Amen amen amen 🙏🏻 🙌 👏🏻 bado kama unasikiliza hii nyimbo 2024 gonga like 👏🏻👏🏻👏🏻nyimbo nzuri sana kila wakati nikiisikiliza nikiwa na shida inanipa imani 🙌🙌🙌
Acha tuteseke majaribu ni mtaji safari yetu aliianzisha yesu hivyo tunasema tutasonga hiy😍🙏wacha watusimange wacha watusemee mabaya lkn kwa yesu aturudi nyuma 😍10/5/2021
Tbt. Ni 2023 namkumbuka baba angu mdogo badia 2019. First time ananipigia hii nyimbo nikiwa standad 6 leo naielewa nakupenda baba. Japo sina cha kukupa zaid😍😍😍😍
I remember 2009 nikienda kwa jirani kuangalia hii nyimbo after skuli hadi my mum alikuwa akisema ety nimerogwa na huyo jirani be blessed wherever you’re mama Roy niliokoka through this song❤❤❤❤
Kama unaiskiliz nyimbo hiy mwaka 2025 gonga like ❤
tunaosikiliza huu wimbo 2025 gonga like apa
Kama bado unaskiza huu wimbo 2025 gonga like na tutasonga mbele haijalishi .....🎉🎉🎉
Amen amen amen 🙏🏻 🙌 👏🏻 bado kama unasikiliza hii nyimbo 2024 gonga like 👏🏻👏🏻👏🏻nyimbo nzuri sana kila wakati nikiisikiliza nikiwa na shida inanipa imani 🙌🙌🙌
Tunaousikiliza 2024 gonga like, nyumbo nzuli sana❤
2025 majaribu majaribu kweli ni mtaji😢
Tunaousikiliza 2023 gonga like👍👍
Nakupenda huu wimbo unanikumbusha maisha yabadae mda ntakapo ondoka duniani
Mungu ni mwema
Kama unasikia nawewe Kama mm 2025 mshukuru mungu
Kama uko tayari kusikia huu wimbo 2024 weka like na Mungu akuhifadhi ufike UKIWA buheri wa afya
2024 Bado tunasikiriza gongeni like hapa
Wa 2024 tujuane kwa like jamani wimbo unapamba sana
2025😢😢❤❤ MAJARIBU NI MTAJI😢😢😢😢😢
Tunao enda na huu wimbo2024 gonga like apa kikubwa uzimaaaa❤❤
Acha uong bado 2024
❤❤❤
2024 anyone 😭
Still here , Golden song ❤
Watu wasisimange watunenee mabaya hatutautupa ujasiri wetu ,tutaendelea kumfata yesu😊2024
Kama bado unasikiliza wimbo huu2023 gongs likes
🔥🔥🔥🔥🔥
pamoja
Naupenda even in 2024
Ààààaààààaaàààaaààààààààaàààaaàaaàààààaààaààaàààààaaàààaàààaàaààaaaàààaàaàààaàaàààààaààaaaaaàààaààaààaààààààaàààaàààààaàààààààaàaàààààaààààaààaàààaààààààaààààààààaààààaàààaààaààààààààaàaààààaààaààààààààààaààaaaaaaaààaaaàaààaaaàààaààaààaààaàaààaaààààààaaaààààaàaààààààààaààaààaààaààààaàààààààaààaaaàaààààaààààaaààààààaàààààààààaààààààaaàààààààààààaààààààààààaàaààaaaàààaàaaaaaàààààààààààaààaàààaaààaàaàaààaàaàaaàààààaaàààaàààààaaaààaàaàààaààaààààaàaaààààààaààaaààaàààaàaàaàààaaàààaàaàaaàaaàaàaàààààaàààààaàaààààààaààaàààààààaààaaaàaàaàààaàaàààààààààààààaaàààaàaààààààààààààààaààààààaààààààaàààaaaaàaàaaaààaààààààààaààaàààaàààààaààààààaàaaàaàààà
Njooni hapa 2024🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Any 2024 here??♥❤
Mimi nipo naskiliza uu Wimbo Leo tarehe 16/06/2024 ubarikiwe sana abwene mwasongwe kazi yako inaishi
Who is with me march 2024🥰🙏Huu wimbo mpya kila siku
Amina,huu wimbo ni mwito kutoka Kwa Mola wetu,hakika umeniongeza Imani ndani ya safari ya ndoa na wokovu.Amina,Amina na Amina.
2024 ❤❤❤❤
2024❤bado tunaitazama n kuhangalia tena .Utamu w maneno
2024 and still a gem. So blessed 🤍🌟
Kaka ambwene mungu akubaki sana. Kwa wimbo mzur unanibariki sana.
