Kanumba, Ruge, Kibonde, King Majuto, wote hawa Salama alipata bahati ya kuwahoji kipindi cha uhai wao katika kipindi cha Mkasi. May there souls rest in peace
Salama rudisha hiki kipindi hewani umefanyia watu mahojiano mazuri sana yanaonekana mapya kila siku.hapa ndio watu wanaelewa hawa watu waliongea nini kabla ya kufa
Salama huwa nakukubali sana ila mwanzo nilikua sikuelewi elewi lakini nakuelewa sasa uko vizuri sana hiki kipindi hebu kiendeleze tena nakukiboresha zaidi. Tunapata elimu kwanjia moja au nyingine. By the way R.I.P Kibonde
jameel871 wewe ni sawa na nguruwe, maneno unayo sema ni kama kula mavi yako nafikili ha muonekano wako utakuwa kama nguruwe, hata mkeo unaishi nae kwa maneno ya kijiweni kwa akili huna
Huyo jamaa asamehewe bure, kuna haja kbs SERIKALI HII SIKIVU,IMTAFUTE NDIPO AKILI YAKE ITAKAA SAWA,ana ujasiri gani, wakuongea huo utumbo? KI UKWELI, BNAFSI NIMEUMIA SANA, KUMTUKANA BABA WA TAIFA?!! 😷😱😇😤❗️TCRA, Polisi, tafuta hii Jamaa. 😱😱❗️ili aadabishwe ili liwe fundisho.
Salama hivi kuhusu BLOCKING, ulikuwa una uhakika kama FACEBOOK hakuna kitu kama hicho?...FACEBOOK ndio rahisi kushinda TWITTER basi kama hujui nakuabalisha...kuweni makini mnatazamwa na watu wengi so mkiwa vitu vidogo kama hivyo hamu vifahamu inakuwa inatia udhuni,,,maana naona bora nije mimi hapo nisikilizwe!...pamoja sana!
Yemeni ni nchi maskini sana uarabuni; hivyo hawana nguvu ya kijeshi au kiuchumi kuweza kurudisha influence yao kwenye makoloni ya awali hasa inapohusisha kuwepo kwa malighafi kama mafuta; Wangekuwa na nguvu kijeshi wa kupingana na marekani na wababe wangweza kurudi zanzibar wakafanya uchimbaji wa mafuta yaliyogunduliwa katika bahari pale; Lakini ubavu hawana.
salama, hivo ulivokua umekaa si ustaarabu wala maendeleo mbele ya mkubwa wako unaemfanyia interview. tizama leo tumempoteza Kibonde, utaweza vipi kurudi myuma. na yeye bila ya shaka alikua pia anaona hivo.
Seminari zinafundisha dini na elimu ya kawaida. Automatically wakristo watakuwa na wasomi wengi hivyo kuwa wengi serikalini; Huweezi soma madras pekee halafu uweze kujiunga na CHUO! au uwe waziri wa fedha!. Nyerere alibadili Pugu, Kwiro na seminaries nyingine kuwa public schools na wasomi wengi waislamu kama Lipumba walisoma kwa juhudi hiyo. Jiulize waislamu wangekubali shule za kiislamu zibadilishwe kuwa shule za wote?
Hao wakristo waliweka maseminari yao kwa lengo la kutunyonya tuu sio wakupe elimu kwa maslahi yako. Ndio maana mpk leo makanisa yamekuwa ni bihashara kama magenge ya mbogamboga. Mkasi, kibonde wapi na wapi na uislam. Waislam ndio walipigania uhuru wa nchi wakiiwa na nyerere kama kijana msomi wakamwachia madaraka, wakristo wangeweza kupambania uhuru zen waache waislam waongoze? Uislam haupo kama akili zako zinavyokutuma........
Kila nisomapo maoni ya baadhi ya Watanzania wenzangu hususan juu ya masuala ya imani na dini, napata hisia kuwa tunakoelekea ni kule kule kama walipo Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Masoud Manya Ni hatari sana bro, inatia hofu na kama ulivyosema yatupasa kukemea huu ujinga kwa nguvu zote, halafu kinachonishangaza, ukimuuliza Mtanzania yoyote yule kuhusu mafungamano yake na mtu au watu wa imani tofauti na yake lazima utakuta nao mpaka ndugu wa damu, jamaa na marafiki wa karibu, sasa ifike mahali tukubali jambo hili halina tija wala maslahi kwa taifa letu.
