TUTASHINDAJE HUKUMUNI -KAC Feat The Sacred Music. Performed live from Kirumba Hymns Festival S'n II

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2023
  • A Live performance from Kirumba Hymns Festival Season II.
    Performed On 31.12.2022
    Location: Kirumba SDA Church
    Theme: INUKA TENA na Pr. Joshua Mbwambo
  • เพลง

ความคิดเห็น • 345

  • @keziah1454
    @keziah1454 10 หลายเดือนก่อน +26

    I am not Adventist, but i imagine heaven will sound like this. Much love from Kenya

    • @TrizzahMbokw-tt9kx
      @TrizzahMbokw-tt9kx 6 หลายเดือนก่อน +1

      the feeling is heaven 😊😌

    • @andrewkibor9581
      @andrewkibor9581 5 หลายเดือนก่อน

      And that's not the best part... The better part is that we may not be able to fully capture how it will be then and odds are that it will be much better.

    • @juliusosoroomwoyo8848
      @juliusosoroomwoyo8848 5 หลายเดือนก่อน

      Thanks
      You can become one through prayer

    • @tomonyancha6301
      @tomonyancha6301 3 หลายเดือนก่อน

      He tells us that eye had not seen nor ear heard, neither hath it entered into the heart of man the things which God hath prepared for those that love Him. ​@@andrewkibor9581

  • @samwelgwitaba6454
    @samwelgwitaba6454 ปีที่แล้ว +13

    kiukwel now kirumba SDA choir MUNGU amewainua mnoo kwenye uimbaj had nataman nirud Mwanza@last 2015,, daaah mubarkiwe watumish wa BABA

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa sana Samwel, Karibu Mwanza

    • @samwelgwitaba6454
      @samwelgwitaba6454 ปีที่แล้ว

      @@kirumbaadventistchoirkac6823 🙏🙏nitakarbia tenaa naiman hvyo mtumishi,, bt MUNGU aendelee kuwainua milele zote

  • @sylvestermavanza1154
    @sylvestermavanza1154 11 หลายเดือนก่อน +21

    Niliwahi kutamani kuwa na uimbaji wa viwango hivi nchini kwetu na katika kanisa letu. Matamanio yangu yamefikiwa.
    This is just a wonderful rendition.
    Mbarikiwe sana.

  • @phyniacerungu5368
    @phyniacerungu5368 11 หลายเดือนก่อน +18

    Hivi ndivyo kanisa langu hufanya..... Kirumba you are very serious. Hiki ndicho kwaya zote za kiadventista zapaswa kufanya. Mbarikiwe mnoooooo......nasubiri full episod nibarikiwe zaidi. Kirumba you are the Best🔥👏👏

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  11 หลายเดือนก่อน +2

      Barikiwa sana. Endelea kufuatilia akaunti yetu, zitakujia mapema.

    • @isaiahmwaitete940
      @isaiahmwaitete940 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@kirumbaadventistchoirkac6823 AMINAAA

    • @danieljoshua905
      @danieljoshua905 8 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤qq

  • @vicmatzy
    @vicmatzy 18 วันที่ผ่านมา +1

    I love the music, one day I will find myself listening this music live from kirumba adventist church.

  • @actormtewele2260
    @actormtewele2260 ปีที่แล้ว +8

    BWANA Yesu asifiwe sana. Huu ndiyo Muziki wetu sisi Waadventista Wasabato. Midundo ya Rock, Jazz, Reggae, Blues kwa aina yake ni UPAGANI MKUBWA. Sisi tumepewa ujumbe Maalum kabisa kwa sayari hii ya Dunia, Ujumbe wa Malaika wa Tatu. Hatutakiwi kuimba nyimbo zikiwa na Muziki wa Kidunia.

  • @terrenceandrew791
    @terrenceandrew791 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona hamkusema kuna wimbo namna huu mzuri hivi? Tulivu sana na ujumbe unafika neno kwa neno. Hakuna distraction kwenye instruments kuzuia ujumbe usipenye. The meaning of Gospel Music. May God bless each one of you that sang or contributed anything to this place.

  • @LenaAst-lj8dg
    @LenaAst-lj8dg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Дорогие братья и сестри во Христе Ви благословени Славя Христа Прошу вас молитесь за Украину Благодарим вас🇺🇦❤️🙏

  • @donnky
    @donnky หลายเดือนก่อน

    Je rends gloire au Créateur et sollicite de Son trône Sa bénédiction non seulement pour les membres de l'église, mais aussi pour la zone où habite ce peuple magnifique. J'écris ces lignes depuis Haïti.

