SHEIKH PONDA NA WENZAKE KUIBURUZA BAKWATA MAHAKAMANI : WATAKA WAISLAMU KUAMUA MAMBO YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 266

  • @ramadhaningulinga217
    @ramadhaningulinga217 2 หลายเดือนก่อน +32

    Takbir Allahu akbar upo sawa sheikh Ponda insh Allah mungu akupe Afya njema

    • @chuichongo3898
      @chuichongo3898 2 หลายเดือนก่อน

      Kapeleka kesi ya dini mahakamani...ni nini hukmu ya muislam anatafuta haki katika mfumo wa kikafiri???????

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@chuichongo3898alitakiwa apeleke wapi? Mbinguni au
      Hao bakwata wamewekwa na serikali na sheikh ponda ameenda mahakamani kuishtaki serikali kuwawekea chombo cha kichawa

    • @chuichongo3898
      @chuichongo3898 2 หลายเดือนก่อน

      @@jonasmrema8550kwani we ni muislam ????hamna haki kwenye mahakama za duniani....kuamini haki ipo.mahakamani ni kosa kwa mujibu wa sheria ya ki islam

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 2 หลายเดือนก่อน

      @@chuichongo3898 kwaiyo alipaswa kuenda kushtaki wapi

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 2 หลายเดือนก่อน +13

    huyu sheikh ktk tanzania mzima huyu mtu ni muelewa anamisimamo na nimkweli sana amesoma masha allah allah s w atakulinda atakuhifadhi sana

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 หลายเดือนก่อน +5

    Shekhe Ponda Allah akusimamie na akulinde ktk hili na jengine Amiin Rabbil Alaamin.

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah Allah akuongoze zaidi

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi sheikh Ponda kwa kupigania khaki ya dini licha ya madhira yote uliyo pitia lakini huchoki kupigania khaki ktk jamii yetu sis waislam (well done) Nakupenda kwa Ajili ya Allah

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน +34

    Mim ni mkristo lakn huyu shekh namkubali sana namuomba mungu akutie nguvu ktk kupambania haki za waislam ili wasonge mbele

    • @AliMsellem
      @AliMsellem 2 หลายเดือนก่อน +2

      sahihi sana allah s w akuongowe

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl 2 หลายเดือนก่อน +5

      Aaamin. Naww Allah akuongoze ktk njia sahih

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 2 หลายเดือนก่อน +3

      Unashadadia usichokijua boy.. Wewe

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@MATIKO9640 nijulishe wew basi

    • @w4058
      @w4058 2 หลายเดือนก่อน +1

      James ukweli ni ukweli haki na uadilifu usemee hata kama sio mfuasi wa dini Allah akuzidishie ukweli

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha marefu

  • @zedyabdulrwabilingo9042
    @zedyabdulrwabilingo9042 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kila la kheli Shekh Ponda Allah awafanyie wepesi Insha Allah......👏

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi

  • @shaibchat8054
    @shaibchat8054 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu amzidishie adhabu ya kaburi baba wa taifa hili ameen

    • @AziziRajabu-mv8jz
      @AziziRajabu-mv8jz 2 หลายเดือนก่อน

      😅 😅😅

    • @Abdul-rn5zj
      @Abdul-rn5zj 2 หลายเดือนก่อน

    • @severinpeterkalekezi5240
      @severinpeterkalekezi5240 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kaburini hakuna adhabu yoyote kwa sababu wanaoingizwa kaburini ni wafu ambao hawawezi kuhisi Wala kujua chochote. Acha kudanganywa na propaganda za kidini kwamba kaburini Kuna adhabu.

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@severinpeterkalekezi5240asante sana

    • @RamadhaniSalimu-r4q
      @RamadhaniSalimu-r4q 2 หลายเดือนก่อน

      hizo ni akili zako siyo dini

  • @MathiasNilanga
    @MathiasNilanga 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mzee wangu unajua sna kujieleza mungu hatawafanyia wepesi

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akbar.Allah akulinde na kila aina ya uadui.Allah aliafikishe hili.

