🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • 🔴#LIVE: RAIS SAMIA ATEMBELEA KABURI LA HAYATI MAGUFULI NA KUWEKA MASHADA...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 69

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole kwa Wananchi wote
    Wengineo pamojana
    Marafiki wake.
    Pole kubwa kwa familia.
    Yaani ni kama..kumbe
    Imeshakuwa mwaka.
    Bado tuna uchungu.
    Pumzika ndugu yetu na rafiki
    Yetu.
    Amina.

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaani ni kama jana.
    Kumbe imeshakuwa
    Mwaka.
    Pumzika kwa amani.
    Amina.

  • @augustintumbwe8809
    @augustintumbwe8809 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu azidi kumu weka fasi nzuri na viote aliyo fanya hatuta kusahau afrika zima na rdcongo woote ni wewe tuuu amen.

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 ปีที่แล้ว +14

    ⭐MPENDWA ⭐RAIS ⭐MAGUFULI⭐ MWENYEZI⭐ MUNGU⭐ BADO ANAIANDAA VENGE YAKO KWA WALIOKUUWA KABLA YA WAKATI WAKO!! TUNAKUPENA TUNA KUKUMBUKA SIKU ZOTE DAIMA❤🙏

    • @nyamwekomatoke9951
      @nyamwekomatoke9951 2 ปีที่แล้ว +1

      Auwaye Kwa upanga atauwawa Kwa upanga
      Malipo ni Hapa Hapa

    • @masaudaniel7977
      @masaudaniel7977 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa watalipwa tu hakika ...Wote pua zimetazama chini hakuna atayeishi milele

  • @annelembo6518
    @annelembo6518 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu iweke pema roho ya kiongozi wetu shupavu

  • @neemarenaida6667
    @neemarenaida6667 2 ปีที่แล้ว +9

    JPM alikua Baba tulieshuhudia baraka za mvua ktk uongozi wake, na Leo hii baada tu ya Misa Takatifu mvua kubwa tumeshuhudia baada yakuteseka na ukame .Asante Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake

  • @irenenechesa2975
    @irenenechesa2975 2 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana people of Tanzania mungu let his rest in peace🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว +7

    Serikali imeshindwa kumfanyia misa anafanyiwa na mkewe wao wamealikwa kama wageni wakati marehemu kafa kabla muda wake na ni tukio la Kwanza la aina yake. Ama kweli 😭😭😭😭

    • @ibel4lf
      @ibel4lf 2 ปีที่แล้ว

      Aliandaa mke ila sapoti kubwa ya kifedha atakuwa alipewa na serikali

  • @tumainichirwa1945
    @tumainichirwa1945 2 ปีที่แล้ว +4

    Rest in peace baba.bado tunalia

  • @neemamtisi791
    @neemamtisi791 2 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P magufuli

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว +2

    Yote mema lala shujaaa, anakuja mwingine Mungu katuandalia hatotuacha kamwe, mama naye anachapa Kazi kwa zamu yake barikiwa mama kuwaongoza wtu wenye midevu ni Kazi mno unajitahidi Sana Ila usisahau kabisa kufuata nyayo za shujaaa angalau hata tano tu zitatutosha moja ikiwa makato yanaumiza jamani. Halafu usitusahau wajasiriamali wadogo tuite siku moja tukupe yetu ya moyo Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa

  • @harriettatu7155
    @harriettatu7155 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ampe pumziko la Amani (kenya)

  • @zubedaally7306
    @zubedaally7306 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu muweza wayote jamaani magu tutamkumbuka wanyonge miaka yote atosaulika kabisa aitokei kabisa tz kupata tena lais kama yule

  • @miriammwakyusa5225
    @miriammwakyusa5225 2 ปีที่แล้ว +3

    Pumzika kwa Amani Baba

  • @maryrubunga6504
    @maryrubunga6504 2 ปีที่แล้ว +4

    Apumzike kwa amani

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 ปีที่แล้ว

    Thanks mama Samia wa Suluhu kushiriki ktk kumbukizi hii. tunakupenda mno mama yetu. Mungu na azidi kukujalia heri, afya, upendo na hekma Yake. tunashukuru kwa kazi unayofanya kwetu sie Tanzania

  • @danielderick3237
    @danielderick3237 2 ปีที่แล้ว +3

    Inauma sana all in all alale mahal pem

  • @jullietsasam8142
    @jullietsasam8142 2 ปีที่แล้ว +6

    Daima tutakukumbuka mzarendowetu

  • @vionahsikanga2209
    @vionahsikanga2209 2 ปีที่แล้ว +2

    Just for consultations kwani huyu raisi Magufuli alizikwa apa ama ni ile ameletwa leo for remembering

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi kwenye haya madaftari huwa kinaandikwaga kitu gani kwa anayefahamu anifahamishe. Maana naona mheshimiwa Rais anaaandika vitu vingi mi nilijuaga ni jina la mhudhuriaji na mchango 🙆

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 ปีที่แล้ว

      Anaandika wimbo wa taifa

    • @amosimariba9820
      @amosimariba9820 2 ปีที่แล้ว

      @@ciarmnyone738 nyie wabongo noma badala ya kumwelemisha mtu kinachoandikwa, ety unamwambia wimbo wa taifa

  • @charleskingi1418
    @charleskingi1418 2 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P PRESIDENT MAGUFULI 😢😢😢

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwani na waislamu dini yao inawaruhusu kutoa heshma kama hivyo kwa aliyekufa?

