MANENO YA BUSARA YA KIBONDE KUHUSU RUGE: NARUDI DAR PEKE YANGU/ NASONGA MBELE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 215

  • @HaikaJohn-w3h
    @HaikaJohn-w3h 8 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani kama anaiangalia hiii mwaka huu 2024 kwaajili ya kumkumbuka kibonde gonga like para panda ikilia by Paul clement voice 😭

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 5 ปีที่แล้ว +6

    kama umekuja kwa kumkumbuka kibonde like twende sawa

  • @belamicheal3353
    @belamicheal3353 5 ปีที่แล้ว +5

    Natamani kama uamke jaman yaan naona kama ndoto nilikuwa nakupenda sana wewe baba ulijaribu kutengeneza familia yako kuwa bora kuwa ya mfano wa kuigwa mwenyezi mungu akusamehe dhambi zako na upumzike salama amin inshallah

  • @andrewsemka7191
    @andrewsemka7191 5 ปีที่แล้ว +1

    Polen xana wanafamilia wote,mwenyez mungu awape subira katk kipindi hk kigumu,Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihmidiwe Amina!!!!!

  • @salmawais2778
    @salmawais2778 5 ปีที่แล้ว

    This guy taking the best of ruge and being the next to go just unexpected that's what we Muslims believe in elwsys saying INSHAALLAH

  • @aminamrisho9825
    @aminamrisho9825 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole familia ya kibond aisee mungu mkali jmn tutubu jmn kwa mungu sio mbali****leo kibonde hatuponae tena

  • @rajabuiddy113
    @rajabuiddy113 5 ปีที่แล้ว +1

    tufanye ibada kwa walio tangulia mbele yahaki maana hakuna atakae baki inauma yaaan donda bado bich linatokea lingine sawa asante mungu tupe nguvu tuliyo guswa inshaaaalah

  • @aminamwangile1047
    @aminamwangile1047 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah umejibu maswali meng vizuri kumbe ndy maswal na majibu yko ya mwisho bila W mwnyw kujua 😢😢 pumzika kw aman baba

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 5 ปีที่แล้ว +6

    RIP Kibonde! Jamani watanzania tujifunze kutumia muda mfupi kwenye maombolezo. Hii itapunguza sononeko la muda mrefu na kasababisha shinikizo la damu kwa wenye nalo au kuanzisha matatizo Mapya kwa wasiokuwa nayo. Angalia sasa Kibonde ametutoka, japo alionyesha kuwa mwenye uchungu mkubwa tangu anampokea Ruge pale Clouds.

  • @hadijapazia684
    @hadijapazia684 5 ปีที่แล้ว +1

    M'Mungu aiweke roho yke mahali pema,
    M'Mungu mkali Jaman daaah

  • @alvindehunter7201
    @alvindehunter7201 5 ปีที่แล้ว

    Inshaaallah Allah amuepushe nA aDhabu ya kbr.. Innalillah wainnalilah RAjiunn

  • @nassaabdul6114
    @nassaabdul6114 5 ปีที่แล้ว +9

    Daah kweli wafu tunazikana....So sad kwa kweli...

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 ปีที่แล้ว +17

    inalliallah wainalllah rajiuun jamana inauma inauma tena kibonde tena r.i.p kibonde

    • @hensongunman1680
      @hensongunman1680 5 ปีที่แล้ว

      Kama Luna mwanadamu mwenye akili atubu hizi nisiku za mwisho

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 5 ปีที่แล้ว +24

    Dah! maisha mafupi sana duniani tunapita kila nafsi itaonja umauti mola wetu tupe mwisho mwema pumzika kwa amani baba

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

    Ndio mipango ya Subhana Wataala ilivyo na ndio mwisho wetu tuacheni kuvamia dunia wawili hao ni watu wa kufuatwa mifano yao mema yaliobakia tumawachie Mungu

