Mkasi - SO3E06 with Ray

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2012
  • Mkasi S03E05 Mgeni wetu ni Vicent kigosi ambaye ni muigizaji wa Filamu za Kitanzania (BongoMovies), Katika kipande hichi cha msimu wa tano, Vincent kigosi anaongelea jinsi gani Jina lake maarufu la RAY lilipotokea, pia anaongelea kuhusu uigizaji kama ajira.
    Pia anazungumzia kuhusu changamato wanazokumbatana nazo katika tasnia ya filamu, pia uhusiano wake na Steven Kanumba.
    Usisahau kusubscribe kwenye channel.
    / @mkasitv
    our website: mkasi.tv/
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 69

  • @shakiramohammed5015
    @shakiramohammed5015 12 ปีที่แล้ว +4

    RAY umejielezea vizuri sana, hukuonyesha maringo yoyote, na salama unajitahidi mamii big up
    nakukubali saaana

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 ปีที่แล้ว +3

    10 Years Today... Big up to you

  • @sharifunurdini3240
    @sharifunurdini3240 6 ปีที่แล้ว +3

    napenda movie zake ray leo2018 na mm nna xmart toka 2006

  • @ridiayohana9311
    @ridiayohana9311 6 ปีที่แล้ว +3

    Ray .hauna hata malingo nimekukubali broo sichoki kuangali move zako aseee

  • @lindahmwakitawa8988
    @lindahmwakitawa8988 6 ปีที่แล้ว +7

    I love this guy ray he looks hundsme to me

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 ปีที่แล้ว +1

    Pliz Vincent kigosi look for wakina Jennifer, Patrick, Sofia, na jamila, utakua sawa na hao watoto tunawapenda sana, asante kwakutafuta johari tunampenda sana

  • @msauziable
    @msauziable 12 ปีที่แล้ว +4

    katika mkasi za ukweli kuna hii hapa.yaan maswali wameuliza yamaana na yakajibiwa ki ufundi zaid.pia kulikuwa na maelewano mazuri pande zote....big up sana

  • @divaifrank4192
    @divaifrank4192 7 ปีที่แล้ว +5

    Sure,Ray uko vizuri kaka like that

  • @emmysteyia8972
    @emmysteyia8972 6 ปีที่แล้ว +3

    Ray uko poa napenda movies zako

  • @jackswat
    @jackswat 11 ปีที่แล้ว +5

    Bongo movies imekua kwa kiasi chake, - but we still have a long way to Go! Keep it up Guys!

  • @alexismfalme751
    @alexismfalme751 5 ปีที่แล้ว +2

    Ray movie zako safi sna

  • @user-cl9xz5tv3t
    @user-cl9xz5tv3t 3 ปีที่แล้ว +1

    We mhandsome mashallah

  • @sallykanze
    @sallykanze 9 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda Sana interview ya Ray anajibu maswali vizuri na Hana maringo yakujifanya mngereza hivyo ndivyo vinatakikaniwa ukiulizwa swali Kiswahili jibu Kiswahili lakini wengine maringo tuu kujifanya wangereza ilhali hawakijui vizuri sioni umuhimu wakuchanganya lugha,,,,, hongera Sana Ray na salama pia nakupongeza na wenzako wote kina muuba na john

    • @70SIXER7
      @70SIXER7 6 ปีที่แล้ว

      Jefason Kingy Mrs ...Ni kweli kabisa!..pale wasanii wengine wanapochanganya English kibao yani wenyewe wanaona ni ujiko kweli!..kumbe awajui wanapoteza ladha yote!

    • @greklauryn6277
      @greklauryn6277 5 ปีที่แล้ว

      Kubalini mkatae watanzania jamani English is international language lazima watu wajifunze sio mashauzi

  • @TheGulo123
    @TheGulo123 12 ปีที่แล้ว +2

    ray anamguu mashallah

  • @annanki9315
    @annanki9315 11 ปีที่แล้ว +4

    Ray nakupenda sana

  • @mariyam-on8oc
    @mariyam-on8oc 7 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh ry na hereni jamani mtihani sana hv mwanaume niwakuvaa heleni au ndio kioo cha jamiii

  • @dolinamarende4338
    @dolinamarende4338 7 ปีที่แล้ว +4

    am from Kenya and I love you're movers so much. i like it

  • @furahamialano85
    @furahamialano85 4 ปีที่แล้ว +1

    Ray nakubali sana tena sana

  • @politicianmwenga813
    @politicianmwenga813 8 ปีที่แล้ว +1

    solute to you bro you know what your are doing,,,, from kenya

  • @barikijofrey4394
    @barikijofrey4394 10 ปีที่แล้ว +3

    Salama hapana chezea!!!!!!!!!!!!

