Yesu Asante kwa kweli hii,mlinde na kumficha damuni mwako mtumishi wako Isaac Jovan,mimi nahitaji maombi nisimame imara katika wokovu,na kuachana na Babeli mkuu,Mungu nisaidie !
Eee kweli Mungu ni wa ajabu hata akakufunulia haya yote yaliojificha amekupa macho ya Rohoni ya kuona uharibifu utakaoangamiza dunia eee YESU tuokoe,maranatha
Mungu atusaidie.Upande wa mama zangu wote ni wakatoriki.cha kushangaza ndani ya kanisa ndugu wa baba mmoja 5 walifaliki na mpaka leo hii wajukuu 3 na baba anasali hata sasa.Nimevunja hizo madhabahu za baberi na hazito nifuatillia tena kwa jina la Yesu.amen.Mwalim Balikiwa Na Mung
Tangu nimezaliwa nimeona Mengi nimesikia Mengi, sijawahi kupata SIRI KAMA HIZI MAHALI KOKOTE, Barikiwa sana mtumishi.... Nimezingatia sana kuanzia dk ya 1:39.00 hakika nimejua sasa 🙏🙏🙏❤️😥😭
Nimekua na uwoga saana, moyo wangu ukatetemeka maana nimekua nikifanya dhambi kwa kutojua. Thank you so much man of God, your prayers has helped me alot may our Lord help you. 🙏🙏
Ameen baba barkiwa kwa ujumbe neema ya Mungu itusaidie kuelewa hili maana wengi wetu hatujui tulichokuwa tunakiabudu 😭Mungu utusamehe na ukumbuke nafamilia zetu zipate hii neema yakuijua kweli
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu na kukutunza asante kwa kutenga mda wako kushare nasi haya mafunio mimi tangia nikiwa mdogo hii krismas nilikuwa ninashuku maana Yesu Kristo alipokuwa duniani hakuwahi sherehekea birthday yake na hakuwahi tuagiza tusherehekee kitu alisema tu ni meza ya Bwana tukiuliza wachungaji wanakwepa swali hili kwa kusema eti ooh sisi hatufanyi kama hao hakika dhambi ni dhambi hakuna sugar coating mimi sisherehekei tena krismas wala Easter pia Sunday nimehama nimehama nimehama kabisa eeh Mungu unisamehe maana nimekuwa nikiabudu nisichokijua sasa nimejua sawasawa na neno lako katika Yohana 8:32
Amen Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Hakika Mungu ni mwaminifu sana kutupa ujumbe huu muhimu wa nyakati hizi za mwisho. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako.
Nipo hapa naendelea kumshangaa Mungu kwa haya mafunuo Ee Mungu hujawah kukubal tuangamie, umetufundisha kwa lugha ya kawaida sana kupitia mtumishi wako, usituondolee Roho wa Mtakatifu tusaidie kusimama imara, roho i radhi ila miili yetu ni dhaifu tunakuitaj Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu huu ni Roho wa Mungu anatumia mwili wako ili watu wake watupu waache maovu, aliye na sikio na asikie neno Roho inaambia kanisa
Usiogope mwanangu. Ni kweli ni ujumbe mgumu. Lakini kitu cha kufanya ni kumuamini YESU na kuliamini neno lake. YESU akupe amani, na ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Hallelujah hallelujah praise God 🙏 teacher this is terrible mwalimu Mungu akulinde sana na akuongoze, akubariki Asante sana kwa mafundisho hakika Neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili Mungu atusaidie sana kuelewa somo hili barikiwa sana mwalimu
Amen 🙏 yahii vedeo au huu ujumbe nimeirudia mara mbili yeyote alisikia huu ujumbe hakika mungu yuampenda na anataka abaadailike,kwa maana huyu ni mungu anaongea na sisi amemtumia mtumishi wake.🙏🙏eee mungu tusaidie maana bila wewe yesu hatuwezi zidi kumtumia mtumishi wako na kumlinda in Jesus name.🙏🙏
Baba yangu wa Kiroho nimeogopa sana baba na kutetemeka sana lakini Namshukuru Mungu amekufungua na kukutuma ili utufundishe na kutueleza hayo Mungu atusaidie kukaakaribu na Mungu ili Tuishi Utakatifu Mungu atusaidie na Mungu akulinde Akutunze na kukubariki kwakujitolea kutusaidia Kutufundisha Amen
