Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mimi ni raiya wa Burundi Huwa nafatilia clip zako sana mimi Nina tatizo la hasadi maana naona mambo yangu yamekwama
Nawaombeni munao comment mumuheshimu Sana she othman Tena mumtii na mumuombee dua na mumpende na mumuombee Maisha marefu tufe Manzo sisi yeye abaki maana huyu shehe Hodari anastahiki firdausi na mwenyezi Mungu Amjaalie bega lake na bega la mtume yagusane pamoja kwenye mango wa pepo ❤❤ amen nakupenda Sana sheh othman kama ninavyoipenda Nafsi yangu 🎉
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mimi ni raiya wa Burundi Huwa nafatilia clip zako sana mimi Nina tatizo la hasadi maana naona mambo yangu yamekwama
Ustadhi othmani umewasoma wanawake tabia zao
Tufundishe yalio ya kheri Allah akusaidie
Yani tena anajua na ametusoma kabisaaa mimi nacheka tu😂 Mashallah Allah akupe umri mrefu uzidi kutufudisha mengi lnshallah
Asante sheik unajua megi y ukwel kabisa
Mashallsh
Unafaa kufundisha ndoa,,😀
MashaAllah 😅😅😅 sitak
😂😂😂😂😂ALLAHUMA BAARIK.
Nawaombeni munao comment mumuheshimu Sana she othman Tena mumtii na mumuombee dua na mumpende na mumuombee Maisha marefu tufe Manzo sisi yeye abaki maana huyu shehe Hodari anastahiki firdausi na mwenyezi Mungu Amjaalie bega lake na bega la mtume yagusane pamoja kwenye mango wa pepo ❤❤ amen nakupenda Sana sheh othman kama ninavyoipenda Nafsi yangu 🎉
Kweli kabisa❤
Mashaallah
❤❤❤
Assalamualaikum warahmatulahi wabarakatuhu hizo dawa gharama yake ni bey gani na huduma zote ni pessa ngapi
Tatizo Sheikh wetu haupokei Sim zetu sisi ambao tupo Qatar
Assalamu allykum
9:30 9:31
Ustadhi,Kuna wanawake wakianza kutumia uzazi wa mpango wanakuwa hawana hisia,akiacha anakuwa na hisia.
😂😂😂
😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unadanga bana WANAWAKE hisia zao ziko mbali na hili wanaume wengi wanafeli Sana hawawaandai wake zao kabisa kabisa
Hakuna iyo kitu ukion ivo hampendi tu mume akimpend hisia znakuj zenyew