  • @FrankShoo-yi8ez
    @FrankShoo-yi8ez 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ungekuwa mkristo ama mchungaji basi ningekuita au ningekufananisha na mchungaji mwakasege
    Ubarikiwe sana shehe ponda

  • @ngolwetv3523
    @ngolwetv3523 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akufanyie wepesi katika kila hatua katika jambo hili na mengine yoote ya kheri inshaallah

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 2 หลายเดือนก่อน

    Inshallah allah atuganyie wepesi kuondoa bakwata

  • @JumaBundala-o8r
    @JumaBundala-o8r 2 หลายเดือนก่อน +3

    Islam ni dini ya Allah inasimamiwa na kuongozwa na Alla.

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 2 หลายเดือนก่อน

    Allahkarim Atuwezeshe Ktk Hili Kama Lina Ukweli Ndani Ya Nyoyo za Waislamu Inshallah Mola Atatuwezesha Allah Karim Ndio Mjuzi Wa Yote

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu atufanyie wepesi sote waislam hili sio lasheikh Panda pekeyake nijukumu lakila muislam

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Akupe kila la kheir na akuhifadhi

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee nimekuelewa vizuri sana ubarikiwe sana ponda.

  • @muhdharssalim6610
    @muhdharssalim6610 2 หลายเดือนก่อน +3

    Umeelezea vyema historia, Allah atuhifadh na kutuongoza

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 2 หลายเดือนก่อน +3

    ماشاءالله، جزاك اللهُ‎

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 2 หลายเดือนก่อน

    Vzri sana sheikh mwenyezi mungu akupe taufiki

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo na ww sheikh Ponda ❤❤❤

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 หลายเดือนก่อน +21

    Bakwata ni Kirusi katika uislamu.. Hawapo kwa ajili ya waislamu

    • @w4058
      @w4058 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa wala halitaki tochi

    • @Abdul-rn5zj
      @Abdul-rn5zj 2 หลายเดือนก่อน

      fact

  • @RehemaJuma-c6w
    @RehemaJuma-c6w 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadh shekh ponda kwakutea haki za kiislam

  • @MpumaLanga-vc4zh
    @MpumaLanga-vc4zh 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mufti wetu ambaye kachaguliwa na nyoyo zetu kaongea. Allah atuhifadhie, ampe umri na afya

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mimi ni Mkristo ila huyu Shekh Ponda namkubali sana ana uelewa mkubwa sanaa. Mungu akutie nguvu katika kuitetea Imani ya kiislam

    • @T_Darius
      @T_Darius 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@T_DariusSasa mbona unacheka?😂😂😂

    • @michaelmillinga5064
      @michaelmillinga5064 2 หลายเดือนก่อน

      Wakipata huo uhuru ndio chanzo Cha movements za kigaidi.. serikali inajua inachokifanya.. mujahideen movements zote ni juu ya Islamic states, akiwa anafanya presentation hawezi kusema wazi, atasema uhuru tuu ila kiundani wanataka waanzishe Islamic states mujahideen movements, anaposema mahakama ya kadhi hapo anamaanisha utawala wa sharia ambayo ni utawala wa Sheria ya kiislamu ambyo ni hatari sana ndugu yangu mkristo, wewe mwenyewe utalia.. serikali inajua yote haya, wameamua kuzuia kwa lengo jema.. Sasa watetee ukifikiri Hawa ni wenzako..

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 หลายเดือนก่อน

      Kulikuwa na ulazima wa kutaja Imani Yako? 😂😂😂😂😂

    • @AliMsellem
      @AliMsellem 2 หลายเดือนก่อน

      hongera sana allah s w akuongowe

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 2 หลายเดือนก่อน +2

    🤝 Ahsante..

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah jambo lakheri hapa ndio tutawajua viongozi ambao wanamtumikia Allah na wanaochumia matumbo yao

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa kbsaa shehe

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ajaalie unalopambania binafsi na kidini naona upo sawa

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad หลายเดือนก่อน

    SH, PONDA, ALLAH AKUPE KHERI. Hakika wewe ni kiongozi.