  • @tabbymwethya4560
    @tabbymwethya4560 วันที่ผ่านมา

    This is one of most loved vocals on earth,much love from 🇰🇪

  • @ruckiadadi7998
    @ruckiadadi7998 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sauti zinasikika vyombo ni vingi vinapigwa ki ustadi huyo mtt naye ana sauti nzuri ki ujumla mbarikiwe sana sana

  • @kahematv548
    @kahematv548 ปีที่แล้ว +7

    Ngoja tuendelee kubarikiwa

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 11 หลายเดือนก่อน +12

    My mom uses to sing to us this song every Friday night preparing for our sabbath,long live mama,such bring ur sweet memories jinsi ulivyonilea❤❤❤❤❤

  • @studionaradachannel-2peter128
    @studionaradachannel-2peter128 11 หลายเดือนก่อน +4

    TUNAWAPENDA SANA @KIRUMBA SDA CHOIR BARIKIWA MILELE tuna wa miss sana, Producer from Hallelujah Family Choir-Rwanda

  • @maureenotieno6506
    @maureenotieno6506 11 หลายเดือนก่อน +11

    Watching from Kenya wauuuuw this is good music to God be glory

  • @veranyanchama1772
    @veranyanchama1772 ปีที่แล้ว +7

    Ombi langu mwaka huu ni...nipate nafsi ya kushuhudia njisi mnavyo imba kanisani mwenu.
    Kila wakati naskia nyimbo mnazo imba nabarikiwa.

  • @josephkabuche1390
    @josephkabuche1390 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana awabariki Tena na tena

  • @barakawanjara3239
    @barakawanjara3239 ปีที่แล้ว +6

    Sasa huu ni muziki🔥🔥 najifunza mengi toka kweny wapendwa
    Mzidi kumwimbia Bwana

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  ปีที่แล้ว

      Amina mtumishi

    • @actormtewele2260
      @actormtewele2260 ปีที่แล้ว

      BWANA yuko upande wetu. Tutashinda Kwa msaada wa Bwana. Ule Muziki wa Kipagani unaong'ang'aniwa na baadhi yetu Tena ajabu wengine ni viongozi utakoma Kwa Jina la Yesu.

  • @enockonyango8180
    @enockonyango8180 11 หลายเดือนก่อน +9

    i wish to be in this congregation one day and watch this choir sing three nyimbo za Kristo. NZK 38 (Nasifu Shani ya Mungu), NZK 143 (Naamini) and NZK 14(Nitembee nawe)

  • @iddysarya1880
    @iddysarya1880 ปีที่แล้ว +5

    Bwana azidi kuwabariki kwa huduma hii makini ya uimbaji mzuri

  • @GuelordGuelord-wp9nl
    @GuelordGuelord-wp9nl 5 หลายเดือนก่อน +2

    Glory glory glory to the lamb. Helo, my name's guelord, I'm Adventist from Drc. I'm always amazed and blessed by this sound. May God bless you more. MUBARIKIWE

  • @previneyoung8290
    @previneyoung8290 ปีที่แล้ว +4

    Nyasae ogwethu yawa

  • @MrYegonable
    @MrYegonable 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very great performance. Exceptionally done. Well blessed on this sabbath.

  • @japhetleo9879
    @japhetleo9879 ปีที่แล้ว +4

    mbarikiwe

  • @kahematv548
    @kahematv548 ปีที่แล้ว +4

    Amen

  • @NiceGeoge
    @NiceGeoge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kuwabariki hakika

  • @eunicepaul3157
    @eunicepaul3157 10 หลายเดือนก่อน +2

    Watching frm Nairobi,this ia so sweety..Kirumna Never give up songa songa mbele...be blessed...wapiga vyombo b blessed most so touched ❤

  • @dreamsuccess7187
    @dreamsuccess7187 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa kweli, mmeubuni vema huu wimbo, na mmeimba vizuri sana, na kuiongezea thamani ngano. Huu mngeimba siku ya meza ya bwana, Kila mtu angefanya toba ya kweli. Na familia ya Pr.Manyonyi mmepatia sana, na Grace Sagati namuona hapo.Amekosekana Chief Mujaya, Mungu amlinde hadi asubuhi njema.