  • @selemaniselemani2137
    @selemaniselemani2137 5 ปีที่แล้ว

    DIZZIM TV nawapata vizuri xn nice job

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว

    Duh yaani jaman mungu anasiri sana jaman yaani majuzi kaongea hvyo akiwa mzima wafya leo eti naye kafa duuh

  • @geofreymillanzi3491
    @geofreymillanzi3491 5 ปีที่แล้ว

    Daaah kwa kweli Dunia tunapita, niliona Kama drama ila leo nishaamin, Kibonde umetoka dar mzma kabisa wa afya njema, umekuwa Mc MDA wote wa msiba, et leo tunarudsha mwili mwenyw ushaenda kweli daaaah siwez Amin. Mungu akupokee uko uendako.... Amina

  • @reginaandrew6891
    @reginaandrew6891 5 ปีที่แล้ว

    Mh! Maisha haya jamani! Pumzika kwa Amani Kaka Kibonde. Mungu akutunzie familia yako

  • @peterjohn8745
    @peterjohn8745 5 ปีที่แล้ว +1

    Dahh ulikua mzima j3 Leo marehemu kabsa tena kwenye jeneza eee mwenyezi mungu turehemu

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ametupa funzo hapa kwa hawa watu wawili

  • @alhandroraj8009
    @alhandroraj8009 5 ปีที่แล้ว

    Poleni kwa yote, sisote tu wageni tuzidi kumcha Mungu na kuombeana na upendo idumu hadi siku mola atatu pumzisha

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 ปีที่แล้ว +6

    March4 unaongea, sudenly March6 unanyamaza huongei milele.. RIP KIBS. #"Mwanadamu akizaliwa huanza safari ya Kufa mara 1.

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 5 ปีที่แล้ว +1

    duh kweli maisha hayana ukomo, Yani juzi tu hapa lakin anarudi nae marehemu

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว +19

    Dunia inaenda kasi sana,muda tuliobaki nao ni mchache sana
    Mwenye kujitakasa azidi KUJITAKASA
    maana naja upesi sana ,Kumlipa kila mmoja kwa kadri ya MATENDO yake
    I am out of words,until we meet again 🙏🙏🙏🙌🏼😭😭😭😭😢

    • @renatusfbupamba5181
      @renatusfbupamba5181 5 ปีที่แล้ว

      glorious n samahan n kitabu gan icho.
      Coz nmevutiwa na hayo maneno

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว +1

      Renatus F Bupamba soma ufunuo wa yohana 20 utayakuta
      Mimi nimefanya ku-paraphrase
      🙏🙏🙏

    • @renatusfbupamba5181
      @renatusfbupamba5181 5 ปีที่แล้ว

      Asante

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah Wayna Illah Rajioun...
    Poleni sana family
    Poleni sana clouds family....
    M/Mungu awape mioyo ya sabra ktk kipindi hiki kigumu...
    Wengi twaumia ila haya yote ni ya M/Mungu....

    • @maymgaya4192
      @maymgaya4192 5 ปีที่แล้ว

      Hatuna jinsi
      Natuzidi kuwaombea wenzetu walotangulia.....
      Na tusisahau kujiombea nafsi zetu... INNALILLAH WAYNA ILLAH RAJIOUN🙏😭😭😭😭

    • @emmanuelmorisi5733
      @emmanuelmorisi5733 5 ปีที่แล้ว

      R.l.p kibonde

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

      MMungu awape waja imani ya kuwasimamia vyema na kwa imani watoto hao

  • @mwanakidaally9740
    @mwanakidaally9740 5 ปีที่แล้ว +9

    Dah nitaendelea kumiss ua voice kwenye jahazi

  • @bobofashion3148
    @bobofashion3148 5 ปีที่แล้ว

    Duh ,, maskini yule kaka anavyomuangaria kibonde utasema anajua kesho ya kibonde vile ,,inna lillah wa inna ilaihi raajun