  • @JumaGishanga
    @JumaGishanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahuma amiina

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 หลายเดือนก่อน +3

    KAKIKUNDI KADOGO SANA KAMEPEWA NGUVU KUBWA MNO KUTUMILIKI WAISLAM NA LASILI MALI ZETU MASHEKH WETU MIKOANI WAMECHOKA HAWANA UHURU WA MATUMIZI YA KODI WALA MICHANGO YA WAUMINI KUKIDHI MAHITAJI YA MAENDELEO WANALAZIMISWA MAPATO WATUME BAKWATA DAR KWA BARAZA MATAJIRI INSHALLAH SAA YA UKOMBOZI NI SASA!

  • @ibrahimmbillu5562
    @ibrahimmbillu5562 2 หลายเดือนก่อน

    Big up sheikh Ponda

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiuhalisia bakwata inatakiwa ilinde Quran na hadithi tu. Lakini siku hizi bakwata inalinda vitu vya ajabu ni ya kichaa tu ndo anaweza kufanya

  • @SuleymanMadaha
    @SuleymanMadaha 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mee wakujilipuwa kilamwaka mashallah

  • @HassanSalmin-f5h
    @HassanSalmin-f5h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mpazanzibar

  • @HassanSalmin-f5h
    @HassanSalmin-f5h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 2 หลายเดือนก่อน

    Takbir

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 2 หลายเดือนก่อน

    👏

  • @shotramdigitallink
    @shotramdigitallink 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safiii sanaaa bakwara ni masufy..wasitake kutuongoza susi ambao sio masufy wao wana aqida zao na ni madhehebu ya imam shafii tupate uhuru wetu maana hatuingiliani ktk mambo mengi

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 หลายเดือนก่อน +1

    2ko p1 na wewe shekh wangu issa ponda na Allah akupe umri mlefu shekh wangu

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 2 หลายเดือนก่อน

    Nzuri saana

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 2 หลายเดือนก่อน +2

    safi sana

  • @MudathirJamal
    @MudathirJamal 2 หลายเดือนก่อน

    Sawasawa Sheick mimi Binafsi sijawahi kuitabua Batwa maisha yangu yote kwasababu hio tunajua Historia vizuri lakini tunakushukuru sana kuliona kwa umuhim mkubwa hilo kwanini isiwe Umoja wa Waislam Tanzania iwe Baraza ??? Wanaojua kiswahili tafsiri yake yandani manayake nini ????

  • @bobaiddi9599
    @bobaiddi9599 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alla awasimamie ktk jambo hili

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na kuhusu kuandama Kwa mwezi pia ni tatizo bakwata wanataka wao ndio wawe na haki ya kutangaza Hilo pia ni tatizo sisi wengine tunafuata makka Sasa inakuaje bakwata watulazimishe tufuate kinondoni? Kila mtu aabudu Kwa Imani yake wasitulazimishe siku ya kusali hao bakwata

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน +3

    waislam walipigania uhuru kutoka kwa wakoloni wazungu!!kisha wakiajikuta wameingia kwenye ukoloni mbaya zaidi wa wakoloni weusi!!

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atawapa shindi,Haku na Batuil havikai pamoja

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bakwata ni ukoloni mambo leo kwa waislam

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli shehe ponda mimi naitwa abdul mke wangu alikuwa na tatizo wamenipeleka kata msasani kiongozi wa ile kata ni mwanamke halafu dini yake ni mkiristo huyo kiongozi wa kata atashuluhiaha vipi wamenizulumu nimekosa haki zangu naomba mama samia unisadie in shaallah 2025 utashinda kwa kishindo

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂 these people are hilarious

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbali na harakati hizi bado waislamu Tz wawe makini, kwani Kenya tumeshuhudia waislamu wamepata mahakama ya kadhi inayoshughulikia maswala ya mirathi,wakfu na ndoa ila bado inakandamizwa na katiba ya nchi kiasi kua haina mamlaka hadi kileleni......Yote hayo yatokana na kua mfumo mzima wa utawala haukubali swala la dini ulimwengu mzima.

