JINSI YA KUOMBA NDUGU YAKO ALIYEKUFA ANAPOKUTOKEA KWENYE NDOTO | Prayer Guide | MWL. ISAAC JAVAN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Umewahi kuota ndugu yako aliyekufa anakutokea kwenye ndoto? Ukiwa kwenye ndoto unamuona anaugua, halafu anakufa tena? Hilo ni jambo la kulifuatilia na kulishughulikia kwa maombi kwa sababu linampa shetani nafasi ya kukushambulia kwenye afya yako na uzima wako.
Katika somo hili, utaenda kupata maelekezo ya kitu cha kufanya ikiwa umekuwa ukisumbuliwa na ndoto za namna hiyo mara kwa mara. Vile vile, utapata muongozo wa maombi wa kukusaidia kujinasua kutoka kwenye madhara ya kiroho yanayotokana na ndoto za namna hiyo.
Mungu Roho Mtakatifu akufungue na kukuweka huru siku ya leo, kwa utukufu wa jina la YESU.
Mungu akubariki na kukutunza. Amen!
Isaac Javan | +255 745 76 45 72 | WhatsApp
Mimi niliota shemeji yagu Aliyekufa nimemuona Ananipa hela 2:47
Amen nimefungulia na Roho ya mauti ya kansa
Amen! nimepokea ushindi.
Amina Amina
Asante mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI
Barikiwa❤
Amen Amen Mungu Akutunze Mwal kwa Mafundisho yanayotuongoza kwenye UZIMA BARIKIWA MWALIMU
Amen mwanangu, YESU akubariki na akushindie daima katika yote
Aimeni ubarikiwe pia
God bless you without you I would have die long time but sence I know you I know how to deal with witches thank god and receive more blessings I have nothing to give you but I will always pray for you🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen, God is good all the time. May the blood of JESUS give you victory. Be blessed with everlasting blessings
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kunifungua
Amen mwanangu, YESU akupe amani na azidi kukushindia na kukuweka huru. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Ameen Ameen baba asanteee sana kwahaya maombi barkiwa
Amen mwanangu ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Asante pastor mm Dadangu hunitokea mara kwa mara ,jana alikuka kama anaumwa na kichwa akaniomba dawa,ingine alikuja kama amekufa nalia na alisha kufa nikumbuke kwa maombi marehem anaitwa Mary Anyango🙏🏼
Amen mwanangu, pole kwa yote na kwa ndoto unazopata. Damu ya YESU ikufungue na kukupa ushindi kwenye hilo eneo. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Thanks alot servant of God may God grant you long life
Amen thank you, God bless you too with everlasting blessings
Asante kwa maombi haya. Mungu akubariki.
Amen mwanangu YESU azidi kukuonekania na kukushindia daima. Ubarikiwe sana
Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@@IsaacJavan Amen Mtumishi
Ameeen 🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameeeeeeen
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Ameen 🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Nikweri
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu, una madhabahu ambae mtu aeza tuma sadaka au fungu? Tafadhali naomba namba. Asante.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele yote. Kama ungependa kutoa sadaka, unaweza kutumia namba +255 745 76 45 72 (Isaac Javan). Mungu akubariki na kukutunza
Mtumishi wa Mungu, una namba ya kutuma sadaka kwa madhabahu? Ningependa kutuma sadaka.
Amen Mungu akubariki. Kama ungependa kutuma sadaka, namba ya sadaka ni +255 745 76 45 72 (Isaac Javan). Mungu akubariki na akutane na haja za moyo wako
😢😢Niliwahi ota mamaangu aliye kufa miaka 20 iliyo pita anaumwa tena alafu akafariki tena
Pole mwanangu, YESU akupe amani na akuponye. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Waaa ndugu yangu aliugua akafa nkiwa ugaibuni lakin klamara namuona akiniomba maji mara ingine tunakula pamoja na family 😢naugua ad leo hata pik yake siez iangalia. Na kuhusu kifo chake niliota katika ndoto vle kulienda mpaka mwisho mpaka ugonjwa wake.naomba maombi nitoke katika vifungo vya family
Pole sana kwa ndoto hizo, lakini usiogope kwa sababu YESU anaweza kukushindia katika hilo. Fanya maombi haya kwenye video hii, yatakusaidia. Nami nakuombea YESU akupe ushindi mkuu
Thanks alot servant of God's may God give you long life full of joy and happiness Amen
Amen God bless you too and meet you at the point of your need 🙏
Amen Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen 🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Amen Amen
Amen Amen hallelujah
Amen
Amen