Eeeeh Mungu wangu usiniache ili nisije nikaangamia siku ya mwisho Yesu atakapokuja kunyakuwa kanisa naomba nikaeze kuwa pamoja naye pamo na familia yangu eeeeh Yesu mwokozi wa maisha yetu usituache katika maisha yetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Tuzidi kuomba na kudumu ndani ya neno. Mungu awabariki pia kwa huduma yenu njema ya kuwafikia watu kwa machapisho
Mungu akubariki mtumishi ujumbe mzito sana wenye kuponya roho za watu. Tunakuombea, si kila mtu ataupenda huu ujumbe. Hata darasani kuna wanafunzi ambao hata uwafundishaje hawaelewi. Hata Yesu alikuwa anaongea ukweli lakini bado kulikuwa na watu waliomkataa. Songa mbele mtumishi hakika kwa ujumbe huu uliotufundisha watakaosikia wataokoa nafsi zao. Mimi binafsi nimejifunza mengi halafu umeenda deep sana na umetumia lugha nyepesi mno. Barikiwa sana baba na ulindwe sna
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote. Hakika ni siku za mwisho na BWANA YESU atusaidie sana. Asante sana kwa maombi. YESU akukumbuke kwenye mahitaji yako
Shukrani sana kwazi ya Bwana yesu krist ,umejirepuwa kwajiri yanafsi na mioyo yetu nakutufanya tuwe tayari kwa kurundi kwayesu krist,Mungu akupe wakati nzuri kutupatia mafundisho mengine
Mimi ni meshanga na picha ya yesu na mariamu majabu sana mungu vunguwa watu macho mana wengi wanaenda hell kwa sababu ya kukosa marifaa mtumishi mungu amekutuma kutufunguwa macho
@@PatrickMathias-cs9qc Pole sana kwa changamoto hiyo. Nakushauri, unapokuwa kwenye maombi yako, waombee kwa kutaja majina yao. Unapowaombea, ombea akili zao na macho yao yafumbuke ili wapate kuijua kweli.
Imefikia hatua sasa kila nikikaa peke yangu nasikia sauti Yesu anarudi upesi na nimeshaota mara 3 kuhusu unyakuo Mungu atusaidie tusikose kwenda kwa baba wana wa Mungu
Jesus Christ,Mungu tusaidie Kila Mtu asikilize na atoke kwenye madhabahu ya mungu wa babeli,Yesu tusaidie tupate sehemu sahihi ya kukuabudu MUNGU Mtakatifu na uliye hai, Tusaidie kuingia ktk njia nyembamba ya kwenda uzimani,ee Yesu turehemu watoe wote uliokusudia kuwatoa
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Umeongea ukweli mtupu. Hata Yeremia 10:1-5 Mungu ametuonya tusisherekee Christmas. Mimi nilikuwa nimepotea kupigia magoti sanamu za huyo Maria nikiamini ni mama wa Yesu. Nimelia sana kwa ujinga nilioufanya. YESU NISAMEHE😭😭😭😭
@@IsaacJavan Amen mtumishi wa Mungu. Endelea kutufumbua macho. Na kuhusu Mwaka mpya pia nayo ni sikukuu ya shetani anaitwa Janus God, Mungu wa Catholic. Mungu akutunze
Nashukuru Mungu kwa kuwaonua watu na kuwapa vipaji ili kutujuza ukweli.ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
Amen asante kwa kunitamkia baraka. Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele yote
Kwaukeli nafurahi sana, tena na mshukuru MUNGU Kwa kunifunulia unabii huu kupitiya mtumishi wake.Naupenda unabii sana.Mungu asifiwe, Mungu akubariki
Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana na MUNGU aliye Juu, nimejua siri nzito za kushangaza Yesu Kristo nisamehe kwa uovu wangu wote 🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Ee MUNGU utusaidie,utupe hekima ya itokayo kwako🤲🤲🤲🤲🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu akupe maisha marefu ili watu wajue kweli ya mungu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Yesu Asante kwa kweli hii,mlinde na kumficha damuni mwako mtumishi wako Isaac Jovan,mimi nahitaji maombi nisimame imara katika wokovu,na kuachana na Babeli mkuu,Mungu nisaidie !