  • @Temekesdachoirtanzania
    @Temekesdachoirtanzania ปีที่แล้ว +8

    Ndg zangu Kirumba, Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki sana. Kazi yenu ni nzuri sana na inapendeza sana na inavutia sana. Na mzidi kuendelea na kuendelea katika kutimiza malengo yenu na hasa kumtangaza Kristo kwa njia hii ya uimbaji Amina.

  • @thebereangospelministers
    @thebereangospelministers 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina. Hapo Yesu atakapoita... atakusanya ngano ghalani.

  • @kevinchirchir9713
    @kevinchirchir9713 10 หลายเดือนก่อน +4

    Reverence in here is majestic..... Blessed sabbath experience brethren

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nabarikiwa sana nikiwa Dubai Bwana awabariki sana msonge mbele kwa kazi ya Mungu 🙏

  • @favourlotoom2391
    @favourlotoom2391 11 หลายเดือนก่อน +9

    What a wonderful ministration my heavenly brethrens,thank you am blessed.
    Be blessed richly.

  • @eliabjosiah5294
    @eliabjosiah5294 ปีที่แล้ว +6

    Utukufu kwa Bwana!!
    ❤❤❤

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 ปีที่แล้ว +3

    Hakika wimbo umejaa UTUKUFU WA MUNGU ALIYE HAI.......

  • @elijahmarube7073
    @elijahmarube7073 4 หลายเดือนก่อน +1

    my best song ever, i love that song, i feel blessed

  • @mariawamok7800
    @mariawamok7800 4 หลายเดือนก่อน +1

    You just blessed my soul at the end of the Sabbath day, God bless you. Please pass by Kenya. This is soo Uplifting.

  • @cephaspeterson2583
    @cephaspeterson2583 11 หลายเดือนก่อน +4

    kazi nzur sana KAC nimeanza kufatilia toka nikiwa mdogo ni zaidi ya miaka 20 sasa still mziki wenu uko vizur, i can imagine hiyo heaven song itakuwa je. nimebarikiwa sana

  • @magilendatulu4223
    @magilendatulu4223 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa

  • @sharonanunda5501
    @sharonanunda5501 9 หลายเดือนก่อน +3

    You sing so well if I was there I would join the choir. God bless you.

  • @josephsebastian-km5mg
    @josephsebastian-km5mg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atukuzwe

  • @benduke8049
    @benduke8049 2 หลายเดือนก่อน +1

    Am listening your songs from Nairobi and kwa ukweli, Mimi nimeona mkono wa Mungu katika Maisha yangu.

  • @pheniasuyiringiye3090
    @pheniasuyiringiye3090 ปีที่แล้ว +4

    Munapendeza sana. Nawafuwatiliya kutoka Rwanda

  • @BenardCharles-il6bx
    @BenardCharles-il6bx ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuwatumia vyema music umetulia

  • @prestonmichokinyakebako271
    @prestonmichokinyakebako271 4 หลายเดือนก่อน +1

    Lovely::The Kirumbas.. Feel blessed in Jesus'Name.

  • @mulokya93cdr44
    @mulokya93cdr44 11 หลายเดือนก่อน +3

    Gaither music band ya ki africa ,,,hongera Sana mmeni bariki kabisa 🙏🙏🙏

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  11 หลายเดือนก่อน

      We are humbled, Endelea kuombea kundi hili. Mungu Pekee Akainuliwe. Barikiwa.

  • @evelynesafari1500
    @evelynesafari1500 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen 🙏 Mbarikiwe sana

  • @Njengahhum
    @Njengahhum ปีที่แล้ว +3

    wimbo ulio na ujumbe wa kufanya nyoyo zimrejelee mwenyezi

  • @luckymtsweniseoke4514
    @luckymtsweniseoke4514 2 หลายเดือนก่อน +1

    O so beautiful talents

  • @ernestmakale7038
    @ernestmakale7038 ปีที่แล้ว +3

    Tunabarikiwa sana kwa wimbo na uimbaji wa Mbinguni tukingali hapa duniani tuna kula na kushiba habari njema ya wokovu. Muende mbali katika kufikisha habari njema kwa ulimwengu ili yesu arejee mapema

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki waimbaji hakika tumebarikiwa na wimbo huu