  • @basrmalone9168
    @basrmalone9168 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee unazeeka na akili zako Allah akusimamie tuko nyuma yako shekhe

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi Mzee Mponda unadhani kila dhehebu likitaka liamue kadri kitabu cha dini yake,kinavyotaka Nchi,hii itakalika?!!!

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Imeletwa makusudi kuja kuzibiti uislamu tanzania na limetengenezwa iloo utawaona kamaa waislamu kumbe duuuu

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi katika Jambo ambalo silikubali ni hili lakutoa uhuru wakila taasisi ya kiislamu kujiamulia inavyotaka hili halikubaliki nilazima iwepo taasisi yenye maamuzi ya mwisho katika masuala ya kisheria,na tanzania uhuru huo upo lakini tatizo linaonekana nibakwata kwanini iwe bakwata,kwakweli waislamu tunauhuru mkubwa wa kuabudu labda aulizwe ponda ni uhuru gani kaukosa?

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashekh Wenye Fikra Kama Hizi Za Maendeleo Ni Wachache Mola Atatuafikisha Kwenye Hili

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah upo sahihi sheikh

  • @FatmaOmary-b2i
    @FatmaOmary-b2i 2 หลายเดือนก่อน

    Akuna uhuru kwenye mambo ya dini Ata wakati wa mtume kurikua na kiongozi wa umma sasa wewe unataka uhuru gani....

  • @MymunaUlaya
    @MymunaUlaya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman hyo shekhe nmemuelewa hajaikosoa bakwata ila anachokitaka kwamba waislam wawe huru ktk kufata andiko na sio kumfuata mtu yan wapewe uhuru ndio shauri lake yupo sahihi

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sh Ponda mambo mengi namkubali lakn alipomtuhumu mama kuwa anakua watu nkajua kumbe hatabiriki kwasabab nlifuatilia nkajua kasingiziwa TU mama

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Acha uchawa she ponda kasema kweli huyu mama afai kbsaa

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 หลายเดือนก่อน

    Hakika jambo hili la kuipeleka mahamani bakwata ni la waislamu wato tuchangie jambo hiri.tushikanae

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 2 หลายเดือนก่อน +1

    5:05 mhh kumekucha, kwaiyo iyo mahakama ya kadhi mtakuwa na gereza la kufunga waislamu wenzenu au mnataka kunyanyasa wanawake

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 2 หลายเดือนก่อน

      Kama jambo haulielewi vzr uliza uelimishwe.
      Chuki sio jambo zuri.
      Mahakama ya kadhi ktk mazingira ya nchi za kisecular inatumika katika maswala ya jamii mfano kusuluhisha migogoro ya kifamilia n.k kwa miongozo ya Qur an na sunna kama baraza la usuluhishi.hilo la kunyanyasa wanawake kwenye uislamu halipo aliyekulisha sumu hiyo hana nia njema kwako.
      Soma kitu kifahamu kwanza.

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 2 หลายเดือนก่อน

      @athumanikadaika5817 poa umeongea vyema ila sio kitu kizuri kwa nchi zenye democracy make ata mimosa na atataka awe na yake,, ila mda mwingine tufikilie kama waafrica ii mambo ni ya uarabuni,, na je muislamu akitofautiana na asie muislamu na shitaka likapelekwa uko apo inakuwaje

    • @alifbe4395
      @alifbe4395 2 หลายเดือนก่อน

      Kenya ina democracy kuliko Tz na mahakama ya kadhi ipo​@@ShedrackFaustin

    • @mrsferuzi7443
      @mrsferuzi7443 2 หลายเดือนก่อน

      Kunyanyasa wanawake

    • @JumaBundala-o8r
      @JumaBundala-o8r 2 หลายเดือนก่อน

      Niwakati wenu sasa mumkubali imamu wa zama hizi hazzarat Mirza Ghulam Ahmad.Ahmaddiya zindab

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawaona makafiri kwenye koment jinsi wanavoteseka kwa hili jamb
    Poleleni sana watu wa motoni😂😂😂