Amen Mtumishi wa Mungu Nina Maswali Mengi yakuuliza Naweza Kupata Mawasiliano yako Tafadhali ili kuujua Ukweli Tuliofichwa
Eee kweli Mungu ni wa ajabu hata akakufunulia haya yote yaliojificha amekupa macho ya Rohoni ya kuona uharibifu utakaoangamiza dunia eee YESU tuokoe,maranatha
Amen mwanangu, ni kweli Mungu atusaidie sana. Mungu anatupenda na hataki tuangamie. Ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu atusaidie tupate ushindi atuongesee Imani ❤❤❤❤
Mungu atusaidie.Upande wa mama zangu wote ni wakatoriki.cha kushangaza ndani ya kanisa ndugu wa baba mmoja 5 walifaliki na mpaka leo hii wajukuu 3 na baba anasali hata sasa.Nimevunja hizo madhabahu za baberi na hazito nifuatillia tena kwa jina la Yesu.amen.Mwalim Balikiwa Na Mung
Amen Mungu akubariki sana. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako
Amen
Amen
😊😊😊
Tangu nimezaliwa nimeona Mengi nimesikia Mengi, sijawahi kupata SIRI KAMA HIZI MAHALI KOKOTE, Barikiwa sana mtumishi.... Nimezingatia sana kuanzia dk ya 1:39.00 hakika nimejua sasa 🙏🙏🙏❤️😥😭
Amen Mungu azidi kukubariki kwa baraka za milele yote. Amani ya YESU iwe ndani yako
Nimekua na uwoga saana, moyo wangu ukatetemeka maana nimekua nikifanya dhambi kwa kutojua. Thank you so much man of God, your prayers has helped me alot may our Lord help you. 🙏🙏
Amen mwanangu, usiogope. Amani ya YESU iwe ndani yako. Mungu akubariki sana na kukutunza milele yote
God give you strength be good missionary nakuombea
@@drkefa Mungu akubariki sana. Asante kwa kunitia moyo na kuniombea. Ubarikiwe kwa baraka za milele
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nazid kufatlia
Amen ubarikiwe kwa baraka za milele yote
Ameen baba barkiwa kwa ujumbe neema ya Mungu itusaidie kuelewa hili maana wengi wetu hatujui tulichokuwa tunakiabudu 😭Mungu utusamehe na ukumbuke nafamilia zetu zipate hii neema yakuijua kweli
Amen mwanangu, Mungu atusaidie sana na azidi kutuongoza katika neno lake ili tupate kupona. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu na kukutunza asante kwa kutenga mda wako kushare nasi haya mafunio mimi tangia nikiwa mdogo hii krismas nilikuwa ninashuku maana Yesu Kristo alipokuwa duniani hakuwahi sherehekea birthday yake na hakuwahi tuagiza tusherehekee kitu alisema tu ni meza ya Bwana tukiuliza wachungaji wanakwepa swali hili kwa kusema eti ooh sisi hatufanyi kama hao hakika dhambi ni dhambi hakuna sugar coating mimi sisherehekei tena krismas wala Easter pia Sunday nimehama nimehama nimehama kabisa eeh Mungu unisamehe maana nimekuwa nikiabudu nisichokijua sasa nimejua sawasawa na neno lako katika Yohana 8:32
Amen Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Hakika Mungu ni mwaminifu sana kutupa ujumbe huu muhimu wa nyakati hizi za mwisho. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako.
@@IsaacJavan Amen asante
Nipo hapa naendelea kumshangaa Mungu kwa haya mafunuo Ee Mungu hujawah kukubal tuangamie, umetufundisha kwa lugha ya kawaida sana kupitia mtumishi wako, usituondolee Roho wa Mtakatifu tusaidie kusimama imara, roho i radhi ila miili yetu ni dhaifu tunakuitaj Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Hakika Mungu hatakubali tuangamie. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Ubarikiwe Sanaa masomo yako yamenibadilisha sana,, now nimeokokaa upyaa u abarikiwe sanaaa
Amen Mungu akubariki nawe pia. YESU akutunze na kukulinda daima
Mungu akubariki sana nimeelewa mno I'm
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu huu ni Roho wa Mungu anatumia mwili wako ili watu wake watupu waache maovu, aliye na sikio na asikie neno Roho inaambia kanisa
Amen Amen Hallelujah
Baba yangu wa kiroho MUNGU AKUBARIKI SANA...
naomba kuelimishwa kuhusu uisilamu.