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 12 ปีที่แล้ว +1

    big up Salama umeuliza maswali mazuriii me lav u sanaaa

  • @JumaMabera-es7xj
    @JumaMabera-es7xj 10 หลายเดือนก่อน

    Fresh sana kigosi mkuu upo vizuri

  • @josephchanga8654
    @josephchanga8654 8 ปีที่แล้ว +1

    Da kuwa star ni shida I

  • @farhantz1989
    @farhantz1989 11 ปีที่แล้ว +1

    love u salama, u r the best

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Duhuu rey mzuri jamani

  • @conneykinjo7063
    @conneykinjo7063 ปีที่แล้ว

    Sai kinasema kinampenda na kilikuwa kinamchukia,, ray utafika mbinguni wewe pia.😭😭

  • @SuperChala1
    @SuperChala1 12 ปีที่แล้ว +2

    good job guys i love
    the shows

  • @ihathoya3956
    @ihathoya3956 8 ปีที่แล้ว +4

    maswali mazuri

  • @belanwambondo545
    @belanwambondo545 8 ปีที่แล้ว +2

    Sawa mkweli

  • @marynchinga1666
    @marynchinga1666 11 ปีที่แล้ว +2

    bro mbna now dayz uko kimnya sana

  • @jessieomari2753
    @jessieomari2753 5 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali ray na picha zako

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali ray

  • @belanwambondo545
    @belanwambondo545 8 ปีที่แล้ว +1

    we we mkweli

  • @OtorinMasinda
    @OtorinMasinda 11 ปีที่แล้ว

    Keep it up

  • @matumlaasaid6895
    @matumlaasaid6895 6 ปีที่แล้ว

    kizazi sana

  • @hancephabian7234
    @hancephabian7234 7 ปีที่แล้ว +1

    utafanya nini kama ikikutokea anaetakiwa kukufuta machozi lakini ndie anaekufanya ulie"

  • @JemedariKalundi
    @JemedariKalundi 12 ปีที่แล้ว +2

    Salama umeolewa? unaumri gani? je list ufika watano? we unauliza maswali yakizushi na makali usi panic naomba jibu, mie shabiki wako

  • @ramlaisaac665
    @ramlaisaac665 ปีที่แล้ว

    2022 still watching 👀

  • @juliatabelamwa761
    @juliatabelamwa761 8 ปีที่แล้ว

    Ray Ray

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nani karudi uku tena tujuane.

  • @willsonpetter4660
    @willsonpetter4660 6 ปีที่แล้ว

    nc rain

  • @tumpiliksye
    @tumpiliksye 11 ปีที่แล้ว +1

    kichwa kingine !!!

  • @farhantz1989
    @farhantz1989 11 ปีที่แล้ว +2

    salma kwann ucwe pekee yk kwnye hii game ati?
    hawa jamaa wengine hawajui kbs kuinterview hawajaenda skuli

  • @jameskilavo4478
    @jameskilavo4478 8 ปีที่แล้ว +1

    mubah usimkatishe mgeni

  • @FMUnderscore
    @FMUnderscore 12 ปีที่แล้ว +1

    "Kaa humo!" hapo mumeenda mchomo neno "Ripuka" ndio sahihi na sio "Lipuka" hakuna neno Lipuka katika kiswahili sahihi

  • @kadungulu1
    @kadungulu1 6 ปีที่แล้ว +1

    LOL SALAMA MARA YA MWISHO KUNINI?

  • @belanwambondo545
    @belanwambondo545 8 ปีที่แล้ว

    mkali

  • @mamdanfordmashaallah8907
    @mamdanfordmashaallah8907 7 ปีที่แล้ว +1

    nirushien movie v.I.p

  • @kasianmahenge4532
    @kasianmahenge4532 7 ปีที่แล้ว +2

    natafuta kiki

  • @Katabwa
    @Katabwa 11 ปีที่แล้ว +1

    First, put on groves brah!! Set up a good example people.. This guys spoke only Swahili and that is good. When people start mixing with English, they start bringing down themselves and there people. Movie that kibongo, au African story is not good tools for upbringing the youths. How are we doing that? How are we empowering the youth through stories?

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 11 ปีที่แล้ว

    jamaa kichwa

  • @angelinajoseph5439
    @angelinajoseph5439 8 ปีที่แล้ว

    nice

  • @rahmauwizeyecom1105
    @rahmauwizeyecom1105 9 ปีที่แล้ว +2

    Hhh.pumbafu...

  • @mashiabdul4997
    @mashiabdul4997 11 ปีที่แล้ว

    kwanini unasema hivyo?

  • @joshuayusufu7343
    @joshuayusufu7343 7 ปีที่แล้ว

    maswali kama mtu hana wazazi bwana

  • @danielmbaziro6100
    @danielmbaziro6100 7 ปีที่แล้ว

    Inapendeza

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 12 ปีที่แล้ว +1

    oya! mi huyu jamaa yako mwenye t-shirt nyekundu anatuharibia kipindi, maswali yake hatumii akili kabisa...na wala hajui wapi pakuliza swali...

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 5 ปีที่แล้ว +2

    Rafiki yako ndiye hadui yako kanumba alikuwa na roho safi sana kwanini ulimuchukia mpaka kanumba alipo jiita the great eti na wewe ukajiita the greatest hmm mimi hata movie zako sizitaki

  • @TheGulo123
    @TheGulo123 12 ปีที่แล้ว +1

    muuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuba mzuri wewe