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watakuja wakristo yaani makafiri watawasemea waislam Kwa dhana zilozopo kichwani mwao watasema wanataka kuleta sheria za kiislam wantaka kuleta sheria za kukatana.mikono na vichwa kila watakalotaka kulisema watasema.... na Huu ni mda sahihi kabisa wa kuanzisha kesi hii...... Watasema na sisi wakristo tunataka mahakama yetu swali wakiulizwa mahakama kwa Dhehebu gani wataanza kutafunana

    • @davidbarnabas-e8f
      @davidbarnabas-e8f 2 หลายเดือนก่อน

      hii nchi democrasia siyo ya kidini

    • @Zanzibar0001
      @Zanzibar0001 2 หลายเดือนก่อน

      @davidbarnabas-e8f kweli ila jua hyo mahakama ya kadhi haitakuwa sehem ya Serikali na sio chombo cha serikali ni chombo rasmini kitakachosimamia misingi ya waislam kuanzia ndoa zao,mirathi yao na utatuzi ya maswala yote ya kindoa za kiislam wakristo mkitaka anzisheni yenu

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akusimamie sheghe PONDA TUNA MTIHANI SANA MBELE YA ALLAH. NA HII YOTE ULAFI WA DUNIA NA UROHO HAKUNA HOFU YA ALLAH

    • @kirungekirunge5920
      @kirungekirunge5920 2 หลายเดือนก่อน

      huko peke Yako na mungu wako lakini mola atakujaalia wataelewa tu kuwa unattupigania sisi na wao pia

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah bakwata ni ya serikali na wako piaa wasaniii hapo wakina daimond piaaa na wengine wa bakwata mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah haooo ni wasaniii bakwata hapo ni mtihani mkubwa na msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam wa bakwata wa CCM CCM oyeeeee inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn semaa ukweli unaaumaa mkiambiwa ukweli mnatapatapa alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar

  • @akimuabdallah8039
    @akimuabdallah8039 2 หลายเดือนก่อน

    Uhuru haupo ndomaana serikali imewakataza waislamu kujenga chuo kikuu kama walivyonavyo wakristo, mpaka serikali iwape tofauti na hapo hakuna kujenga chuo hata wakijitokeza wadau haiwezekani ndomaana mpaka leo hakuna chuo kikuu kilichojengwa na waislamu isipokuwa tulichopewa na mkapa pale morogoro, huo ndio uhuru tunaouzingumzia

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 2 หลายเดือนก่อน

    TUPO NYUMA YENU WAISLAMU, HIYO BAKWATA NI GENGE LA WATU WA HOVYO😢😢😢

  • @swordsaint.
    @swordsaint. 2 หลายเดือนก่อน +1

    Khari mbaya hawali, mbona uhuru na Uongozi unaousema wa kujiamulia wenyewe haueleweki?? Hivi nyie mnataka kuijaribu serikali na katiba ya nchi?? Lakini Mali na umiliki wake mbona sijakuelewa mzee maana hoja hii haiingii akilini.

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 2 หลายเดือนก่อน

    Bakwata Ni hovyoo

  • @habibumdetele6530
    @habibumdetele6530 2 หลายเดือนก่อน

    BAKWATA KAMA BAKWATA katika taasisi uchwara nchi hii ni hili dude.

  • @hamisidd8124
    @hamisidd8124 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mm naunga mkono na serkali itusaidie kwa hili bakwata ni kakikundi kadogo Sana kanawezaje kumiliki waislam zaidi ya robo tatu,iundwe taasisi ya waislam itakayo jumuisha waislamu wote wa taasisi na jumuia zote ndio kiwe chombo Cha waislam

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi ni mkristo, lakini BAKWATA siitaki maana ni Taasisi yaSerikali

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 2 หลายเดือนก่อน +2

      Inakuhusu?

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ya waislam waachie wenyewe Acha kujipendekeza, umbea wako wenzio wanakuona kenge tu.

