WEMA WAKE WA AJABU - Mzizima SDA Choir [ official Video 4K ]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Je, ni nani aliye mwema, bila malipo?
Yule anayependa, bila kipimo?
Katika ulimwengu, uliojaa vitisho,
Maisha yaliyojaa njaa, dhiki bila mwisho,
Yesu pekee ndiye, suluhisho,
Wema wa Mungu, hufika kwa watu wote,
Wema wa Mungu, haubagui mtu yeyote,
Wema wake ni ulinzi, huponya, hufariji wote,
Wema wake mkuu hutupa tena tumaini tele.
Yesu ni mwema na mkuu, subiri, usichoke kamwe.
Wema wake wa ajabu, ni nani awezaye kueleza?
Wema wake ni wa ajabu, natamani kuujua.
Composer (Lyrics&Arrangement): Rasford Amos
Audio: Bjbrand studios
Video: Marcko zacky
Instrumentation: Joshua Kulwa.
Lyrics
Wema wake wa ajabu, nashindwa kuelewa.
Agawavyo baraka kwa wema na waovu.
Wema wake wa ajabu, natamani kujua.
Wagonjwa wanapomwita, mjane angonjapo.
Anavyowasikia na kuwategemeza.
Wema wake wa ajabu natamani kujua.
Maombi ya wamwitao, ni Bwana asikia.
Nawezaje elewa jinsi ayajibuvyo.
Kila ombi la subira litapata jawabu.
©Mzizima SDA Choir 2024
#hymns #sdahymns #christianhymns #sdachurch
KILA OMBI LA SUBIRA LITAPATA JAWABU IMANI YA JUU SANA HIYO BARIKIWENI KWAYA YA MZIZIMA BWANA AZIDI KUWAINUA KATIKA VIWANGO VYA KIMBINGU KWENYE HUDUMA YENU.
Wow! Nabarikiwa kila nionapo nyimbo zenu. Hakika ninyi ni kwaya yangu pendwa. Mungu awabariki sana!
Amen
Mbarikiwe Mzizima SDA Choir
Ameeen
Mbarikiwe sana watu wa Mungu
Glory to God
Hongereni kwa huduma yenu njema, mbarikiwe sana kwaya ya Mzizima.
Amina Mbarikiwe sana
Amen 🙏 mbarikiwe sana wajoli
wimbo mzuri..barikiwa
Kazi nzuri sana.. mbarikiwe Mzzma Choir
Wema wake wa Ajabu Nashindwa kuelewa😊❤🎉 ...Be blessed indeed🙏✊
Mwenyezi Mungu azidi kuwainua🙏
Aminaaaa
Mzizima be blessed for Sweet song
Aisee Mbarikiwe sana.
Blessings 🙏🏾
Sauti ya pili mbarikiwe❤
Hiyo ending ni tamu
Mbarikiwe sana
amen
Amen
Glory to God
Amen
Amen
Amen