- 312
- 154 955
Mzizima SDA Media
เข้าร่วมเมื่อ 10 พ.ย. 2018
GOD IS GOOD ALL THE TIME🙏🏾
IMANI POTOFU YA UMIZIMU || SOMO LA 9 || KWELI ZA BIBLIA
Je, umizimu nini?
Je, ni mambo yapi huashiria ibada ya umizimu?
Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani
Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa
Mungu akubariki
#bible #biblia #sermon #testmony

มุมมอง: 30
วีดีโอ
SABATO YA AFYA | Dr Kileng'a Grayson | MZIZIMA SDA CHURCH | SABATO 23 NOVEMBER 2024
มุมมอง 499 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SABATO YA AFYA | Dr Kileng'a Grayson | MZIZIMA SDA CHURCH | SABATO 23 NOVEMBER 2024
TWATARAJIA MJI - Mzizima SDA Choir [Official Video 4K]
มุมมอง 2.2K14 วันที่ผ่านมา
Ni wimbo uliotokana na ahadi za Mungu na hakika kwamba tunaweza kuishi bila majuto😊 tunapotazamia siku hiyo tukufu,tukijua kwamba siku moja tutakuwa naye milele🙌. Ninakukaribisha kusikiliza, kutafakari, na kuacha ujumbe huu ujaze moyo wako na hisia mpya za kusudi na imani katika Bwana wetu Yesu Kristo Music and Composition: Rasford Amos Lyrics: Rasford Amos Audio: Bjbrand studios Video: Marcko ...
WEMA WAKE WA AJABU - Mzizima SDA Choir [ official Video 4K ]
มุมมอง 2.4K28 วันที่ผ่านมา
Je, ni nani aliye mwema, bila malipo? Yule anayependa, bila kipimo? Katika ulimwengu, uliojaa vitisho, Maisha yaliyojaa njaa, dhiki bila mwisho, Yesu pekee ndiye, suluhisho, Wema wa Mungu, hufika kwa watu wote, Wema wa Mungu, haubagui mtu yeyote, Wema wake ni ulinzi, huponya, hufariji wote, Wema wake mkuu hutupa tena tumaini tele. Yesu ni mwema na mkuu, subiri, usichoke kamwe. Wema wake wa ajab...
KURUDI KWA YESU MARA YA PILI || Somo la 8 || Kweli za Biblia
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
Je, kuja kwa yesu mara ya pili kutakuwa vipi? Je, umewahi kusikia juu ya habari ya unyakuo wa siri? Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa Mungu akubariki #bible #biblia #sermon #testmony
#LIVE ||IBADA KUU||19 OKTOBA, 2024
มุมมอง 118หลายเดือนก่อน
Karibu na ungana nasi katika ibada ya Kutambua Huduma ya Mchungaji.
BWANA NI MCHUNGA - Mzizima SDA Choir Ft. Faraja Ernest (official Video 4K)
มุมมอง 7Kหลายเดือนก่อน
BWANA NI MCHUNGA - Mzizima SDA Choir Ft. Faraja Ernest (official Video 4K)
YESU MWOKOZI MPENDWA - Mzizima SDA Choir (Official Video 4K)
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
YESU MWOKOZI MPENDWA - Mzizima SDA Choir (Official Video 4K)
KUJITAMBUA KWA MWANAUME || Na Uncle Chris Buhatwa || MZIZIMA SDA CHURCH
มุมมอง 522 หลายเดือนก่อน
KUJITAMBUA KWA MWANAUME || Na Uncle Chris Buhatwa || MZIZIMA SDA CHURCH
SOMO LA 6 || MUHURI WA MUNGU || KWELI ZA BIBLIA
มุมมอง 443 หลายเดือนก่อน
SOMO LA 6 || MUHURI WA MUNGU || KWELI ZA BIBLIA
MZIZIMA FAMILY WEEKEND Na @mrsdeborahurio
มุมมอง 424 หลายเดือนก่อน
MZIZIMA FAMILY WEEKEND Na @mrsdeborahurio
WATAMBUE WANYAMA WAFAAO KWA CHAKULA || KWELI ZA BIBLIA || SOMO LA NNE
มุมมอง 1844 หลายเดือนก่อน
WATAMBUE WANYAMA WAFAAO KWA CHAKULA || KWELI ZA BIBLIA || SOMO LA NNE
Divine Harmony Wakimtukuza Mungu katika Ibada ya Juma Tano
มุมมอง 1195 หลายเดือนก่อน