    • @emmanuelmlekwangano9991
      @emmanuelmlekwangano9991 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hujui unaloliongea bakwata ndio mhimili wa amani Tanzania Hawa wakina ponda na wenzake wataleta fujo na kuvunja amani yetu uislami wao ni WA siasa Kali

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie mnaokosoa huyu jamaa kwa kusimamia haki hamna lolote zaidi ya chuki za kidini.Acheni chuki nyie.Haki ni haki TU.Halafu wewe unaesema Bakwata ndio mhimili wa amani hujui kitu.

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@emmanuelmlekwangano9991kila mtu ana uhuru wa kuongea acha ubinafsi

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bakwata ni serikali bakwata ni ccm kuiondosha kwa mahakama ni njia ngumu sana tulijaribu kipindi kilichopita tulishindwa ila jaribuni tena huwenda haki ikapatikana na kama watashindwa bakwata waislamu wataendekea kama dini zengine waliopo kazi yao nikula hela za waqfu nahawana msaada

  • @mabrukiussi
    @mabrukiussi 2 หลายเดือนก่อน

    Ss tunataka watu kama hawa Ambao Hawashawishiki Na mchuzi mwekundu Apo dini yetu itapamba moto

  • @SalimAli-j9t3w
    @SalimAli-j9t3w 2 หลายเดือนก่อน

    Bakwata ni washenzi na sio waislam wametumwa Kuja kuuwangamiza uislam

  • @JumaNyangasa-b4v
    @JumaNyangasa-b4v 2 หลายเดือนก่อน

    Bakwata hamna kitu hawapo kwenye dini wako kwenye maslah yao

  • @JumaBundala-o8r
    @JumaBundala-o8r 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli kama bando hamjaitambua nuru hii mtaendelea kushindana na giza

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 หลายเดือนก่อน

    Shehk anaejitambua

  • @musayahaya4281
    @musayahaya4281 2 หลายเดือนก่อน

    Assalam alykm, sheikh una juhudi lakini Naomba ukitane na Bakwata kwanza.

  • @JitihadaRashidi
    @JitihadaRashidi 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU NDIYE MJUAJI WA KILA KITU ATUZIDISHIE AMANI ATUEPUSHE NA WALE WOTE WANAOTAKA KUTUVURUGIA AMANI YETU

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 2 หลายเดือนก่อน

    Waisilam wa tanzania nivituko

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli sheikh pigania haki je kwa mfano nijenge msikiti ili umiliki ubaki kwenye familia na ukoo kama hamna uhuru je tutapokonywa tu baadae

  • @MuksinAlly-b9p
    @MuksinAlly-b9p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawakawii kukuambia sio mtanzania ww allah atakulipa kwa kuijua hak maana waislam tumelala hatujui haki zetu

  • @AbdalaAyubu-j5f
    @AbdalaAyubu-j5f 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa najiuliza maswali, muislamu kumshtaki.muislam, na ni wapi unamshitaki? Hata kama ni kuupiganiya uislamu kuna njiya zake,

  • @mtukwao3195
    @mtukwao3195 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee nampenda na mimi ni Mkristo lakini huyu mzee nasikiliza mawaidha yake sana. Huyu mzee sio mnafiki. Kweli yake yatoka ndani ya moyo na hapana yake kadhalika.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Kaslimu Sasa unangoja nini

  • @IddNgakonda
    @IddNgakonda 2 หลายเดือนก่อน

    Hazina!

  • @SalminDad-t8v
    @SalminDad-t8v 2 หลายเดือนก่อน

    Mashekh mnatakiwa kuitetea dini na sio kuleta migogoro ktk dini mjifunze kwa shekh ponda bakwata sio chombo cha waislam ni chombo cha nyerere ktk kuuthoofisha uislam tupambane shekh ponda tupo pamoja nawe

  • @hasanimkongo7942
    @hasanimkongo7942 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna waisalam ambao ni wanafiki lazima watajitokeza kumpinga huyu shehe badala ya kumsapoti hata kwa kuchanga buku buku ili kufanikisha hili swala la muhimu.

