ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kijiji hakikosi wazee.
Amen amen
Najitoa kubatizwa..Ee Yesu mwokozi mpendwa nipokee mimi nisiyefaa kuitwa wako😢
Beutiful song item.
Good song
Hallelujah ❤
Mbarikiweee🙏🏼
Mungu awabariki sana. Kazi njema sana hii!
Moja kati ya nyimbo zinazosogeza nafsi karibu na Mwikozi
Ameen😇😇
Congratulations mzizima Choir ni mefurahii sana kwa kutumia huu ubunifu wa kuandika wimbo kama wenzetu huko nje wanavyo fanyaga
Amen 🙏
Amen, amen, amen.Mungu atukuzwe na kuzidi kuwatumia vyema katika huduma hii.Mbarikiwe sana.
Kimya kingi kina mshindo mkubwa. Mungu awabariki kwaya nzuri hii kwa wimbo mzuri huu.
Amen mwalimu wetu na mshauri wa muda wote. Barikiwa sana.
Kazi nzuri sana watumishi mmbarikiwe sana
Bwana awabariki sana
Be blessed
Mungu awabariki sanaa…kazi nzuri👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏾🙏🏾
Sa ngapi hii inatoka nilikuwa naitafuta halafu nakutana nayo hewani mpaka nimeshangaa kidogo hebu xx mfanye wepesi kuiachia
Big up
Nipo nasngalia hapa aisee nabarikiwa sana
Nimebarikiwa
After two hours naona itakuwa hewaniTujiandae kubarikiwa❤
Hongereni sana kwaya yetu ,Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri❤
Amina sana, wimbo huu unabariki
𝑇𝑢𝑛𝑎𝑖𝑠𝑢𝑏𝑖𝑟𝑖 𝑘𝑤𝑎ℎ𝑎𝑚 𝑖𝑡𝑢𝑏𝑎𝑟𝑖𝑘𝑖
Mbarikiwe sana
Hongera sana wapendwa kazi nzuri sana, nimefurahi kuona hii kazi ikawe baraka kwa wengi.
ukisikia sauti ni kama malaika mbinguni wakisifu Bwana awabariki kwa huduma msonge mbele na Bwana akazidi kuinuliwa juu, nabarikiwa na uimbaji wenu ulotukuka.
Jamani kwaya hii imenibariki sana
Mungu awabariki sana. Kazi hii imenibariki,... Ninajihisi kusogezwa karibu zaidi na Rafiki yangu Mpendwa.
Ameen
Mbarikiwe, nimewamiss sana
Mbarikiwe ndugu zangu
Mungu awabariki nyote kwa utumishi.
Hongera Sana 🙏 kazi nzuri tunawaombea Sisi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
Nawapenda sana tang2014
Lokochachi😍🙏
😊
Kijiji hakikosi wazee.
Amen amen
Najitoa kubatizwa..Ee Yesu mwokozi mpendwa nipokee mimi nisiyefaa kuitwa wako😢
Beutiful song item.
Good song
Hallelujah ❤
Mbarikiweee🙏🏼
Mungu awabariki sana. Kazi njema sana hii!
Moja kati ya nyimbo zinazosogeza nafsi karibu na Mwikozi
Ameen😇😇
Congratulations mzizima Choir ni mefurahii sana kwa kutumia huu ubunifu wa kuandika wimbo kama wenzetu huko nje wanavyo fanyaga
Amen 🙏
Amen, amen, amen.
Mungu atukuzwe na kuzidi kuwatumia vyema katika huduma hii.
Mbarikiwe sana.
Kimya kingi kina mshindo mkubwa. Mungu awabariki kwaya nzuri hii kwa wimbo mzuri huu.
Amen mwalimu wetu na mshauri wa muda wote. Barikiwa sana.
Kazi nzuri sana watumishi mmbarikiwe sana
Bwana awabariki sana
Be blessed
Mungu awabariki sanaa…kazi nzuri👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏾🙏🏾
Sa ngapi hii inatoka nilikuwa naitafuta halafu nakutana nayo hewani mpaka nimeshangaa kidogo hebu xx mfanye wepesi kuiachia
Big up
Nipo nasngalia hapa aisee nabarikiwa sana
Nimebarikiwa
After two hours naona itakuwa hewani
Tujiandae kubarikiwa❤