Still 2024 hatuutupi ujasiri wetu tunaendelea kumfuata yesu
Nyimbo hii ina nitiya nguvu kila mara nikiiskiya.
Ubarikwe sana mtumishi wa Mungu🙏🏿🙏🏿
Team ya 2024 muko wapi?👇👍
Hii nyimboo nilikuwa na hofu wasi wasi lakini nimeusikiliza mara mbili tu hapa najiona bonge la tajirii moyo unaamani na furaaa ❤❤😊
Kama umerudi hapa tena 2024 gonga like apa❤🙏
Hakika injili ni moto daima mpaka misho ya dunia
Naitwaa mwavitaaa natokaaa babatii nasikilizaaa hiii nyimbooo ikiwa Leo nitarehee 29 mwezii wa tisaa mwakaa 2024 imegusaaaa maana babuu yanguuu ametanguliaaaa tunasemaaa mbelee yetuu nyumaaa yakeeee 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Na mm nakusikiliza reo 29,9,2024
2024 tujuane❤
Kama bado unasikza hii nyimbo 2021 gonga like huu wimbo ni ujumbe mzito na utadumi milele na milele
Yani paka leo nasikiriza wimbo huu
Hakika huu wimbo umenifariji
Mpaka now 2022 tunasikiliza natutaenda nao 2023 Kwa imani
Niko 2023 Bado nadikiliza aiseee
Tupo nao mpaka sasa 2023
2024 gonga❤
2021 mko wapi mi mmojawapo nabarikiwa sana
2021 we are here
@@christianniyokwizera6148 Q WX
2024 Asante mungu kujaribiwa ni kuongeza Imani 🙏🙏
08/2024 njooo hapa tujuane
Wimbohuu unakuwaka mupya kwanyu kilasiku na unanijenga sana Mungu Asifiwe Safari yetu ilianziya Musalabani
2024 here we are
Kenya
Napenda hii mwimbo tokeya siku nili usikiya mwaka wa 2010
Wimbo wenye maneno ya ushindi 2024
Acha tuteseke majaribu ni mtaji safari yetu aliianzisha yesu hivyo tunasema tutasonga hiy😍🙏wacha watusimange wacha watusemee mabaya lkn kwa yesu aturudi nyuma 😍10/5/2021
2024 mpo
Huu wimbo ulivuma sana tukiwa wadogo na bado wavuma ❤
Nimerud tena 2024 huu wimbo namkubuka kaka yangu anaupenda sana
Nabarikiwa sana na huo wimbo....Naomba unia add kwenye group lako la kusoma Biblia
Tuliopo hapa 2024 tujuane kwa likes tapadhari
hallelujah tuvumilie kwa iman
🙏🙏🙏
2024, still my favorite
Leo 1/10/204 TUSONGE MBELE
Tupo pamoja
Amen 🙏🏾
Wimbo hu uniliza sana ninapo usikiya maana nilimpoteza mama yangu nikiwa na myaka6 lakini sasa Nina family thank you God
Be blessed 🤗
Pole sana
Wimbo wng pendwe bado nausikiliza leo tarehee 16/6/2024
Mimi naisikiliza leo 27/6/2024
Namkumbuka bibi angu aliupenda sana huu wimbo .
Pole sana 4:11 😅😅
2024 mpo wapi❤❤❤
Amen
Mpaka 2023 mpaka milele hatumuaci Yesu Kristo
2024 nasikia nyimbo hii
2024??❤
Hii nyimbo🙌🏼
Mpaka 20 /6/2023 à 2h10' sitaogopa ingawaje vita vikali😭😭😭Imani yangu IKO kwenye kipimo Ila naamini Mungu hataniacha kamwe🙏🙏🙏
2023 kujeni hapa
Nilipokuwa nimekosa tuamaini roho wa Mungu alinipa ujumbe nami kupitia wimbo huu,nimepata aman ya moyo
How nyimbo ina nikumbusha mbali Sana ningali name myaka 5 ivi nakua back 19 2024 Mungu abariki alie imba huu Wimbo Amen
Nyimbo inanikumbushaga mbali sana 2010 kipindi na anza darasani la kwanza,,, blessed sana🔥🔥🙏
Roho mtakatifu uniongoza zaidi ninaukumbuka huu wimbo,,,ni wimbo unoawatia wakristo nguvu kupitia Roho mtakatifu...🔥🔥🔥(James 1;1-7)
James kwa Bible ya kiswahl ndo nan
@@gosbertmuta5421 yakobo 1:1-7
@@patrickndunga2542 jamani Jacob nae vp mbn mnatuchanganya
@@gosbertmuta5421 Ayubu
Nikwer kabisa
young ambwene greatful for this masterpiece still listening in 2023
Jamani hii nyimbo mara ya kwanza niliiskia kwenye daladala nimeitafta mbaka meipata leo24.8.2024
2024❤️❤️
Huu wimbo nimbaraka sana kwangu❤🙏 Mungu aendelee kukutumia mtumishi wa BWANA
Amen mimi ni john kutoka wilaya WA rorya kule Tanzania siku yakwanza WA kusikiza hili wimbo ni mwaka WA 2014 nikiwa kule shirati
Tunaoenda Na Huu Wimbo Kwenye Kufunga Mwaka 2024 Tujuane Hapa Na Hii Novemba 🤗🥰🙌
Mungu atujalie tumalize 2024 Salam kwa jina la yesu ❤❤
@@LightnessKavishe-r9h amen 🙏
Tupo mwenyezi Mungu atujalie tumalize salama🙏🙏
Sisi Wengine ndio tumeanza nao mwaka 2025. May God be with us all.