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 2 หลายเดือนก่อน

    Ni swahihi kabisa sheghe PONDA. Leo kiongozi wa waislamu nchini anachaguliwa na wasio kuwa waislamu . Tuwaulize swali Mufti wa bakwata kachaguliwa na maulamaa gani kuwa kiongozi wa waislamu Tanzania . Ndiyo maana huyo Mufti hana kauli atakayo itowa ikafuatiliwa na Masheghe

  • @yohanakobero3387
    @yohanakobero3387 2 หลายเดือนก่อน

    Mnataks kuleta matatizo. Hayo mambo yalishaangaliwa muda mrefu sana na yalikataliwa kwasababu hayataleta umoja wa kitaifa. Leo nao wakristo wawe na mahakama yao, waislamu wawe na mahakama yao na watu wasio na dini wawe na mahakama yao kutakuwa na umoja wa kitaifa? Ni wazi kuwa hamfikirii sawasawa

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kakuambia anataka na wakristo muwe na mahakama yenu?
      We vipi khaaa!

    • @yohanakobero3387
      @yohanakobero3387 2 หลายเดือนก่อน

      @khadijanurdin3163 huko ni kujitenga. Acheni hayo mambo.

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 2 หลายเดือนก่อน

      Haujanielewa vzr sheikh.
      Soma msingi wa hoja yake ni kuwa uhuru wa kuabudu kikatiba umevunjwa hasa kwa waislamu wote kuwa chini ya mwamvuli wa bakwata wakati katiba inatoa uhuru wa kuabudu.
      Na kuhusu kadhi sio swala gani hasa kwa nchi za kisecula huwa inafanya kazi za kijamii kama baraza la usuluhishi kwa maswala ya waislamu kijamii hasa mambo ya ndoa n.k sio mahakama za kuhukumu watu kama jinai hapana.
      Na hii inasaidia kutatua migogoro mingi isiende serikali na kuipunguzia mzigo wa kesi za kijamii serikali wala haina madhara kbs lkn kwakuwa uhuru huo haupo ndo maana anakusudia nawasilisha shauri la kikatiba juu ya uhuru kuabudu.

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee utakuja kufa kesi hazijaisha. Hunaga wakukusaidia. Subili uone namna watakavyo kushambulia.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Chawa tu wewe

    • @abbyzubeyr5398
      @abbyzubeyr5398 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kufa ikiwa umeisema haki na wengi wakaijua na kuifata ni bora kuliko kufa ukaicha kuisema haki na ikawa wengi hawaijui..

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@abbyzubeyr5398 kweli kabisa

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 2 หลายเดือนก่อน

    KWANI BAKWATA NI WAISLAM? NI LINI WAISLAM WALIUNDA BAKWATA??

  • @MshauriKigwinya
    @MshauriKigwinya 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo nawakiristo wajiamlie mambo Yao na machifu hapo mmefeli

    • @MusaMuhammed-f4l
      @MusaMuhammed-f4l 2 หลายเดือนก่อน

      Siawavunji sheria za nchi?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Wakristo wanaingiliwa na Nani?umewahi kusikia au kuona viongozi wa Kikristo wanalipwa na Serikali!au uchaguzi wao kusimamia na Serikali!

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wakijiamulia mambo yao, si watakua na Injili, kwani Injili waislamu wanaikataa?

  • @JeremiaJohaziel
    @JeremiaJohaziel 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani hawa watu kesi yao ipigwe chini maana wamejikita kwenye kusababisha vurugu tu.
    Hayo mashirika mnayoyataka yatatuletea shida kama za mashariki ya kati.
    Ninyi nendeni mkasali, mhubiri amani na upendo kama wakristo wafanyavyo.
    Sehemu yenye mashirika na kiislamu lazima kuwe na shida nyingi sana😢😢😢😢

    • @ammygalby9921
      @ammygalby9921 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 2 หลายเดือนก่อน

      Anataka uhuru gani huyu Sheikh? Kwani hawapo huru kuabudu? Mbona tunawaona kila uchwao wakichagua viongozi wao? Shida iko wapi?

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 หลายเดือนก่อน

    Ponda ni intelligent achana na akina mwaipopo feki

  • @SaidKasuka
    @SaidKasuka 2 หลายเดือนก่อน

    Mkijenga msikiti wao na hawachangii hata juzuu