh nina wasiwasi na imani za hao
LAKINIIII SI TAUHIDI TATUUU
Ukosawa kijana wetu
Juhud ya kutetea bidaa nzuri ya tawhid