  • @aleemaalrahbi338
    @aleemaalrahbi338 5 ปีที่แล้ว +3

    Inalilah wallah mung kaamua kutufululiza daah huwez ijua kesho yako 😢😢

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 5 ปีที่แล้ว

    Mamaweeee😭😭😭😭😭😭baba weee tunaumia sana jamani mungu wangu

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 ปีที่แล้ว +1

    Maskn dah.mungu akusamehe dhambi zako😥

  • @jairosimaswaga9890
    @jairosimaswaga9890 5 ปีที่แล้ว

    Tangulia kaka Mungu kaamua nasisi tunakuja

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 5 ปีที่แล้ว +1

    ntamiss sauti ktk jahaz ikisema asalaam aleikum R.I.P

  • @gracetweve8485
    @gracetweve8485 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah yaani nimesisimka kiukweli jamaani R.I.P KIBONDE

  • @ayshaali3577
    @ayshaali3577 5 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezimungu awajalie makazi mema mbele ya hk miina

  • @leonarddeus5897
    @leonarddeus5897 5 ปีที่แล้ว +1

    Bango hariendani na maneno, achen utoto dzm, RIP KIBONGE

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว

    Hayo ndo mauti hatujui mda na saa mungu akueke pahali pema peponi inshaallah umeshakutana na rafiki yako huko mliko huku rudi nyumbani umebaki nae huo ni upendo wa dhati

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 5 ปีที่แล้ว

      Hadija Abdallah ni kweli.R.I.P

  • @kibongekipipa3580
    @kibongekipipa3580 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana familia ya Marehemu poleni na Watanzania wenzangu.

  • @saluagoha1770
    @saluagoha1770 5 ปีที่แล้ว

    Nitamic saut yako kwny mastory ya town "asalam aleikum"" RIP baba

  • @queengee988
    @queengee988 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wweee mim😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭halag unakut bado kuna mtu anaringa jmn kifo hiki😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 5 ปีที่แล้ว

    Duh ,kweli siri ya kifo aijuaye ni Mungu tu, hapo
    Amzungumzia boss wake alivyo kua leo hii na yy amekua marehemu 😭 khaaah

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 5 ปีที่แล้ว +6

    Dah kweli mauti yamevishwa taji nenda salama #pumzikakibonde

  • @maryoswald6192
    @maryoswald6192 5 ปีที่แล้ว +4

    Mmmm kweli kifo tunatembea nacho unakwenda mzima unarudi kwenye jeneza

  • @olivershayo5920
    @olivershayo5920 5 ปีที่แล้ว

    pole baba umekwenda na rafiki yk

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani ata Sina la kusema pumzika kwa Amani tusalimie boss Ruge

  • @naybakari3490
    @naybakari3490 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainarajiuni mungu akupe kaulithabit 😢😢😢😢😢😢

  • @shanimwakipesile3341
    @shanimwakipesile3341 5 ปีที่แล้ว +1

    Leo utanisindikiza na wewe kesho utasindikizwa Hatima Kibonge ulimsindikiza Ruge na wewe Leo unasindikizwa R. I. P baba nawaza wale watoto tu jamaniiii

  • @rebbylyanga4067
    @rebbylyanga4067 5 ปีที่แล้ว +2

    Me sina lakusema zaidi ni kuwapa pole ndugu na watoto wake
    R. I. P

  • @mimsbaibemimskim9556
    @mimsbaibemimskim9556 5 ปีที่แล้ว

    ooh rest in peace but umeenda haraka kweli sometyms kifo only God knows Leo ni Mimi kesho hatujui may God protect ur family wakati huu mgumu.