Mungu akubariki sana. Nitakuelimisha kuhusu habari za YESU, endelea kufuatilia vipindi
Amen
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Asante Mungu.clip hii nimeepuka kuisikiliza lakini leo nimethubutu kumbe ujumbe wake ni muhimu ajabu.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Mungu akulinde roho na mwili wako kwa somo hili
Wanafunzi walimuuliza Yesu Tufanye je
Nimeogopa sana
Usiogope mwanangu. Ni kweli ni ujumbe mgumu. Lakini kitu cha kufanya ni kumuamini YESU na kuliamini neno lake. YESU akupe amani, na ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Hallelujah hallelujah praise God 🙏 teacher this is terrible mwalimu Mungu akulinde sana na akuongoze, akubariki Asante sana kwa mafundisho hakika Neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili Mungu atusaidie sana kuelewa somo hili barikiwa sana mwalimu
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. Ni kweli YESU atusaidie sana, tuzidi kudumu ndani yake. Ubarikiwe sana
Mungu wetu wa mbinguni akuzidishiye sana mtumishi.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Hallelujah asifiwe Yesu Mutumishi wa MUNGU God bless you
Amen 🙏 yahii vedeo au huu ujumbe nimeirudia mara mbili yeyote alisikia huu ujumbe hakika mungu yuampenda na anataka abaadailike,kwa maana huyu ni mungu anaongea na sisi amemtumia mtumishi wake.🙏🙏eee mungu tusaidie maana bila wewe yesu hatuwezi zidi kumtumia mtumishi wako na kumlinda in Jesus name.🙏🙏
Amen Mungu akubariki sana, nashukuru kwa kunitamkia baraka na kuniombea. YESU akutunze na kukulinda siku zote.
Barikiwa sana baba mwenye sikio la kusikia atasikia na kuokoka🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Waaaah,Ufunuo huu ni mkubwa mno,hizi ni Siri ni Mungu mwenye kupitia Mwalimu
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Ubarikiwe mtumishi kwa kutufunulia hizi Siri
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante sana kwa kutufumbua macho MUNGU akubariki sana na atusaidie sana 🙏🏼 🙏🏼🙏🏼
Amen mtumishi wa MUNGU
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu turehemu,tupo nyakati hatari sanaa. .. Mungu akubariki sana utadaiwa kwa kweli hii.. AMEN
Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU kwa baraka za milele
Barikiwa sana MTU wa MUNGU
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@@IsaacJavan i
Amen iwe hivyo 🙏
Nimejifunza sana na imenifanya nitafute episode zako zingine
Ubarikiwe 🎉
Amen zidi kubarikiwa kwa baraka za milele
Yesu KRISTO akubariki sana Mtumishi wake
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote
Mungu awenawe sikuzote amina
Mungu Akubariki Mtumishi WaMungu Tunajifunzs Ili Tuokolewe.Tukskutane Na Baba Yetu Na Yesu Wetu Na Wote Waliokufa Kwa Mtakatifu.
Amen Amen asante kwa kunibariki nami nakutakia baraka za milele yote ziambatane na wewe daima. YESU akutunze na kukulinda daima
Hii ni dhamani kubwa. Niyakutunzwa na kuifadhiwa na kusambaa duniani kote kw lugha tofauti tofauti.
