Mkasi - S01E03 Masoud Kipanya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @TheTuney
    @TheTuney 13 ปีที่แล้ว +2

    hahahah Masoud nakupenda sana ..yaani unaongea ukweli mtupu.. 'kuna watu wanakula kwa mikono miwili na wengine mpaka kwa miguu'

  • @kmtenga
    @kmtenga 13 ปีที่แล้ว +2

    good job salama I love u,masoud kadata kabisa hahaa anasema ukweli mtupu,salama usiache kupost episodes hapa tuenjoy raha hizi,pia itakuwa vizuri ukifanya mahojiano na wasanii hasa wanaobaniwa ili tujue ukweli kama kipanya alivoongea kuhusu cloudsfm na management yao

  • @hamadishee4636
    @hamadishee4636 7 ปีที่แล้ว +1

    God bless you bro kipanya the only gifted media personel in tanzania

  • @Kinsports
    @Kinsports ปีที่แล้ว +2

    2023

  • @linegreen23
    @linegreen23 13 ปีที่แล้ว +1

    Hii Inakubalika kabisa na kwa kweli ni moja ya kipindi cha Kitanzania nitakachokua nakifuatilia sana, Inaonekena kipindi hiki kinafunguka sana katika mambo mbali mbali, Big up Salama huu ndio ubunifu tunao uzungumzia kila siku, endelea kuwadaka waje wafunguke ki ukweli kabisa..!

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ana akili sana
    Naitizama tena 2019 November

  • @4weston4
    @4weston4 12 ปีที่แล้ว +2

    Kipanya wewe ni zaidi ya nouma, nakukubali sana.

  • @Namestn
    @Namestn 11 ปีที่แล้ว +1

    Among the artist that I admire n appreciate in TZ ths guy is among them...he is real n wise....he uses well his talents n connects with the society.... Good work Salama, keep it up....bro...keep t real....we support u.

  • @MREMBOMIE
    @MREMBOMIE 13 ปีที่แล้ว +1

    hadidhi yako ni nzuri sana!!!!!!!! hasa sehemu unaayo sema kuwa: watangurie vilema ,watoto, wajawazito na wafuate wenye nguvu... kwa bahati mbaya hili halipo tanzania... haswa wanaume wa kila umli wanazarau sana wasio jiweza! ... mfano kwenye daradara utakuta gibaba zima limejiweka kwenye seat na mbele yake una mama mjamzito au mwenye mtoto anasukumwa , hakuna nafasi...

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 13 ปีที่แล้ว +2

    Salama big up hili bonge la show, wewe makali sis

  • @rinnionnTV
    @rinnionnTV 13 ปีที่แล้ว +1

    Real talk KP!Tanzania inahitaji vichwa kama hivi.

  • @enockshija5512
    @enockshija5512 7 ปีที่แล้ว

    Kp you are so creative. I real appreciate and salute you.May God enrich you no matter how the world looks you.Never mind it.

  • @tumpiliksye
    @tumpiliksye 12 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania ni kisiwa cha vipaji , kichwa kingine hiki

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kp na wote hapo

  • @ellyobedy1753
    @ellyobedy1753 2 ปีที่แล้ว

    Hatari kumbe miaka10 ishapita kwel siku hazigandi

  • @halimojaimman6301
    @halimojaimman6301 9 ปีที่แล้ว

    Dah Moja Bonge la SHOW.. SUDI Alinyalisha Sana Katika FIKRA HURU

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba hazeek had leo yupo hivyo hivyo

  • @safinabakari9140
    @safinabakari9140 7 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi pekee ambacho salama amekua msikilizaji yaani masoud ni noumaaaaa......

  • @1992alemi
    @1992alemi 13 ปีที่แล้ว +1

    This show is better than the so called TAKE ONE

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

    Napenda busara zako Masoud

  • @ndewerokkrekamoo3982
    @ndewerokkrekamoo3982 7 ปีที่แล้ว +2

    Masood is a genius

  • @abdallahmakassy3003
    @abdallahmakassy3003 ปีที่แล้ว

    0:17

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 11 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere kwa wakati wake kama akisema tumefika mbali kabisa watu wanavaa viatu ni makosa hata kabla ya hiyo uhuru tulikuwa tunavaa viatu kama kawaida ,lakini ameturudisha nyuma sana kielimu na elimu yetu ni ya chini sana hadi leo.