    • @saidalmarjibi6112
      @saidalmarjibi6112 2 ปีที่แล้ว

      Haidhuru

    • @ashirafali1117
      @ashirafali1117 2 ปีที่แล้ว

      Hairuhusi

    • @saidalmarjibi6112
      @saidalmarjibi6112 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakwambia? Msifanye dini ngumu…. Islam ni dini ya haki na nyepesi lakini baadhi ya viongozi wanaifanya impossible religion to follow-- haram aleikum

    • @priscamedadi1108
      @priscamedadi1108 2 ปีที่แล้ว

      Abbas. Ukiwa kiongozi. Inakubid. Ufanye jambo bila kubagua din kulingana. Na wazifa ulio nao mfano. Islamu. Nikosa kubwa kutositli. Maremu tumezoea. Siku 2 ila. Ukiwa kiongozi utahifhaziwa. Mpaka taratibu za kiserikak

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 2 ปีที่แล้ว +9

    Ipo siku huyu mama na WAHUNI watajaribu kukimbilia mapango na mapango nayo yatawakimbia
    Siku zinakuja

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

      Yahni

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +2

      Hamna shukrani... Ningekuwa ninyi, ningemshukuru huyu Mama na Serikali yake, maana wamemuenzi Hayati na kumheshimisha Janeth Magufuli... Haikuwa lazima... Lakini wao wamefanya... Mama ameamua... Asante Mama Rais Samia, hongera kwa wema wako na utu wako... Rip JPM

    • @gamechangeryoutubeofficial7928
      @gamechangeryoutubeofficial7928 2 ปีที่แล้ว +6

      Ingekuwa si lazima kama angekuwa amemaliza muda wake wa urais akafariki kama vile Mkapa. Lakn ni jambo la kushangaza Rais wa nchi kufariki ghafla bila taarifa zozote za ugonjwa wake hapo kabla. Jambo hili litabaki kuwa historia katika nchi hii, walifurahia kifo hiki watakufa na wala hawatakumbukwa kwa lolote na taifa hili, mali wanazochuma sasa wala hazitawasaidia chochote n furaha ya muda mfupi tu

    • @gracemwaipopo3209
      @gracemwaipopo3209 2 ปีที่แล้ว +2

      @@gamechangeryoutubeofficial7928 naam,umesema vema

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 umesikia hotuba ya Mama Janet? Kwa nini yeye ndo afanye kumbukumbu ya kifo cha mume wake badala ya huyo mama ako? Sasa tumshukuru Kwa kipi? Well labda kwa kupanda ndege kwenda kuhudhulia hiyo service! Shame on all, wameshindwa kuandaa misa ya mwaka mmoja wa raisi WA Kwanza kufa akiwa madarakani! Seriously

  • @kabulajoseph2057
    @kabulajoseph2057 2 ปีที่แล้ว +1

    Anatafuta nini hapo kaburini msaliti mkubwa hyo

  • @jeshigidawejr457
    @jeshigidawejr457 2 ปีที่แล้ว

    Poleni maskini wenzangu

  • @lavielavie7127
    @lavielavie7127 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole

    • @neemamtisi791
      @neemamtisi791 2 ปีที่แล้ว

      Tulikupenda kipenzi cha wanyonge ,hatuna jinsi mungu kakupenda zaidi

  • @lucyprimi1409
    @lucyprimi1409 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii nchii bwana,,,

  • @harriettatu7155
    @harriettatu7155 2 ปีที่แล้ว

    Nchi ya maendeleo hongereni

  • @alimohd8427
    @alimohd8427 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukishakua mwanasiasa huna dini

  • @fadhilsadick4137
    @fadhilsadick4137 2 ปีที่แล้ว

    Nawaona mnavyo tupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ilihali muendelee kutuumiza mungu anawaona

  • @katemitrampo5024
    @katemitrampo5024 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Aman jpm, Wala atuwez kukusahau baba yetu mzalendo wa kwel, mchapakaz na rais wa wanyonge, hasa kwa magumu tunayoyapitia kwa kipind hichi Tena Ni ndan ya mwaka 1 tu, mpaka tukamalize huu uongoz Cha Moto tutakiona, tuombee huko uliko mpendwa wetu.

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว

    Kwamadaiyenu mmemkomoa hayati jpm lakini mmejikomoa kwaulohowafeza zenyedamyawatz maskni

  • @salamaally563
    @salamaally563 2 ปีที่แล้ว

    R i p

  • @jebace
    @jebace 2 ปีที่แล้ว

    Muwaji

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 2 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/dP3XDostMCY/w-d-xo.html
    *HAKIKA ITAKUTOA MACHOZI DUH KUMBE RAISI MAGUFULI AKUTAKA MACHINGA WAFUKUZWE🙏*
    RAISI MAGUFULI ALIZUNGUMZA NA MAMA SAMIA IKULU DAR