Divine Harmony Wakimtukuza Mungu katika Ibada ya Juma Tano
NIGHT - LIVE PERFOMANCE || NYEGEZI SDA CHOIR || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA || 21 JUNI 2024
มุมมอง 2035 หลายเดือนก่อน
NIGHT - LIVE PERFOMANCE || NYEGEZI SDA CHOIR || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA || 21 JUNI 2024
IBADA KUU ASUBUHI || MAKAMBI MZIZIMA|| 18/06/2024
มุมมอง 1355 หลายเดือนก่อน
IBADA KUU ASUBUHI || MAKAMBI MZIZIMA|| 18/06/2024
FADHILI & FARAJA || IBADA YA NDOA TAKATIFU
มุมมอง 6346 หลายเดือนก่อน
FADHILI & FARAJA || IBADA YA NDOA TAKATIFU
UKWELI JUU YA SABATO || Na Evg Eliud Enock || Mzizima SDA
มุมมอง 2418 หลายเดือนก่อน
UKWELI JUU YA SABATO || Na Evg Eliud Enock || Mzizima SDA
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
มุมมอง 21410 หลายเดือนก่อน
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
มุมมอง 12610 หลายเดือนก่อน
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
UTUMWA WA KUCHAGUA || MUNGU ANAPOSHANGAA || JUMA MAALUMU LA UAMUSHO || SIKU YA 05 -TAREHE 02.11.2023
มุมมอง 62ปีที่แล้ว
UTUMWA WA KUCHAGUA || MUNGU ANAPOSHANGAA || JUMA MAALUMU LA UAMUSHO || SIKU YA 05 -TAREHE 02.11.2023
MUSIC EXPERIENCE WITH THE LIGHT BEARERS TZ || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023|| 14.07.2023
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
MUSIC EXPERIENCE WITH THE LIGHT BEARERS TZ || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023|| 14.07.2023
Nakuelewa baba Mungu akubàriki uzidi kutueleza iliyo kweli
Wapendwa, hubiri limekatika njiani
Mungu aendelee kuwatunza
Mbona hubiri limeishia njiani?
amen❤
Blessings...
Amina,wimbo huu umenibariki.
Nabarikiwa mno na nyimbo zenu
amina saaana
#Hatutajuta kuingia,..Amen
Mbarikiwe sana
Be blessed more abundantly
Jamani haha Mungu ametukuzwa kwa viwango vya juu na nyinyi mbarikiwe tena na tena kwa Wimbo mtamu
Waoooo nahisi kupaa vile
Mbarikiwe Sana Kwa KAZI hii kubwa
Superb
Amazing ...mzizima
Wimbo mzuri wenye viwango vya kutia moyo. Barikiweni Mzizima SDA choir.
Here for Mwl Dan lead🙌🙌🙌
Uimbaji waviwango Bwana Awabariki
Amina
Barikiweni sana
Mbarikiwe sana....
👏👏blessings 🎉
🙌
Nyimbo nzuri nawakubali sana Ila mh,,,,,,, kwaya imeingiliwa mngebaki na muonekano wenu wa zaman ingependeza saaaana baadhi ya waimbaji wanaiangusha kwaya kimuonekano,,
Mbarikiwe sana
KILA OMBI LA SUBIRA LITAPATA JAWABU IMANI YA JUU SANA HIYO BARIKIWENI KWAYA YA MZIZIMA BWANA AZIDI KUWAINUA KATIKA VIWANGO VYA KIMBINGU KWENYE HUDUMA YENU.
Sauti ya pili mbarikiwe❤
Wow! Nabarikiwa kila nionapo nyimbo zenu. Hakika ninyi ni kwaya yangu pendwa. Mungu awabariki sana!
Amen
Glory to God
Aisee Mbarikiwe sana.
Amen
Amen
Mbarikiwe sana watu wa Mungu
Amen 🙏
Amen 🙏 mbarikiwe sana wajoli
Hiyo ending ni tamu
Aminaaaa
Mzizima be blessed for Sweet song
Blessings 🙏🏾
Wema wake wa Ajabu Nashindwa kuelewa😊❤🎉 ...Be blessed indeed🙏✊
Kazi nzuri sana.. mbarikiwe Mzzma Choir
Mwenyezi Mungu azidi kuwainua🙏
Ameni Jesus forever. 🙏🙏✅
Glory to God
Amen
Amen
Hongereni kwa huduma yenu njema, mbarikiwe sana kwaya ya Mzizima.
amen
Amina Mbarikiwe sana