Asante sheikhe wng mana umesema ukweli wanawake tutumiye akili tukifika kwenye swala la mali jasho jasho lako wewe jo umechoka eti mtoto wa mama mkwe kwenye hati una muweka yeye sio kweli tukifika hapo ata ni samehe kwa kweli kuna mda wa hisiya namda wa ku tumiya akili zaidi
Mungu atujaalie waume wema jamaniiii 😢 ambao htujaingia kwenye ndoa 😭
Insha Allah utampata.
@@abduljabbarmohammed4188 iwe kheriii ya rabbih 🙏
Allaahumma Aamiyn
Nasisi tulokua hatujaoa Atujaalie wake wema
@@abduljabbarmohammed4188 AMEEN inshaallah nawe kheriii ✨
Ameen.ameen@@zuberhamza7852
Mashaallah ya-ustathi hutba nzuri sana nimeyapenda❤❤
Mashaallah jazakallah mafunzo mazur sanaa shukuran Allah akuhifadhi
Shukuran jazaka Allah khairan Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera wallahi tunafurhi na kusoma pia
LAAHAULA wala quwwati ila bilah Subhanallah
QAULI nzuri
Na wengine gumegume ni kupata RADHI za mitume
Subhanallah Allah atukinge na maovu
Mashallah mungu akubarik sheikh🙏
Allah akupe Pepo sheikh wangu
Mashaallah mashaallah mola akuhifathi
shekh waongea kweli kabisaa
Umenigusa sanaaa natamani hawa waume waivo waje wasikie huku
Mashaaalah shekhee
Jazakallah khayran
Sheikh umeongea ukweli naniivyo kuvumilia tu ndio iliopo aky,Allah akupe kheri inshallah
Asante sheikhe wng mana umesema ukweli wanawake tutumiye akili tukifika kwenye swala la mali jasho jasho lako wewe jo umechoka eti mtoto wa mama mkwe kwenye hati una muweka yeye sio kweli tukifika hapo ata ni samehe kwa kweli kuna mda wa hisiya namda wa ku tumiya akili zaidi
Mashallahh ni kweli
🤲🤲
Upo sahihi kabisa wanawawake wengi usaliti ndoa zao sababu ni mwnaume😢
Amin
Tunakupenda Mungu akufanyie wepesi
Allah niyaukweli haya jamani
😂😂😂 Sheikh mie ata shuka naandika jina langu
Eeeh? 😀
Maneno matamu mashallah 😅
Allah
Ustadhi nakufuatilia sana mawaidha yako nikiwa saudia....leo nimepata mafunzo na nimecheka sana😂😂
Kweli ee
Vipi limekuhusu
@@BiubwaBeauty-henna sijakufahamu
Shekhe umeongea ukweli mtupu
Sina lakusema wallah ni yakweli unayosema
Wengine wanaanza kusonya kwenye mlango wakingia
Mashallah 😂
Yani haya mawaidha nikimfungulia anambia nisimuekee kelele aondoka
😂😂
Kuna wanawake wengine hata ukiwafanyia kila kitu hawawezi tulia.Kunguru hawafugiki.
Omba istikhara kabla hujaoa ama hujaoewa,sio kila mwanamke/mwanaume ni mwanandoa mwema,tutakeni ushauri kwa Allah.
Allah akupe Pepo sheikh wangu
Mashaallah😂😂