Baba yangu wa Kiroho nimeogopa sana baba na kutetemeka sana lakini Namshukuru Mungu amekufungua na kukutuma ili utufundishe na kutueleza hayo Mungu atusaidie kukaakaribu na Mungu ili Tuishi Utakatifu Mungu atusaidie na Mungu akulinde Akutunze na kukubariki kwakujitolea kutusaidia Kutufundisha Amen
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU, amani ya YESU iwe ndani yako
God be with u
@@drkefa Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Duh inatisha sana ila nimfunguliwa akili sana ubarkiwe mtumishi
@@ReyganMariky-r6j Amen ubarikiwe sana pia na BWANA YESU milele
Eeeeh Mungu wangu usiniache ili nisije nikaangamia siku ya mwisho Yesu atakapokuja kunyakuwa kanisa naomba nikaeze kuwa pamoja naye pamo na familia yangu eeeeh Yesu mwokozi wa maisha yetu usituache katika maisha yetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen Mungu akubariki sana kwa baraka za milele. Mungu akulinde na kukutunza
Amina mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Mungu akubariki Baba kwa ujumbe huu. Nimebarikiwa sana na Mungu atusaidie sana. Kweli umefanya kazi yako kwa uaminifu, imebaki kwetu
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Tuzidi kuomba na kudumu ndani ya neno. Mungu awabariki pia kwa huduma yenu njema ya kuwafikia watu kwa machapisho
Ameeen@@IsaacJavan
Uwiiiiiiii. Yesu mimi naogopa, mume wangu Mungu mwenyewe akulinde..
Amen mke wangu asante kwa kuwa wa kwanza kucomment na kuniombea. YESU ni mwaminifu atasimama. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote.
Amen mtumishi wa MUNGU..
NAMI nakwambia usiogope maana Mungu yupo pamoja nawe alituambia katika Isaiah 41v 10 cha muhimu ni kujiandaa kumlaki Bwana Yesu
L0pp⁰@la/@alal
L0pp⁰@la/@alal
Thanks you for the information my God open every eye
Amen God bless you with everlasting blessings
Aminaaa, nimesikiliza nimepata mengi lakini nina swali juu ya siku ya kusali na unielekeze misitali kwenye agano jipya. Ubarikiwe na Bwana.
Amen, Mungu akubariki. "Kusali" tunatakiwa kusali kila siku na wakati wote. (Luka 18:1)
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,nimetenda dhambi bila ufaham naomba kusamehewa na mungu natubu
Amen Mungu akubariki sana na damu ya YESU inene mema kwa ajili yako, sasa na siku zote
Mungu akubariki akuongeze ufahamu
Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote
Asante sana mwalimu kwa somo umelichambua vema sana! Ubarikiwe sana, tukaze mwenzo mwisho umefika
Amen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Hakika ni wakati wa kukaza mwendo, Mungu atusaidie na kututia nguvu zaidi
Lord I am greatful for this message father forgive me where I have sinned knowing and unknowingly amen
Amen may our good LORD JESUS have mercy and help us walk through the right path till the day we meet Him in the clouds. God bless you forever
@@IsaacJavan😊
Asante Yesu
Tupe macho ya kuona na kusikia ee Bwana Yesu. Naomba toba Mungu wangu kwa kuupendaga huu wimbo na kuuimba. Nisamehe Bwana
Ni huruma zake tu 🙏 Mungu
Amen Amen, ubarikiwe sana na BWANA YESU
Ubarikiwe sana tena sana baba Mungu akufiche kwa damu yake
Amen Amen Mungu akubariki sana. Asante kwa kunitia moyo na kuniombea. Ubarikiwe kwa baraka za milele yote
Yaani mtumishi Mungu amekupa màarifa mengi
YESU niko nyumbani kwako usiniache na watoto wangu nishike mkono
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Ameen
Asante Mtumishi wa Mungu, Mungu akulinde
Amen zidi kubarikiwa kwa baraka za milele yote
Hakika Mwenyezi Mungu akubariki sana, umenisaidia kuliondoa pazia lilokuwa limenifunika kwa muda mrefu.
Amen Amen ubarikiwe sana pia kwa baraka za milele yote
Asante Sana Mtumishi kwa kuruusu Roho Mtakatifu anene jambo ili utufundishe, ubarikiwe na bwana🙏🙏
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote
Mungu baba wa mbinguni nikumbuke baba 😢🙏
Atukuzwe MUNGU wa mbinguni Aliye Juu Sana.