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 6 ปีที่แล้ว +2

    2019 gonga like

  • @cuthbertbruce2098
    @cuthbertbruce2098 7 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana huyo jamaa

  • @abrahimali3628
    @abrahimali3628 5 ปีที่แล้ว

    Mkapa hanakitu alichofanya labda kuuwa wapemba

  • @sadathassan7059
    @sadathassan7059 5 ปีที่แล้ว

    Respect mkuu

  • @bakarikishaa4889
    @bakarikishaa4889 5 ปีที่แล้ว

    Kipanya gifted

  • @MOchyze89
    @MOchyze89 12 ปีที่แล้ว +2

    nimeipenda story ya cake\

  • @123456789012470
    @123456789012470 13 ปีที่แล้ว

    wanakula na miguuu hahahahaaahahhaha!

  • @gabbymaster1
    @gabbymaster1 12 ปีที่แล้ว +1

    wenye vipaji tupo wengi sana ila fulsa ndo chache sana ...... lakini nafikiri kila jambo lina wakati wake

  • @mussahmanyehe267
    @mussahmanyehe267 5 ปีที่แล้ว

    Kipara kinanyorewa jaman nm sn

    • @neemaemanuel8113
      @neemaemanuel8113 5 ปีที่แล้ว

      Sudi nakuelewa japo nilikua sikuelewe ss nakuelewa kupitia mwanao ,mwnao kanielimisha sana pliz sudi naomba tuwasiliane mitandao yngu 0756360274

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 6 ปีที่แล้ว +1

    Kipanya hajaulizwa swal kaanza story mwenyew

  • @ammy20able
    @ammy20able 13 ปีที่แล้ว +2

    masudi sura linang'aa kama kitumbua hahahahaaaaaa

    • @jacobonael885
      @jacobonael885 7 ปีที่แล้ว

      Wee unaangalia kung'aa husikilizi maneno, badilika

  • @VictorChrispinSamson
    @VictorChrispinSamson 13 ปีที่แล้ว +1

    Real shit with real stars... Salama, Deuces!

  • @tequasuphatetareq9858
    @tequasuphatetareq9858 8 ปีที่แล้ว

    Masoud ni nouma miaka mingi.

  • @luluemerald5380
    @luluemerald5380 11 ปีที่แล้ว

    Bravo Kipanya...........

  • @MREMBOMIE
    @MREMBOMIE 13 ปีที่แล้ว

    na akiingia kwenye gari anaangalia kama kuna mtoto aliekaa kwenye seat na anamwambia a ondoke il yeye akae... AIBU KUBWAAA!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @danyrobertz2078
    @danyrobertz2078 11 ปีที่แล้ว

    Tz ni noumaa kwa sasa

  • @reyreh
    @reyreh 11 ปีที่แล้ว +3

    i hate mcng any cngo show....good job!!!!

  • @MzeeNyundo
    @MzeeNyundo 12 ปีที่แล้ว +1

    Kwa swala la watangazaji kuigana - ni kweli kabisa ya kwamba waTz hajui kubuni na wale wanaobuni, munda mwingi haki zao hazilindwi kwa maana wanaoiga wabunifu ndio wanafaidika.... sheria inabidi zilindwe. Tz ina kila kitu, tunaweza kufanya kila kitu na labda kwenye level ya nchi tajiri ulimwenguni... Ambacho hatuna ni Haki, haki ya muundaji ilindwe na iheshimike ili waTz na nchi itajirike. Bila kuheshimu sheria, hatutafika kokote.

  • @kerinasiyame4080
    @kerinasiyame4080 12 ปีที่แล้ว +1

    HEY SALAMA MIMI NAITWA MAMA KENNEDY NAISHI AMERICA BOSTON NAPENDA SANA KUANGALIA MKASI NAONA SANA WANAWAKE WENGI . MIMI NA WEWE TUNAWEZA KUFANYA BUSINESS YA VIPODOZI ZAIDI MAWASIANO NUMBER YA SIMU 6176696084 PIA NINA WEBSITE YANGU YA BUSINESS NAOMBA NUMBER YAKO NITAKUPIGIA ILI TUONGEE ZAIDI .