Nyimbo nzuri nawakubali sana Ila mh,,,,,,, kwaya imeingiliwa mngebaki na muonekano wenu wa zaman ingependeza saaaana baadhi ya waimbaji wanaiangusha kwaya kimuonekano,,
Wimbo mzuri majoho safi sana. Ushauri: Mkuu wa mavazi na mkuu Mambo ya Kiroho awasaidie baadhi ya waimnaji wanamwonekano kichwani usiomtukuza Mungu kadri tunavyoona haya Mambo ni kawaida yanapunguza kwa kasi kuaminika kwetu na watu wanaotutazama. Bwana awabariki.
Mimi sijui Mbinguni itakuwaje. Kama duniani tunaimba vizuri hivi, Mbinguni itakuwaje? Tumuombe Mungu wote tuwepo pale. Pongezi nyingi sana kwenu kwaya yangu pendwa sana 🙏🏾
Hongereni Sana Mungu apewe sifa Mimi binafsi sitaki nyimbo za midundo.ziko kasoro ndogo kama usukaji Kwa wenzetu wazungu ni kawaida lakini naamini kwamba ninyi ni wanamtengenezo wakweli barikiwa Sana.
Wimbo mzuri hongereni sana,lkn baadhi yenu upande wa kichwani hpna si sawa,kama mtakanyaga neno la Mungu hata liwe dogo kias gani musitegemee kubaki salama,E White,mlima wa baraka uk 72,barikiweni mno
Ameni Jesus forever. 🙏🙏✅
Amina,wimbo huu umenibariki.
Nyimbo nzuri nawakubali sana Ila mh,,,,,,, kwaya imeingiliwa mngebaki na muonekano wenu wa zaman ingependeza saaaana baadhi ya waimbaji wanaiangusha kwaya kimuonekano,,
Wimbo mzuri majoho safi sana.
Ushauri: Mkuu wa mavazi na mkuu Mambo ya Kiroho awasaidie baadhi ya waimnaji wanamwonekano kichwani usiomtukuza Mungu kadri tunavyoona haya Mambo ni kawaida yanapunguza kwa kasi kuaminika kwetu na watu wanaotutazama.
Bwana awabariki.
Amen. Tumelichukua na tutalifanyia kazi Mtumishi. Mungu akubariki sana kwa Ushauri bora sana.
Mimi sijui Mbinguni itakuwaje. Kama duniani tunaimba vizuri hivi, Mbinguni itakuwaje? Tumuombe Mungu wote tuwepo pale. Pongezi nyingi sana kwenu kwaya yangu pendwa sana 🙏🏾
Amen Mwalimu wetu. Mungu akubariki sana🙏
Hongereni Sana Mungu apewe sifa Mimi binafsi sitaki nyimbo za midundo.ziko kasoro ndogo kama usukaji Kwa wenzetu wazungu ni kawaida lakini naamini kwamba ninyi ni wanamtengenezo wakweli barikiwa Sana.
Barikiweni wimbo mzuri
Wimbo mzuri hongereni sana,lkn baadhi yenu upande wa kichwani hpna si sawa,kama mtakanyaga neno la Mungu hata liwe dogo kias gani musitegemee kubaki salama,E White,mlima wa baraka uk 72,barikiweni mno
Amen. Ahsante kwa ushauri na Kutukumbusha hilo. Tutalifanyia kazi. Endelea kutuombea na Bwana akubariki.
Mkono wa Mang'ombe kwenye kinanda ni hatari.Best item😢
Amen Amen Amen
Mbarikiwe sana kwaya yetu pendwa, Mzizima Sda Choir
🎉 asanteee sana kwa harmony tamu
Amina Sana ❤
Safi sana mzizima. Barikiweni
amen 🙏🙏
Amina
❤❤
Proudly speaking
I love this singing style
Glory to God
Mzizima choir mubarikiwe sana❤
Amen
Amen👏
Haleluya
Glory to God❤
This is a Cake, Nice work
Glory to God
Mrs fadhili katisha sanaaaaaa
👏🏾👏🏾👏🏾 nice piece
Nice ❤
Amen 🙏 Bwana awabariki sana
Amen, amen, amen❤
Mbarikiwe
Bwana awabariki sana
May LORD bless you
Mbarikiwe sana
Waoooh... Wimbo umetulia
Nice work, glory to God.
Amen 🙏
Wimbo mzuri sana mbarikiwe
☺Amina
Amina Sana👏🏽
Aamen
Hallelujah
Wimbo Mtamu ajabu
Amen
Amen 🙌❤
Amen🫶
Glory to God
Amina
Amen
Mbarikiwe sana