Ramadhani Hayeshi Hili ni taztizo kubwa na ukubwa unaongezeka maana nchi imekosa wakukemea kila mtu analalamika ukiona hata wenye kutuonesha njia wanalalamika uone hatari zaidi. Nchi imekua ya wafanya biashara viongozi wanaongoza wanatafuta pesa, nchi hii kila mwenye pesa anawaza kuwa kiongozi. Angalia Prof Lipumba anataka kuwa rais wetu lakini na yeye kashaingia kwenye mkumbo wa dini unawaza anaweza kutusaidia?? We seriously need to change, getting a very respected man like J.K Nyerere will take us years
Inatia hofu Ombeni Somi lakini hapa tusimlaumu Lipumba peke yake, hata wengine pia wapo kwenye mkondo huo wa dini. Kifupi tuseme Misikiti na Makanisa nayo imeamua kuwatumikia watu
Kwa hapo kwa Nyerere kukuta watu sio wasomi marehemu hakusema kweli. Wasomi walikuwepo na yeye aliwakuta akaishia kuwafukuza na wengine kuwauwa kwa hofu ya kupinduliwa.
@@paulmpazi5358 Elimu ya kikoloni ndo ikoje hiyo, unataka kusema hata Osca Kambona, Bibititi Mohamed hakusoma.....? Soma historia acha kusikiliza maneno ya watu bro
kibonde alisema kweli ila wewe ndio hujui Historia,ngoja nikupe mfano wa Congo,Rais Mobutu alikuta nchi haina msomi hata mmoja wa chuo kikuu Congo nzima na ukubwa wake wote,mimi kuna wazee walinambia wakati wanasoma chuo kikuu hapa Tanzania walikuwa ni wachache mno kiasi kwamba wanafahamiana wote,hapakuwa na wasomi wengi Tz nadhani hata hawakufika 50 (university graduates)
❤ tulimpenda Ila mungu amempenda zaidi
Plz salama bring back mkasi
Salama una kipindi gani kwa sasa? You know I miss your work jamaniii. Bring back mkasi or tunaomba something new jmn fans tunakumiss
Ana kipindi kinaitwa Shabiki On Saturday kila Jumamosi saa 5 asubuhi Eatv
I love Jesus same to me
Walotangulia mbele za haki na waliowahi kuhojiwa katika mkasi, Kibonde, Ruge, Kanumba, Majuto, Sajuki, Banza Stone, Gamba, Komba, Gurumo.
KIBONDE UMKUTE ANAFANYA TANGAZO LA VIDEO,,,😊,,,UYO MZEE NUKSI
Kanumba, Ruge, Kibonde, King Majuto, wote hawa Salama alipata bahati ya kuwahoji kipindi cha uhai wao katika kipindi cha Mkasi. May there souls rest in peace
Fazeel Shomary pia Sajuki
R.I.P kibonde we miss u broh
Rest in peace my brother KIBONDE
kibonde this interview umeiweza..bigup salama!!
salama rudisha hichi kipindi tafadhali r.i.p kaka kibonde
Salama rudisha hiki kipindi hewani umefanyia watu mahojiano mazuri sana yanaonekana mapya kila siku.hapa ndio watu wanaelewa hawa watu waliongea nini kabla ya kufa
hawa watangazaji wote, nilikua nawapenda na nitawapenda. maana wana utofauti
Gadna na kibonde daah tutawakumbuka sanaaa❤
Kibonde katutoka jamani Inna lilah waina ileihi Raj un
dah!!... Nilianza kukufuatilia toka kipind hiki kirushwe,Ni wanaume wachache wenye uelewa kama wako,Pumzika kibonde,kila nafsi itaonja mauti
Salama huwa nakukubali sana ila mwanzo nilikua sikuelewi elewi lakini nakuelewa sasa uko vizuri sana hiki kipindi hebu kiendeleze tena nakukiboresha zaidi. Tunapata elimu kwanjia moja au nyingine. By the way R.I.P Kibonde
Rip Kibonde ulikuwa smart..