  • @isayambetwa6564
    @isayambetwa6564 ปีที่แล้ว +3

    Utamu tu wamuziki Bwana awabariki sana

  • @christinegori9661
    @christinegori9661 4 หลายเดือนก่อน

    This is how we will sing in heaven

  • @luckymtsweniseoke4514
    @luckymtsweniseoke4514 7 วันที่ผ่านมา

    O how beautiful u sing dis touching song

  • @jeanhategue-zs5iu
    @jeanhategue-zs5iu 11 หลายเดือนก่อน +3

    Que Dieu soit loué pour la louange pour kirumba allez y loin

  • @cloudjest5268
    @cloudjest5268 ปีที่แล้ว +2

    Mmepiga hatua nyingi mbele Kirumba, ni mwaka wa 10 toka niondoke hapo, nimefurahi kuwaona tena ktk muonekano mpya na kanisa jipya. Mungu atukuzwe ktk hili.Wengi nimewasahau majina lkn hawa nimewakumbuka; Lenard, mwimbishaji Pascal, Binti Sagati, Msafiri Paul, Daudi Masika.
    Mungu atukuzwe.

  • @kahematv548
    @kahematv548 ปีที่แล้ว +4

    Ki ukwel mnajua.
    Mungu awabariki sana.

  • @AthumaniMsomi
    @AthumaniMsomi 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi ndiivyo wakristo wote wanatakiwa kumwimbia Mungu

  • @tmmonlinetv9813
    @tmmonlinetv9813 ปีที่แล้ว +3

    Naamia kirumba

  • @jafarimukama4701
    @jafarimukama4701 11 หลายเดือนก่อน +1

    Awa wapiga vyombo ni balaaa na nusu

  • @paulsamuel6265
    @paulsamuel6265 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki Kwa huduma ya viwango na ubora,huku ndiko kumtukuza Bwana inavyostahili kwa ustadi na kiroho

  • @user-xd8oi7zt9e
    @user-xd8oi7zt9e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kambale kalendi samson kutoka Congo butembo ,hakika nimebarikiwa sana kwenye wimbo huu

  • @radiancerecords1482
    @radiancerecords1482 11 หลายเดือนก่อน +6

    This is another level of music 🎶

  • @chiragiabel
    @chiragiabel ปีที่แล้ว +5

    Mungu wa mbinguni awabariki sana Kirumba Adventist Choir. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi Ubarikiwe pia kwa kazi mmefanya.

    • @machagejr
      @machagejr ปีที่แล้ว

      Barikiwa Abel na wenzako kwa kazi yenu bora

    • @chiragiabel
      @chiragiabel ปีที่แล้ว

      @@kirumbaadventistchoirkac6823 Amen Amen

    • @chiragiabel
      @chiragiabel ปีที่แล้ว

      @@machagejr Amen Amen

  • @ciciliahhamisi9195
    @ciciliahhamisi9195 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ❤

  • @trizafrances4304
    @trizafrances4304 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏🙏 Mimi nitakuwa ngano ktk Jina la yesu

  • @priscahoduya8898
    @priscahoduya8898 10 หลายเดือนก่อน +1

    Happy Sabbath from Kagwa SDA church kendubay ❤

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mungu aendelee kutangazwa na kuinuliwa kwa uinjilisti wa nyimbo.
    Wimbo ni mzuri na umejaa ujumbe wenye tafakari muhimu juu ya maisha yetu ya kila siku sambamba na hatima ya maisha yetu yajayo. Mungu asiwapungukie Wana Kirumba.

  • @robertnyangasa3758
    @robertnyangasa3758 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful

  • @charlesbabag1424
    @charlesbabag1424 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huwa natamani sana kuabudu siku moja hili kanisa Mungu awabariki sana wajoli wa baba

  • @judithisaya016
    @judithisaya016 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mnanibariki sana watu wa Baba.Mavazi,uimbaji na vyombo vinanifanya niitafakari siku ile kuu ya kumwana Yesu akitupeleka kwa Baba Mbinguni

  • @user-st5dh6xx6h
    @user-st5dh6xx6h ปีที่แล้ว +2

    KAC huu Wimbo unesogeza wengi kwa Yesu.Kutafakari uwepo wa Mungu maishani mwetu

  • @edmundrusseta7408
    @edmundrusseta7408 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kitengo cha instruments mmenibariki sana ❤

  • @naetwemyombo6041
    @naetwemyombo6041 2 หลายเดือนก่อน +1

    May u Keep on Praising God Like this forever.Be Bless u Kirumba Choir.