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe na kubarikiwa milele yote
Mungu akubariki mtumishi ujumbe mzito sana wenye kuponya roho za watu. Tunakuombea, si kila mtu ataupenda huu ujumbe. Hata darasani kuna wanafunzi ambao hata uwafundishaje hawaelewi. Hata Yesu alikuwa anaongea ukweli lakini bado kulikuwa na watu waliomkataa. Songa mbele mtumishi hakika kwa ujumbe huu uliotufundisha watakaosikia wataokoa nafsi zao. Mimi binafsi nimejifunza mengi halafu umeenda deep sana na umetumia lugha nyepesi mno. Barikiwa sana baba na ulindwe sna
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote. Hakika ni siku za mwisho na BWANA YESU atusaidie sana. Asante sana kwa maombi. YESU akukumbuke kwenye mahitaji yako
Ameen mtumishi wa Mungu @@IsaacJavan
Hapo fundisho lipo njiani kama tulivyo katika njia ya kwenda mbinguni ubarikiwe na Bwana yesu kristo
Shukrani sana kwazi ya Bwana yesu krist ,umejirepuwa kwajiri yanafsi na mioyo yetu nakutufanya tuwe tayari kwa kurundi kwayesu krist,Mungu akupe wakati nzuri kutupatia mafundisho mengine
What an anointed preaching! I thank God for this strong and outstanding information. Be blessed always Man of God ❤
Mmmm❤nimekupenda ni kweli msema kweli ni mpezi wa mungu tumeangamia sana
Amen Mungu akubariki sana na YESU atutie nguvu katika safari ya mbinguni
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU hakika huu mtihani mkuu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Mimi ni meshanga na picha ya yesu na mariamu majabu sana mungu vunguwa watu macho mana wengi wanaenda hell kwa sababu ya kukosa marifaa mtumishi mungu amekutuma kutufunguwa macho
Amen Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote
Moyo wangu unaumia sana kwakuwa mm na ndugu zangu tumemkosea Mungu
Mungu atusaidie. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@@IsaacJavan tena nimejitahidi sana kuwaeleza ukweli lakini wao wanadai ninamapepo
@@PatrickMathias-cs9qc Pole sana kwa changamoto hiyo. Nakushauri, unapokuwa kwenye maombi yako, waombee kwa kutaja majina yao. Unapowaombea, ombea akili zao na macho yao yafumbuke ili wapate kuijua kweli.
Barikiwa mtumishi hakika nimefunguka
Amen Amen uzidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote
Mbinu nyingi za shetani zinaonekana Wazi, hata katika Michezo mbalimbali. Mungu akubariki mtumishi kwa somo nzuri la kusisimua.
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe sana. Ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Asante Mtumishi Kwa mafundisho nimekuelewa sana ambayo yalikuwa sirini Mungu akubariki
Amen ubarikiwe nawe sana pia kwa baraka za milele yote
Imefikia hatua sasa kila nikikaa peke yangu nasikia sauti Yesu anarudi upesi na nimeshaota mara 3 kuhusu unyakuo Mungu atusaidie tusikose kwenda kwa baba wana wa Mungu
Amen Mungu azidi kututia nguvu siku zote. Ubarikiwe na BWANA YESU
Hii ndoto ilinikuta pia mara 3
Amina nimejua Siri kuu ya kikatoriki na wamepotosha wengi
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Thanks for the good news blessings yesu ni bwana Amen
Amen JESUS is LORD indeed! Mungu akubariki kwa baraka za milele yote
Jesus Christ,Mungu tusaidie Kila Mtu asikilize na atoke kwenye madhabahu ya mungu wa babeli,Yesu tusaidie tupate sehemu sahihi ya kukuabudu MUNGU Mtakatifu na uliye hai, Tusaidie kuingia ktk njia nyembamba ya kwenda uzimani,ee Yesu turehemu watoe wote uliokusudia kuwatoa
Amen Amen hakika Mungu atusaidie sana na kutuongoza daima. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
MUNGU akutunze sana Mwalimu, duuuh MUNGU azidi kukutumia tupone.
Amen Amen nashukuru sana, ubarikiwe sana na BWANA YESU kwa baraka za milele yote.