R.l.p kibonde good Ailaze Roho yako mahali pema pepon Amen🕯🕯🕯🙏🙏🙈
RIP KAKA
very professional nimempenda mno huyu kaka pole na msiba
Hapa ulimpa yy pole leo na yy kaenda aisee inauma
Daaa kibonde jaman pumnzika kwa aman
R.i.p kibonde jahazi kumepoa Sana now
Rest In Peace Kibonde
R. I. P Kibonde
😢 SHAME SO much memories
R.i.P kibonde 😭😭😭
Daaaaah 😢😭
Daah jamaa katutoka RIP
Rip kibonde😭😭
Daaah umauti hauna urafiki ,,,,,,,punzika kwa aman KIBONDE
Asee hichi kipindi kirudishwe Jaman dah
Salama rudisha mkasi dada
Kwann
Kaka tumekupenda ila mungu kakupenda zaidi
jameel871 wewe ni sawa na nguruwe, maneno unayo sema ni kama kula mavi yako nafikili ha muonekano wako utakuwa kama nguruwe, hata mkeo unaishi nae kwa maneno ya kijiweni kwa akili huna
nakukanya tena una hadabu
Huyo jamaa asamehewe bure, kuna haja kbs SERIKALI HII SIKIVU,IMTAFUTE NDIPO AKILI YAKE ITAKAA SAWA,ana ujasiri gani, wakuongea huo utumbo? KI UKWELI, BNAFSI NIMEUMIA SANA, KUMTUKANA BABA WA TAIFA?!! 😷😱😇😤❗️TCRA, Polisi, tafuta hii Jamaa. 😱😱❗️ili aadabishwe ili liwe fundisho.
Salama hivi kuhusu BLOCKING, ulikuwa una uhakika kama FACEBOOK hakuna kitu kama hicho?...FACEBOOK ndio rahisi kushinda TWITTER basi kama hujui nakuabalisha...kuweni makini mnatazamwa na watu wengi so mkiwa vitu vidogo kama hivyo hamu vifahamu inakuwa inatia udhuni,,,maana naona bora nije mimi hapo nisikilizwe!...pamoja sana!
Afadhali salama mwenzetu ulikuwa unamwambia mtu ukweli kama unampenda unampa sifa zake kabla ajafa
K
Pumzika kwa amani kaka...sote tulikuja na tutaondoka
R.I.P BROO
r.i.p kibonde
Nakumbuka ndungu yangu
Yemeni ni nchi maskini sana uarabuni; hivyo hawana nguvu ya kijeshi au kiuchumi kuweza kurudisha influence yao kwenye makoloni ya awali hasa inapohusisha kuwepo kwa malighafi kama mafuta; Wangekuwa na nguvu kijeshi wa kupingana na marekani na wababe wangweza kurudi zanzibar wakafanya uchimbaji wa mafuta yaliyogunduliwa katika bahari pale; Lakini ubavu hawana.
r.I.p baba
INALILAH WAINAILAYH RAJIUNI.
Pumzika kibonde r. i . p
R.I.P Kaka Kibonde
Salama ana tendency ya kukatisha maswali yake na kulazimisha yake. its her say kwanza the wengine wafuate
🔥🔥🔥
Endelea kupumnzika
Vipi mrembo ana sagg
Pumzika kwaamani blo mseimie boss RUGe
hehehehhehehe eti huwezi blck mtu facbk haya bhana ila sio kosa lako ni kujua ti hop now utakua umeshaelewa
Pumzka Kwa amani kibonde
salama, hivo ulivokua umekaa si ustaarabu wala maendeleo mbele ya mkubwa wako unaemfanyia interview. tizama leo tumempoteza Kibonde, utaweza vipi kurudi myuma. na yeye bila ya shaka alikua pia anaona hivo.
RIP Kibondee
Rip baba
Salama hio mikao angejamba hahahahah r.i.p kibonde
Hadija Abdallah eshima iwepo
Tutakukumbuka daima
TEMBELEA UKURASA WETU KUFAHAMU NYOTA YAKO th-cam.com/channels/xBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQ.htmlvideos?view_as=subscriber
Mtaalam na mkongwe wa #Jahazi
Rip kibonde
May your soul rest in eternal peace brother
unanyoa MTU hana nywele
Seminari zinafundisha dini na elimu ya kawaida. Automatically wakristo watakuwa na wasomi wengi hivyo kuwa wengi serikalini; Huweezi soma madras pekee halafu uweze kujiunga na CHUO! au uwe waziri wa fedha!. Nyerere alibadili Pugu, Kwiro na seminaries nyingine kuwa public schools na wasomi wengi waislamu kama Lipumba walisoma kwa juhudi hiyo. Jiulize waislamu wangekubali shule za kiislamu zibadilishwe kuwa shule za wote?
