Brother davista nakushukuru sana maana sasa umeshakuwa miongoni mwa kundi la KONDOO, Na hii ndio Neema ya Kristo ambayo humwita kila mwanadamu (Tito 2:11-12). Be bleesed in deed. Haleluyaaaa
Yaani shetani kila binadamu anayemsainisha kwenye uchawi humwaminisha kuwa wewe ndo mchawi mkuu duniani hakuna kama wewe na wala hakuna wa kukusumbua 😀😀😀😀hahaaaaaa
Kweli umenena vizuri sana na hapo umekomaa sana kwa kutafakari. Hivyo unaposikiliza shuhuda mbalimbali unajikuta kila mtu aliiaminishwa kuwa yeye ndie mkuu au yeye ndie kiongozi mkuu. hivyoo hujikuta ndie alie mkuu. Lakini kwa kweli shetani ni mwongoo sana
Napenda KAZI yako Davistar...love you..am from Kenya❤️🎉
Vyombo mnavyotumia ni vizuri sauti inasikika vizuri sana
Davista nakuficha kilindini kwa hiyo Damu ya YESU KRISTO aliehai 🙏 Adui asikuone kwa Jina la YESU
Jamani wakurya wako wapi 👋kama ume penda hii story gonga like
Brother davista nakushukuru sana maana sasa umeshakuwa miongoni mwa kundi la KONDOO, Na hii ndio Neema ya Kristo ambayo humwita kila mwanadamu (Tito 2:11-12). Be bleesed in deed. Haleluyaaaa
Amen
Yaani shetani kila binadamu anayemsainisha kwenye uchawi humwaminisha kuwa wewe ndo mchawi mkuu duniani hakuna kama wewe na wala hakuna wa kukusumbua 😀😀😀😀hahaaaaaa
Kweli umenena vizuri sana na hapo umekomaa sana kwa kutafakari. Hivyo unaposikiliza shuhuda mbalimbali unajikuta kila mtu aliiaminishwa kuwa yeye ndie mkuu au yeye ndie kiongozi mkuu. hivyoo hujikuta ndie alie mkuu. Lakini kwa kweli shetani ni mwongoo sana
Shetani ni baba WA uongo halisi
🤣🤣🤣
Ni baba wa uwongo yuleee🤣🤣🤣
@@semwandambaza2184 Yaani we acha tu
YESU KRISTO NI BWANA kabisa 💯
Amen baba🙏
Pamoja saana Mr everything 💪
Shuhuda kama izi naziamini msimuliaji hatafuti maneno
story nzuri sana sana sana
Dah , Davista we Noma MUNGU atasaidia
Davista,wewe utaokoka lini nauanze kuhubiri ama maisha iko vipi
Stor nzur
Sikunyingne usianze kuelezea wewe aanze mwenyew Apo story inakata bhnaaa
pamoja mr. Facts
Sasa mungu amewaokowa afu akawatuma ku hubiri hahaha sadaka njaaa mbaya
We mbwa, andika MUNGU cyo mungu, mpe heshima yake muumba
@@avitusmichael5 sio vzr mwezio kumuita mbwa naww kuwa na heshima bas
@@fatmamucha4419 sasa yeye kashindwa kumheshimu MUNGU we unataka nimheshimje huyo mbwa? Tumia akili kwanza ndo unishauri asee
Mbwa kamjua mbwa mwenzie ww umemjuaje kama yeye nimbwa bila yakubweka pamoja😂😂😂
Mbwa kamjua mbwa mwenzie ww umemjuaje kama yeye nimbwa bila yakubweka pamoja😂😂😂
Tatizo wanao toa ushuhuda nimapsta na wanatafuta waumin
We ni msenge kweli tena fala sana
😂😂😂😂ilo jina lako
@@avitusmichael5 duh😂😂😂
No,Sio eti wanatafuta waumini,MUNGU ana sababu tuzijue Siri za Hawa wachawi Na waabuduo shetani,so injili ya YESU iende mbele.🙏🙏🙏
😳👂👂