Ameen asante Mtumishi wa Mungu nimebaki njia panda kuhusu siku ya christmas
Amen ubarikiwe nawe pia. Usibaki njia panda. Nakushauri upate nafasi ya kuomba, ili Roho Mtakatifu akupe muongozo.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Umeongea ukweli mtupu. Hata Yeremia 10:1-5 Mungu ametuonya tusisherekee Christmas. Mimi nilikuwa nimepotea kupigia magoti sanamu za huyo Maria nikiamini ni mama wa Yesu. Nimelia sana kwa ujinga nilioufanya. YESU NISAMEHE😭😭😭😭
Mungu akubariki sana na kukutunza. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Utunzwe na BWANA YESU sasa na siku zote
@@IsaacJavan Amen mtumishi wa Mungu. Endelea kutufumbua macho. Na kuhusu Mwaka mpya pia nayo ni sikukuu ya shetani anaitwa Janus God, Mungu wa Catholic. Mungu akutunze
@@ladivabasel8910 zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU kwa baraka za milele yote. Amen Amen
Na mwaka mpya pia kusheherekea ni kubudu sanamu. Naomba kueleweshwa jamani uuuwi njia ya mbinguni ni nyembamba mnoo.
@@annamushi7357 Ndiyo mwanangu. Ni siku ya mungu wa kirumi anayeitwa Janus (god of endings and beginnings).
Ameen Mungu akubariki
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Napenda sana haya mambo maana yamebadilisha maisha yangu
Amen YESU azidi kukupigania na kukushindia daima.
Asante sana mtumishi Mungu akubaliki
Amen ubarikiwe pia kwa baraka za milele yote
Mungu akufice, maana hawa hawawezi furahiya hii mafunuo haya
Hakika, Mungu akubariki kwa baraka za milele yote
Mungu akubariki sana na azidi kukutumia kutoa elimu Kwa Wana wake
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Mafundisho makuu nmeyajua mengi ambayo sikua na ufahamu wayo😢 Mungu akuzidishie mtumishi wa Mungu
Amen YESU atukuzwe na kusifiwa sana. Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen nashukuru sana kwa baraka. Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele yote
Kweli mtumishi Mungu awabarki sana tena azid kukuinua kwa mafundisho yako
Amen ubarikiwe sana kwa baraka za milele
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu akupe maisha marefu ili watu wazidi kuijua kweli
Amen asante kwa kunitamkia baraka. Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele yote
Amina ubarikiwe mtumishi.
Samahani ingefaa zaidi ningepata mawasiliano ya what's app mtumishi maana kunajambo naweza kukushirikisha
@@IsaacJavan Amina ubarikiwe mtumishi.
Samahani ingefaa zaidi ningepata mawasiliano ya what's app mtumishi maana kunajambo naweza kukushirikisha
Umefanya kazi kubwa mtumishi wa Mungu
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele. Mungu akubariki
Barikiwa mno Mtu wa Mungu
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote 🙏
Amina mtumishi wa Mungu nimejifunza ktu kikubwa
Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Barikiwa sana mtumishi
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Mungu atuongoze barikiwa sana mchungaji
Mtumishi mungu akufunulie zaid uendelee kufanya Kaz yake Amina sana
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele yote
Amina barikiwa Sanaa Asante
Amen ubarikiwe pia kwa baraka za milele
Ahsante Sana mtumishi,
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amina nimeelewa saana sana
Amen ubarikiwe kwa baraka za milele yote
Mungu akubariki sana pasta
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Ooooo jomon yesu wangu hapa kwenye Christmas mungu tusaidie jomon
Mungu tufungue akili na utuondolee moyo wa nyama utupe moyo wa unyenyekevu tuweze kuiweka na kikabidhi ukweli wa neno lako katika mioyo zetu 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele
Mungu Akubariki sana kwa neno, Mungu tusaidie kanisa lako heee
Amen Mama, Mungu atusaidie. Ubarikiwe na BWANA YESU
Ubalikiwe Sana mtumishi
Amen asante kwa kunitamkia baraka. Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele
Ahsante sana Mwl unafundisha vizuri sana barikiwa
Amen YESU atukuzwe na kusifiwa sana. Ubarikiwe kwa baraka za milele yote
Ubarikiwe mtumishi 🙏🙏
Amen Mungu akubariki nawe pia kwa baraka za milele
Asante mtumishi kwa ufunuo huu
Amen ubarikiwe sana pia kwa baraka za milele yote
You have open my mind God bless you
Amen God bless you with everlasting blessings
God have mercy on me with my family
Alot of people will perish
We lack understanding of the word
May God have mercy indeed. God bless you with everlasting blessings 🙏