@@albert-kkitwenga4889 amen 🙏 🙌
Nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo hii, 17/6/2024
2023 gongo na fimbo yake vyanifariji bwana asante yesu
Kama unangalia Kwa mara nyingine tena wimbo huu kama Mimi hebu piga like yaani hauchuji
This March of 2023 and I’ve been going through a lot of emotionally this whole day 😢and from nowhere I just remember this song. To God be the Glory!😊
Kama bado unasikiliza huu 2023 gonga like❤
Tbt. Ni 2023 namkumbuka baba angu mdogo badia 2019. First time ananipigia hii nyimbo nikiwa standad 6 leo naielewa nakupenda baba. Japo sina cha kukupa zaid😍😍😍😍
20 mwezi 12 December 2024 nipo kinoma na hiii gospel
Tuko pamoja😅
2022 still my favourite song..🔥
Dahh nimeiskiliza tena 2024duhh
Wimbo mazuri naupenda sana hauishi hamu Kwa miaka kadhaa sasa
Achatuteseke ulimwengu ututese watu watusimange watunenemabaya hatutautupa ujasili wetu tutaendelea kumfata YESU amin kubwa!
2023 gongo lake na fimbo yake vyanifariji nasonga mbele
Mateso nia muda tukiwa naye yesu tutasonga mbele
Kila iitwapo leo hii nyimbo lazima niisikilize at home inanifariji mnooooooo 2022 barikiwa sana
I think this is the time saints should take this message seriously
Wimbo huu ni wa vizazi na vizazi like kama una upenda by 2023
Mwaka 2024….bado wimbo upo 👍
Huu wimbo ni kiboko yao ,bado unasumbua sana na japo unaelimisha sana
2024 hap
I remember 2009 nikienda kwa jirani kuangalia hii nyimbo after skuli hadi my mum alikuwa akisema ety nimerogwa na huyo jirani be blessed wherever you’re mama Roy niliokoka through this song❤❤❤❤
huu wimbo wako ninapo usikiliza unakuwa unanifariji rohoni Na ubarikiwe piya kwa kutunga nyimbo nzuri sana👏🙏❤️🔥✊️
Atukuzwe Mungu kwakweli kazi yake alioiweka ndaniyako inawainuwa wengi nikiwemo na mimi
2023 hatumwachi yesu milele 🙏
Huu wimbo Leo nimeamka Roho mtakatifu ameuweka moyoni mwangu wimbo wangu wa siku huu 2022 God is good all the time
Depuis que je suis enfant de 5ans jusqu'à présent j'aime la chanson toujours 🇨🇩😋😋
Jaime bien cette musique, elle chantée dans ma tete. Mais je ne savais pas que j allais la retrouver. Gloire a Dieu.
Naupenda sana wimbo huu umekuwa faraja na muongozo mkubwa sana maishani mwangu ubarikiwe sana mtumishi
2024 mpooo like please
Asante sana mtumishi wa Mungu. Nalia Kila Mara nisikizapo wimbo huu. Unanitia ngumu na kuzidi kuendelea na Safari.. Mwenyezi Mungu akubariki
Juu wimbo nado naupenda saana ❤❤❤ ningetamani ufanyiziwe video kwa sasa tena ikiwa inawezekana
Is my best ever una tia moyo mungu akubariki umebaki kwenye standard yako
Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo ya kutufariji katika safari yetu ya mbinguni
November 2024,nyimbo za ambwene bdo ni 🔥 🔥,napenda sana nyimbo zake
Sichok kuusikilz huu ujumbe jmn be blessed mtumishi wa Mungu 🙏