  • @amonidafa9665
    @amonidafa9665 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nasi tusio waamini tumebarikiwa pia ... Popote na Yesu nitakwenda

  • @vanitete2399
    @vanitete2399 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana wana mfalme

  • @nipaelmnzava5319
    @nipaelmnzava5319 ปีที่แล้ว +3

    Nitashindaje hukumuni siku ya kihama
    Niombi langu kwa Bwana niwe ngano safi.
    Mungu atusaidie kuishi maisha ya usafi na utakatifu ili tuweze kusimama mbele zake siku ya hukumu.
    Am so much touched with the song tunajifunza makubwa kutoka kwenu @KirumbaSdaChoir Mungu awabariki katika kazi kubwa mnayoifanya nyinyi ni hazina kubwa Mungu ametukuzwa tumeuhisi uwepo wake katika mioyo yetu kupitia wimbo huu.
    Tunawaombea utumishi uliotukuka tunapoendelea kumngoja Kristo Bwana wetu anayekuja hivi karibuni sana.

    • @kirumbaadventistchoirkac6823
      @kirumbaadventistchoirkac6823  ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi, barikiwa sana na kama lilivyo tamanio letu hakikisha tunakutana katika meza ya kioo pamoja

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana❤🇹🇿🇹🇿😍😍💕💕🎵🎵🙏🙏💯💯💯

  • @user-nf3eq5vv3t
    @user-nf3eq5vv3t 11 หลายเดือนก่อน +3

    Good Music is man at Kirumba Sda Church ❤❤❤

  • @mussarogers
    @mussarogers ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana na mzidi kwenda mbali zaidi. Nimebarikiwa sana na kazi hii na ikawabadilishe watu wwngine na wokovu ukapatikane kwao. Amina

  • @DaudiEmmanuel-wr2hs
    @DaudiEmmanuel-wr2hs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Muziki mzuri saana

  • @NeemaShababi-nu8dr
    @NeemaShababi-nu8dr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hadi machozi yuyo dada amejitoa kwelikweli.

  • @johnstephano6486
    @johnstephano6486 11 หลายเดือนก่อน +4

    Amen. Nice video and music.

  • @elikanaobadia7857
    @elikanaobadia7857 11 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana awabariki sana

  • @MussaLazaro-dk5vn
    @MussaLazaro-dk5vn ปีที่แล้ว +3

    Mmbarikiwe sana KAC.

  • @jafarimukama4701
    @jafarimukama4701 11 หลายเดือนก่อน +2

    Inayokuja tufanye nitakuwepo❤

  • @joshuambwambo4656
    @joshuambwambo4656 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki Sana

  • @berybenya5610
    @berybenya5610 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana

  • @johnstephano6486
    @johnstephano6486 11 หลายเดือนก่อน +2

    Imekaa vizuri sana hii.

  • @violetmulongo1636
    @violetmulongo1636 6 หลายเดือนก่อน

    I wish by Gods to attend there Camp meeting

  • @imeldapeter1304
    @imeldapeter1304 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo unanibariki sana

  • @zilperatieno5722
    @zilperatieno5722 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo umeimbwa kwa kicho Sana, barikiweni Sana Kirumba. Showers of blessing be upon you.

  • @yusuphkilinda8921
    @yusuphkilinda8921 11 หลายเดือนก่อน

    Amina sana namuona kaka Philip ktk guiter hahaha safi sana

  • @nyarkomala
    @nyarkomala ปีที่แล้ว +3

    1:45

  • @amanikayanda1359
    @amanikayanda1359 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mzid kusonga mbele

  • @kosseytz893
    @kosseytz893 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen, nimebarikiwa kupita maelezo na huu wimbo. Bwana azidi kuwabariki sana watumishi

  • @estherbernard5373
    @estherbernard5373 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo hauchoshi kusikiliza mbarikiwe mno

  • @KobaliJunior
    @KobaliJunior ปีที่แล้ว +3

    So amazing...kuna faida kuwekeza kwa muziki!!!

  • @finestford007
    @finestford007 ปีที่แล้ว +2

    your church service is higher aisee. mbarikiwe

  • @janechemweno4754
    @janechemweno4754 ปีที่แล้ว +3

    Kirumba choir be blessed,asante kwa wimbo nzuri nimebarikiwa .