Hao wakristo waliweka maseminari yao kwa lengo la kutunyonya tuu sio wakupe elimu kwa maslahi yako. Ndio maana mpk leo makanisa yamekuwa ni bihashara kama magenge ya mbogamboga. Mkasi, kibonde wapi na wapi na uislam. Waislam ndio walipigania uhuru wa nchi wakiiwa na nyerere kama kijana msomi wakamwachia madaraka, wakristo wangeweza kupambania uhuru zen waache waislam waongoze? Uislam haupo kama akili zako zinavyokutuma........
KIBOBOBOBOBOBOBO a.k.a KIBzzzzz
Ni kipindi chake sasa unategemea nini? kama unataka useme wewe zaidi then uanzishe chacko ama sivyo??
nywere zimekwisha kichwani mbona unaendelea kunyoa?...una nyoa nini hapo?
Pole my bro
Rlp
Rip baba poleni wte
Salama, unaweza kuwazuia watu kukuandikia facebook pia :)
Duuuu! E Mola tusaidie tupate akili ZA kujua siku ZA kukaaa hapa duniani!
Kila nisomapo maoni ya baadhi ya Watanzania wenzangu hususan juu ya masuala ya imani na dini, napata hisia kuwa tunakoelekea ni kule kule kama walipo Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Kwa kuwa hutujui shida ya kujuana kiimani ndo mana hizi Choko choki zinakuwepo,serious we need kukemea ujinga wa kutetea ujinga wa udini
Masoud Manya Ni hatari sana bro, inatia hofu na kama ulivyosema yatupasa kukemea huu ujinga kwa nguvu zote, halafu kinachonishangaza, ukimuuliza Mtanzania yoyote yule kuhusu mafungamano yake na mtu au watu wa imani tofauti na yake lazima utakuta nao mpaka ndugu wa damu, jamaa na marafiki wa karibu, sasa ifike mahali tukubali jambo hili halina tija wala maslahi kwa taifa letu.
Ramadhani Hayeshi Hili ni taztizo kubwa na ukubwa unaongezeka maana nchi imekosa wakukemea kila mtu analalamika ukiona hata wenye kutuonesha njia wanalalamika uone hatari zaidi. Nchi imekua ya wafanya biashara viongozi wanaongoza wanatafuta pesa, nchi hii kila mwenye pesa anawaza kuwa kiongozi. Angalia Prof Lipumba anataka kuwa rais wetu lakini na yeye kashaingia kwenye mkumbo wa dini unawaza anaweza kutusaidia?? We seriously need to change, getting a very respected man like J.K Nyerere will take us years
Inatia hofu Ombeni Somi lakini hapa tusimlaumu Lipumba peke yake, hata wengine pia wapo kwenye mkondo huo wa dini. Kifupi tuseme Misikiti na Makanisa nayo imeamua kuwatumikia watu
You are very right Brother!
Nisaidieni takwimu za waliofanya interview na hatunao tena !!!!!!!!
Mama Chris yaaani naona orodha inazidi kupungua tuuu...Mungu awasaidie kwa neema yake.
Kibonde, Ruge, Kanumba, Majuto, Sajuki, Banza Stone, Gamba, Komba, Gurumo.
Mungu awape kauli dhabiti
RipKibonde
R i p kibonde
#RipKibonde
Yani
Haya
Kwa hapo kwa Nyerere kukuta watu sio wasomi marehemu hakusema kweli. Wasomi walikuwepo na yeye aliwakuta akaishia kuwafukuza na wengine kuwauwa kwa hofu ya kupinduliwa.
Mohamed Othman wasomi waliokuwepo wakati huo walikuwa na elimu ya kikoloni na tabia za kikoloni na ndio waliokuwa wanatumika kuwanyanyasa wazawa.
@@paulmpazi5358 Elimu ya kikoloni ndo ikoje hiyo, unataka kusema hata Osca Kambona, Bibititi Mohamed hakusoma.....? Soma historia acha kusikiliza maneno ya watu bro
Nadhani walikuwepo lakini sio kwa idadi iliyohitajika supply was less than demand
r. I. p kibonde