  • @rhodarichard4366
    @rhodarichard4366 5 ปีที่แล้ว

    Kibonde alikuwa mtangazaji mwenye kipaji cha kipekee .maana alikuwa akifurahisha sana.nadhani sasa hakuna tena jahazi..ooh aisee

  • @isabellanjesa3488
    @isabellanjesa3488 5 ปีที่แล้ว +3

    Nashindwa niseme nini juu ya watoto wake, Mungu simama nao

  • @hamzambasha8577
    @hamzambasha8577 5 ปีที่แล้ว

    Daah kibonde pumzika kwa Aman 🙏🙏🙏🙏

  • @laurentngowi3052
    @laurentngowi3052 5 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah r i p inaumaa sanaa

  • @suzanpatrick8381
    @suzanpatrick8381 5 ปีที่แล้ว +1

    I can't believe it looh Ephraim duuh r.I.p

  • @fainnamvungi4364
    @fainnamvungi4364 5 ปีที่แล้ว +6

    Kibonde 😭pole Familia

  • @sophiaahmed9109
    @sophiaahmed9109 5 ปีที่แล้ว +3

    No more word... Juc rest easy baba 😢

  • @yusuphcosco9851
    @yusuphcosco9851 5 ปีที่แล้ว

    km umemuona tapel dude usigonge like hapa wasenge nyie

  • @eliusandrew3762
    @eliusandrew3762 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @mariammdoe8045
    @mariammdoe8045 5 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnailayh rajiuun jamani polen sana

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni mapenzi ya Mungu kwa haya yanayoendelea kutokea basi jina lake lihimidiwe na kama ni shetani ashindwe

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani 😭 kibonde du umetukimesha

  • @annabalenga4420
    @annabalenga4420 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe kauli thabiti

  • @EvangelistNyamkina
    @EvangelistNyamkina 5 ปีที่แล้ว +18

    NAWASHAURI NDG ZANGU MUOKOKE.... DUNIA INAPITA
    LEO TUNAPENDEZA KESHO UDONGONI
    KUOKOKA NI LAZIMA

  • @jumabakari2354
    @jumabakari2354 5 ปีที่แล้ว

    pole sana mungu ndio kimbilio letu ss sote Rip

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +2

    Huwa nikiona interview zake naumia sana hasa hiz za msiba wa ruge

  • @lightnesssomi6961
    @lightnesssomi6961 5 ปีที่แล้ว +35

    Maskin uliondoka dar mzima unarudi kwenye jeneza pole kwa watoto wako

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaniiii hamna aijuwe kesho yake uwiiiiii akiwa njia kurudi akapata pressure na kukimbizwa hospital baadae na kufa tuishi na watu vizuri na kutenda mema

  • @robertandrea9257
    @robertandrea9257 5 ปีที่แล้ว

    thus guy wa sick....KIBS alikua anaumwa sio ongea yake hyooooo

  • @alhajimbaga4062
    @alhajimbaga4062 5 ปีที่แล้ว

    Aisee watu wamrudie mungu

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja hapa leo 21/4/2024 baada ya kuona video ya gadnar na kibonde wakiwa studio wanacheka, daa ile ya tutaonana baadae ndio hii 😢😢😢

  • @sunnyhussein3410
    @sunnyhussein3410 5 ปีที่แล้ว

    allah akuangazie mwanga wa milele kaka

  • @bahatisalum95
    @bahatisalum95 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P Mr.kibonde Wanadamu Tupendane na Tumuogope mungu.

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 5 ปีที่แล้ว +1

    Msipende kuuliza maswali ambayo mtu anatumia isia Sana.....maana watu wanamaumivi ktk mihoyo yao na kumfanya mtu kuzalisha matatizo ndani ya mwili......uwoni Mishipa imesimama usoni mwake kwa Ephraim Kibonde.....Tiar kuna tatizo

  • @gracemwanjabala8073
    @gracemwanjabala8073 5 ปีที่แล้ว +6

    dah ungejua kuwa nawe utarudii ukiwa kwenye jeneza usingeeendaaa bukoba duuu naogopaaaaaaa mimi

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 5 ปีที่แล้ว

      Shida hatujui jamani dah kweli hili ni fumbonkubwa

  • @grecioussilas9885
    @grecioussilas9885 5 ปีที่แล้ว

    Daa!! Unarudi dar.peke yako kweli peke yako huyu jamaa kama vile alijua

  • @NeemaRutahiwa-is3eu
    @NeemaRutahiwa-is3eu ปีที่แล้ว

    Rip Kibonde pumzika kwa amani kweli hakuna aijuaye kesho yake umekuja kumzika rafiki ako na ww unaondoka ukiwa maiti duh

  • @sadahaluna1768
    @sadahaluna1768 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee, march 4, afu march 7, naww unamfata, jamani dunia inatutafuna, pumzika kwa Aman kibonde mbele yako nyuma yetu

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania mrudie Mungu

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah😥....Mungu mkalii jamaniii.....🙏🏽🙏🏽

  • @shellyonchangu9946
    @shellyonchangu9946 5 ปีที่แล้ว +2

    So painful,R.I.P

    • @hurumasamson4464
      @hurumasamson4464 5 ปีที่แล้ว

      RIP brother! Family itapata nguvu kwa Mungu pekee,Amina

  • @kolytwisa9048
    @kolytwisa9048 5 ปีที่แล้ว +1

    Huwez kusem kama ivi tena dah unbelievable kwa kwer

  • @salhiyanijueleo4067
    @salhiyanijueleo4067 5 ปีที่แล้ว

    kweli hadui wa kwanza ni kifo kweli brathar kibonde umefaliki nimesikitishwa saana kwani alikua lafiki wa malehem kaka yangu kwaheli tutaonana paladiso kenye mchi mpya

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 5 ปีที่แล้ว

    Uwiiiiiiiii jamani jamani Leo na ww umerudi maiti kifo kipo aise

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว

    Ruge na best friend yako Rip

  • @raymondjimmy2712
    @raymondjimmy2712 5 ปีที่แล้ว +2

    So sad😭😭😭

  • @muttengeleonadi7207
    @muttengeleonadi7207 5 ปีที่แล้ว

    Duuh jamani sielewi kinachosemewa hapa

  • @furthernelly7084
    @furthernelly7084 5 ปีที่แล้ว

    dah haloow hii ni hatari

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 5 ปีที่แล้ว

    Sijui naota

  • @erasmusshauritanga4444
    @erasmusshauritanga4444 5 ปีที่แล้ว +1

    Hajamaliza hata wiki baada ya Boss wake kuzikwa na flashback presentations zake karimjee nawadha labda alijua chochote kuhusu kifo chake?

  • @rosemsemwa1065
    @rosemsemwa1065 5 ปีที่แล้ว +1

    kesho yetu ni fumbo rip bro kibonde😭😭

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 5 ปีที่แล้ว +1

    Kifo ni siri nzito.😂 Rest in peace E.Kibonde.mbele yako nyuma yetu🙏🏿

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa kilichokuchekesha Nini Kuma ww

  • @roourahhassan3486
    @roourahhassan3486 5 ปีที่แล้ว

    Aaahaaah jamani uuuwiiiiiiiii kibonde weeeeeee why why u

  • @drmsouthsmalltrader1138
    @drmsouthsmalltrader1138 5 ปีที่แล้ว

    Innalillah wa innailaih raji'un

  • @mtumishiwake4006
    @mtumishiwake4006 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi sasa huezi sema tena imebaki kumbukumbu mpumzika kwa amani.

  • @nasraiddy8164
    @nasraiddy8164 5 ปีที่แล้ว

    Inna lilah wainna ilah rajiun

  • @princevenance6814
    @princevenance6814 5 ปีที่แล้ว

    Hatimaye umeenda kuungana naye kwenye pepo njema huko mbinguni hakika uliumia kibonde

  • @sidetheboymakerchief2412
    @sidetheboymakerchief2412 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh

  • @aishamohammed5411
    @aishamohammed5411 5 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainn illayhi rajiuun.

  • @patriciacosmas994
    @patriciacosmas994 5 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani baba inauma sana.

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 5 ปีที่แล้ว

    pumzika kwa amani Ndugu